Uko vizuri sana mheshimiwa Raisi wetu mpendwa JPM Mungu akupe hekima, uwezo, nguvu, afyabora na maisha marefu ili uendelee kulijenga Taifa letu kikamilifu ilikusudi ifikie maala nasisi Taifa letu liwe kama nchi zilizoendelea.Piga kazi baba
Kwa kwl mm nampenda sana rais wangu mungu tupe hekima ya subila japo sijapata kazi lkn ipo siku mungu atanifungulia njia Kwa rais wetu mungu mpe maisha marefu
This president was really....given from God...our almight giver...thanks for the gift you have given us in our life...magufuli rest in peace na Mungu akusamehe makosa yako upumzike kwa amani...kazi uloifanya ktk taifa lako haitakuja kusahaulika kamwe...japo umetuacha katika maisha magumu ambayo imezingirwa na viongozi ambao hawana sifa ya kuongoza...wamejawa na nuksi kwani hata mvua imegoma kabisa haijawahi kutokea...kipindi upo mvua zilinyesha kweli ulibarikiwa....tutakukumbuka daima!
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
Kweli pesa ni ngum kuipata Kwa sasa lakinetunafurahia maisha zaman bila pesa hupat maj wala umeme magufuli alhamdullillah tumeunganishiwa maj kwa mkopo na umeme 🥰
Safi sana , Habari ndo kama hizi sasa, imeandaliwa kwelikweli kabla ya kufikishwa, na wengine wakituandalia habari jinsi hii itapendeza sana, sana sana.
Rais wetu Mwenyezi Mungu azidi kukulinda uendelee kuchapa kazi.Najua si kila mtu atakuunga mkono kwa kila unalolifanya laa... hasha wapo tu watakaopinga.
Uyu raisi wetu mungu amlinde milele.Mwanzo tulikuwa tunakuona upo kisiasa sana ila sasa tunakubali kazi zako mzee baba wewe acha uitwe Rais wa Tanzania milele nilitaka nisipige kura 2020 ila kura yangu umeipata kikubwa uzima tu
Thank you My Jesus Christ because of this My President John Pombe Joseph Magufuli... Thank you so much for My Tanzania...... Still need your Help and bless My Lord and KING of Kings... Jesus Christ...
Naomba video hii intengenezewe subtitles za kingereza ili mataifa mengine waone rais tuliokua nae sio maneno wanayopublish sasa ivi please tufanye haya kumuenzi
@@samuelmanunu1543 nahisi hadi nimefanya makosa kuchelewa kujua upande wa mazuri ya JPM,kila siku nilimsema vibaya, mungu anisamehe bure. Nakupenda JPM
Nilikuwa nikijenga hoja potofu kwa watu mpk watu walikuwa wakiishiwa hoja lkn najuta kwa nn nilisema hayo, either nisem sikujua kaz ya raisi, Hoja yangu ilikuwa wewe unaeshabikia uzur wa Magu, maishan mwako kabadirisha nn? Kwako nn kimebadirika baada ya yy kuingia madarakan? Kweli yalikuwa yasiyo na majibu lkn j kuna raisi kapokeza sukari au chumvi km si wanasiasa tu wanaogawa chumvi ili wakule ukiwa mtamu? Magufuli hongera saana mzee! Na shida na duku duku zangu ntamuomba msaada mwenyekiti wangu na wengine wewe piga kazi huko huku chini napata huduma zako kisawasawa
Jembe letu kutoka Chato tunakuelewa piga kazi Mzee baba Magufuli nchi isonge mbele tupo bega kwa bega na wewe
Wanaoangalia video hii baada ya kifo cha shujaa wetu just👍
Daaa! nakumbuka sana hiki chuma. hawez kutoka akilin mwangu
Daaaaaah Nipo
Kimeo muigizaji
Watanzania watalia daima,kwetu tunamani kama yeye hatumuoni
Nani yupo hpa leo anaangalia hi tunamuenzi 😭😭😭😭
Mimi Mmoja Wapo
Tupo wengi
mm pia
Eee naumia mm jamani baba umetuacha kweli tunaumia
@@xkingx8041 nipo😭😭😭
nani yupo hapa baada ya msiba wa our great leader..?
