Askofu Malasusa alivyosimikwa Mkuu wa KKKT mbele ya Rais Samia, atakiwa kushughulikia.......
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Askofu Alex Malasusa amesimikwa kuwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na kutakiwa kuhakikisha anazishughulikia changamoto zinazoisumbua dunia kwa sasa.
Baba yetu mpendwa Mhashamu Askofu Malasusa,Mungu akuimarishe ktk utumishi huu.Hongera Sana Baba yetu.
Hongera baba yetu KKKT
🤔🤔🤔