BACHUU ADAIWA NA KIJANA KUMJIBU LILE SWALI ALOKWAMA KWENYE MJADALA KABLA YA KUTAKA MJADALA WA 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 268

  • @Hafisa-ws8mw
    @Hafisa-ws8mw 9 днів тому +13

    Allah amuhifadhi shekh Muhammad bachu

    • @aliali-oe8dq
      @aliali-oe8dq 8 днів тому

      Amu hifadhi kwa kitu gan alichokua anacho

    • @Hafisa-ws8mw
      @Hafisa-ws8mw 7 днів тому

      Kwa fitna za watu

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 6 днів тому

      @@Hafisa-ws8mw hakuna fitna mbaya mtu kila mara kazi yake ni kutukana wanazuoni na kuwakufurisha watu

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 9 днів тому +5

    Kaka uo uoga mjadala mwaweza kufanya hata mara mbili kwan kuna kosa gan kufanya mjadala mara nne uo uoga😂😂😂😂😂😂

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 8 днів тому +4

    Hakuna ushindi.... ustadh said hakujibu hata hoja moja?

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 8 днів тому +4

    A.aleikum
    Ndugu yangu kipenzi M.Bachu nakuomba achana nao hawa ni mambumbu hawa.

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla 9 днів тому +3

    Na nigaq ya kusema shekhe Muhammad bachu amejikojolea aliianzisha Abudi na ajue kuwa kila anaeongea hivi Abudi analofungu lake la dhambi mbele ya Allah .

  • @madrasatunnajmizzaahiral-i2478
    @madrasatunnajmizzaahiral-i2478 9 днів тому +5

    Ummu Aaishaaah,njoo Bachu asumbua watu huku.

  • @mikonomisafi9344
    @mikonomisafi9344 9 днів тому +7

    Hiyo Kujikojolea Mmezusha kama kawaida yenu, Mmekuwa mkimzushia mtume kila mwaka Sio ajabu kuzusha hilo la Kujikojolea

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 9 днів тому

      Msaidie bachu kujibu swali.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 9 днів тому

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾
      HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMETOA WAPI?
      SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya
      AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث
      MAKOSA YA BACHU YALIKUA
      kwenye NAHAU, KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA
      mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾
      Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni
      makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi
      NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 8 днів тому +1

      Kama hakukojoa angejiteteya mwenyewe bachu kutoka Mwaka jana baada ya mjadala ushawai kumsikia akisema ni uwongo si kukojoa na bachu ajua hilo wadhani angenyamaza lkni mpaka leo hajaliraddi hilo, hiyo ilikuwa ni fedheha kwa kutukana wanazuoni nyama zao ni sumu

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 8 днів тому

      Ikiwa mtu anaweza kumsingizia mtume atashindwa Binaadam mwenzake???

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 8 днів тому +1

      ​@@NassorHassan-no1cr
      NANI KAMSINGIZIA MTUME ??
      Mawahabi wakiwa hawana majibu kazi yao ni kubadilisha mada .
      Ebu mjibie Bachu wako suali la Ust Saidi Omar.
      Tuletee lttifaqi wa Maulamaa wa mustwalahul hadithi wanaosema "kutumia hadithi munkar kuzingatiwa ni UONGO "
      Bachu : chaliii mpaka KAJISURUWALIA ... Daah chezea wasomi wee .

  • @mohamedswalehe4442
    @mohamedswalehe4442 8 днів тому +4

    Huyu jamani nihayawani hana haya muacheni

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 6 днів тому

    Wallahi Masufi mtaumia na uhai wa Muhammad bachu,kwa kuwa anavichoma vichaka vyenu

  • @AbuuAnuwar-ip7dr
    @AbuuAnuwar-ip7dr 5 днів тому

    Kwahiyo Bachu kakojozwa na Shekhe Saidi duh🤣🤣🤣 hatari Sana

  • @abuually-ol2xc
    @abuually-ol2xc 8 днів тому +1

    Yaani majaahil wamepewa vipaza sauti Wanabishana ! Wenyeelimu wamekaaa kimyaa yaani hii Dunia niyaajabi sna 😂😂