Wanaoendelea kumsikiliza bull dozer gonga like
Tunamshukuru Mungu kwa kutupa Mwalimu huyu kwetu sisi Watanzania. Hakika maisha yako Magu hayatasahaulika kamwe. Jembe ni jembe tu. Mungu amrehemu.
Subhanaallah kizuri akiishi mungu amrehemu aulaze mwili wake peponi ameen poleni familia na watazania 🇴🇲🇴🇲😭😭😭😭🙏🙏🙏
Kafiri harehemewi
@@maniraguhahamza3511 mtoa hukumu ni Allah acha maneno nakutabiria watu moto.
@@salmaalimusa6809 Mungu akusamehe bure tena umemtaja vizur Allah jibu ni ilo kafiri harehemewi
@@mahmoodalghefeili5370 am Muslim yes lkn hukmu ni kazi ya Allah, sote twaomba mwsho mwema kaka
R.I.P Kipenzi chetu JPM Daima tutakukumbuka kwa mema yako uliyotufanyia Watanzania na Dunia kwa ujumla
Daah mungu muhifadhi kiongozi wangu huyu wa Tanzania mahali panapostahili amin🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Who is here after the death of MAGUFULI
Nomasanaaa,🔥🔥🔥🔥
Tutakukumbuka kweri Rais wetu magufuri
Pumzika maali pema peponi jpm🙏🙏
Mungu akupe pumziko la amani jembe lakulima masika na kiangazi, mhhhh Jamani tunapita kwenye ulimwengu huu pumzika kwa amani Boss wangu ❤️
Zote 🔥JPM❤️🇹🇿. JPM nenda salama baba🙏🏽🤲🏽💔🕯️😭
Uko vizuri sana mheshimiwa Raisi wetu mpendwa JPM Mungu akupe hekima, uwezo, nguvu, afyabora na maisha marefu ili uendelee kulijenga Taifa letu kikamilifu ilikusudi ifikie maala nasisi Taifa letu liwe kama nchi zilizoendelea.Piga kazi baba
Pumzika Magufuli 🙌
Tunalia sana Watanzania lakini hakika alipangalo Mungu hakuna wa kulipinga, utakumbukwa daima JPM Mungu akusamehe madhambi yako 😭😭
Dah nimependa sanaa ii nivzr kkumbuka mema ya magufuri 🎁🎁🎁🎁🎁🎁🔑🔑🔑🔑
Duuh magufuli wew siamin kabisa leo ndo hauongei Tena daaah🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mimi ni mcongo lakini nimezaliwa Tanzania kwasasa mimi ni mtanzania mahana congo imetushosha kabisa magufuli nakupenda sana kupitiliza kiasi
SALUTE SANA BABA WAWA TANZANIA 🇹🇿 MAGUFULI
Asante jinias, au kindok ni watu wanazaliwa na akili za kupiliza nawapenda sana
Kwa kwl mm nampenda sana rais wangu mungu tupe hekima ya subila japo sijapata kazi lkn ipo siku mungu atanifungulia njia Kwa rais wetu mungu mpe maisha marefu
JPM lala salama baba 🙏🙏🙏
❤️❤️❤️I missi you baba
Da!! tunajivunia kuwa na rais Kama magufuli mungu akutangulie watanzania tu nakuombea
Max Maxmo b
This president was really....given from God...our almight giver...thanks for the gift you have given us in our life...magufuli rest in peace na Mungu akusamehe makosa yako upumzike kwa amani...kazi uloifanya ktk taifa lako haitakuja kusahaulika kamwe...japo umetuacha katika maisha magumu ambayo imezingirwa na viongozi ambao hawana sifa ya kuongoza...wamejawa na nuksi kwani hata mvua imegoma kabisa haijawahi kutokea...kipindi upo mvua zilinyesha kweli ulibarikiwa....tutakukumbuka daima!
Roho inauma sana. Kwaheri Rais wa kweli.
MUNGU akulinde mh raisi magufuli. AMEN
R.I.P kiongozi wetu shupavu tutakukumbuka kwa vitendo ,utaishi ndan ya mioyo yetu tunakupenda Sana hatutasahau uzalendo wako
Usisahau utekaji na ukandamizaji wa haki pia viunge mkono na mguu sisahau
Mungu ni Mwema wakati wote akupumzshe kwa amani Baba ""
Nan amerudi hapa baada ya umauti kumchukua shujaa wetu
This is LITERATURE.
