Club Africain 0-1 Yanga SC | Highlights | CAF Confederation Cup 09/11/2022

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лис 2022
  • Goli pekee la Stephane Aziz Ki limeipeleka Yanga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho barani Afrika #CAFConfederationCup dhidi ya Club Africain ya Tunisia.
    Ni mechi ya marudiano iliyopigwa kwenye Dimba la Olympic De Rades Tunis nchini Tunisia baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza kutoka suluhu.... kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 456

  • @wangonamuhange8218
    @wangonamuhange8218 Рік тому +21

    Wala miogo wenzangu like zihusike hapa

  • @tumpemsyani-io7pv
    @tumpemsyani-io7pv Рік тому +51

    Alie rudi kuiangalia hii mechi baada ya yanga# kumfumga Malumo# tujuane😂

  • @ecostats51
    @ecostats51 Рік тому +10

    Waliobaki huku nyumbani, wametoa sare tena 🤣🤣🤣. What a solid defending from Yannick and Job, what a beautiful sweep goalkeeping from Diarra, what a good approach from Nabi and the whole bench, what a midfielder is Sure boy!!. All of them are extremely in another level!!🙌🙌

  • @user-dd3ek5fh5g
    @user-dd3ek5fh5g Місяць тому +3

    Hii ilikuwa ni safari yenye kusisimua kwetu Wananchi 💚💛 nani mwingine amerudi kuangalia hii Highlight Tarehe 8/06/2024 tujuane kwa like👇🏾

  • @hussamnagila6567
    @hussamnagila6567 Рік тому +12

    Yanga .. I love how you beat the tunisian team 😂they always cry for penalties SMH
    We support you .. Hilal fan

  • @samuelkakule8038
    @samuelkakule8038 Рік тому +7

    Naishabikiya yanga toka Congo DRC. Asante mayele kwa pasi na Asante sana Azizi ki kwa bao.

  • @mysaramohamed4832
    @mysaramohamed4832 Рік тому +12

    No 1 on Trending just wow🔰🔰🔰🔰💚💛💚💛

  • @bakarhassan
    @bakarhassan Рік тому +11

    Moja Kati ya mechi kubwa sana ambayo yanga wali wahi kuicheza napenda kuitazama kila wiki

  • @user-hd8jz4ti1z
    @user-hd8jz4ti1z Рік тому +8

    مبروووك للشباب التنزاني فريق منظم جدا ويستحق أن يتوج بكأس الإتحاد الافريقي ،، تحياتي من السودان .

  • @frankkihomboh9756
    @frankkihomboh9756 Рік тому +7

    Kama umeloop goli la azizi kiii gonga like twende sawa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому +71

    Ushauri kocha wetu mzuri sana anajuwa afanyayo tumpe ushirikiano ktk kushinda na kupoteza tusiwe wepesi wa kumkaripiya yeye viongozi na wachezaji mpira ni kushinda kushindwa na sare.tukubali yote kuna siku tutafrahisana siku kidogo na kuna siku tuudhike ila tusivuke mpaka ktk maneno

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 Рік тому +6

    Yaan mmetueshimisha sanaaa💛💚💛💚 nawapenda kwa sababu mnapamban had mwisho

  • @zilperoscar7389
    @zilperoscar7389 Рік тому +11

    Nabi aligoma kupata aibu mbele ya mke na wtt wake 💚💛💚💛

  • @MbuyaJrAlvin
    @MbuyaJrAlvin Рік тому +19

    Nilivyomuona tu mwamba kageuza jezi bac nikajua tu leo waarabu wataita maji mma mma…. na kwl waliita MMAAA 😂

  • @ninahmbonea6248
    @ninahmbonea6248 Рік тому +11

    Mimi maoni yangu naipongeza sanaa Azam tv dah!! Tungeona wapi maombo haya live bila chenga...Mungu awape nguvu na uwepo zaidi ili dunia nzima iitizame Azam tv.