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 9 днів тому +3

    Wakiwa vyumbani mwao imam muongo, wakifika mbele ya wanaume husema imamu sio muongo 😂😂😂

    • @saidmuhd611
      @saidmuhd611 9 днів тому

      Nimecheka sana, bachu alipata kimuhemuhe

  • @suleimankira9195
    @suleimankira9195 8 днів тому

    Inallahwainalaih wainalaih rajuunh kwa kweli nyinyi niwafusi wa rais wawanafiki Abdusuruli

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 9 днів тому +1

    Anaongea ongeatu ili uonekane umooo😂😂

  • @jaaffarabuu6750
    @jaaffarabuu6750 День тому

    😂jamaa anamipasho

  • @MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz
    @MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz 9 днів тому +1

    Wazungu wanasema hivi, If the head works, the body pays, na português nayo unasema a cabeça não regula o corpo que paga, bacho haelewi,🇲🇿 natoka mocambique

  • @SaidJangoli-hr7ww
    @SaidJangoli-hr7ww 7 днів тому

    Ushindi wahoja gani iliyo jibiwa isikuwa munaendelea kukimbia shekh bachu yuko sawa Allah amzishie

  • @MbwanaHusein
    @MbwanaHusein 9 днів тому +1

    Saidi ni dj2 anakitu mpiga piyano

  • @JailanRamadhan
    @JailanRamadhan 7 днів тому

    Anataka kukojozwa tema😂

  • @omarmwamvura
    @omarmwamvura 8 днів тому

    Mbona mnamjibi Acheni vitabu viongee hatutaki qurafat

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 9 днів тому +2

    Leta msufi amejibu uongo wa mbuzi na kuku waliozungumza kirabu

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 8 днів тому

      @@hassanmohamedabdalla4108 Kama alivyishindwa mpaka akajikojolea.

  • @MuhammadShariff-ji9ye
    @MuhammadShariff-ji9ye 9 днів тому

    Jamani mijadala yasisi Kwa sisi haileti faida yoyote Kwa waislamu bali inawagawanya waislamu tutafuteni njia ya kuwaunganisha waislamu ili adui asitumie udwaifu wetu wa vipotevipote twataka mjadala nahuku waislamu wenzetu wanamalizwa mashariki yakati

  • @Alrisaalaturrahmahislamiccente
    @Alrisaalaturrahmahislamiccente 9 днів тому

    ww kijana usipoteshe watu mada ilikuwa muendelezo wa mada kutoka Tanga ju ya kutamka kwa wanyma ila nyinyi mukabadilisha ili ajadiliwe barzanji kama mtu 2:25

  • @markazzadlittaalimwalakhla355
    @markazzadlittaalimwalakhla355 8 днів тому

    Ajifurahisha roho hajui asemalo na ukitaka kujua mishale ya Bachu ya haqqi imemuingia MTU ni kama huyu maneno ya Bachu ya hoja Madhubuti ndio zamroposha saa hii amelewa huyo kwa hoja za Bachu saa hii Wacha ajipare .

  • @alimussa3611
    @alimussa3611 6 днів тому

    Hana mambo huyo mtoto wa bachu huku zanzibar ofisi ya mufti imemzuwia asitowe mawaidha baada ya kukitupa kitabu cha barzanje na baada ya hapo akafunguwa kesi mahkamani kupinga kesi hiyo amri hiyo ya ofisi ya mufti na hivi tunavyo kwambieni amekimbia huku na kuhamia huko mombasa baada ya ofisi hiyo kumzuwia asitowe mawaidha kwa utovu wake wa nidhamu

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 9 днів тому +1

    Alfu lingine sheikh bachu hana wakati wa kumjibu yule mwanamke huo upuzi huo muda bado

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 9 днів тому

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾
      HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMETOA WAPI?
      SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya
      AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث
      MAKOSA YA BACHU YALIKUA
      kwenye NAHAU, KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA
      mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾
      Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni
      makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi
      NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 9 днів тому +1

    Bachu , tunamkabidhi ummu aisha tu anamtosha.

