Yaani nimefurahi sana kumuona mama yangu Rose Muhando kulejea tena katika tasnia ya Gosple hits akika kama mungu anakuitaji akutumie atakutumia maradufu na atakukinga na mabaya
Hizi ni Aina ya nyimbo zenye jumbe zilizosahauliwa na waimbaji wengi miaka hii. Waimbaji wengi wa kizazi kipya hawataki kumtaja Yesu kwa ujasiri kama hivi...ni vyepesi kwao kusema mungu lkn kumtaja Yesu ni kama wanaogopaogopa vile. Hongera sana dada Rose na mwenzako kwa wimbo nzuri. I love you.
Maman que Dieu te protège est te bénisse nous en RDC malgré nous écoutons suhaili difficilment mais l'essentiel est que la parole de Dieu est prêché au travers tes chansons que Dieu t'inspire encore est Encore.
Glory glory glory if you're watching likes KWA wingi surely rose HAKUNA njia ya mkato Bila kuja KWA YESU,Mimi hutamani Sana kumuona mama yetu rose nimpate wapi plizzz she's an amazing lady
God is alpha and Omega, mwanzo na mwisho. sister Rose you are a hero, despite of what you went through are still shining in the lord.............. just go for it and you will be rewarded abundantly
Nafeel kama ni machozi kwa maana nikiangalia Rose sai na Rose wa kitambo hawafanani kabisa...yaani amebadilika sana jamani shetani huyu.maombi wadau wangu kwa Rose...acha shetani ajue Rose hajamaliza safari ya kuhubiri neno la bwana.kazi nzuri
I can’t count how many times I’ve watched this 👆🏼👆🏼👆🏼👆🏼song...... Rose kipawa ulipewa jamani.....mungu akakuinue tena..... nakupenda tu bureeee. purity 🙏🏻.
Glory to God. There's no short cut to heaven without Jesus. Who else is watching in USA . We love you Rose may God bless you're ministry and increase it.🙏
Waliofurahi kumsikia mama yetu rose yupo hospitali na kusambaza forojo eti rose alifariki,,, y'all enemies should know mungu hawezi kumwacha mcha wake kamwe ,,,,our prayers and wishes was to see you fine mama we love you welcome back..... If you're happy too and you look rose give me a like😍😍
Eti hamia kenya kwani akikaa Tanzania injili haiwafikii acheni unafiki na ubinafsi kwenye mambo ya kiroho ...kikubwa tumshukuru Mungu anaendelea vyema kuitangaza injili
Only after i see you and cry on your shoulders rose, will i be able to live happily... My prayers for you and your health, God answered me for the love i have for you. Jesus will testify that before our father in heaven. .
Alicho kipanda Mungu hakuna awezae kukiuwaa....kitainuka tena na tena in Jesus Name...Sifa kwa Yesu Kristo milele...Dada Rose wasamehe wote in Jesus Name..vita sio vyako ni vya Bwana Mungu wetu..Achia Yeye yote..wewe fata kazi yako yauimbaji....Na Mungu azidi kukubariki in Jesus Name
Puriti kalisa..mwanangu..yannnini HAYO mauno unayokatika kama discoo...BIBLIA INASEMA matendo4:22..mbingu ni ya machoziii... jaribu KUANGALIA waimbaji wazamani waliimba NYIMBO ambazo zona mguso we KIMUNGU..Leo hui washabiki wenu wengi no wahuni...NDIO maana kukutumia comment kama hii angalia wahuni wanavyoipinga..
Rose huna mchungajii mwanangu wewe.MBONA ulitakiwa kuketi chini na kutubu kwa mda ili upate kutenga unachokiishi??AU wachungaji NDIO mnaangalia umaarufu? ?jamanii MUNGU ANATUONA WAPENDWA.
Yesu ni bwana ahokoa waliopotea kwanjia zisizo eleweka ukimwani ni yeye pekee hata wakuje vipi watashindwa na mipango ya Mungu itabaki kuwa hivyo milele na milele marafiki wa mama Rose Muhando tusahau yalio pita tusikize Nyimbo Mpya ambazo ziko na ujumbe kama huu vitabu vitavunguliwa na majina yatasowa...