Well received LUCAS M.
Mungu Aibarki Tanzania Magufuli Mungu Akulinde
HE DO WHAT HE SAY THIS IS MY PRESIDENT:::MAGUFURI WE PROUD OF YOU SIR.
Hongera sana mtangazaji hii ni kazi bora kabisa ni aina ya uandishi wa kitafiti lkn vile vile ni ya kiuzalendo sana
Rais wetu namuombea sana kwa mungu nampenda sana
Always we remember you Father, Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.
Huyu..mzee yupo vzr sana watu saiv hawaoni faidayake ila akiondoka madarakani ndiyo wata sema adhali ya magufuli
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
Absolutely 🔥👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾
Kweli pesa ni ngum kuipata Kwa sasa lakinetunafurahia maisha zaman bila pesa hupat maj wala umeme magufuli alhamdullillah tumeunganishiwa maj kwa mkopo na umeme 🥰
Mungu akuekemahali pema peponi ulikua president wa heshima.
Hongera sana Rais wangu . Mungu akulinde sana .
Mungu mjarie rais wetu na umpe umri mrefu
Truer words yet painful were never spoken, that goodly & godly people never live long! But their legacy & words live forever. RIP my President
B
6
Facts
Magulification of Africa
Pumziko la Amani mwanga wa milele kwangu ngumu kukubali baba wa wafrica
Proceed to rest in peace our president
Safi sana ,
Habari ndo kama hizi sasa, imeandaliwa kwelikweli kabla ya kufikishwa,
na wengine wakituandalia habari jinsi hii itapendeza sana, sana sana.
Ntulaga milimo igembe lise,nakupenda sana rais wetu unaelekea kutufikisha tunapo pahitaji,unatekeleza kweliiiii
No one like a president magufuli
Ipo cku tutafika. Mungu ibariki Tanzania
Amina
Hakika wema wafa mapema
Naomba utuandalie makala ya JPM alipohudumia wizara mbalimbali
Kweli kabisa.
Trc to call
Rais wetu Mwenyezi Mungu azidi kukulinda uendelee kuchapa kazi.Najua si kila mtu atakuunga mkono kwa kila unalolifanya laa... hasha wapo tu watakaopinga.
Uyu raisi wetu mungu amlinde milele.Mwanzo tulikuwa tunakuona upo kisiasa sana ila sasa tunakubali kazi zako mzee baba wewe acha uitwe Rais wa Tanzania milele nilitaka nisipige kura 2020 ila kura yangu umeipata kikubwa uzima tu
Ramadhan Nayopa wewe ndo mkombozi wa watanzania
Vizuri huwa havidumu
daaah jembe limeondoka
Mimi sio Mtanzania ila MAGUFURI nampenda sana zaidi ya sana jinsi anavyo ongoza.
.ww uko wapi uko
BURUNDI 🇧🇮
@@eliudniyongabo8396 -nipe namba yako ya WhatsApp mm niko Tanzania-
Eliud Niyongabo kalibu tz uwe mchumba
Tunakupenda jilani yetu
Nakupenda sana MH JONNY POMBE MAGUFULI
Asante sana kwa kazi nzuri na uwazi Tanzania sasa. Daima dumu Tanzania.
MY MAN OF THE CENTURY !!!! REST WITH GOD !!!
Mambo
Mtangazaji sauti yako nzuri na clear
Global mnaakili sana
Magufuli was a great leader
Jamani natamani angeamia DR.Congo🇨🇩I am proud of my african herro JP kuona anavyo iongoza Tz
@Steven Batu y Cong Tunamutak San Yaan Anawz Ifanz Bulay Yakilok,
kama anakuya umu congo atashindwa kuna mijitu isha shindikana kuna bamwizi wengi sana
@@dullyyesu9036 hakuna anaposhindwa
I find myself back listen what a great leader , has spoken during his lifetime in leadership. Thanks alot
P
Kiukweli tumepoteza dhaabu kubwa hapa nchini TZ naumiaga sana nikimkumbuka uyu baba, eeeee MUNGU wetu
Kitu na box👍👍👍👍👍nakupenda mpaka naumwa
Nitakukumbuaka sana baba
Maharamia wachache2 waliotuharbia nchi yetu,
Mungu akulipe kila lenye kheri mzee magu uko uliko, tutakukumbka sana
Nakupenda mbaka naumia
Hadi machozi..
