Mo Dewji 'atinga' kambini Simba, azitaja bilioni 20

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2024
  • Mwekezaji wa Simba SC na Rais wa heshma Mohamed Dewji amefika katika kambi ya klabu hiyo, azitaja shilingi bilioni 20 na kuwaita mashabiki dimbani Benjamin Mkapa Jumapili.

КОМЕНТАРІ • 254

  • @agriciusruchius3199
    @agriciusruchius3199 2 роки тому +3

    Safi Sana boss this is simba 💪💪💪usikatishwe tamaa na watu wabaya hasa wa upande wa pili bosi hawaitakii mema timu yetu. SIMBA SC NGUVU MOJA. ❤️❤️🦁🦁💪

  • @zahoronassoro4758
    @zahoronassoro4758 Рік тому +1

    Vumilia BOSS iko siku mungu atatujalia kelele zote zitaisha

  • @iam_lasco
    @iam_lasco 2 роки тому +6

    Mo ana akili sana na ana maono ya mbali kwa klabu yetu ya simba🦁❤️..#Nguvumoja

  • @niknik8276
    @niknik8276 2 роки тому

    What I love about Mo is his humbleness, respect and devotion to the society. May god continue to bless him abundantly and live longer. I need to see him do great.

  • @eneawkadege6062
    @eneawkadege6062 2 роки тому +4

    Mo boss wa Simba lakini anaongea Kwa nisamu kubwa kueshimu club hii Kwa ujumla pamoja na mashabiki pia nae inapazwa aheshimiwe na mashabiki 👍🔥

  • @mwanaidian2994
    @mwanaidian2994 2 роки тому +2

    Midomo kimyaaaaaaaa,ongeeeni mengne mjibiweeeee.Big boss in da building

  • @albertmullah2377
    @albertmullah2377 2 роки тому +5

    Haya muendelee kuropoka sasa Boss wa nchi huyo apo 😂😂😂😂😂😂

  • @ahmedalmiskry6374
    @ahmedalmiskry6374 2 роки тому

    Ahsante Mo
    Wewe ni mkuku wa boti
    Mkuku ni gogo kumbwa lililochongwa ili kutengeneza bot bila ya mkuku huwezi kutengeneza bot
    Unaeka mkuku ndio unapanga mbao zako na kuzisanifu mpaka unapata chombo ambacho cha uhakika kinacho elea kwenye maji
    Hongera sana Kiongozi
    Na waungwana husema kutowa si utajiri kutowa ni moyo.
    Mwenyezi mungu akujaalie barka kwenye biashara yako
    Amiin

  • @HassaanMarco
    @HassaanMarco 4 місяці тому

    Daaaah,mo hongera sana mungu akupe maisha malefu

  • @semenimasalu8776
    @semenimasalu8776 2 роки тому +1

    Asante baba tupo pmj Simba nguvu moja

  • @bensonbenezeth
    @bensonbenezeth 2 роки тому +1

    GSM kakimbia hameona dalili sio nzuri. Yatakaa moyo

  • @nuraansuhail2578
    @nuraansuhail2578 2 роки тому +2

    Boss wetu SSC

  • @CSMAPESA
    @CSMAPESA 2 роки тому +3

    niliwekeza bilion 20 kabla ya hapo niliwkeza bilion 25 jumla 85 mmmh lazma uwe tajir kama unazdisha masifur hv

  • @SikituKalibubuke
    @SikituKalibubuke 5 місяців тому +1

    Nakubaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii moooooooooooooooo dewj

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 4 місяці тому

    Mungu azidi kukulinda, ❤❤❤kilalkher

  • @shabanimshamu9012
    @shabanimshamu9012 2 роки тому +1

    Moo hongera sana jitihada zako zipo wazi

  • @SaidiSaidi-o6r
    @SaidiSaidi-o6r 4 місяці тому

    Safi Sana bos wanaokuchukia ote wasenge

  • @nifurahamwakabuli2590
    @nifurahamwakabuli2590 2 роки тому +1

    Mo Mo Mo the King talk nifuraha sana

  • @moseskyaman9323
    @moseskyaman9323 2 роки тому

    Khasante MO kwa kutuunguzia kiingilio this is simba

  • @AminiMuhammed-pi6dx
    @AminiMuhammed-pi6dx 4 місяці тому +1

    Mbona hii ya mwaka 2022

  • @husnandumbala5214
    @husnandumbala5214 2 роки тому +1

    Mungu akujaliye baba kwa kujitoa kwako,

  • @jumandagara1755
    @jumandagara1755 2 роки тому +1

    Mo,,,,, Nguvu moja aaaaaa 💪💪💪💪💪

  • @johnjohnmollel7411
    @johnjohnmollel7411 2 роки тому

    Safi sanaa tajiri na kumi na 15 Africa mashariki nakati

  • @khamisikapopo9356
    @khamisikapopo9356 2 роки тому +1

    Hakuna Kama MO simba number one

  • @bennykatonkola496
    @bennykatonkola496 2 роки тому +2

    Uwezi fanya interview bila kutaja billion Muhindi wa mchongo

  • @zanzibar.
    @zanzibar. 2 роки тому +3

    Walio na pesa zao wanahojiw na wenye pesa zao

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 2 роки тому +1

    Ukweli Nikwamba Kuwekeza Ndani Yasimba Nikhasara. Tuwe Waelewa.