  • @shafisaggaf1889
    @shafisaggaf1889 8 днів тому

    Wachaneni mambo yaajabu banah kila mmoja afanye lake.
    Hakuna hata mmoja atakubali kushindwa sibachu wala saidi.
    Na hawajaanza wao kubishana na haya mambo.

  • @FarahJey
    @FarahJey 8 днів тому

    Jibuni 19 hoja wateni kelele
    Mwaleta wanawake mumeshindwa nyinyi vijume wateni ukhani

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 8 днів тому

    Swali ni simple ninani aliye kutangulia kusema mtu akichukua hadithi dhaifu akaandika kwa kitabu chake huyo mtu huitwa mrongo?na hatutaki kulingana na mawazo yako,tunataka bachu utuambie na atutajie ni mwanazuoni gani wa mustalahi hadidhi amenukuu.

  • @IbraahJuma-dl2rd
    @IbraahJuma-dl2rd 8 днів тому +1

    Kama anajiamn mwambie aokote sm. Na wapang siku mbon anakimbia 😂😂😂😂machoko nyote

  • @KarataKudraabassy
    @KarataKudraabassy 8 днів тому

    Hakuna ambacho alijobu kaka cheikh saidi alokuwa napinga nakuuliza kitu ambacho hakijibiliwe

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 9 днів тому

    Wewe na yule dada mwenzako wa Zanzibar wote sawatu

  • @HassanJuma-j8j
    @HassanJuma-j8j 4 дні тому

    Nahisi ww hukumfaham isikilize vizuri bachu

  • @MgazaMhina
    @MgazaMhina 9 днів тому +1

    Sasa kumbe ameshindwa,kwanini Sheshe Said alisema kama Shekhe Bachu akitaka mjadala yeye yuko tayari.

  • @godsservantrimo9844
    @godsservantrimo9844 9 днів тому +1

    Aloitwa kwenye mjadala mwengine anaeongea mwingine..Dalili za uoga hizo si aseme mwenye kuitwa...Hamuwezi iwe lazma kwenu kueneza bidaa tuu...Hebu fikirini

  • @HamzaMaalim-i6h
    @HamzaMaalim-i6h 8 днів тому

    Bachu alishinda mikojo siku ile leo hii anataka kushinda mavi ndo aridhike mpeni choo akate shonde haja imembana

    • @qwerqasd8597
      @qwerqasd8597 7 днів тому

      Subhanallah muogope Allah kwa maneno yako makali

  • @SalimMakame-ib8yi
    @SalimMakame-ib8yi 9 днів тому +1

    Mwanamke haifai kuongea ktk Hali hile hajielewi yeye na ww pamoja na wote wenye kumsapoti kwa alilolifanya kama vile simama ww umrudi bachu uangalie jee hatokujibu

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 9 днів тому

      Wachakuongea uwongo!Bachu alishndwa kujibu swali.

  • @ujumbeonline9965
    @ujumbeonline9965 9 днів тому +1

    Hujaelewa hata acheni upuuzi

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 9 днів тому +1

    Acha kubweka

  • @samkaka2218
    @samkaka2218 6 днів тому

    Wewe ulioongea porojo hili Rudi katika recoding ya mjadala ukaangalie ile mada ilikuaje Je sisi tulibadilisha mada au nyie maghurafi? Recording zipo nenda kaangalie Halafu baada ya kuangalia Rudia Swali ambalo nyie mumeuliza Je linaendana na mada tuliokubaliana? Pia nakusisitiza ukaangalie na uniambie Nani wakwanza kuulizwa swali? na Je alijibu? Huyu alieongea iv akiweza kujibu haya kwa ufasaha bas mm kuanzia naanza kusoma maulidi na akiweza arikodi kama alivorekodi hii. Halafu haina haja ya kueka vikwazo kama nyiyi mlitushinda kama mnavosema Tunataka tena kushindwa na nyie. ALLAH AMUHIFADHI SHEIKH MUHAMMAD.

