#🔴LIVE;KUTOKA ISMAILIA MISIRI KOCHA FADLU DAVIDS APANGAWA NA UWEZO WA KRAMO /MUKWALA AJARUDI NYUMA
Вставка
- Опубліковано 9 лип 2024
- #usajilimpyawasimba #usajilimpyayanga #yanga#simba#sportsarena #sportsextra #crownsports#kramo#aubinkramo#mukwala
- Розваги
Kramo,ni jitu,mpanzu bado mdogo,kwakua mwenyewe anaitaka Simba,atakuna tu hata kama sio msimu huu
Mungu ibariki ssc
Kramo safi
Mimi Dan Alex nasapoti kramo akiwemo simba
MO tunaomba Kramo apewe miaka 2 bila shaka, Onana ampeni nguo zake asafiri
Kramo yupo vzuri sana
Itakuwa vzr Kama taarifa itakuwa na ukweli ndani yake
Kramo abaki wew
Kramo atakua 1 mtaona wanasimba
Simba pia tunafeli kwenye makocha wa viungo
Ni mchezaj mzuri lakn kumbuken kakaaa mwaka mzima njee alaf kuhusu kufanya mazoez kama wanabyomuonesha hvy Ni uongo tu
Karmo ni mzur kuliko eote hpo
Bongo njaa Kali waongoooooo wakubwa sana
Onana asepekramo abaki😅😅😅
Boli litembee mwizi usimpigie mayowe mkimbinze kimiyakiya
namtaka kramo mm naitwa nikorasi
Matola ni kocha Matola hachezi mpira anafundisha mpira kwani mwalimu anapofundisha darasani wanafunzi wote wanamuelewa?
Tunahitaji vitendo, na sio sifa za majina ya wachezaji
Klamo asiondoke bonge la mchezaji
Kramo anatusha Simba nguvu1
Ni vzr abak kramo simba Yuko xafi xana
Onana ahondoke na Matora
Hapooo wa kumtoaa ni onanaa bhanaaa arokeeee huyoooooo
Kramo mchezaji mzuri Sana tena sana 11:50
Matora ametuchosha na rushwa
Acha fitina, Matola pia ni mshabiki number 1 wa simba
Iyo video ya cramo mboni sijaiona hta kwenye kikosi apo hatumuoni nyie munaangalia wapi munaponuona kramo
Atoke onana kramo abaki awe nampazu ataondoa ufarume wa azizi na chama
Kiramo nimtu na nusu anakuja kutufulaisha wana simba
Kramo mwenywe hajaenda
Media zingne ni mikundu tuu
Klamo ni bora kuliko ona!
Kramo abakie
Clamo abaki bhana
Aubin kram nibonge lamchezaj wampe miaka 2
Tuachieni kramo tumuone mabosi wetu wa simba kramo mtu na nusu afu memletea mafundi wenzake bala
Karm abk jmn
Kramo asiondoke aondoke onana tafaadhari sana Simba NGUVU moja
Karmo bado tunamuhitaji sana atatusaidia
Nyie waongo mbona tp mazembo wamempeleka Baleke yanga kwa mkopo?
Binafsi nimefurahi qram ABAKI bana
Mimi nina iman na simba yangu mugu awape baraka
Wafanye kazi
Mmeanza huongo kocha amemuona saa ngapi?
Hivi simba huyo mshauri wao Nani Yan umuache mchezaji mzuri kama klamo
Acheni uongo wa kipuuzi taarifa za uongo uongo atutaki kama amn content acheni kubwabwaja maneno
Kramo ni mtu kuntu
Kramo tumuone sasa wasimutoe
Choko ngoja nikuunfollow kabsaa kocha hata ajafka unaongea nn choko ww
Onana andoke karmo abaki
MO amesajiri ila shida ni Matora ni tanitzo
Uyu jamaa kilusi pale simba
Tatizo lake nn ?
@@user-gn6zz3bq4n Kila Kocha akija anafukuzwa yeye anabakia Xaxa nikipi kinacho fanya yeye abaki wezake wafukuzwe. Asituletee makundi ya wachezaji pale
Kwani wewe ni wakala wa kramo au ninyi ndio vijana wa hovyo mnaodhalilisha wasomi kwa kukosa weredi wa kazi zenu.
Acheni uongo nyinyi
Crip gani inasambaa ya kramo acheni uongo uongo
Wajinga Sana nyie,kocha na kramo Wala hawapo bado huko.mnatafutwa kutukanwa
Kramo abaki jmn ni mwamba kweli kweli kama Elie mpanzu imeshindikana kusajiliwa
Acha uongo. Kocha leo ndiyo anaenda Misri hajamuona mazoezini. Lakini wewe umeshaanza uongo wa kipumbavu.
Kramo safi
Mo kashikwa na Matola wakati Matola jipu
Tunaomba klamo abaki siba maana uwezowake nimkubwa