  • @FransSesa-yi5ht
    @FransSesa-yi5ht 5 місяців тому

    Pamoja sana rais wetu wa msimbaz tuheshimishe

  • @MussaMarwa-z3n
    @MussaMarwa-z3n 7 місяців тому +1

    Tatizo LA mo atutolele viongoz wasimba awafai

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 роки тому +2

    Do!! Umeshatumia bilion 25 na umetoa billion 20 safi saana unaipenda kweli simba ila kibiashara sidhani kama utarudisha hizo hela mpaka unakufa we toa tu natoanatoa mpaka ndio mapenzi ya dhati safi saana mo komaa utachukua club bigwa siku moja wa dunia

  • @bakarimkunyulia6687
    @bakarimkunyulia6687 2 роки тому +2

    Midi muhuni Sana 25+20=85

  • @linusifajensi5677
    @linusifajensi5677 2 роки тому +2

    GSM ataikimbia hadi YANGA siyo ligi kuu2

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 2 роки тому +1

    Mo unajua kutufurahisha wanasimba,,Nguvu moja

  • @davidkabungo1192
    @davidkabungo1192 8 місяців тому

    Mo, mimi ninakushukuru sana kwa kuendelea kuwekeza na pia kwa kujitoa kwa kujitoa kwako kwenye Simba Sports Club.

  • @habibunundanunda6227
    @habibunundanunda6227 2 роки тому

    Big boss SIMBA NGUVU MOJA ☝️

  • @hulilodonard5524
    @hulilodonard5524 2 роки тому +1

    Safi sana Raisi wa heshima

  • @kassimuissa-gd4cx
    @kassimuissa-gd4cx 5 місяців тому

    Mo safii Sana tujengee Simba yetu

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 роки тому

    Mkuu ahsante!! Pamoja.

  • @allyahmed8415
    @allyahmed8415 2 роки тому

    Mimi ni simba lakini we won't catch Al ahly like the way he says #but hio kauli ya kuwekeza simba ni hasara sio nzuri tumehuzunika sana wana simba, tunachangia hela japo kdg kdg kwa mapenzi.

  • @GilbethChamembe
    @GilbethChamembe 4 місяці тому

    Moooo pambana maana sisimashabiki wasimba macho yetu wooote tunakuhangaliha ww mungu hakubaliki sana

  • @ZarinaTv255
    @ZarinaTv255 2 роки тому

    Asante sana boss wetu Mo 👏👏👏

  • @jonasdonart3408
    @jonasdonart3408 2 роки тому +1

    Kweli Sana boss simba

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 7 місяців тому

    Mtamuua kwa mawazo jamani mwee🙏🙏🙏💚💛💪

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 роки тому +1

    Huyu ndio tajiri sasa siyo wale UTOPOLO tajiri wao kaingia mitini na mkataba wao feki wakuungaunga

  • @bictonykeraryo3900
    @bictonykeraryo3900 2 роки тому +2

    Baba, mo dewji, ubarikiwe, ulalapo, uamkapo, utembeapo, na ukaapo kwenye kiti.
    Mimi umekuwa mbunge wangu, nakufahamu, haukuwa mtu wa maneno, ulikuwa mtu wa vitendo.
    Wanaosema, niwasio kujua, nimewahi kuwa mlinzi wako nikiwa na kampuni ya ulinzi ikiitwa kirumi security, nakufahamu fika, usiwe na moyo wa kupinda kwa maneno ya watu.
    Tembea kifua mbele mo, wachezaji wasimba wakusikie, wakuelewe fika.
    Simba mkimpoteza mo dewji, mmekosa yote, huyu bwana mimi hanijui ila mimi mo namfahamu akiwa mbunge singida, na nilipokuwa mlinzi kiwanda chake cha nguo morogoro.
    Nawaomba wachezaji simba wajitahidi kututoa nao matongotongo, maana hawatalia nguo, kiatu, sokisi, wala njaa, kila kitu mo anacho.

