TETESI MPYA ZA USAJILI SIMBA SC, AZIZ KI, FEISAL, FISTON MAYELE, SADIO KANOUTE, KIBU DENIS, PHIRI,

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лип 2024
  • Karibu sana Jebison paul Tv sehemu pekee ya kupata Taarifa zote za Wapambanaji wa ukweli Yaani "The Real Fighter" Hapa Utapata Taarifa zote Kila Siku, pindi, Muda, na Saa zinapotokea Tuamini Kwa Kubonyeza Neno Subscribe Ili uwe wa Kwanza kupata Taarifa

КОМЕНТАРІ • 22

  • @JoseRajabu
    @JoseRajabu Місяць тому

    Na simba

  • @isayakiwalalaisayaoscarkiwalal
    @isayakiwalalaisayaoscarkiwalal Місяць тому +1

    azizi ki kasajiliwa timu gani

  • @JaphetiJohn-dh1mb
    @JaphetiJohn-dh1mb Місяць тому +1

    Duuuuuihhh simba jaman mangungu na try again waondoke babura arudi tufanye kazi kwa wanasimba

  • @ElifurahaNdee
    @ElifurahaNdee 2 місяці тому +1

    Aziz K anataka kucheza club bingwa , Simba anacheza shiriksho

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 2 місяці тому +1

    Simba hawapo serious unapoanza kuongea ongea ati Aziz Ki, Mayele na Fei Toto. Kama kweli unataka kuwachukua ungeanzisha harakati si kubwabwaja. Sisi Simba tumeshakuzoea tunajua utaishia Kwa akina Sawadogo hao akini Aziz Ki, Fei naMayele hatuwawezi.

  • @shekhesufiani9608
    @shekhesufiani9608 2 місяці тому

    Acha uongo wenu hakuna muhindi anae toa pesa zaid ya ujanja ujanja,

  • @Suleimanalysoud
    @Suleimanalysoud 2 місяці тому +1

    Simba hawampati Aziz I Nata siku moja😂😂😂😂

    • @JebisonpaulTv
      @JebisonpaulTv  2 місяці тому

      Ndio kwasababu Hadi Sasa ana ofaa nyingi na TIMU zenye pesa

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 місяці тому

    Semaji letu la nguvu. Hao utoplo hawana fedha hadi wachangiane wapi na wapi?😁😁😁😁

  • @ElifurahaNdee
    @ElifurahaNdee 2 місяці тому

    Kama ulishindwa wakati yupo 5:38 asec utaweeza sasa hv?acha kuwaongopea wana simba

  • @ElifurahaNdee
    @ElifurahaNdee 2 місяці тому

    2shamzoea huyo azizi huwezi kumssjili ww ahmed ally angalia team yako

  • @shekhesufiani9608
    @shekhesufiani9608 2 місяці тому

    Mwanangu wadange wajinga hakuna bosi anae kosea mara tatu ukimuona hivyo anafanya ujinga huo bas ujue viongozi na bos wote wamchongo,