  • @JumaHemed-k6u
    @JumaHemed-k6u 7 днів тому

    huyu bachu mngemuacha tu wala hajui nahajui kama hajui nahajui nimchache wakufahamu

  • @saidabdurahman7936
    @saidabdurahman7936 9 днів тому

    Kale kadada kahuni mbona hamjakatuma leo 😅😅
    Kuna jamaa huku akisikia saut yake anakapigia mwamnyet

    • @coolvoices6608
      @coolvoices6608 9 днів тому

      Yani dini mmeachiwa nyie wahuni duh tutatukanwa sana tu!

  • @mbjunior166
    @mbjunior166 8 днів тому

    Ww kijana ni RUWAIBIDWA😅 Mana hata cjui unalalamika nn mara cjui kichanga, mara viewers mara unaradd mawahabi wenzio😂😂😂

  • @yasiniali7275
    @yasiniali7275 9 днів тому +1

    makhurafi hamna lofoten huyo mwanamke hana lolote kwani alikuja kuchamba ama ama kuongea dini hana ladini lolote alilo liongea la dini

    • @omarijawadu4047
      @omarijawadu4047 8 днів тому

      Hawawezi wanataka msaada kwa mtu ambaye anahitaji msaada Subhan Allah.
      Masufu n wenda wa wazimu Siku zote.
      Maneno ya Imam Shafiy Allah amrehemu.

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 8 днів тому

    Kwan Dj Side Kizee mleteni uyo uyo alosema anataka mjadala na Bachu kisha muone

  • @OmarMuhammad-h7l
    @OmarMuhammad-h7l 9 днів тому

    Jamnii mbna hivo

  • @Khalidniya380
    @Khalidniya380 9 днів тому +1

    Nyie Masufi nendeni mkapige dufu achaneni na Bachu

  • @HajiHaji-l6w
    @HajiHaji-l6w 9 днів тому

    Ummu Aisha tenda hii. Tarumbeta halijakoma

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla 9 днів тому

    Sauti ya fitna ya ummu Aisha ikome

  • @tariksalim2659
    @tariksalim2659 8 днів тому

    Kusema kweli kilichofanyika kwa ule mjadala,Sisi watazamaji hatukuridhika kwani hatukupata kujibiwa kwamba Wanyama walitamka

  • @faharitv5763
    @faharitv5763 8 днів тому

    Kumbe mijadala ni kwa ajili ya ushindi na sio kuelimisha jamii ya kiislam

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 8 днів тому

    Wewe tetea tu kutoa roho za mbuzi na ngo'mbe.utakuja kuulizwa..Allah yupo macho..jiulize swallow Moja tu ..mtume sw..Alipo waaga waumini alisema Leo hii nimekukamilisheni dini yetu..miaka Mia 7..anakuja mtu nahii maulidi ipo ..inamaana mtume kasahau..duuuuh..bachu..tupe Nampa tuchangie.pesa uwape elimu usichoke..hata mtume hakuchoka.kuwalingania watu hata waliokuwa wanakunya..na kukojoa misikitini..sembuse kula dhuluma kulala kukopa..

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 9 днів тому

    Nyie wadada na huyo dada yenu wa unguja.. hamumuwez bachu

  • @seifmohd5357
    @seifmohd5357 8 днів тому

    Huyu nahisi anaham ya kujikojolea tena mwacheni jaman hili ni tarumbeta la kiwahabi

  • @kasimubangu1875
    @kasimubangu1875 9 днів тому

    Sasa hayo simatus hayo

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 8 днів тому

    Huyu azungumza maneno ya baraza la vigogoni, angezunumza maneno ya dini lakini aropokwa tu hajui analo sema .

