KWIKWI ZA HAR-MAGEDONI SEH #6: MCHUNGAJI PAUL SEMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 19

  • @maduluvideo2266
    @maduluvideo2266 Місяць тому

    Naomba kuungwa kwa whatsApp group lako jina langu ni japhet kutoka dar es salaam🙏🙏🙏

  • @josiaugali
    @josiaugali Місяць тому

    Roho ya unabii siku hizi haikubaliki na wachungaji pamoja na mfumo wetu wa kanisa..............sijui shida inakua wapi maana ukweli hauwezi ukakataliwa hata siku moja.
    Ukweli hata uukatae kiasi gani utabakia palepale
    sawasawa na SABATO wengi wanaikataa lakini kukataa kwao hakuifanyi kua haipo.
    NDUGU ZANGU TUAMKE!!!!!!

    • @GeraldDominic-yp7gm
      @GeraldDominic-yp7gm Місяць тому +1

      wachungaji wengi wanazungumza sauti ya mfumo kwakweli hapa ndio naamini kabisa unabii wa miaka 6000 ni kweli kabisa

    • @daud8785
      @daud8785 Місяць тому

      Nenda pia kwa channel ya present truth loudcry ministry kasikilize

  • @GeraldDominic-yp7gm
    @GeraldDominic-yp7gm Місяць тому

    kwakweli nilikuwa nakuamini sana pr ila kwa hili NO NO umefeli,tena nimegundua kuna vitu vingi sana unahitaji kufundishwa yani uliposema KUHUSU JUKWAA IMARA ni kanisa la SDA nilikushangaa sana inawezekanaje mtu mwenye uelewa kama wewe usijue kuwa JUKWAA IMARA ni UJUMBE WA MALAIKA WATATU?
    pole sana

  • @MagazihostTv
    @MagazihostTv Місяць тому

    WIMBO WA MAPEPO SIKU ZA MWISHO.
    Nabii alioneshwa wimbo huu utaimbwa na wenye dhihaka wa ndani na nje ya kanisa. “Watakatifu walimngojea BWANA wao kwa subira na kufunga, wakikesha, na kutumia muda wote katika maombi. Hata baadhi ya wadhambi waliutazamia wakati huo kwa hofu; Lakini Umati mkubwa ulidhihirisha roho ya shetani katika kuupinga ujumbe. Walikejeli na kudhihaki, wakirudia kusema kilamahali, “hakuna ajuaye siku wala saa.” Malaika waovu waliwahimiza na kuifanya mioyo yao migumu na kupinga kila mwale wa nuru kutoka mbinguni, kwamba wanaswe katika mtego wa shetani. Wengi waliodai kutazamia marejeo ya Kristo hawakuwa na sehemu katika kazi ya ujumbe.” Early Writtings.Uk.238.4.Maandiko ya Awari.

    • @josiaugali
      @josiaugali Місяць тому

      @@MagazihostTv Amina

    • @daud8785
      @daud8785 Місяць тому

      Nenda pia kwa channel ya present truth loudcry ministry kasikilize

  • @GeraldDominic-yp7gm
    @GeraldDominic-yp7gm Місяць тому +2

    Sasa tumsikilize nani nabii aliyeoneshwa Kuna miaka 6000 au wewe?.Amani unayoizungumzia ni ipi ? wakati neno la MUNGU halisemi kama Kuna Amani! hivyo ndivyo mnavyowapoozesha watu wabaki kupuuza.

    • @daud8785
      @daud8785 Місяць тому

      Nenda pia kwa channel ya present truth loudcry ministry kasikilize

  • @GeraldDominic-yp7gm
    @GeraldDominic-yp7gm Місяць тому +3

    mchungaji kwa kuukataa huu ujumbe hakika unafanya kazi ya adui,nabii alikwisha sema ni Ujumbe wa muhimu kwetu wewe ni nani?
    wayahudi walipewa mwaka na mahali atakapozaliwa masihi lakini viongozi kama wewe waliwazuia watu wasifanye hesabu za unabii huo, mchungaji huoni kama unatimiza kile walichokifanya SANHEDRIN?

  • @GeraldDominic-yp7gm
    @GeraldDominic-yp7gm Місяць тому +2

    kwakweli nilikuwa nakuamini sana pr ila kwa hili NO NO umefeli,tena nimegundua kuna vitu vingi sana unahitaji kufundishwa yani uliposema KUHUSU JUKWAA IMARA ni kanisa la SDA nilikushangaa sana inawezekanaje mtu mwenye uelewa kama wewe usijue kuwa JUKWAA IMARA ni UJUMBE WA MALAIKA WATATU?
    pole sana