Dkt Mwakyembe avunja Ukimya kuhusu USHOGA // Amesema anajina la Mkurugenzi wa USHOGA nchini.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 452

  • @rehemamsamila8820
    @rehemamsamila8820 Рік тому +2

    Hongera sana Mwakyembe Mungu akulinde... umejitoa kwaajili ya wengine kemea ushoga, kemea maovu, Mungu atulinde sote.

  • @foundationforcommunityhope7327

    Hongera Sana Mh.Dr.H.Mwakyembe unatufaa wa Tanzania..Mungu akulinde sana.

  • @hono1232
    @hono1232 Рік тому

    Dr Mwakyembe Hongera sana. Umeweka alama ya kukumbukwa daima.viongozi serikalini wanafumbia macho jambo hili. Hata wale waliolisemea jambo hilo wanamungunya maneno. Mimi kama mzalendo wa nchi yangu Naliomba bunge liitishwe mara moja na kulitungia sheria jambo hili.
    Mheshimiwa Rais hapa ndipo pa kuanzia.

  • @SDM2024-z4s
    @SDM2024-z4s Рік тому +1

    Thanks our Honorable Dkt Mwakyembe kwa kweli serikali inatakiwa kufanya kazi maana kama kuna mkono wake Mungu hawezi kutuacha salama kabisa

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 Рік тому +4

    Sijui tuna kiongozi hapa!!!! Jamani pole Tanzania pole Mwalimu Nyerere!!! Pole Tinga Tinga Magufuli upumzike Kwa Amani!!!

  • @Keyjop
    @Keyjop Рік тому +2

    Mungu tunakuomba simama na Hawa wajoli wako naamini mkono wako wako ni mkuu sisi wanawake tuna kulilia ww kwaajili ya watt wetu na vizazi vyetu Yesuu ! Yeesu ! Yeeesuuu simama na sisi watt wako tuepushe tamaa za viongozi wetu wa taifa wanaotanguliza maslahi zao mbele kuli sisi wananchi wao🙌

  • @patriciatumain172
    @patriciatumain172 Рік тому +12

    Mzee wetu mungu akujaalie umri mrefu ili uweze kukemea izo

    • @maulidimpili698
      @maulidimpili698 Рік тому

      Tatz Kuna baadh ya makanisa yanakubali hayo mambo dini ya kikristo ndio inachafuliwa sana kila mtu ana kanisa lake na sheria zake ombi lang kwa serikali hawa mashoga wauwawe tu kama vile mung alivyoangamiza watu wa zaman na ardh akaipindua juu chini na chini juu

  • @danieljonkey-vh8fc
    @danieljonkey-vh8fc Рік тому +1

    Mwakyembe Mungu aziongeze siku zako za kuishi

  • @mishengoma2495
    @mishengoma2495 Рік тому

    Asante sana Dr Mwakyembe kwa kusema ukweli. Hivi, hadi hao watu wajipange hivyo, TULIKUWA WAPI???? Usalama wa Taifa, ni pamoja na USALAMA WA VALUES ZETU. Hii ni aibu kwa Taifa letu

  • @aloismwenda8975
    @aloismwenda8975 Рік тому

    Wabunge wamelala; serikali imelala, viongozi wamelala, asante Mhe Mwakyembe

  • @swalehbakari2667
    @swalehbakari2667 Рік тому +1

    Mungu atusitiri na vizazi vyetu 😢😢

  • @eddynyaki5539
    @eddynyaki5539 Рік тому +2

    Mungu akujalie ulinzi wake kwani watakufanyia figisu ila naimani Mungu anakupenda na tunakuombea songa mbele Mzee Mwakiembe

  • @arishimosha6455
    @arishimosha6455 Рік тому

    Catherine Ni kweli ww ni mtumish w a Mungu ,Mungu akuongezee ujasili na maarifa zaidi.