Kali ya mwaka.. Wapi likes za Rose Muhando Twende kazi 👍👍
weweeeeeeeeeeeeeeeeee
Moto ya zambee 🔥
Nice kaza mwendo
My favorite musician I love her passion in misik kip it up siz
She's simply the best
Nakubali kabisa
Hapo sawa purity
Wow praise God mum rose lovely hit sister ,hakuna mkato,vitabu vitafunguliwa wapi likes za mum from Kenya
Yaani nimefurahi sana kumuona mama yangu Rose Muhando kulejea tena katika tasnia ya Gosple hits akika kama mungu anakuitaji akutumie atakutumia maradufu na atakukinga na mabaya
Hakika Mungu azidi kukuinua zaidi Rose
HALLELUJAH ya MUNGU ni mengi kwanza amenenepa asante JEHOVA
Glory to God. Keep it Kalisa and Rose Muhando
Rose waw waw usiniache mungu wangu I salute the power of the holy ghost he's the miraculous worker
Binafsi nimefrah sn tyzd muombea
Hizi ni Aina ya nyimbo zenye jumbe zilizosahauliwa na waimbaji wengi miaka hii. Waimbaji wengi wa kizazi kipya hawataki kumtaja Yesu kwa ujasiri kama hivi...ni vyepesi kwao kusema mungu lkn kumtaja Yesu ni kama wanaogopaogopa vile. Hongera sana dada Rose na mwenzako kwa wimbo nzuri. I love you.
Glory to God
wakati watu wanaona mwisho wako MUNGU wetu anaona mwanzo wako, kwa maana yeye ni mwanzo na mwisho wa imani yetu AMENI.
Amen
Anaitwa mungu
Amen He is Alpha and Omenga 🙏🙏
Neno LA mungu
Johnson Keru nyimbo za dini
Purity Kalisa aongeze chakula kidogo. Nyimbo za Rose Muhando zinahitaji nguvu.
Kumbe umeona!
@@juliusolela948 nimeona. Hehehe. Anapaswa kula sima kabisa maana Rose Muhando ni lady power.
😀😋😋😀
😂😂😂😂
Barikiwa sana rose karibuni busia
God bless you Rose and protect you against evil plans so we continue hear gospel... much love from Uganda
Rose hapo! hapo! YESU ASIFIWE MILELE...
HAPO SASA
Ukweli basa
Ukweli kabisa nimefihahi kabisa mungu haaaa tukusweeee kakuibisaaaaa amehavisa mahandui daaani sanaaa
Ubariki wesana
Wakusema amerudi uislamu wako wapi. Love you dada Rose Muhando ever
Mungu akubaliki akupe moyo wa kumsamee
Wimbo mzuri sana Wenye ujumbe mzuri. Barikiweni sana watumishi Rose na Purity
Maman que Dieu te protège est te bénisse nous en RDC malgré nous écoutons suhaili difficilment mais l'essentiel est que la parole de Dieu est prêché au travers tes chansons que Dieu t'inspire encore est Encore.
mbarikiwe sana kwa wimbo mzur penda sana da rose hakika unampenda sana yesu ndio maan hujaona tabu kuimba hata kama bdo hujapona
Glory glory glory if you're watching likes KWA wingi surely rose HAKUNA njia ya mkato Bila kuja KWA YESU,Mimi hutamani Sana kumuona mama yetu rose nimpate wapi plizzz she's an amazing lady
One reason I have found out is that she is like a youth by grace of God for what she is doing in the kingdom
Hakuna kama Yesu! Kama unamjua Yesu aliyemponya Rose like 100 hapa!
Wakenya Mungu awabariki Sana kwa Upendo mnaozidi kuuonesha kwa sister Rose Muhando mbarikiwe sana
Excellent job keep it up.I love your nice gospel and be blessed with your family
Ubalikiwe sana dada ang Rose kwawimb mzur Ameen
Rose is really a blessing to the church, she is not selfish with the talent God inspired her. Let's all do as Rose has demonstrated be blessed church.
Not only to the Tanzanians alone but to the whole world.
This Lady is indeed a blessing. Who had her number?
2019 Mama Rose huu mwaka shetani tutamkanyagia chini hakuna kupembelezana naye.Yesu ndiye pekee njia na ukweli😍
Ameeeen
wow so nice music I like it this is good
DANG THIS IS MY SONG!!! BEEN PLAYING IT FOR HOURS NOW!!!!
Ewe mwenyezi mungu nashukuru kumuona tena dadangu rose ktk gospel....naiona kesho yake ilopangwa na mungu.
hata mimi nasema Mungu akuzidishie
God blesses you more and more with wisdom and knowledge thanks
God is alpha and Omega, mwanzo na mwisho. sister Rose you are a hero, despite of what you went through are still shining in the lord.............. just go for it and you will be rewarded abundantly
I didn't know Rose Mohundo until i came across her song n how energetic she was may God bless you all
I'm surprised that you didn't know her since 2004
Mbeba maono hafi mpaka kusudi la Mungu litimie!! Rose uliyoyapitia ni shule ya kukufanya bora zaidi....nafurahi ukiendelea kumkiri Yesu!!
We Kenyans are so happy hearing u sing again dear be blessed and keep going until the devo has put to shame alleluyah 🙏
The devil is a liar
You got this gospel music queen (Rose)
Really Rose is real in gospel. But am hearing that she is very sick .I pray for her that God can restore her soul in Jesus name.