  • @MbwanaHusein
    @MbwanaHusein 9 днів тому +1

    Ww ujitambuwi atakidogo

  • @Santana-vu1dn
    @Santana-vu1dn 7 днів тому

    Urudiwe mjadalaaaaaaaaaa

  • @omarmwabege
    @omarmwabege 8 днів тому

    Hawa vijana usiwajibu Sheikh Bachu ,,huku ni kutafuta kiki

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla 9 днів тому

    Ummu aisha tuliza kishundu

  • @HamzaMaalim-i6h
    @HamzaMaalim-i6h 8 днів тому

    Sai bachu hatokojoa bali atakunya kabisa aharishe

  • @jumamahmoud9271
    @jumamahmoud9271 8 днів тому

    Acha uongo usiseme sote sie wengine hatujaona chochote alicho jibu ostazi said kwasababu ili ushinde uwe umetoa majawabu yenye nguvu kwa mujibu wa sheria ya dini yani qur an na sunna na utoe hoja madhubuti.kwaio hatujaona chochote kutoka kwa ostazi said

  • @SaidMnyika-i9e
    @SaidMnyika-i9e 6 днів тому

    Kuna vitu havihitaji nguvu kabsaaa! We Muslim all, kwanini watu wasisome Qur'an na kufuata sunnah! Watu Leo hii wamekuw wakifuata jazba Na mkumbo pasina kutumia kiasi kidogo hata cha Elimu, Leo kuna baadhi ya watu wanaamua kukata ndevu zoteeeee ili tu wasifanane Na watu Fulani pasina kutambua wanamfuata Mtume, watu wanaamua kuburuza suruali ili tu wasifanane wa watu Fulani pasina kutambua Mtume kasemaje, subuhanallah,
    Atakapo kuja Imamu Al-Mahd ataulizwa wew Ni Nani!?? Jibu lake litakuwa ni moja " I am a Muslim "
    Jamani tusome tuache ushabiki

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 9 днів тому +9

    Yule mwanamke sawa sawa na nyinyi wacheza dufu wapumbavu wa kibidaa

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 9 днів тому +1

      we nae kajitoe Muhanga huko,Bachu ni Muongo hampendi kuambiwa ukweli.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 9 днів тому

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾
      HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMETOA WAPI?
      SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya
      AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث
      MAKOSA YA BACHU YALIKUA
      kwenye NAHAU, KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA
      mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾
      Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni
      makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi
      NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr 9 днів тому +3

      @@IsmailSanga sasa nyinyi wskweli toeni ushahidi wa kusema kwa wanyama na samaki mwisho mtanunua papai maulidini mtaabiwa kaleta mtume

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 9 днів тому +3

      Tenaana adabu yule mwanamke hanaaibu

    • @kabeketv
      @kabeketv 8 днів тому

      Ila anajua aiseee yule mwanamke​@@HanifaOman-oo4pl

  • @anyeresa928
    @anyeresa928 8 днів тому

    Yaani chanel zote zinazo mjibu na kumkashifu shekh muhammad na kusema anatafuta views ,,yaani zenyewe zinaviewers labda 7 wakati chanel ya sheikh muhammad ina viewers zaid ya 60k..sasa nani ndo anahangaika kutafuta viewers.

  • @ABUURAYHANITV
    @ABUURAYHANITV 8 днів тому

    Anabweka kama umekasirika nenda kashtaki

  • @omarykibunta4950
    @omarykibunta4950 9 днів тому

    Unaposema watu wote Dunia nzima tumeona dj saidi kafel acha uongo wewe kama wewe mwanaume Basi msaidie huyooo dj saidi

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 9 днів тому

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾
      HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMETOA WAPI?
      SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya
      AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث
      MAKOSA YA BACHU YALIKUA
      kwenye NAHAU, KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA
      mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾
      Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni
      makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi
      NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA

  • @AliJuma-k2t
    @AliJuma-k2t 6 днів тому

    Mpumbavu niyule aliekojowambelezawatu

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 8 днів тому

    Mnasoma maulid asli ya maulidi mnaijuaaaa 😅😅 au kazi kutumia hadithi Munkar tu mpoteze watu hakiķa ukweli ukidhihiri uongo hujitenga mleten Dj side sasa aone chake mnaogopa imewashtua kuwaambia uje mjadala eeee kisha swali lenu liwe mtu akitumia hadithi munkar huitwa ni muongo ndio muongo kwan hadith swahihi HAZIPOOOOOO