  • @nassorsaid9825
    @nassorsaid9825 Рік тому

    Mungu awaangamize kila Mwenye lengo hilo

  • @mbonekemwampasi2509
    @mbonekemwampasi2509 Рік тому +11

    We can survive without America kweli kabisa hapo umesimama

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 Рік тому

    Asante sana kwa ukweli Mungu akulinde kwa njia zake zote

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 Рік тому

    We can survive without America........ Asante Dr mwakyembe

  • @yakobomaganga6557
    @yakobomaganga6557 Рік тому +8

    😭😭😭
    Mungu iokoe TANZANIA 🇹🇿🇹🇿😭😭

  • @taimumwasanya7708
    @taimumwasanya7708 Рік тому +1

    See Mungu iponye nchi yetu na vizazi vyetu na hao marekani hawafai kuwa rafiki wa nchi yetu

  • @nesphorycharles9371
    @nesphorycharles9371 Рік тому

    Dah htar sana hali inatisha sana mzee hongera umejtoa baba mungu atakulipa

  • @husseinnkuna6401
    @husseinnkuna6401 Рік тому +2

    Daah inna lillahi wainna ilaihi rajiun hawa wa marekani mungu anawaona na atavunja utawala wao duniani😭😭

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 Рік тому +16

    Hongera sana baba mwakyembe kwa kusema ukweli, tuwashugulikie hawa mashoga wanatia mkosi nchi yetu.

    • @godfreyobadiah7892
      @godfreyobadiah7892 Рік тому +1

      Amerika wakomalie wamekalia kukuomba misaada waeleweke 😅😅😅😅

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 Рік тому +5

      ​@@godfreyobadiah7892 huyo mama sio kiongoz uchaguzi ukifika musimchaguwe

    • @shaluuanthony1836
      @shaluuanthony1836 Рік тому +2

      😢😢

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 Рік тому +5

    Asante muheshimiwa kwa kutusemea tusioweza kusikika, inaumiza sana, tunahitaji rais naye atoe neno tusitazame misaada tu wakati kizazi chetu kinaangamia, hiyo misaada itatumiwa na nani kizazi kikiteketea, inahuzunisha sana.

    • @tatankakoroba48
      @tatankakoroba48 Рік тому +1

      Ni hivi bora tushindie mboga za majani...warudishe pesa hizo haraka sana

    • @adammwakalonge3573
      @adammwakalonge3573 Рік тому

      Anatafuta namna ya kurudi kisiasa tuu, alikuwa serikalini alifanya nini kukomesha ushoga? Wasitufanye wajinga

    • @begukulemosobe9685
      @begukulemosobe9685 Рік тому

      @@adammwakalonge3573 ni kweli lakini walau amethubutu kukemea tu inatosha.

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm Рік тому +2

    subhallah mungu akujalie kwa kusema ukweli mwakiembe

  • @fauziakimath7446
    @fauziakimath7446 Рік тому

    Asante.sana.Baba
    Kwa..kusema.ukweli.Baba.wewe.shujaa.trna.Jembe..Bwana.Yesu.Akulindr.na.Hao.Watesi..Mashogaa

  • @deokayugwa28
    @deokayugwa28 Рік тому +5

    Safu sana mh mwakyembe MUNGU akubariki na akulinde mzee wetu..

  • @sellinambwilo6011
    @sellinambwilo6011 Рік тому +11

    Ila mwakyembe mzee wangu magu angekuepo ukampa hiyo orodha na hao viongozi naamini angewafanya kitu mbaya sasa mama mpole Sana

  • @ebenjAminseverin
    @ebenjAminseverin Рік тому +1

    tatizo kubwa misaada anayoipata madam kutoka ughaibuni sio kwamba no agent of this , free lunch inafanya yte haya

  • @vailethmaji2158
    @vailethmaji2158 Рік тому +10

    eee Mungu baba wa mbinguni na ijulikane kuwa upo 😢😢

    • @adilikayuni3903
      @adilikayuni3903 Рік тому

      lazima ukemee... so kuomba,,,, eeee Mungu tusaidie harafu ukakaa kimya ukisubili Mungu akataze ushoga. ongea popote unapoweza kupinga ushoga

  • @salumbinabed6906
    @salumbinabed6906 Рік тому

    Nasema hivi bunge lifanye kazi Sheria itungwe shoga yoyote auliwe

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 Рік тому

    Jamani tunaitaji kumuomba Mungu Sana na kuombea vizazi vyetu pia ukiacha kuchukua hatua za kimwili na kisheria

