Ninaunga mkono jambo hili Mchungaji; Ni ushahidi wa kutosha na usioweza kupingika kutoka kwenye vitabu vyote vya Ellen G white; Na alionya sana juu ya uwekaji tarehe kwa wale wanaokuja kwa upole wa nje, kama malaika wa upande wa nuru ya kweli na kumbe ni matapeli ambao wameacha utume wa kweli na kuanza kufanya makadirio ya kuja kwa Yesu Kristo nje ya maandiko matakatifu
Alafu kingine pastor je , neno la Mungu biblia linafundishaje kuhusu krismas , mbona nukuu za Ellen white Ni Kama Zina himiza hadi tuwe na miti ya mikrismasi na mimi najua biblia haifundishi hivyo 😢😢😢
Kweli kabisa......nmesikia wanasema mwaka 2031 YESU anakuja.... Siku asipokuja??? Inatakiwa KUWA tayari kila siku.....lakin Kwa kuweka siku na TAREHE....naona kama hawapo Sawa.......maana biblia haijasema hivyo
All glory to God of heaven and earth, because the Bible does not contradict it self, because the writers were inspired by the Holy Spirit, then sister white not nullified the Bible Instead she upgraded the Holy Word (Bible) and valued it above her writings Lastly I have a question what about those who told people to stop reading sister white’s books they said that she was a false prophetess is it true?
Alafu kingine pastor je , neno la Mungu biblia linafundishaje kuhusu krismas , mbona nukuu za Ellen white Ni Kama Zina himiza hadi tuwe na miti ya mikrismasi na mimi najua biblia haifundishi hivyo 😢😢😢
Ninaunga mkono jambo hili Mchungaji; Ni ushahidi wa kutosha na usioweza kupingika kutoka kwenye vitabu vyote vya Ellen G white; Na alionya sana juu ya uwekaji tarehe kwa wale wanaokuja kwa upole wa nje, kama malaika wa upande wa nuru ya kweli na kumbe ni matapeli ambao wameacha utume wa kweli na kuanza kufanya makadirio ya kuja kwa Yesu Kristo nje ya maandiko matakatifu
Amen, 🤝
Nakuelewa sana Mchungaji.
Thank you for good massages of God
Nabarikiwa sana
Amen barikiwa pastor , Mungu akusaidie kuwaelekeza watu katika ukweli wa Mungu
Watu wengi sana hawasomi Biblia. Ni janga kizazi hiki
AMEEEEN AMEEEEN AMEEEEN
Alafu kingine pastor je , neno la Mungu biblia linafundishaje kuhusu krismas , mbona nukuu za Ellen white Ni Kama Zina himiza hadi tuwe na miti ya mikrismasi na mimi najua biblia haifundishi hivyo 😢😢😢
@@emmanuelmbuliimo7055 samahani ni Sehemu gani Ellen White ameongelea krismas?.
Kweli kabisa......nmesikia wanasema mwaka 2031 YESU anakuja....
Siku asipokuja??? Inatakiwa KUWA tayari kila siku.....lakin Kwa kuweka siku na TAREHE....naona kama hawapo Sawa.......maana biblia haijasema hivyo