Kiukweli kwaya za kikatoliki hutachoka kusikiliza nyimbo zake zimejaa unyenyekevu mwingi na wema nyingi. Mungu atubariki sanawakatoliki najivunia ukatoliki wangu
Hakika Moyo wake Mtukufu usiochoka!! Good job @#FortuneShimanyi I love your great compositions and creativity! Mungu azidi kukubariki katika utume huu wa uinjilishaji kupitia nyimbo. Wapi LIKES kwa Mtunzi wetu Fortune Shimanyi #CGen #CGen
Hakika Mungu hachoki nasi, licha ya udhaifu wetu kama wanadamu. Ahsanteni sana kwa wimbo huu, umenigusa sana. Much love from Kenya na Mungu azidi kuwabariki.
Asante wanamuziki🙏. Wimbo unanipa nguvu ya kuendelea kumtumaini yeye ambaye hatachoka kunisaidia wakati wowote, kweli ni Mungu mwaminifu❤️... Mungu azidi kuwabariki🙏
Am in love with all C- gen pro songs the choirs and the artists of the songs keep up the good work and may the good Lord continue blessing you as you evangelise the word through songs
Waoooh wimbo mzuriiii sanaa hongera sana brother shimanyi na wanakwaya pia... Kazi Yako ni nzuri mbinguni malaika wanakufurahia naamini👏 Mungu aendelee kukutunza uendelee kumtungia nyimbo nyingi watu waziimbe wakimsifu Mungu✌️🙏🙏
😊😊😊 natamani wimbo huu lakini hata nikiupata kwaya yangu hawawezi kuimba hivo ningeweza kuimba kama naweza kupata mwalimu wa kufundisha hisia Toka hapo
Kiukweli kwaya za kikatoliki hutachoka kusikiliza nyimbo zake zimejaa unyenyekevu mwingi na wema nyingi. Mungu atubariki sanawakatoliki najivunia ukatoliki wangu
Naamin mungu anatubariki kupitia nyimbo zetu
Hakika Moyo wake Mtukufu usiochoka!!
Good job @#FortuneShimanyi
I love your great compositions and creativity! Mungu azidi kukubariki katika utume huu wa uinjilishaji kupitia nyimbo.
Wapi LIKES kwa Mtunzi wetu Fortune Shimanyi #CGen #CGen
Nyimbo zina ujumbe mzuri sana ila pia na sie waimbaji inabidi tubadilike tuendane na kile tunachokiimba,
Ahsanten sana kwa wimbo mzr , nmeupenda sana
Hakika Mungu hachoki nasi, licha ya udhaifu wetu kama wanadamu.
Ahsanteni sana kwa wimbo huu, umenigusa sana. Much love from Kenya na Mungu azidi kuwabariki.
Our Catholic music is always on top,kazi nzuri Sana Mwalimu Shimanyi,
Mungu awazididishie nguvuzaidi katika uinjilishaji nauvumilivu katikautume
Mwenyezi Mungu awabariki sana kwa ujumbe huu unaotia Moyo. Hakika Moyo wake pekee usiochoka 😇😇💞💞💞
Hongereni sana wana haneti kwa wimbo mzuri
Imenibariki sana❤ by costancia mitti
Mungu awabatiki Sana wanakwaya
Hakika Mungu hutu nyoshea mkono na moyo wake usio choka , Barikiweni kwa wimbo nzuri wa kumsifu Bwana.
Haya haya haya niko hapa wa kwanza kabisa! Kitu kinapakuliwa nikitazama live!
Wapili
Wa tatu!!
We Shimba mi sikuwezi kabisa
Hongera sana CGen na wanakwaya wa Mt. Karoli Lwanga na mtunzi wa wimbo Kaka Shimanyi 🎼🎶🎵📷👏👏👏🤝🙏✅
Amina tubarikiwe sote
Wimbo mzur Sana tena Sana ila mfup
Hongereni 👏👏👏...nice song ❤
Kwaya yangu Bora kuwahi kuishudia kutoka kwa majirani zetu Kenya 🇰🇪 much love from Songea Tz🇹🇿
Utunzi wake Shimanyi mkono wake fausto kazi
Kabisa kabisa
Wow shimanyi u never disappoint karibu Kenya
Ni baraka ❤❤❤❤
Asante🙏 wana wa Mungu nimewapenda bure hakika Moyo wake haujawahi choka kwetu sisi watoto wake pale tumuombapo
Barikiwa
Nyimbo Nzuri💯💯
mwalimu Shimanyi jameni kipaji chako chatubariki milele..wimbo mtamu ajabu
Hongereni sana kwa wimbo mzuri
Hongerani sana kwa ujumbe mzuri ❤
Hongereni Sana Wana Mtakatifu Carol Wanga. Wimbo mzuri Sana. Mungu awabariki Sana. Sister Fokas. From Lushoto. Tanga
Nyimbo nzuri sana God bless you
Hongera sana Shimanyi kwa wmbo mzuri na waimbaji mmeutendea haki,congratulation to yu CGen pro🙏
Barikiwa sana
This has been my favorite song, for one year, it's indeed a blessing.