  • @rashidmalingwa808
    @rashidmalingwa808 Рік тому +11

    Cjui kwa nn natoka machozi💚💚💚💚💛💛💪💪

  • @lawrencephotographyandsafa5955

    Tusingewasema singer pambana safiiiiii sana wakuu saluted to Yanga AM a Simba fan but Congoleeeeeeeee yanga safiiiiii sana mmetuheshimisha kama simba wanavyofanya 🤝🤝👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @boazijailos2020
    @boazijailos2020 Рік тому +4

    The Club above all, imagine belong us, this is young Africans the people's Club

  • @abdymmanga6338
    @abdymmanga6338 Рік тому +6

    Yanga wamoto sana mamaee 🙌🏼🔥

  • @gooleserviceyoutubescandar3450

    Ukisema mayelee, Unamalizia Aziz kii, Yanga ALHAMDULILLAH.

  • @davidkabwiliza7187
    @davidkabwiliza7187 Рік тому +10

    Bado tupo trending mpaka leoo!!!!!!!!

  • @abdallahomar5868
    @abdallahomar5868 Рік тому +9

    Daaa leo yanga mmeupiga mwingi sanaaaaaaaaaa

  • @asyashariffu7717
    @asyashariffu7717 Рік тому +45

    Wako wp walisema tunapgw goli 7 km kipanga...naon goli Saba imewageukia wao kizungu yaan 7 kizungu inakuw 1 😅😅😅😅yanga tam😘 ...yanga wenzang gonga like hapa

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 Рік тому +6

    YANGA oyeeeeeeeeeeeeeeeee DAIMA MBELE NYUMA MWIKO CONGRATULATIONS MY TEAM💚💛💚💛💚💛

  • @bakarhassan
    @bakarhassan 3 місяці тому +5

    safari yetu na confidence yetu kwwnye soka la afrika ilianzia hapa

  • @yusuphngondo7607
    @yusuphngondo7607 Рік тому +4

    YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO congratulations. all and all thanks God you will be with us.

  • @user-lb3un8py7n
    @user-lb3un8py7n 9 місяців тому +3

    It was simply fantastic 🥰

  • @janethmyinga6470
    @janethmyinga6470 Рік тому +6

    No 1 on trending 💚💛

  • @charitymkombozi5900
    @charitymkombozi5900 Рік тому +4

    Number 2 on trending 🙌🙌🖤💛💚

  • @alex181
    @alex181 Рік тому +4

    This is what we want yanga nmependa sana

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 Рік тому +4

    Sure Boy
    True definition of Football 👍👍👍👍✅

  • @mollelluka1379
    @mollelluka1379 Рік тому +4

    Yanga hongera kwa kuvunja mwiko wa kuingia hatua ya makundi well done job

  • @jacksonnicolao8630
    @jacksonnicolao8630 Рік тому +2

    Hongera sana Yanga, you made it

  • @user-rv4wm7ov3s
    @user-rv4wm7ov3s Місяць тому +3

    12/06/2024💛💚🙏

  • @nabeelsombidah3405
    @nabeelsombidah3405 5 місяців тому +5

    Me nimerudi Tena leo tar 28/02/2024 baada ya kumfunga belouizdad

  • @DouglasMassop
    @DouglasMassop Рік тому +15

    Aliewadanganya Club africain kuva jezi za makolo ndie kafanya kosa. Sababu wananchi wakionaga tu red and white lazma wampige mtu kama ngoma🤣

  • @shomarysaid5055
    @shomarysaid5055 Рік тому +3

    Alieedit hii highlight bila shaka ni KOLO moja mjinga, Amekata best momens zote, anatakiwa afukuzwe kazi hafai kua hapo,Kolooo

  • @jumakassim8718
    @jumakassim8718 Рік тому +5

    Mipango ya Mungu ni sahihi kuliko ya wanadamu,Makolo mliyoyataka hayakuwa

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 Рік тому +3

    Wananchiiiiii 💚💛🏆🏅💪👏🔥💯✈️ Unyama mwingiiiiii saaana Daima mbele nyuma mwiko 🔥🔥

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 Рік тому +9

    Kilicho waponza waraabu jezi nyekundu kama Manchester ndio maana wamefungwa

  • @livingstoneyusuph4235
    @livingstoneyusuph4235 Рік тому +6

    Aziz kiiiiiiiiiiiii Yanga tamu bana but Yanga ange kua serious toka mwanzo ange kua club bingwa