  • @suleimanmajani6187
    @suleimanmajani6187 Рік тому +1

    museven nimkristo ilahata waislam tumemuuga mkono katika hili jinsi alivyonesha makasiriko nakuchukizwa nahili allah ampeumri mrefu mzee. wetu tanzania tunaviongozi waislam kwenye ngazi zajuu haliivyo nikama alivyo iekawazi muheshimiwa mwakiembe mzewetu viongozi tunahitaji kuona hatua kali tuwachukulie hatuwa stahiki kuwatokomeza kabla makasiriko yamwezi mungu hayatusukia

    • @emazjassam2452
      @emazjassam2452 Рік тому +1

      Sasa ukristo na uislamu unaingiliaje hapo.. Kwaio ww ukiwa dini fulani huwezi muunga Mkono kiongozi wa dini nyingine....

  • @stanleymbonabhucha2767
    @stanleymbonabhucha2767 Рік тому

    Mheshimiwahongera kwauwazi mungu akulinde wewe nimzarendo

  • @CHENJELOAthuman-lh3fi
    @CHENJELOAthuman-lh3fi Рік тому

    Mwakyembe God bless youu

  • @jenitarthadeus2903
    @jenitarthadeus2903 Рік тому

    Dr Mwakiembe tusaidie! Usalama wa Taifa tusaidie, Dr Samia tusaidie

  • @husseinmaula4965
    @husseinmaula4965 Рік тому +1

    Nakukubali mwakyembe we can survive without American wasituletee ushoga pumbavu zao

  • @firmakisika5073
    @firmakisika5073 Рік тому

    Mwenyezi Mungu akulinde nakukutetea dhidi ya hiyo vita

  • @berithaemmanuel5363
    @berithaemmanuel5363 Рік тому

    Sema baba ukweli wote mwenyezi mungu tunaomba uwaadhibu watu hao ,taifa letu linakwenda wapi kizazi hiki ,

  • @elishapaul9423
    @elishapaul9423 Рік тому +2

    Mzee umetisha sanaaaaa

  • @abdalahasuman8740
    @abdalahasuman8740 Рік тому +5

    Safi Sana mwakyembe kwa kukemea uovu huo

  • @salumjuma3152
    @salumjuma3152 Рік тому

    Dah mtihani mkubwa allah atujalie kheri

  • @ismailiddy97
    @ismailiddy97 Рік тому

    Duuh mungu nusuru dhahama hii shukran mzee bora umeamua kujitoa mhanga

  • @paskaligwangway2597
    @paskaligwangway2597 Рік тому

    Kweli mungu atusaidie katika hili janga

  • @silaswingiasa
    @silaswingiasa Рік тому

    Ee mungu isaidie Taifa hili tunaangamia

  • @mchangarocky7254
    @mchangarocky7254 Рік тому

    Allah tuongoze katika njia iliyonyooka aamin

  • @FrancisMtela-mh9xe
    @FrancisMtela-mh9xe Рік тому

    It is true that we can survive without America ! Hapana hawafai kabisa hawa jamaa. Mungu katuumbia viumbe vitamu Mwanamke na Mwanaume ! Wewe, Mimi ni ni mwanaume ! Nashukuru Mungu kuniumbia kiumbe mtamu Mwanamke !

    • @Mina.15
      @Mina.15 Рік тому

      Y'all blaming the wrong ppl. Africa leaders are cowards

  • @arishimosha6455
    @arishimosha6455 Рік тому

    Mungu atusaidie sana hali ni mbaya sana

  • @janemazengo7095
    @janemazengo7095 Рік тому +7

    Mungu , turehemu Tanzania

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 Рік тому +1

    Watanzania mlimtukana sana MAKONDA kwenye maswala haya ya USHOGA mkaona haitoshi mkaenda mbali zaidi kwa MAGUFULI povu za sabuni OMO mkazitoa vilivyo na MAGUFULI alionya kabisaa vyakuletewa vingine vina madhara haya sasa hiyo ndio faida ya ANAUPIGA MWINGI kwenye MIKOPO na UWEKEZAJI RIP mzee baba Magufuli 😭🙏

