KUMBE INAWEZEKANA MTU AKAPITIA MATATIZO MENGI NA BADO AKAISHIA KUFANIKIWA? | ASKOFU GWAJIMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024
  • Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
    Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

КОМЕНТАРІ • 40

  • @mariamsylvestar9249
    @mariamsylvestar9249 2 дні тому

    Hata nizunguke makanisa elfu na elfu kwangu wewe bishop Gwajima utabaki kuwa baba wa kiroho kwangu daima na nakupenda sana baba.

  • @njeyaduniatv
    @njeyaduniatv 5 місяців тому +4

    ITOSHE KUSEMA GWAJIMA YUKO NA AKILI SANA.

  • @TitusKasonga
    @TitusKasonga 5 місяців тому +2

    Nimepokea, nakuombea kwa BWANA, Mungu wa mbinguni uzidi kuwa hodari katika BWANA na katika uweza wake katika jina la Yesu Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.

  • @SarahBukuku
    @SarahBukuku Місяць тому

    Asante MUNGU kwa ujumbe huu ndo maana ndugu zangu wa kuzaliwa pamoja wana vita sana nami mpaka kwenye uzao wa tumbo langu kumbe hatima niliyopewa na BWANA inawakwachuwa.

  • @claudinemushimiyimana1804
    @claudinemushimiyimana1804 5 місяців тому +1

    Nikweli Baba watuwengi wanasubiria anguko la wengine ila yaliyo andikwa kwangu yatafika . Amen

  • @lenovatusquadrat7506
    @lenovatusquadrat7506 5 місяців тому

    hakika baba kila ulichosema ni majibu yangu ya hatima , nimeandikwa chuoni mwa Bwana, na imekuwa kama nilivyoandikiwa. hakika Mungu anamtumia bishop Gwajima kusema na watu wake

  • @rumariletimba7585
    @rumariletimba7585 4 місяці тому

    Amen

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 4 місяці тому

    Nakuelewa Sanaa mpaka Bass nitakuwa kama nilivyopangiwa kuwa wala hakuna cha kunizuia

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 5 місяців тому +1

    Asante Bishop kwa neno lenye hekima ya hali ya juu. 👏🏽👏🏽🔥🔥

  • @rehemangereko
    @rehemangereko 2 місяці тому

    Amen baba mungu akubalki kwaneno zuri

  • @DorcasChege-p7t
    @DorcasChege-p7t 2 місяці тому

    Mimi niyule, niliadikiwa kuwa in Jesus name. UTUKUFU.

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 5 місяців тому +2

    Preach man of GOD ❤️ 🙌 ❤❤❤

  • @essaukapufi424
    @essaukapufi424 24 дні тому

    Kweli,

  • @SarahBukuku
    @SarahBukuku Місяць тому

    MUNGU amekutumia mtumishi kk unipa ujumbe huu ni vita visivyo vya kawaida hadi ndugu wa baba mmoja na mama wa mmoja

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 5 місяців тому +1

    AMINA KUBWA

  • @kenko1336
    @kenko1336 5 місяців тому +1

    Praise God Bishop i can’t understand your language i’m lannie iwasa remember me here in Japan i’m waiting for you Amen

  • @JoyceNowara
    @JoyceNowara 5 місяців тому

    Kweli kabisa Dad

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 5 місяців тому

    ndiyo

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 5 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @-lameckvitalis
    @-lameckvitalis 5 місяців тому

    🎉🎉🎉

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 5 місяців тому +2

    Ila siyo Wote Mtumishi Josephati

    • @TitusKasonga
      @TitusKasonga 5 місяців тому

      Kama kuna jambo haujalielewa uniulize nami nitakusaidia fafanuzi.
      Mimi nimemuelewa vizuri.

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 5 місяців тому

    Wengi wao inakuwaga hivo

  • @kayumbasosthenes3596
    @kayumbasosthenes3596 5 місяців тому

    Ktk ila utakuwa umeandikiwa baba ulitaka kupiga kingereza

  • @KelvinElias-li6nu
    @KelvinElias-li6nu 5 місяців тому +3

    Wewe gwajima mbona unainjili ya kuigiza mbona unafanya mzaha na Sana wewe.eleweka acheni unafiki mtumikieni Mungu kwa moyo wa kweli

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 5 місяців тому +3

      Yaani pepo amekuvamia nahubiri yote anayohubiri askofu gwajima unaona hayafai nyie gwajima ukimsikiliza.kuna.mabadiliko unapata kimwili na kiloho wewe pepo amekuvaa.unasemaje da

    • @gracenyangusi6230
      @gracenyangusi6230 5 місяців тому

      Kila mtu yuko huru kufanya anachopenda

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 5 місяців тому

      Shindwa wewe RUDI NYUMA SHETANI WEWE

    • @gracenyangusi6230
      @gracenyangusi6230 5 місяців тому

      Fanya lakwako ulilotumwa na mungu wako acha kulazimisha watu wafanye unayowaza. Sio Mungu wewe

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 5 місяців тому

      @@gracenyangusi6230 Mungu kawapa watu mamlaka ya kusema wakisema Mungu amesema ila kwao.waaminio msalaba ni nguvu wasioamini ni upuuzi ndo unakuta unawazarau wakina gwajima wakati biblia inawasifu kuwa Wana miguu mizuri wakina gwajima

  • @OnesmoCagubeNawadimba
    @OnesmoCagubeNawadimba 5 місяців тому +1

    AMEN

  • @EmayNgayda-in9gx
    @EmayNgayda-in9gx 5 місяців тому +1

    Amen

  • @harrywarren61
    @harrywarren61 4 місяці тому

    Amen