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 Рік тому +10

    Tuliovumilia kuipa moyo timu yetu yujuane

  • @moise6735
    @moise6735 Рік тому +1

    Aksanti sana kwa Azam tv kwa kazi kubwa that you guys always do Congratulations kwa mabingwa wa soccer Tanzania Yanga Africans kwa ushindi mkubwa ugenini keep it up safari bado ndefu

  • @latifahkambi453
    @latifahkambi453 Рік тому +7

    Aliyerudia hii mechi Leo tujuane

  • @epafrangweshemi4014
    @epafrangweshemi4014 Рік тому +3

    Show me the way! Ni vyema sana. Kazi iendelee!!!!!!!!!

  • @deogratiasmaganga4954
    @deogratiasmaganga4954 Рік тому +4

    This is yanga,I love yanga

  • @edwini6952
    @edwini6952 Рік тому +6

    Daima mbele nyuma mwiko congrats kwa yanga Africa

  • @estarmbipi447
    @estarmbipi447 Рік тому +4

    YANGA mbele congratulations 🌹🥰💛💚💛💚

  • @enockmalegesi6358
    @enockmalegesi6358 Рік тому +3

    Vivaaaa Young Africans.....
    Tuumefuzu kibabe saaaana hadi raha
    Mpira mwingi na ushindii juu

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 Рік тому

      Ila highligts yao wameonyesha yanga wamezidiwa

  • @KeretoErik-gq1hx
    @KeretoErik-gq1hx Рік тому +5

    Yanga walicheza vizuri aki

  • @mcmambo8774
    @mcmambo8774 Рік тому +6

    Well-done yanga

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 Рік тому +8

    Walosema yanga itapigwa kama kipangaa waje niwape aftatu wakanywe supu washushiee maumivu😂😂

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 Рік тому +12

    Wapi like za kibwana aliokoa mipira mingi ya hatari

  • @husseinmustapha6773
    @husseinmustapha6773 Рік тому +7

    Muomba mungu achok 🙏🏻🙏🏻

  • @daudimmary3965
    @daudimmary3965 Рік тому +6

    Yanga daima mbele, nyuma mwiko 😍😍😍😍

  • @godfreywilliam9673
    @godfreywilliam9673 Рік тому +7

    Muombeni msamaha Azizi kiii na profesa Nabi

  • @hassan7270
    @hassan7270 Рік тому +2

    Waarabu wana roho mbaya sana 😥Mtume Muhhammad SAW hakuwa na sifa ya kuwa roho mbaya

  • @nasibuyahaya9129
    @nasibuyahaya9129 Рік тому +5

    Asanten watan hapo tumepata heshima huko tunaogopw safisan majeshi yet kwa kutu let's hshm

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому +2

    Shukran sana yanga kiujumla viongozi na wachezaji mmetuheshimisha mola katusikiya dua zetu mana wengi walitukatiyq tamaa yanga mbele nyuma mwiko.

  • @moramwita890
    @moramwita890 Рік тому +3

    Merci beaucoup bon voyage.Daima mbele Nyuma mwiko

  • @emanuelimakundi9747
    @emanuelimakundi9747 Рік тому +6

    leo nimerudia tena kuichek hii mech

  • @officialmtiamoyo6922
    @officialmtiamoyo6922 Рік тому +5

    Hii mechi sichoki kuangalia

  • @shamimujamaly8197
    @shamimujamaly8197 Рік тому +5

    Nikiwa kama mfatiliaje kwann mmeanzia dk ya 12 au ...au....au hii mechi ntairudia mpka na mpka ..💚💛💛💛