  • @wardakangezi6942
    @wardakangezi6942 Рік тому

    Asante Sana

  • @MelkizedeckMwadimaga-gx5mk
    @MelkizedeckMwadimaga-gx5mk Рік тому

    Kama viongozi watalikalia ukimya hilo swala Nita hitaji mtu1 mwenye Imani tuombe tuiombee nchi yetu

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 Рік тому +1

    Alafu leo hii tunawakaribisha marekani kwetu😢😢😢😢

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 Рік тому +2

    Mungu akuwekee ulinzi

    • @teklalumalanja1752
      @teklalumalanja1752 Рік тому

      Samia unauwa nchi ya Tanzania na kizazi Chetu maana ukweli unaujua

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 Рік тому +1

    Innalillah wainna ilayhi rajiun, wasakwe wote hao na mmoja mmoja washughulikiwe, napendekeza mashoga wafungiwe ndani wakiwa pair miezi 6 na baada ya hapo mmoja wapo atoke akiwa mjamzito au na mtoto, likishindikana Hilo wapigwe risasi hadharani ili iwe fundisho kwa mashoga wengine.

  • @nabiisospeterkabangutse6116

    BWANA MUNGU ASEMA; Ushoga, Katika kanisa la Laodikia nao walifanya uchafu, ushoga nao wakafukuzana, Wakolosai 2:23 wanafanya ibada za kujitungia za tamaa za mwili, 3:5 uasharati na uchafu/ za ushoga. Wanawake na wanaume walibadili matumizi ya asli, kwa matumizi yasiyo ya asili. Mashoga Hukumu iko mlangoni wasipotubu. Makanisani wafukuzwe. Na mkuu wa Nchi awafukuze wageni wanaojihusisha na ushoga. Ni mm Nabii wa BWANA. Sospeter Kabangutse

  • @zillytash693
    @zillytash693 Рік тому

    Nimejifunza jambo kubwa sana hapa
    Mungu endelea kusi mama na sisi

  • @fredrickmalunde3426
    @fredrickmalunde3426 Рік тому +1

    Siku ukigombea urais Mzee tutakukupambania

  • @michaelobunde753
    @michaelobunde753 Рік тому

    Njaa mbaya Sana,mzee ameona aibuke na ushoga

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 Рік тому +3

    God God God have mercy on us 😭😭😭😭

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 Рік тому

    Tumesha chelewa miaka mingi wamejihimarisha hata vita wanapigana wanauwa itikadi zote zisizounga mkono mienendo yao na wasiotegemewa kuwemo wamo ndiomaana itakuwa vigumu kukomesha KIAMA TUNACHO 🔥🔥🔥

  • @danielpeter6192
    @danielpeter6192 Рік тому +2

    Daaah baba angu mwakyembe watakuacha Salama Kwel 😢 umesema ukwel mtupu daah Kumbe upumbavu wanao wenyewe alafu wanajifanya kupambana na mmomonyoko Wa Mahadiri Daaah 😭😭😭

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 Рік тому +5

    Marekani ni Taifa la hovyo sana Duniani, sasa naanza kumuelewa Vladimir Putin

  • @lazarombuze9776
    @lazarombuze9776 Рік тому

    ASANTE SANA MZEE MWAKIEMBE
    SAUTI YAKO IMEKUWA KUBWA KULIKO YA MAASKOFU,MASHEHE,NA WACHUNGAJI,.MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 Рік тому

    Mh.Mwakyembe mwenyezi Mungu atakulipia Mzee wangu wengine wanao nufaika na upuuzi huo
    Wametukia kimyaaaa kama hawajui
    Asante Sana 🙏🏼

  • @williamkabungo9390
    @williamkabungo9390 Рік тому +1

    Hakika Mungu bariki Tanzania na watu wake

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 Рік тому

    Mungu akusaidie sana Mzee wetu na akukinge na mabaya yote

  • @maryevarist8583
    @maryevarist8583 Рік тому

    Mungu aseme nao

  • @nabiisospeterkabangutse6116

    Vita hii ni kubwa tukienda nayo kimwili; tumefunikwa kwa Damu ya Yesu yenye ushindi, PASAKA, ibilisi amenyanganywa funguo za kuzimu. Kwa MAOMBI, mashoga tumewanyanganya funguo, na iwe. Nabii Sospeter, Kigoma Tanzania.

