Rose I know, its not an easy trial for you, but stand firm, the Lord is going to lift you higher than you have ever been. As the song says, The Lord will fight the battles against your enemies for you. Stay strong.quick recovery sister. We love you so much. Regards from Uganda
Mungu mkubwa Rose amepona na ameanza kuimba tena?!! Msinijaji vibaya jamani maana video ya Kenya kuhusu Rose ilinikatisha tamaa all in all big up Rose.
Amen, blessing song, pigana na wanao pigana nami, machozi yamekua chakula changu, maombi yangu yakufae Mungu wangu, may heavens honour you my spiritual mum rose and purity
Uko sawa rose muhando
Rarua kabisa
Nice Sony
Nahisi kubarikiwa na Huu wimbo. Ee Mungu Sala yangu ipae mbele zako ewe bwana mzlinzi wa roho yangu. Barikiweni sana
Nomatter niwangami wananihander....God is in control....fight with them God
Pigana nao wanaopigana nami rarua rarua wanaopigana nami ewe Bwana
Rose muhando mungu akubariki,so talented your songs blesses me.
Kila hatua unayo piga mungu akuongoze kwa taa yake ya milele kila jambo gumu mungu aweke uwepesi wake
ooh Lord,,, be with Rose muhando and purity, I like the dancing style of Rose
Fantastic job
Nyimbo hii ni baraka kwangu Asante kwa sauti yako Dada Rozi
this setting looks like a remote area of mwea,, the work is awesome
Mungu kasha kupa kibari toka tumboni awataweza wachimbe mashimo lkn ya tawatumbukiza wenyewe
My God fight with those who fight with me be blessed amen
Muhando rose mungu wangu mpe afya yake
Na pia mlinde Amen
Rose I know, its not an easy trial for you, but stand firm, the Lord is going to lift you higher than you have ever been. As the song says, The Lord will fight the battles against your enemies for you. Stay strong.quick recovery sister. We love you so much. Regards from Uganda
💪
Mungu wabariki waimbaji wote nasi popote tulipo
Ee Mungu usiwe mbali na mi...nami nalia na wala sipati nafuu....wamekuwa kama simba aliye mawindoni hawalali wakitafuta anguko langu
MICHAEL MBUI mungu asikie maombi ya moyo wako
Amen
@@teeanna2060 amen
Dada yangu Rose barikiwa sana mungu akutetee mbele ya maadui zako upako ulio ndani yako ukawararue woke wakanjue wewe ni mtumishi wa mungu
Sala yangu ipae mbele zako eee Bwana hakika nimebalikiwa na wimbo huu. MUNGU awapandishe viwango zaidi na zaidi. Amen
emmanuel maganjila mungu hamesadia nmm dastani owsad kutoka kigoma
emmanuel maganjila Hakuna mungu no mwema lose kapona
Barikiweni sana mungu awapiganie kwa kila jambo
Mungu akubariki na aendelee kukutumia dada
The song is a great and a blessing indeed
Nice song God bless you purity ed rose muhando
You are 1 in a million my sister Rose....b strong dea God will always fight 4 you🙏🙏🙏🙏👏👏👏🙌
Mungu akutie nguvu zaindi
Muombee adui yako aishi miaka mingi ili aone mafanikio yako
Pigana nao wanao pigana nami ,oh a very swt song imenibariki sana...be blessed both of u in Jesus name
You blessed me with the best songs ,be blessed
Mbarikiwe wote kwa wimbo mzuri sana
Mwenyezi Mungu awe nawe dada Rose, kazi yako inatambulika mbele za Mungu.
Best mix ya sala langu
Eee Mungu Baba ulie mbinguni angalia watumishi wako awa ukawalinde wakaweze kusonga mbele /Amina
Nimebarikiwa sana na wimbo huu. Umegusa nyakati zangu za sasa ninazopitia. Asante mungu kwajili ya watumishi wako Rose na Purity
Mama Rose wewe ni mfano mzuri wa kuigwa. Mungu akubariki sana
Rose.michielt
God is great am glad Rose has overcome the darkness and now she is ready to bless as with her talent
Mwanadamu Ni mdudu tu hayawezi ya mungu
God loves You Rose Stand strong
Hizi ndizo nyimbo za kiroho , nimebarikiwa
Hallelujah.......hallelujah God fight my battles and my enemies
Amen nice song. ..pigana nao wanaopigana nami be blessed all.
Rose Muhando tunapenda sana urudi tena kumsifu mungu
pigana na wanao pigana nami,,Amina
That's true my sister
Haki wacheni Mungu aitwe Mungu .