  • @yuscokalulu8716
    @yuscokalulu8716 Рік тому +13

    diarra anaipambania san tim yak hongr zang zot zmfikie popt pal alipo

  • @jamessanga6768
    @jamessanga6768 Місяць тому +2

    James lapulga jr nimerudi hapa kuiangalia tena hii mechii😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @capantermkugwa7650
    @capantermkugwa7650 Рік тому +4

    yangaaaaa mbele nyuma mwiko daaaa uku Tanzania Kuna kocha watoto wamechana jins ya kocha noma sana

  • @braysonpatrick4504
    @braysonpatrick4504 Рік тому +24

    Hili kombe yanga anaweza kubeba akiendelea kuwa serious

    • @hildajoel5
      @hildajoel5 Рік тому +2

      Nikumbushe tu kuna mazembe huku, pyramid na wengine 😄😄yani club bingwa kwa moto na shirikisho nako kwa moto👌👌

    • @Zaburi-
      @Zaburi- Рік тому

      @@hildajoel5 berkane huyo ulimuweka wewe acha kukariri

    • @Zaburi-
      @Zaburi- Рік тому

      @@hildajoel5 in fact Yanga anabeba ubingwa huo

    • @hassanmbarouk8654
      @hassanmbarouk8654 Рік тому

      @@hildajoel5 mazembe kwako mana Toka Simba iumbwe hajwhi mfunga mazmbe😂

    • @hildajoel5
      @hildajoel5 Рік тому +1

      @@Zaburi-acha kuota ndoto za mchana makundi yenyew umeingia leo tangu 98 halafu upite direct hadi kubeba kikombe 😂😂😂 ww ulishawah fanya biashara mara moja tu ukawa kama Gsm? Jiongeze

  • @kottaflavour7055
    @kottaflavour7055 4 місяці тому +5

    Tutamfunga mamelodi in nsha Allah

  • @danielmussa4101
    @danielmussa4101 Рік тому +4

    Ongereni sana wachezaji wa yanga Africans 🙏 mungu awabaliki sana jumla na kocha wa yanga Africans bwana awe NANYI by Daniel mussa gangaga

  • @rugendorunene545
    @rugendorunene545 Рік тому +2

    Beautiful 🇹🇿🇹🇿✔✔💯.

  • @makindamachine
    @makindamachine Рік тому +4

    Yanga wapo vizuri

  • @manenoramadhan1432
    @manenoramadhan1432 Рік тому +6

    Refa huyu yuko vizur sana hana presha

  • @amaniartsgroup4403
    @amaniartsgroup4403 Рік тому +3

    Hongera sana yanga africa umeiwakilisha vema Tanzania

  • @esterwarioba3670
    @esterwarioba3670 Рік тому +6

    sure boy kaupiga mwingi sana...

  • @samwelngomuo207
    @samwelngomuo207 Рік тому +16

    Hii highlight yenu haijabeba uhalisia
    Ni kama inaonesha yanga ilikua imezidiwa na inaonesha vpande ambavyo yanga wanashambuliwa..
    Yanga imecheza kwa ustad sana..
    Na possesion was fantastik
    Bildingup from golkpr was nice.. lakn hamjataka kuonesha hvyo
    Its unfear

    • @mickylifetimes
      @mickylifetimes Рік тому +4

      sure it's unfair, na elie upload hii video itakua ndo walewale wa roho za kukunja

    • @ramamtanga3482
      @ramamtanga3482 Рік тому +1

      Hakika umeandika ukweli mana walichokionyesha ni kwamba mwanzo mwisho yanga anashambuliwa yani nieri wasingeli upload iyo video

    • @ericbilsen1176
      @ericbilsen1176 Рік тому

      @samwel kumbe na wewe umeliona hilo.
      It's really unfair !!!

