Simba walipaswa kuwa naye kichuya hata km kiwango chake kimeshuka kwani bado umri unamruhusu.Hy ni damu ya Simba,na ndio mana sichoki kuiangalia hii mechi
Viongoz wa Simba huwa wana kiburi ssna. Lufunga hakuwa na hadhi hata ya kukaa benchi Simba. Binafs nlishukuru sana alivoondoka na nafas yake kuchukuliwa na Salim Mbonde
Yes, I ❤ simba kwa sababu ndio team pekee yenye mafanikio.
HII KITU INANIFANYAGA NIMKUBALI KICHUYAAAA POPOTE ALIPO MPKA LEO HIII🙌🙌🙌 ameacha alama kwenye maisha ya wana simba🙌🙌🙌💯💯
ambao umaiangalia hii had mwaka huu 2024 gonga likes
Pp
Ubaya ubwela 🔥🔥🦁
Tar 10/09/2024
Pamoja
Daaah Simba Yetu..Naipenda hii Club ♥
Still watching July/2024❤❤❤
kweri simba tumetokanayo mbali sana Mungu ibariki simba yetu
Simba baba laoooo
I love ❤ simba🦁🦁🦁
simba ndio timu bora barani africa naipenda sana simba❤❤
Tunaonrudia Leo 2024 mwezi WA 7 th 26 tujuane❤❤❤❤❤❤
Yan inauma hiyo
Nailundia Mal kwa mal
😂unaniuma kwel
Naipenda simba kuzindua na mme wangu
Mamb
Alieskia Sauti ya Salim Kikeke Kama mimi like plz
Sio kikeke ni baruani muhuza
Mnyamaaa 4rever 🦁🎉
Simba nguvu moja naangalia leo tar 16.11.2024
Kichua bonge la mchezaji naanaipenda sana simba
Dah Mo Ibrahim
Yaani kwenye kuuzaja uwanja tu Simba tupo vzr toka zamani
Simba ilikuwa na wazawa mult talented players
hii mechi kiukwel huwaga nailudiaga Hadi mwili unanisisimkaga aise ❤💪💪
2024 naiangalia SIMBA yangu huku mwili unanisisimka🥰🥰
Kweli kabisa kichuya arudi simba
Daah simba tulitoka nayo mbali❤❤❤❤❤❤❤
Utopolo fc waliyatimba wallah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sanaaaa
Nitakufa na Simba yangu hatatungwe 1000
Ubaya ubwelaa sis tunapiga mtu tukiwa pungufu sio sia tupigwe tukiwa pungufu huo ndo wanaume❤❤❤❤❤
I love you simba ❤❤❤
Ambao leo mnaangalia hii 19/2/2024 tujuane mapema.
Tupo🎉🎉🎉
08/3/2024
🎉
Simba walipaswa kuwa naye kichuya hata km kiwango chake kimeshuka kwani bado umri unamruhusu.Hy ni damu ya Simba,na ndio mana sichoki kuiangalia hii mechi
Hapana kiwango kikishuka basi apewe jukumu lingine lkn siyo kubwa.mchezaji
Hat mm nailundia hadi naogop
Kwa NN huwa tuna wakiwa kuwafunga yanga wachawi au VP mbona mupika unalenga lango halafu hauingii kwenye nyavu
Jamani shiza alikua mtu😘🥳🦁
Tunae iangalia ihii gem 15 .3 .2024 tujuane
Tar 22/3/2024
Tupo
G
26.7.2024
Kichuyaaaaaa mnyama sana 2024. Nipo nachek marudio November 22
Ubaya ubwela ❤❤❤❤ mwaka huu makombe ni yetuu umu 2
Simba wa nyika ❤
Mm mpaka sasa ni mchezaji mzuri sana ujinga tu wa viongozi wa simba
yanga Hana historiya ya kumfunga Simba akiwa pungufu. hakika hii ni record ya kipekee kwa hao Simba..