  • @aymanbuka2319
    @aymanbuka2319 5 днів тому

    Watu wa maulid nikama mashabiki wa arsenal kelele nyingi nahamuna mujualo mazuzu tu

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 2 дні тому

      Ww kweli ni mwisam au huna dini yani mahabi wote nikama wakirito sasa km unajua vizuri sii umfundishe kejeli za nn kwani huyo bachu hakushindwa kujibu maswali ya ustazi said tumeshuhudi wengi kwenye elimu swali ukiulizwa lazima lijibiwe ili watu wapate elimu ww unatukana acheni ujinga wislam ni dini ya haki wasomao maulidi acheni wa some na yy mnaokata basi acheni mungu atahakum iweje muna huku yy mmegeuke waungu watu uislim haujatudisha hivyo

  • @AlhajiMswaki-de3kb
    @AlhajiMswaki-de3kb 9 днів тому +1

    Bachu mtihan jmn anamatatizo

  • @khamishassan68
    @khamishassan68 8 днів тому +1

    Yule dada wahka na wewe ni vile vile

  • @zuberimohamed43
    @zuberimohamed43 5 днів тому

    Tatzo lao ni watu wakupanic wakiletewa hoja badala ya kujibu hoja wanatukana matusi mwenye Elimu hawi hivyo elimu huambatana na hikma mkisha kariri hivyo vijitabu vya masheikh wenu walio warithisha misimamo yenu bhas mmemaliza

  • @JamilJamil-t2u
    @JamilJamil-t2u 8 днів тому

    Bachu yupo juu hata mkimkashifu vipi, uislam sio wa watu wazushi kawaida yenu kuzusha hatushangai mkisema kajikojolea

  • @HusseynSingano
    @HusseynSingano 8 днів тому

    Hiyo bachu akatwarii kwanza lileswali lamunkari

  • @KhadijayahyaHamdu
    @KhadijayahyaHamdu 9 днів тому +1

    Huyu bachu kila sheikh anamkosoa yeye anajiona yupo sahihi kwa kila kitu mwishowake huyu atajiita yeye ndo mtume

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr 9 днів тому

      Mashakh wanasema uongo wssiabiwe mmoja alisema baba yake alijigeuza wakati anakoshwa alipofariki jiengezeni

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 8 днів тому

    Bachu alikojoa hadharani kwa hoja nzito alizopewa.

  • @MbwanaHusein
    @MbwanaHusein 9 днів тому +1

    Unapiga keleletuuu

  • @shariffomar8580
    @shariffomar8580 8 днів тому

    Wacha uzuka jahil, Wabweka bekwa wala hueleweki unacho kisema.
    Mambo muloyafanya kwenye munaqasha ilikuwa mambo ya aibu Mwamume mzima utaenda vipi kugusa mahali alipokalia mwanamume mwenzako.

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla 9 днів тому

    Kijana haya maneno ya kukojowa yanaashiria kuwa nyinyi munajihusisha na LGBTQ kwaiyo muogopeni Allah na muwe na vikomo katika maneno yenu makhurafi

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 9 днів тому +1

    Achakelele wewe huna elim mjingakweli

  • @SalimMakame-ib8yi
    @SalimMakame-ib8yi 9 днів тому

    Ww kijana wacha kelele unavohitaji ajibu nini wakati Tyr ameshajibu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 9 днів тому

      MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa,
      SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo
      Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ?
      Nakupa Highlight:
      Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO)
      Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea
      AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ.
      Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج
      Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi?
      Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza
      Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza
      BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar
      Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO
      JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ?
      swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO)
      Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith
      Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ?
      mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾
      HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMETOA WAPI?
      SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA
      Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR.
      Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث
      akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira
      na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya
      AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF
      akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako..
      SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH
      ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH??
      Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa
      ‎مصطلح الحديث
      MAKOSA YA BACHU YALIKUA
      kwenye NAHAU, KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA
      mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾
      Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni
      makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi
      NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA

    • @omarijawadu4047
      @omarijawadu4047 8 днів тому

      Said alikabwa mship wa faham bacho anapamban saan n hawa makhorafi/masufi

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 9 днів тому

    WAZUSHI ATA SIJUI AKILI ZAO ZIKO WAPI YAANI INASHANGAZA KWA NINI HAWAFUATI SUNNA NA MAMBO YAKO WAZI

  • @JumaKhamis-cw8ec
    @JumaKhamis-cw8ec 9 днів тому

    Alie taka mjadala ni dijei said kumkera bachu ndio akamwita njoo anakimbia

  • @LASSUH4947
    @LASSUH4947 9 днів тому

    Bachu hajui ata maana ya hadith ghariib 😂😂😂 ati ni hadith ngeni wacha akajifunze ajue nakaara 😂😂😂

  • @nassorjuma4851
    @nassorjuma4851 9 днів тому

    mwanaume hawezi kubishana na mwamke sw shehe

  • @yasiryusra3333
    @yasiryusra3333 7 днів тому

    Syo Choko huyu ?

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb 9 днів тому +1

    ACHA UPUUZI WEWE KIPUPWE UNAONGEA PUMBA

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 8 днів тому

      Hakuna kipupwe wala Masika
      Msaidie Bachu wako kujibu suali aliloulizwa ...
      Tuletee ittifaq wa Maulamaa wa mustwalahul hadithi waliosema kutumia hadithi munkar kuzingatiwa kuwa ni uongo .
      Twasubir jibu : ( ................... )

  • @jakuabdull34
    @jakuabdull34 8 днів тому

    Mwambie bach kama anataka mjadala wakielimu aje wangu nahisi kwa kingo chake nitakimudu bila ya shida si ni porojo tu na kutafuta viewers nitapambana nae

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 8 днів тому

    Huyu asema WA malindi kwani Tanzania kuna malindi coz hio lugha yako siyo ya malindi Kenya

  • @JamilJamil-t2u
    @JamilJamil-t2u 8 днів тому

    Yaani huyu kaamua kuongea upumbavu kujikojolea ndio kashfa mnampa huwezi ongea kistaarabu kwani yeye kaongea vibaya, mbona midahalo ya kikristu na uislam huwa mara nyingi na watu huwa walewale huu kwa nini iwe ishu kubwa

  • @الحَمْدُِلله-ص8م9ش

    huyu jamaa mbona anamipasho

  • @SalimMakame-ib8yi
    @SalimMakame-ib8yi 9 днів тому

    Kwa hili alilolifanya huyu mwanamke asiejielewa tena inaonesha Hana hifadhi ya mume na kama anayo na huyo mume ni mjinga ktk masaaili ya kudini na hayupo ndani ya ndoa basi angali uliza nini hukmu yake kwa hili alilolifanya maana sauti ni PAMBO LAKE (AL AURA)

    • @omarijawadu4047
      @omarijawadu4047 8 днів тому

      Din hawasomi hawa wala kuisoma sheria yaan wao n dufu tu n kula hawawezi kusimamia sheria ya Allah.
      Kuwa sunniy ni jambo la kumshukuru Allah saana.

  • @IbraahJuma-dl2rd
    @IbraahJuma-dl2rd 8 днів тому

    Huyu kakurupuka daaaah .

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis 9 днів тому

    Engekunya kabisaaa

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 9 днів тому

    Hivi nyie wakatika nyonga mnaongeatu hamfikilii kuwa kunahukumu. Kweri madufu watuwanarukwa naakiri. Mwanaume tantalilaa anaupepeta mdomo. Intakillah. Kijana

  • @ABUURAYHANITV
    @ABUURAYHANITV 8 днів тому

    Dini haina ushindi ww acha kuvuruga watu ww

  • @MgazaMhina
    @MgazaMhina 9 днів тому

    Basi kama shekhe Said siye saizi yake mtafutieni saizi yake

  • @seifsaid9905
    @seifsaid9905 9 днів тому

    KWR HILI LINAIIMBA TAARABU ZA KENYE YAAN HATA ALIKUONA KIELIMU NAN KASHINDWA DAAH KWER DJ NI DJ TU