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 2 роки тому +1

    Nakubr Sana

  • @richardmakene7780
    @richardmakene7780 2 роки тому +2

    Tumia pesa zako boss ujaaazma kwa mtu tuko na wew ss wanasmba

  • @kastomwaipopo1763
    @kastomwaipopo1763 2 роки тому +1

    Uko sawa Bo's 🦁💪

  • @jeromemuhando5074
    @jeromemuhando5074 2 роки тому

    Tha bg boss congraturarion.

  • @shukurukalindi626
    @shukurukalindi626 2 роки тому

    Tajiri kasema nani Sasa apinge here we go 👍👍👍

  • @SawiaMustaphy
    @SawiaMustaphy 7 місяців тому

    Basilisheni viongozi ACHENI bwebwe lazivyo Kila siku Simba itasambaratika mnakubatia viongozi hawana faida hamuonani watani wetu

  • @susanlazaro8956
    @susanlazaro8956 2 роки тому +6

    Team Simba woteee wekeni like zenu Hapaaaa♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @peterfesto3150
    @peterfesto3150 2 роки тому +1

    Yessss big tupo pamoja

  • @JumaWamlola
    @JumaWamlola 5 місяців тому +1

    Baba usi sikize mambo ya chai

  • @hassanabo4214
    @hassanabo4214 2 роки тому +1

    timu iliitaji mabadiliko makubwa cna ukiiangalia kwakuletwa wachezaji wenye viwango kulingana na timu ilivyokua

  • @sleimannassor8931
    @sleimannassor8931 2 роки тому +2

    kakosea jamani alitaka kusema 45 ila tupo pamoja boss mo

  • @husseinhussen6836
    @husseinhussen6836 2 роки тому +1

    bos,hatuna,washambuliaji

  • @sherizyedward2031
    @sherizyedward2031 2 роки тому

    The great one ananena simba nguvu moja

  • @zainabsaid9264
    @zainabsaid9264 2 роки тому +3

    Yaani huyu Mohammed anaongopa mpaka anasahau unasema anatumia bilioni 25 Kala hajawekeza bilioni 20 jumps inakuwa 85 au mimi nimemsikia vibaya..nisaidieni jamani

  • @BarakaJackson-nu3jz
    @BarakaJackson-nu3jz 5 місяців тому

    Turudishie furaha wana simba

  • @fabianimashindike3272
    @fabianimashindike3272 7 місяців тому

    MO umeongea vizuri sana ila mwangalie huyo anaye kuhoji ni mnafiki asije akakuchonganisha na wana simba kama alivyo wachonganisha azam na yanga kwa mahojiano yake na mayele

  • @MrBm369
    @MrBm369 2 роки тому +1

    The big boss

  • @salimnondoTv
    @salimnondoTv 2 роки тому

    broo moo broo tunakukubali sana plz usituache mkono

  • @petercosta1317
    @petercosta1317 2 роки тому

    Simba imekuwa tishio saivi kwa sababu ya mo kuwekezaa tunaweza kusaji wachezaji wazuri akiendelea kidogo tutakua mbali sn

  • @nasorohemedi7334
    @nasorohemedi7334 2 роки тому

    Simba ina wanachama, wapenzi na mashabiki wasiopunguwa milioni 3. Kama kila mmoja atachangia 10,000 tu hela ya ujenzi wa uwanja inapatikana. Shime tuchangie

  • @mosessmayunga9974
    @mosessmayunga9974 2 роки тому +1

    Mathematics nilijuaga Ni ngumu kwangu 2 kumbe hata kwa wengine Ni hivohivo

  • @jamesjames2368
    @jamesjames2368 2 роки тому

    Simba 💪💪💪

  • @sarllemmtunze405
    @sarllemmtunze405 2 роки тому +1

    Mo anaongea ukweli mtupu Simba bado inajiendesha kwa hasara huo ndio ukweli hakuna kupindisha maneno mwenye kutaka kupotosha maneno yake muache apotoshe ila ukweli mchungu lakini una Afya.

  • @palepale7768
    @palepale7768 2 роки тому

    Hongereni sana

  • @mohamedguveti5372
    @mohamedguveti5372 6 місяців тому

    Safi sana Mo piga chini wasiofaa

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 роки тому +2

    UTOPOLO endeleeni kubwabwaja tu eti Mo kajitoa leo mnamuona huyo apo

  • @michaeljohn571
    @michaeljohn571 2 роки тому +1

    nyie wehu muacheni boss wetu

  • @osianamwaiteleke5985
    @osianamwaiteleke5985 2 роки тому +1

    Et 85 bilioni broo wadanganye watu wa hait sio bongo

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 7 місяців тому

    Mashabiki jitokezeni nyie,yaani mpaka huruma aisee,bila mashabiki hakuna timu,m'mekula ng'ombe mzima mkia uliobaki umalizieni mkiwa wote,msiachane maana mawazo ya wengi sio sawa na mtu m'moja,jahazi mzame nalo mkiwa wote🙏🙏🙏💚💛💪💪💪💪💚💚💚💚mtasusaje?shabiki wa kweli hasusii,kajazeni uwanja,huu mchezo hauhitaji hasira🤣🤣🤣nyie kavu nn

