DAY # 2: UTUFUNDISHE KUOMBA || MCHUNGAJI PAUL SEMBA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 8

  • @YonaNzuyu
    @YonaNzuyu 14 днів тому

    Ubarikiwe sana mchungaji hakika nabarikiwa na mahubiri yako pastor

  • @GloriaMmbaga
    @GloriaMmbaga 15 днів тому

    MUNGU akutunze mchungaji barikiwa sanaaa🙏

  • @DevisNyami-n9j
    @DevisNyami-n9j 15 днів тому +3

    Namshukuru Sana mungu ninapo angalia au kusikiliza hotuba za Paul semba..... Kiujumla nimejikuta kupenda Sana neno la mungu...... Pia naomba siku ufanye mkutano maeneo ya kwetu Sumbawanga naona huku injili bado haijachanganya Sana kulingana na maeneo ya Kanda ya kati,kanda ya ziwa na maeneo mengine......

    • @daudnyore4696
      @daudnyore4696 15 днів тому

      Aminaa Mimi pia vivyo hivyo nabarikiww sanaa

    • @ronaldhelmott8379
      @ronaldhelmott8379 15 днів тому

      Ni ukweli kabisa wa Mungu, watumishi wengi wa Mungu hawaelezei Mungu anachokisema kwenye Biblia bali tu mambo ambayo mm nahisi wanaelewa kuhusu neno na ukitaka kuthibitisha hilo kasikilize watumishi wengi hata hapa tu kwenye haya mambo ya siku 10 utaona kuna utofauti mkubwa sanaa.
      Na shida kubwa ukishindwa kuelewa neno hakika huwezi kukua kiroho hata kidogo na mm huwa natamani watu wasikilize mahubiri yake pr semba watakua sanaa kiroho
      Mungu ambariki sanaa.

  • @ronaldhelmott8379
    @ronaldhelmott8379 15 днів тому

    Amen and Be blessed Pr.

  • @CharlesJumanne-zh4oz
    @CharlesJumanne-zh4oz 15 днів тому

    Hii ni yenyewe!

  • @OnesmoJoseph-e4c
    @OnesmoJoseph-e4c 15 днів тому

    Tunakukaribisha SANAWARI ARUSHA.