KIMENUKA MASHABIKI YANGA WAMKATAA HAJI MANARA WANAMTAKA ALLY KAMWE, TUTAFANYA MAAMUZI MAGUMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • KIMENUKA MASHABIKI YANGA WAMKATAA HAJI MANARA WANAMTAKA ALLY KAMWE, TUTAFANYA MAAMUZI MAGUMU

КОМЕНТАРІ • 8

  • @halimakhamisi7946
    @halimakhamisi7946 2 місяці тому

    Priva+ alikamwe+ alwattan🥰🥰

  • @JosephNgasa-j7l
    @JosephNgasa-j7l 2 місяці тому +1

    Haji manara siyo msemaji huyo ni comedian hafai,ila kwa maneno ya shombo sawa but Hana usiriazi,kama anataka awe chini ya ally hapo sawa lakin kuwa msemaji wa club hapana yanga haihitaji ma comedian wa kutafta kiki na kuchekesha watu yanga inamuhitaji watu serious

  • @halimakhamisi7946
    @halimakhamisi7946 2 місяці тому

    Choyo haji siliachane nalo likamvishe mkewe Nguo zenye janareta

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 місяці тому

    Kwa ushauri wangu, Ally Kamwe alikuwa aendee, maana ulimwengu wa mpira umebadilika. Kurupushani ni nyingi mno. Huyo manara naona ni mtu wa shari sana, kiasi fulani ni mgomvi. Msishangae Manara akafanya kazi na Magoma.

  • @JosephNgasa-j7l
    @JosephNgasa-j7l 2 місяці тому +1

    Wananchi wasikurupuke kumtaka manara arudi kuwa msemaji wa club hapo ndo chanzo cha mafarakano,kwani kuna mapungufu gani yametokea kwenye club wakati wa ally kamwe,mbona clumb ndo ipo kwenye mafanikio kila msimu na utulivu wa hali ya juu,kwangu mimi manara hafai abaki kuwa mtoa vibe tu kwa comedy zake lakin siyo rasmi msemaji wa timu hafai

    • @JosephNgasa-j7l
      @JosephNgasa-j7l 2 місяці тому +1

      Bado narudia akirudi huyo jamaa mafarakano yapo,kwani Kuna usemi usemao ndege wanao fanana huruka kwa pamoja,hapo alipo ally Kuna watu wake alliofanana nao ndio maana timu wameituliza,sasa akirudi manara Kuna pande mbili zitajitokeza,yaan timu manara vs timu ally hapo ndo mtaona mziki utakavyokuwa na yanga itayumba,wananchi walizke na ally kamwe kwa vile hata hakuna kilichopungua Toka manara yupo nje ya yanga Bali yanga ndo imependeza,lakini mkitaka maneno ya comedian kama huyo basi ndo kile kitakachotokea Cha kuwa MKATAA PEMA PABAYA PNAMWITA,timu itayumbaaa

  • @halimakhamisi7946
    @halimakhamisi7946 2 місяці тому

    Hatulitaki haji manara lina mineno michafu lile baba halijui ata kuwa fair na mashabiki

  • @georgebestmponda8017
    @georgebestmponda8017 2 місяці тому

    Wewe unao hojiwa umejinabu kuwa huwezi kudhania kwa sababu ni mtu wa dini sasa mbona unaghani na kudhania?