Kweli huo wimbo ni wa kumpa mtu moyo
Kale kasetting nywiu nywiu huwa kanapatikana kwenye nyimbo zinazotaja moyo!!!😀😀😀
Ha ha ha umeanza sasa
Nice song indeed
keep it up boss Shimanyi. We are growing
Amen
Woooow kiongoooos bwanza shimanyi kazi saaafi
Amina barikiwa sana
Nitauimba wimbo huu siku zote ningali hai.Hongereni
My 2024 Song Thanks Shimayi
Waooh yaani gift iko Tanzania ni unique mbarikiwe saana
Amen barikiwa nawe
Congratulations. God bless bless you . Much love from Nairobi
Duh hongereni sanawanangu, hata siamini, Mungu ni mwema
Amini kuanzia sasa
Moyo wake usiochoka....unatoa bila hesabu umeniweka....great!
Hongereni wimbo mzuri umenitia nguvu yakuendelea kumuamini Mungu kwakila jambo
Amina
Asante wanamuziki🙏. Wimbo unanipa nguvu ya kuendelea kumtumaini yeye ambaye hatachoka kunisaidia wakati wowote, kweli ni Mungu mwaminifu❤️... Mungu azidi kuwabariki🙏
Zidi kubarikiwa
Am in love with all C- gen pro songs the choirs and the artists of the songs keep up the good work and may the good Lord continue blessing you as you evangelise the word through songs
God is great
All singers God loves them 🙏🙏
A nice song indeed with a good message very encouraging.. Asanteni kwa kazi yenu nzuri hongereni sana.
Asanteni nimebariwa kwa wimbo huu
Feeling blessed through your song 🙏🙏 am speechless 👏👏
Hongereni sana kazi nzuri sana mbarikiwe
Amina
Hongereni sana kwaya! Wimbo mzuri, sauti nzuri, ujumbe mzuri, melody nzuri sana!
Shimanyi, big up bro!
Thank you brother
Wimbo mzuri Sana🙌🙌🙌 @ shimanyi fm
Asante sana kaka
Asante kwa nyimbo nzuri🙏🙏🙏🙏
Mko vzr Sana mungu awaongoze katika Iman yenu
Mungu ni mwema
Hongereni sana, hakika wimbo mzuri sana Mungu awabariki sana
Amina sana
So touching... thanks...naweza bata SKIZA TUNE... KINDLY
Ni Mungu tu asiyechoka🙏🙏🙏🙏
Hakika
Waoooh wimbo mzuriiii sanaa hongera sana brother shimanyi na wanakwaya pia... Kazi Yako ni nzuri mbinguni malaika wanakufurahia naamini👏 Mungu aendelee kukutunza uendelee kumtungia nyimbo nyingi watu waziimbe wakimsifu Mungu✌️🙏🙏
Amina kubwaaa
Kazi iliyotukuka hongereni sana pongezi za pekee kwa mtunzi wetu Shimanyi kazi Bora sana hii
Barikiwa sana
Wimbo wamuzuli saana
Hakika unainjilisha vilivyo!Mungu azidi kukuangazia.
Kazi iliyotukuka
A composer of my time.
Be blessed Judy
Hongereni sana Wana haneti Kwa wimbo mzuri... Mungu atukuzwe daima
Amazing song 🎵♥
Very powerful message... Excellent work....
Thank you
makin sana
Wimbo mzuri wa mafunzo ni Mungu hutubariki
Amina sana
Hongera sana Mwl. Shimanyi. Utunzi mzuri sana ubarikiwe
Amina sana
Safi🎉
Mambo vp
😊😊😊 natamani wimbo huu lakini hata nikiupata kwaya yangu hawawezi kuimba hivo ningeweza kuimba kama naweza kupata mwalimu wa kufundisha hisia Toka hapo
Congratulations Shimanyi
Kweli kabisa ni Mungu asiyechoka ndo maana naendelea kumtumainia,Hongereni sana kazi nzurii sanaa
Amina
Hongereni👏
Amina
Barikiwa
Hongereni kwa uinjilishaji
Amina
Hongereni
Kazi safi
Asante kaka
Hongereni kwa wiimbaji mzuri,🙏🙏🙏🙏🙏
Amina
Ewaaaa asante sana mtunzi waimbaji na wote mlihusika kwenye hii kazi nzuri na bora Mungu awabariki
Barikiwa sana kaka
Congratulation wanakwaya wa haneti hakika mungu yupo nanyi🔥🔥🙏🙏💯
Amen
Hongereni sana
Barikiwa
Nice🎉🎉
👏👏👏 safi Engineer
Oooh barikiwa sana kaka
Ukweli mtupu
Nice job
Fantastic 👏👏👏
Thank you the blessed song, am proud of it 🙏🙏💗
Stay blessed
Kazi safi director shimanyi💯💥
Amen
Mtunzi alifanya kazi yake vema na waimbaji wakafanya kazi yao vema pia, nice song, nice content and everything, barikiwe nyote kwa uinjilishaji.
Barikiwa kaka
Kazi safii🔥Bwana Shimanyi
Amina
Nice song 6.
Thank you
Amina!
I SOOOOO BLESSED
Kazi nzuri🔥
Hongera Sana Cgen kwa kazi nzuri na yenye kutafakarisha Tunabarikiwa Sana . Mwenyezi Mungu azidi kukuinua zaidi
Aminaaaa
I'm blessed. Thank you for this masterpiece 💜
Be blessed
@@cgenpro175muvi
Sooo encouraging... I'm so Blessed 🙏🙏🙏
This is more than creative.
Hongera sana
Stay blessed kabisa
🔥🔥🔥🔥
We jamaa ni another level 🙌🙏
Mungu ni mwema
CGen you are doing great work!!
God is good for sure