Indeed hakna njia mkato ya kuenda heaven ila ni kw Yesu. Thanks for this God bless you and welcome back
Rose live longer so that we keep listening to your hits. Enjoying from Uganda
Amen
that is great my sister from east Africa
Nafeel kama ni machozi kwa maana nikiangalia Rose sai na Rose wa kitambo hawafanani kabisa...yaani amebadilika sana jamani shetani huyu.maombi wadau wangu kwa Rose...acha shetani ajue Rose hajamaliza safari ya kuhubiri neno la bwana.kazi nzuri
Rose Mungu akubariki sana, nimebarikiwa na huo Wimbo. Kenya we are getting you loud and clear.
I can’t count how many times I’ve watched this 👆🏼👆🏼👆🏼👆🏼song...... Rose kipawa ulipewa jamani.....mungu akakuinue tena..... nakupenda tu bureeee. purity 🙏🏻.
Nyimbo zenu nazipenda sna mungu awambaliki
Nimefurahi sana kukuona Rose Muhando....May God increase and bless abundantly
nyimbo nzuri Sana mmbalikiwe waimbaji
jamani kazi ya mwenyezi mungu ni nzuli kabisa aksanti sana mama kwa kufariji watu wa mungu
This is real mum Rose may God protect you am blessed through you
nice mungu aendelee kuwabariki
Nimefurahi sana kumwona Mama yangu Rose Muhando. Jina la Mungu litukuzwe milele.
Kevin Wak'li
amen
God bless you servants of God for this Spiritual Song . From Rwanda.
Thank you
Sauti za ninga zikimsifu na kumtukuza Mola licha ya changamoto zilizodaiwa mitandaoni.Hongereni sana mumwaibishe adui shetani.
Rose Mohando noma am watching from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Zambia
Glory to God. There's no short cut to heaven without Jesus. Who else is watching in USA . We love you Rose may God bless you're ministry and increase it.🙏
Hata mimi sitabakinyuma kushukuru mungu mahali ulitoe mama wetu rose muhando mungu asifiwe sana uparigiwe sana rose muhando Amen
Mimi from Atlanta
@@naftaliisiaho2985 bmbbvbb0.77jbvv8
Ikopoa kwanae penda ufarume wamuumbaji wakila kitu duniani naa ahela ameen
Kupigwa vita nikawaida unasimama tena asante baba
Amazing song may God helps to walk in his presence always.
Wimbo mzuri sana...Mungu awabariki Purity na Rose
NAKWAMBIA
Lindo (very nice).. I like Rose Muhando. Muito Obrigado... From Angola
Akuna jina litalo kuja zaidi lake YESU . Ni mu falme wa wafalme jina lake YESU LIINULIWE MILELE AMEN .
Waliofurahi kumsikia mama yetu rose yupo hospitali na kusambaza forojo eti rose alifariki,,, y'all enemies should know mungu hawezi kumwacha mcha wake kamwe ,,,,our prayers and wishes was to see you fine mama we love you welcome back..... If you're happy too and you look rose give me a like😍😍
Madie wake kimya
Now Rose muhando is a climbing stone to Every upcoming musician...even my younger sister needs a collabo rose
Eti hamia kenya kwani akikaa Tanzania injili haiwafikii acheni unafiki na ubinafsi kwenye mambo ya kiroho ...kikubwa tumshukuru Mungu anaendelea vyema kuitangaza injili
Can I get direct to the singer of this song please 🙏
Sister Rose you are blessed do not doubt yourself. Do what your heart direct to do my the good Lord keep you healthy and strength.
Wat an inspiring song may God bless yu my sisters of christ... Continue preaching the gospel na mtazidishiww aminaa
Kazi safi Purity na Rose
God bless you
Hii nayo sauti inatoa nyoka pangoni!! Wee,, haki mwanadanu njia yake ni Yesu Kristo pekee,,,,,,,,,,,,Amina...
Wimbo mtamu purity from Aic Diani na rose muhando
The gospel singers should continue to intertain the public.They need to be encouraged
Only after i see you and cry on your shoulders rose, will i be able to live happily... My prayers for you and your health, God answered me for the love i have for you. Jesus will testify that before our father in heaven. .
🙏 🙏 🙏
Ashukuriwe MUNGU rose utaendelea kunga'aa kama dhahabu. Nuru ya mungu izid kukuangazia 🙏🙏🙏🙏
God bls , be strong Amen
Ahsante Dada rose karibu tena mama tumekumis tanzania
Alicho kipanda Mungu hakuna awezae kukiuwaa....kitainuka tena na tena in Jesus Name...Sifa kwa Yesu Kristo milele...Dada Rose wasamehe wote in Jesus Name..vita sio vyako ni vya Bwana Mungu wetu..Achia Yeye yote..wewe fata kazi yako yauimbaji....Na Mungu azidi kukubariki in Jesus Name
This is a nice one!! I love it!! May God continue blessing you Purity and Rose.