Mungu mtangulie Magu
R.I.P Raisi MAGUFULI mungu akupumzishe kwa amani
God bless my President John Pombe Magufuli and God bless My Country Tanzania in the Might name of Jesus Christ Amen and amen
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu mbariki Ras wetu
Safi sana kaka umenikumbusha mengi
🙏🙏🙏 god kwa uepo wako Rais wangu Mungu akulinde
Asante Sana baba wataifa
Inna lillaah wainna ilayh raajiuun ALLAH akurehem baba kazi ya Allah haina makosa.
Upumzike kwa Amani mzee wetu
daar 😭😭😭💔💔💔 umetuachia huzuni sana baba ukiambiwa leo ndo wasaliwa ww huongei tena duuh mtihani sana kwa TZ
Tutakukumbuka Sana raisi wetu mpendwa JPM 😭😭😭😭😭😭
🕯️😪🇹🇿 Upumzike mahali pema peponi Babaetu shujaa wetu 🕯️
Siamini kuona hizi texts. Juu yake 1 year ago viva JPM....chini yake Pumzika kwa amani .... inahuzunisha.....inauma.....
Kiukweli rais wetu tutakukumbuka aisee mungu ailaze roho ya marehema peponi ameeen
J.P.M🙏
Mbn upon upo
Mungu akupe maisha maleeeeeef!
Good my President
Kwa sasa tunakusanya trion 1.77,sio 1.3
Munira Ahmed una umri gani
Huyu mzee kiboko anaweza sana
Lala salama baba 😭😭😭
Zote Ni nzuri Maana zinatuhimiza vijana kufanya kazi kwa mstakabari wa taifa letu.
Mungu amtangulie rais wetu
Safiii sana
I really love you magu
Tutakukumbuka daima magu
Thank you My Jesus Christ because of this My President John Pombe Joseph Magufuli... Thank you so much for My Tanzania...... Still need your Help and bless My Lord and KING of Kings... Jesus Christ...
Ama hakika nimeamini dunia hii "yeyote anayemulika mwanga wa vita ulaya hapaswi kusubiri kitu kingine mbali na machafuko"
Akuwa sahihi sana, pumzika kwa Amani, tutaendelea kukupenda na kuhenz aina ya uongoz wako,
You will always be remembered JPM. Mwana wa Africa
Ulikuwa bingwa saana rais mungu akupokeye
Mungu akulinde Baba
ï Will always love u king of africa Rip magufuri chuma
Hakiba baba tutakukumbuka daima
Naomba video hii intengenezewe subtitles za kingereza ili mataifa mengine waone rais tuliokua nae sio maneno wanayopublish sasa ivi please tufanye haya kumuenzi
Hi
Rais wangu ubarikiwe sana .nasikitika marehemu rafiki yako mjomba wangu aliekuwa mate wako enzi zakatoke seminary angekuwa hai akaona makubwa unayofanya TZ .
leomakufuli
Great job Global Tv
Big up JPM
Ananias Edger, umenibadili completely kabisa, sasa #hapakazitu
Frank Mkumbo una Akili sana kijana kama umeweza kutambua hilo, nmekupenda sana pia
@@samuelmanunu1543 nahisi hadi nimefanya makosa kuchelewa kujua upande wa mazuri ya JPM,kila siku nilimsema vibaya, mungu anisamehe bure. Nakupenda JPM
Nilikuwa nikijenga hoja potofu kwa watu mpk watu walikuwa wakiishiwa hoja lkn najuta kwa nn nilisema hayo, either nisem sikujua kaz ya raisi,
Hoja yangu ilikuwa wewe unaeshabikia uzur wa Magu, maishan mwako kabadirisha nn?
Kwako nn kimebadirika baada ya yy kuingia madarakan?
Kweli yalikuwa yasiyo na majibu lkn j kuna raisi kapokeza sukari au chumvi km si wanasiasa tu wanaogawa chumvi ili wakule ukiwa mtamu?
Magufuli hongera saana mzee!
Na shida na duku duku zangu ntamuomba msaada mwenyekiti wangu na wengine wewe piga kazi huko huku chini napata huduma zako kisawasawa