  • @shaluuanthony1836
    @shaluuanthony1836 Рік тому +2

    😢😢😢😢😭😭😭😭😭eeeh Mungu shuka tusaidie sana

  • @chigofapeka8187
    @chigofapeka8187 Рік тому +1

    Mwakyembe mm nakushukuru sana, yaan mm binafs nilikuwa nashangaa iv viongoz wakubwa jambo hili mbona hawalisemei

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 Рік тому +3

    kweli mwakyembe ni baba wa taifa nimekukubali wape ukweli hao wafadhili na mama samia nae anasemaje tunasubir jibu

  • @subirawatson5108
    @subirawatson5108 Рік тому +1

    Njaa za viongozi zinatuponza kuchukua mikopo nchi tajir,wanatuletea mambo ya kishenzi

  • @paulmgoi6375
    @paulmgoi6375 Рік тому

    Mungu atutete apa serikali ndiyo inaweza kutuweka kwenye nuru au kwenye giza kwa kupitisha miswada yao

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 Рік тому +1

    Ndugu zangu wa IBM mmesikia hayo? Sasa kama kweli unapinga ushoga, usishangilie kuuawa kwa Ukraine, anza kupambana toka hapo ulipo hadi taifa

  • @raymrash
    @raymrash Рік тому

    Mungu akulinde baba

  • @hassanhondelo9888
    @hassanhondelo9888 Рік тому +2

    Ndio maana mwenda zake alizifuta enjoy's nyingi sana kwa kutambua malengo yao

    • @floramongi1410
      @floramongi1410 Рік тому

      Ndio sababu walimuua kaka mungu yupo tuzid kuomba

  • @luganomwankyoko2653
    @luganomwankyoko2653 Рік тому +1

    @makonda alikua anapiga vita sanaaa huuuu ujinga,nakumbuka

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 Рік тому

    Yes, we can survive without America

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba Рік тому +1

    Mungu akuwekee kinga yake baba

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 Рік тому

    Wanao saport hayo inatakiwa wafikirie vizur maana Dunia si yao Allah yupo ...

  • @Lailal-bg8di
    @Lailal-bg8di Рік тому

    😢😢😢😢

  • @andrew29468
    @andrew29468 Рік тому +2

    Hamkumuunga mkono Makonda wakati anapambana hii kitu ilianza kitambo
    Bunge litunge sheria kali kudhibiti hizi asasi na pia tabia zenyewe za kishoga
    Tutaharibu kizazi chetu,hatuwezi kuwa na taifa la watu mashoga lazima kuchukua hatua sasa,huu ni ushetani

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 Рік тому

    Asante Dr na huyo Dada. Mbona sasa hatusikii kauli ya serikali kuhusu hili?

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 Рік тому

    Hongera mzee Wetu mnahitajika wezee kama wew ili kuinusuru nchi yetu maana ni ujinga kabisa

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 Рік тому +8

    Kimya kimya. Nadhani mnajua ninacho maanisha

  • @SandeMoshi-yu4tb
    @SandeMoshi-yu4tb Рік тому

    Uko sawa Mwakyembe,, ila serikali haitosh kwa tamko hilo. Itoe adhabu kali ikiwezeksna itumike adhabu kutoka ktk vitabu vya dini

  • @abuumwinyimkuu1261
    @abuumwinyimkuu1261 Рік тому

    Kiukweli umeonesha ushujaa wa Cap Thomas Sankara,,,,, respect xn,,,, tunakuunga mkono!!!!!!!

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 Рік тому +2

    Mitihan Allah akuepushe na fitina za dunia na kutupa kizazi chema

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 Рік тому +2

    HATARI.Mungu NDIYE Kimbilio LETU.