Puriti kalisa..mwanangu..yannnini HAYO mauno unayokatika kama discoo...BIBLIA INASEMA matendo4:22..mbingu ni ya machoziii... jaribu KUANGALIA waimbaji wazamani waliimba NYIMBO ambazo zona mguso we KIMUNGU..Leo hui washabiki wenu wengi no wahuni...NDIO maana kukutumia comment kama hii angalia wahuni wanavyoipinga..
God protect and bless My mum Rose Muhando she has been my spiritual mentor...
.
I thank God for healing you my sister Rose Mhando. Indeed He is a miracle working God
Glory be to God rose mhando back in Acton again....am so happy
Ameni
Rose hamia kenya plz. God Is still waiting to reveal more to you. I feel blessed. Love you and your songs.
Faith jmn hahahaha Kwan TZ Kuna nini
Mnataka kumharibu tena kwani hamkutosheka wakati alikuja hapa mkamuingiza kwa mihadarati hehe kenya hii nchi yetu aki hamnanga huruma na wasanii dah!
Yaaa Kenya we love Rose sana na mungu azidi kumbari
Félicitations rose
@@agnerysagnature2016 QWERTY 1
Happy to see you again our dear sister Rose am Ugandan in Oman twende basi kwayesu 🗣🗣🗣🗣💃💃💃💃💃💃💃💃🙌🙌🙌🙌
Nice work mama
I really appreciate Rose mwandos song may God bless you heal you in Jesus name, Amen, Amen
Rose huna mchungajii mwanangu wewe.MBONA ulitakiwa kuketi chini na kutubu kwa mda ili upate kutenga unachokiishi??AU wachungaji NDIO mnaangalia umaarufu? ?jamanii MUNGU ANATUONA WAPENDWA.
Kali sanaaaaaa purity kalisa,,,,keep up
Binadamu wanaweza kukatisha njia yako ,lakini kilicho pagwa na Mungu lazima hakitafutie njia nyingine ambapo shetani hawezi pita.Much love from USA
Barikiwa mama Rose Mhando!
Huyo ndo Mungu,unamng'ang'ania mpaka kieleweke.
But hakuna mtumishi asiye na Maputo!
Tukaze mwendo
Keli kabisa hakuna kukwepa njia ni Yesu Kristo pekee
So Mar
It's so
Nice video God bless you Rose by Khadija stack from Dubai
Wanomwiga Mama Rose wanapasuka msamba,wanashindwa.Karibu sana Mama Rose.Hii yako ni kipaji kutoka binguni.Njoo tuishi kenya.
Wale walio kua wanasema r I p sijui wataambia nn watu. Hakika Mungu amekupigania
Sina shida na mavazi ya rose cha muhimu ni kwamba mungu amemregesha na atang'ara tena how i wish angetumia dancer wale wake
Woo thank you Lord for the life of rose muhando,Mungu nakuomba uzindi kumpigania
Amen tumusinze tumuguluminze Yesu 💃💃💃💃love from uganda
Mungu awabaliki nyinyi nyote
Amen
A like this song,it really inspires me a lot,that was a good combination with a credible matching collabo of voices
Dada Rose mungu aliekuita katinka huduma hatakuacha balli atazidi kukubariki,kukuinua na kukupigania katika ile hali go go gal twakupenda sana
Yesu ni bwana ahokoa waliopotea kwanjia zisizo eleweka ukimwani ni yeye pekee hata wakuje vipi watashindwa na mipango ya Mungu itabaki kuwa hivyo milele na milele marafiki wa mama Rose Muhando tusahau yalio pita tusikize Nyimbo Mpya ambazo ziko na ujumbe kama huu vitabu vitavunguliwa na majina yatasowa...
Atukuzwe MUNGU aliye juu. nafurahi kumuona Rose akiwa ana afya njema! sasa Usirudi nyuma rose piga Injili mbele kwa mbele.
Stay blessed rose muhando..in Lusaka Zambia 🥀
Sifa na utukufu ni kwake, Mungu azidi kukuinua zaidi dada Rose.
Welcome back, Rose. Thank you Purity. Rose, God Loves you.
Thanks God bless you too
Ni furaha yangu kubwa sana kumwona tena Rose akiimba amini kweli mungu yupo pongezi Rose mohando
Rose you have a great talent,use it to the maximum,God guide you to the end,unatubariki sana
Welcome back a QUEEN of gospel 💞💞💞💞
We thank God for healing you and restoring your good health. Keep on preaching the gospel through music.
Amen
Hongera sana Rose Muhando. We are praying always here in Mozambique to you. Welcome back to the Glory of the Son of God JESUS CRISTO.