Allah atwepushie wabawa wetu na vyiumbe vyia kutuathiri Allah atukinge navyio kweli ni mtihani wapata maisha kila kitu hakipo sawa hadi wajiuliza maswali bila majibu Allah atusaidie na tupate hekma sheikh Maisha marefu yenye kheri nakutakia Allah abariki dunia yako na akhera Yako nasi waumini pia🙏
Mafanikio ya akhera ya mtu pia mwanzo wake ni Duniani waeza Kuwa na Mali na ukitumia vibaya Bado akhera yako itakuwa chungu na waeza Kuwa maskini kwa kutaka kwako ukikosa kumwomba Allah aondoshe ughumu na Bado akhera yako ikawa ngumu na unaeza Kuwa na hasad bila yakujua na ukifanya anavyio sema sheikh unanusurika poa Mali Kuwa nayo ni utumie kwa njia nzuri maana Allah atahesabu kila sent ulitumia kwa njia gani natumai umeelewa umaskini kila mtu hapendi ni Maisha naghumu sana
Huwezi kuipata akhera kabla ya kuipata dunia. Piga picha juu ya mtu aliye jenga msikiti, au anayefuturisha mwezi wa Ramadhani. Kadhalika piga picha juu ya mtu aliyeenda hijja na anawapeleka wenzake hijja.
@zahraabdul9652 unajua huu upumbavu wa hawa masheikh mie nashindwa hata kuelewa dini wanatafsiri vipi, uislam haufahamiki wanasilimu wanakosa wakuwaunga mkono waijue dini chakushangaza haya masheikh yamekalia kuwakalilisha watu nguvu nyingi ktk kutafuta dunia tu yaaani mambo ya kipumbavu pumbavu ndio wanashighulikia ujinga ujinga tu wallahi

Mie mkristo ila napenda sana mafundisho yenu waislamu, TabarakAllah sheikh +254 nakufatilia
Mashaallah Allah akufanyie wepes upate utambuzi wa dini ya haki
Mashaallah… ALLAH kareem
Jazakhallahu Khayr sheikh
Ulikua mpango wa Allah, sheikh,maa,aswaba min musuibat ila idhni Allah
🙏🙏🙏
Mbna dr sule anasema ela za majini halali
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh sheikh utajuwaje kama umehusudiwa watu zaidi ya mumoja itakuwa je
Skiza hapo kwa dadika name kwa umakini utaelewa swali lako jibu liko ndani ya maelezo anayo towa
Shekhe umefika marui karibu tena kwa dawa
Sheick mimi nimepima kujifanyia tiba ya hasadi na kijikyo imeshindikana nanime jaribu kuwasiliana na wewe bimeshindikana nifanyeeje?
IMANI PIA INAMATA SANA WEKA IMANI KWA MUNGU THEN TRY AGAIN EVEN SEVEN TIMES
Kwani sheikh mafanikio ni kuwa na dunia?
Mafanikio ya akhera ya mtu pia mwanzo wake ni Duniani waeza Kuwa na Mali na ukitumia vibaya Bado akhera yako itakuwa chungu na waeza Kuwa maskini kwa kutaka kwako ukikosa kumwomba Allah aondoshe ughumu na Bado akhera yako ikawa ngumu na unaeza Kuwa na hasad bila yakujua na ukifanya anavyio sema sheikh unanusurika poa Mali Kuwa nayo ni utumie kwa njia nzuri maana Allah atahesabu kila sent ulitumia kwa njia gani natumai umeelewa umaskini kila mtu hapendi ni Maisha naghumu sana
Huwezi kuipata akhera kabla ya kuipata dunia. Piga picha juu ya mtu aliye jenga msikiti, au anayefuturisha mwezi wa Ramadhani. Kadhalika piga picha juu ya mtu aliyeenda hijja na anawapeleka wenzake hijja.
@jamalkishangu huna akili
@selemankishema5780 muombee