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 Рік тому +2

      @@mickylifetimes itakua ni KOLO LA AZAM NDIO AME UPLOAD

    • @hindisaid2413
      @hindisaid2413 Рік тому

      Ila goli limeoneshwa.
      Ufaransa waliwazidi Senegal ki mpira world cup 2002 lakini sen.walishinda😆😆

  • @abdulladosantosjr
    @abdulladosantosjr 4 місяці тому +4

    Hii mechi ilikuwa dume kwel kwel mixer nongwq za waarabu daah, Daima mbele nyuma mwiko

  • @shabilukhatibu9700
    @shabilukhatibu9700 6 місяців тому +4

    2024🎉

  • @janwizzarak207
    @janwizzarak207 Рік тому +8

    🤷‍♂🎂🦑🗣🏈⚽🎊🎊🍭🍡🍬🌿🍔🍔 *Mungu alionyesha upendo wake kwetu kwa kumtuma Mwanawe Yesu Kristo, ambaye alikufa na kufufuka kutoka kwa wafu ili kutupa uzima wa milele.* *Pia aliahidi kuponya. mwili wako.* *Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu* *atakupa uzima wa milele*
    *(Angalia mbinguni na umuulize Mungu)*

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 Рік тому +4

    Hongera yanga hongera Tanzania yanga mko juu sure boy amefanya mengi soka limechezwa waarabu hoi

  • @linnahcasmir5275
    @linnahcasmir5275 Рік тому +2

    Mojaa ktk ya mechi iliyonilizaa Sanaa😭😭👈kwa furahaa na machungu

  • @dripcornersports4272
    @dripcornersports4272 Рік тому +8

    2023 tuko nayo

  • @hairuibrahim1303
    @hairuibrahim1303 Рік тому +3

    02 on trending so far

  • @nassmapande8674
    @nassmapande8674 Рік тому +6

    Tending nomber 1

  • @haibasalehe3889
    @haibasalehe3889 Рік тому +5

    Diaraaaaaaaaaa 🙌

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 Рік тому +5

    Mashabiki wa makolo njoon niwagaie afutatu mkanywe supu

  • @burudanitiv324
    @burudanitiv324 Рік тому +3

    Pongezi kwa wachezaji wote wa yangaaa god bless us players sasaivi tumeweka heshima

  • @cliffmwakyusa8730
    @cliffmwakyusa8730 Рік тому +8

    kwer yanga tuko vzul

  • @bakarhassan
    @bakarhassan 9 місяців тому +3

    moja kati ya mechi yangu bora kwenye kizazi chetu

  • @fra9873
    @fra9873 Рік тому +4

    a battle 🔥

  • @tungaraza7794
    @tungaraza7794 Рік тому +1

    Kwa kweli kazi haikuwa rahisi

  • @ferdinandkasiki714
    @ferdinandkasiki714 Рік тому +4

    OMARI MACHOKOLO wa MANZESE midizini kwa sasa hakuna timu inaweza kushindana na yanga kwa usajiri kwa pesa caf tunaongoza timu bora idara zote

  • @KarokiaNdirango-lj3wf
    @KarokiaNdirango-lj3wf 9 місяців тому +4

    Sikuile nilibety Yanga 1-0 Club kama nilijuaaaa

  • @halimahamis7370
    @halimahamis7370 Рік тому +6

    Hawa waarabu walikuwa wananiudhi tangu mechi ya kwanza leo mbona hawakulalalala kama wamebemendwa yanga tamu

  • @isiakaabby2179
    @isiakaabby2179 Рік тому +5

    Yanga oyeee

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 Рік тому +5

    Aziz ki...kama hapigi sana ila huwa ni kamba😂😂😂😂

  • @aronjonathan3297
    @aronjonathan3297 9 місяців тому +5

    Tangu sku hyo yanga haimuogop mwarabu

  • @AminaAmina-cr8jq
    @AminaAmina-cr8jq 10 місяців тому +2

    Sikuamini nilikuwa,na presha mungu ni mwema

  • @nasirkilapo6041
    @nasirkilapo6041 Рік тому +5

    Ivinyie Anzm kwa nin mumeiyazia kati ananyie makolo ajapenda yanga kufuzu au

  • @bakarihatibu4587
    @bakarihatibu4587 Рік тому +2

    Hongereni sana watani Yanga,, mumeendeleza kuiwakilisha tz vyema

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 Рік тому +6

    km tuko nyumbani 😂🤣😂🤣💚🔰💚