Hakika Mungu ni mtetezi wa wanyonge
Kweli kabisa
Mungu mkubwa Rose amepona na ameanza kuimba tena?!! Msinijaji vibaya jamani maana video ya Kenya kuhusu Rose ilinikatisha tamaa all in all big up Rose.
Ulitaka asipone au.. Furaia Wimbo Wacha maswali hizo
@@TheGospelMelodies hayo umemsema wewe sasa
ilikukatisha kifipi maana it was only for pray and she prayed
No more tears 😭 Rose mungu atakushidania yote......nice song purity......
Pigana na wanao pigana na mimi Bwana.Na wanaogoja kuanguka kwangu waanguke wenyewe.
My favorite song be blessed mama🎉
Sala yangu ipae mbele zako ewe bwana mlinzi wa roho yangu
Mubarkiwe sana na MUNGu awainue zaidi na zaidi 🙏🙏💕💕💕💕
Amen
Wonderful 🔥🔥🔥
Nimeguzwa, sala yangu ipae mbele zako, amen. Kitu safi kutoka jikono 👏👏👏👏
Nimebarikiwa na huu wimbo sana mungu mtie nguvu mama yetu rose mhando,muinue tenaaa
Rose anajua Sana, Please God bless this lady 🙏
Nice I like Rose God bless you more
Rose i like your songs so much and more your dancing style, unanimbariki mama May God bless you a lot.
Sure
Amen. Wish you both the best
Shinda nao wanaoshinda nami ,pigana nao wanaopigana nami warudishi nyuma adui wafadaiki wafedeheke. 🙏🙏🙏🙏
This is the best..nimebarikiwa
Waooo mama pigana wapate aibu
Blessed to see Rose Muhando soldering on.Purity ubarikiwe sana.
Amina Rozi Wangu Mungu Akulinde
My prayer song...be blessed..
In kweli
Mungu ndiye mfariji wakweli, yote uliyomuomba hakika atatimiza mama! Endelea kumshika wala ucmwache!
Sala yangu ipae mbele zako,Mungu awainue Zaidi Rose n Putity
I praise you my lord pigana na wao dad wanao pigana nami pia Amina.
Waigo Wangechi siwezi kuyazuwiya machochuzi yangu kwa huu wimbo mungu awabaliki sana dada rose
Tubalikiwe pamoja
Nipiganie my good
Amen Glory to God of heaven
God wanted to make you stronger than before glory be to his holy name
Raruararua walio kinyume nami, Nice song
AMINA Ee MUNGu utete nao wanaoteta nami nimebalikiwa sana kwa wimbo huu
Amina Mungu apigane nasi nimebarikiwa sana.
He is God Almighty. Shalom.
The best pigana nao bwana
amina rose mungu anakupenda sana mtumikie sana
Aminaa
Mungu yu mwema kwa kuponya DADA Rose Muhando
Imba mama
Mungu awape kushinda
Great song! Mungu awabariki sana
Dah Dada Rosi ubarikiwe
Ni wimbo mzuri sana kwangu kwa kusema ukeli nimelia sana
Usijali dada n maisha na hii ndio dunia
Sala yangu ipae mbele zako ewe Mbwana Mungu wangu
Amen, blessing song, pigana na wanao pigana nami, machozi yamekua chakula changu, maombi yangu yakufae Mungu wangu, may heavens honour you my spiritual mum rose and purity
wooow that a powerful song God is taking u very far
Wonderful
Mungu akubariki sana akupiganiye
Pole dada yangu ,mungu akulinda daima
dastani dada mungu hakumbaki Sana Edea nakaza yako tunajuta Sana tuu sooo tunaomba sna muziki umeturi san
falaja Hakuna mngu typo lose muhando kupona
Ambaye hajavaa uniform amechafua video next tym tuwe serious zaidi
Huyo ni basili 😅 audio producer of this song
The God of the living has healed siz Rose.
ameos
amina Sana'a mungu akuinue kwaviwang vingine rose waoh sala yangu ifae mbele zako
Godblless ur church
Really.. Comforting.. God bless u women of the most high.
Waoooooo balikiw san mung awenaw
PURITY UKO MBELE
Amen nice song ...nmebarikiwa sana👏
Sana rose mungu yu upamde wako
Amen!! A big hit
Mungu yuuu nawe dada
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU!!
Ewe bwana sala yangu ipae mbele yako unisikie
Purity thou🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Nice song
Dee Islam amina Rose
pigana nao wanaopigana nami
Hallelujah!
Mlinzi wa roho yangu
Amen🙏🙏🙌🙌🙌
Welcome back Rose