  • @lloveyoutanzania5315
    @lloveyoutanzania5315 2 роки тому

    Haka tu kajamaa katajiri mbona kadogodogo tu😍🤣🤣🤣🤣

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 2 роки тому +1

    Wanao kejeli juu ya huu uwekezaji na hizi billions mbona hamuumii uwekezaji wa timu za ulaya na Bado mabandani hamkosi mechi

  • @wijotv
    @wijotv 2 роки тому

    Simbaaaaa safiiii

  • @hermanndongolo1550
    @hermanndongolo1550 2 роки тому +1

    Yanga watakufa mwaka huu

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 2 роки тому

    Mhhh!! Mhe Bilionea 😁😀😀 Dahh haya bhaana Danganya tuu uwanja niwako 😁😀😀

  • @mshamhemedy8567
    @mshamhemedy8567 Рік тому

    Asante MO

  • @noelakamala628
    @noelakamala628 2 роки тому

    Big brain always is think big be bless brother and that's how sharks on the meat thinks not like tilapia. Itachukua miaka Kumi Kwa mpumbavu kukuelewa Tena Kwa kiboko na makwezi. 🤔🤔🤔🧐🧐🤔🤫🤫🤫🤫🤫 Usimuamshe alie lala.

  • @zakalianyauniqo514
    @zakalianyauniqo514 2 роки тому

    Achanana mo mutumbaya sana anamiliki pesa atawatuwanajiuliza

  • @laurentnkoko9122
    @laurentnkoko9122 2 роки тому

    Saafe sana Boss

  • @mashaloyuzo1296
    @mashaloyuzo1296 2 роки тому

    Rais simba nguvu moja

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 2 роки тому

    Namkubali sana moo

  • @babafetty136
    @babafetty136 2 роки тому

    akuna muhind anayefanya biashara ya hasaraaa usaidii simba bali mnasaidiana kumbuka ulivyoizamn Africa Lyon ulikuaa bilionea but tangu uwekeze simba mambo yako yanaenda sawa

  • @assengakelvin4805
    @assengakelvin4805 2 роки тому

    simba oyee

  • @OscarMsaku-x1y
    @OscarMsaku-x1y 4 місяці тому

    Mo mo mo saruti kwako oyeeeeeee

  • @joannajaszczolt6192
    @joannajaszczolt6192 2 роки тому +2

    Mo wewe ni mtu ambayo unajitahidi

  • @brenthylland2507
    @brenthylland2507 2 роки тому

    Tajili safi sana

  • @jumadengea6376
    @jumadengea6376 2 роки тому

    Boss mmoja tuakuna box anaeuza magodor wew

  • @ahmedomar3020
    @ahmedomar3020 7 місяців тому

    Hatujii uwanjani tenaa.. free gb 64.

  • @japhetlaban1618
    @japhetlaban1618 2 роки тому

    Simba nguvu moja

  • @emmyjosia4488
    @emmyjosia4488 2 роки тому +1

    PAMOJA KIONGOZI,WE WILL BE OVER THERE

  • @maulidkiswaga1906
    @maulidkiswaga1906 2 роки тому +1

    Uyu nae kama dem anasusasusa sana

  • @ahmedomar3020
    @ahmedomar3020 7 місяців тому

    Gb 64 laana yake kwa kumueka ndani, tunamuomba mungu mfungwe 8-0.

  • @aloycecharles6912
    @aloycecharles6912 2 роки тому

    Yaani b20 ndo kila siku

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb 5 місяців тому

    Kama umeuwa viwandani vya chai ndio utaweza kuendesha simba nayo simba itakufa

    • @khadijahussein5298
      @khadijahussein5298 4 місяці тому

      Shindwa kwa nguvu za mungu ee mungu pambana na maadui wt na wanga na wachawi na hasadi zao Washindwe waangamie Simba oyee

  • @ahmedomar3020
    @ahmedomar3020 7 місяців тому

    kama unapata hasara simba c uondokee.. warabu wanaitaka from Qatar.. wee huna elaa

  • @fredymaswimwita3091
    @fredymaswimwita3091 2 роки тому

    Mbona hizo hela dogo hasiongei hapo Simba,, maana hata pitch unatembeza bakuli?? Mie siyelewi jamani