  • @dorismkoma4228
    @dorismkoma4228 Рік тому

    Mungu apigane kwa ajili ya watoto wetu wa kiume

  • @dullodullodullo686
    @dullodullodullo686 Рік тому +1

    Uyu mzee namkubali saana ni mwafrka harisi anaipinga saana mambo yakigeni safi

  • @sifacomedy
    @sifacomedy Рік тому

    Dar kwakweli Yani asaivi wazazi tunaweka ulinzi kwa watoto wa kiume sio wakike tena😭😭

  • @JescaLameck-mr9dw
    @JescaLameck-mr9dw Рік тому

    Mh Tanzania tusimame jamani jamani jamani

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 Рік тому +1

    Mungu akulinde

  • @majigedioniz8049
    @majigedioniz8049 Рік тому +2

    Mm nachojiuliza mbona haya mambo yamezuka sana ktk hawamu ya sita kuna kitu nyuma ya pazia kwenye hii serikali

  • @johnnkelebe7360
    @johnnkelebe7360 Рік тому +2

    Ndio maana Magufuli hakupendwa na watu haki za binadamu na nchi za ulaya, kumbe aliwabana kwelikweli hao mashoga.

  • @reubenpaulomabula6098
    @reubenpaulomabula6098 Рік тому +1

    Mungu akutunze Mheshimiwa uzidi kuyakemea haya

  • @omarymaulid8363
    @omarymaulid8363 Рік тому +1

    Ujasiri wa aina hii Ni muhimu Sana

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 Рік тому +22

    Unabii wa Isaya 24 :18-20 lazima utimie. Hakuna elimu yoyote duniani inayoweza kuondoa maovu ya wanadamu kwenye mioyo yao isipokuwa INJILI YA KRISTO. Haya maasi yana historia kongwe na yapo. Hofu yetu haitazuiliwa na mafuriko haya ya uovu isipokuwa watumishi wote wa Mungu wataacha kuhubiri kubarikiwa-barikiwa na kugeuka na kuanza kuhubiri INJILI ya Kristo kuhusu watu kutubu dhambi zao. Nje ya ukweli huo huu uovu utashinda tu. Kwanini? sbb yuko mkuu wa ulimwengu huu atendaye kazi ktk kizazi cha uovu . Na watumishi wa Mungu wengi siku hizi hawashughuliki na dhambi ktk mioyo ya watu

    • @gwakisanoah2538
      @gwakisanoah2538 Рік тому

      Ahsante sana pastor. Kiukweli hali ni mbaya sana... Dunia inazama hii huku sehemu kubwa ya watumishi wanakuna vitambi tu.

    • @ramseyngwejela499
      @ramseyngwejela499 Рік тому

      @@gwakisanoah2538 Amina Sana. INJILI ikihubiriwa sana kuhusu watu kutubu dhambi zao, basi hapo uovu hupungua maana wengi wanatubu. Vinginevyo tutaishia kuwa na taarifa nyingi za maovu ya wanadamu duniani yakiwa hayana ufumbuzi wowote kutoka kwa hao waliopewa dhamana kuu na Mungu ya kuhubiri watu waokolewe.

    • @easy-muchwa8175
      @easy-muchwa8175 Рік тому

      Injili ya "kristo" wameileta hao hao wanaotuletea ushoga kwa sasa.turudi nyumbani twende na tamaduni zetu za asili...

    • @ramseyngwejela499
      @ramseyngwejela499 Рік тому

      @@easy-muchwa8175 Wao waliacha kile ambacho sisi wengine kimetusaidia sana.

    • @gwakisanoah2538
      @gwakisanoah2538 Рік тому

      @@ramseyngwejela499 Kinachoumiza pastor ni kwamba sehemu kubwa ya makanisa ambako ndiko kimbilio dhambi haikemewi wala kuchukiwa, viongozi wanataka pesa tu... Niliwahi kukosoa na kukemea baadhi ya UOVU unaoendelea kanisani lakini waliniijia juu yaani viongozi wa kanisa akiwemo MCHUNGAJI mwenyewe. Sasa hayo maovu yatakemewa wapi pastor? Nje kwa moto ndani ni kwa moto zaidi. Ukionya unageuka kua adui wa viongozi na waumini. Suluhisho hapa inakuaje pastor?

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 Рік тому +2

    Tunavyo ambiwa Tuwe tunaombea nchi Tuwe tunaelewa Nchi hi inahitaji MAOMBI Tena ya nguvu sio mchezo