Hiyo siku naikumbka sanaa katika family yangu tupo watoto4 ukijumulisha nawazazi watu6 pekeangu ni simba hiyo siku nilinyimwa chakula😅😅😅😅😢
Hahahahaha pole sana
Kwanini
😂
@@obedwilson nilikela watu kwa frahaa sometimes frahaa yako kikwazo kwa wengine
Hahahahaha 😀 😀 😀 nakubari
Well done lion
😂😂😂 na wew upo hapa muda huu😂😂🙌🙌
Wakumbushe baba utopolo wepesi wa kusahau
Nice moment by kichuya
yanga kwa simba ni wadogo sana basi tu ni timu ya waswahili hawaishiwi maneno
huwezi amini hiyo siku ndio nilinza kuishangilia simba mpaka kesho simba sihami
Hakika kichuya nitaendelea kumpenda naiomba simba impatient heshima ya uongozi pale atakapo staafu
66😅
❤
Naitw Edgar Toka mwanza Simba dam
Wana simbaaaaa
❤😅n ilifurahi sana
Kochuya ana nafasi yake ndani ya mashabiki wa Simba😂😂😂
Mnaoangalia hiii kitu tar 10,7,2025 tujuane😂😂😂😂
Ilikua tam sana🦁💪
Alf hapo tulikua tunavijana wengi kuliko hao vyura na wazee wao
Hakuna kama simba🎉❤🥴👹
Leo 21/09/2024 Gonga like hapa
Simba nguvu moja trh 26/01/2025
Utopolo walishasau tuvyowagonga tukiwa pungufu
KichuyaBado anaitajika simba
Mnyama mkali sana
Simba moto
Daaaha😢😢 Simba yetuuu wewe
huu game iliniuma fast 1 half but second half nilifurahia sana
Hatareeeee popote ulipo mwanang andrewizzy makubi unaikumbuk sku hii
Mimi ni simba damu
Iko good vibes za kutosha Daaah
Hii game ilikua Kali sana kupindua meza kibabe
Tunao angalia mwez wa 10 tujuane 2024
Tupo
Goooal
Wale WA 2025 tujuane apa
uhakika bro
Tupo❤❤❤
Daah inasisimua
TBT la kibabeee🎉
Kipindi hiko simba ni nguvu moja sio hii leo wamejaa wanafiki pale mnapanga hili kesho mapema lishafika jangwani
Sana tena
Yani msim huo mpira ulikuwa mtamu jamani❤❤❤❤
Hiii ilikuwa noma
kichuya noma xana
Hiii Mechi ilikuwa Taaam
Hii mchi simba walipeleka moto wamana
Mo Ibrahim Mo, kipaji
Hii lini.
ubaya ubwela mundu boy dam ya Mara napenda Sana Simba
Daah mbal san nakmbuka kichuya mwamba kwel kwel
BAE GTCO MEDIA 🇹🇿
Hi ilikuwa jumamosi tarehe 17 mwez february 2017..💪
Simba sasa inapaswa kurudi
Jaman kichuy Mmmhhh
♥️♥️♥️♥️♥️🦁🦁🦁♥️♥️♥️🔥🔥
Maana yasanda iliyopo jezi ya simba
Leo siyo pungufu watataga
Mechi ilikuwaga safi sana
Wehu Hao na wasbili trh 8
Mtasema Sana yanga n baba len
Baba wa mavi lbda syo kwa simba mmeshidwa kumfunga mtu yuko pungufu hmn timu nyiy muwe na nizamu na simba
Nipo hapa
simba hii ipo wap jamn
Wape salam utopolo
Hapo kabla hawajaijua pesa
Wasema tu
Nomaaa
mmH au bas
Hii penati ilkw ya mchongo ila Mungu akalipa palepale uwanjani,malipo ni duniani
Tupo wengii kaka
Simba
Viongoz wa Simba huwa wana kiburi ssna.
Lufunga hakuwa na hadhi hata ya kukaa benchi Simba. Binafs nlishukuru sana alivoondoka na nafas yake kuchukuliwa na Salim Mbonde
Good
duuh naumia xana kwa simba hii duuuh
Je wananga wanakumbuka hii?
Wanajizama data