MAMBO 6 YA KUFANYA WATU WAKUPENDE ZAIDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Kila mtu ana kitu cha kipekee kufanya wengine wampende bila sababu maalum.
    Mambo sita (6) ya kufanya watu wakupende zaidi:
    1. waite watu kwa majina yao - usisahau kukumbuka.
    2. Toa sifa wanazostahili.
    3. Kuwa na muda wengine, kuwafahamu (Siri ipo kwenye marudio)
    The more familiar you're with something, the more you start to notice it.
    4. Kuwa mwepesi na huru kuongelea baadhi ya mambo ambayo ulifeli au ulikosea. people wanna see a human side
    5. Positive attitude (mtazamo chanya) watu watapenda zaidi kuwa karibu yako.
    6. Kuwa msikilizaji mzuri, na wape nafasi wengine waongee yanayowahusu zaidi.
    Ni hali ya kibinadamu kwa sisi kupenda kujiongelea zaidi, basi hata kwa wengine ni hivyo
    .
    Kujiunga na group la SPN BOOKS CLUB na Kupata vitabu
    Tuma whatsapp/ Text kwenda 0759191076
    .
    Channel yangu yenye video fupifupi ( EZDEN SHOT CLIPS)
    Click hapa: / channel
    .
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE pia kwa wengine.
    .
    TUFUATE INSTAGRAM:
    SPN CHANNEL: / successpath_network
    EZDEN JUMANNE: / ezdenjumanne
    .
    BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU:
    EMAIL: successpathnetwork@gmail.com
    WHATSAPP : (+255)759191076
    .
    TAZAMA ZAIDI KUTOKA KWETU:
    ⚫️ EZDEN JUMANNE: • EZDEN JUMANNE
    ⚫️ VITABU: • JE, TEKNOLOJIA INADUMA...
    ⚫️ VICTOR MWAMBENE: • TUMIA WATU KWA NJIA HI...
    ⚫️ HAMASA YA LEO: • SOMO LA MAISHA | Hamas...
    ⚫️ NDOA: • JIFUNZE MAMBO MANNE (4...
    ⚫️ AFYA: • Njia Salama za Kutoa S...
    #Watu #Wakupende #Zaidi

КОМЕНТАРІ • 84

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork  3 роки тому +6

    KUPATA KITABU HIKI:
    Tafadhali tuma ujumbe wa kawaida au whatsapp wenye jina la kitabu katika namba 0759191076 popote ulipo.
    Bei: 20,000 TZS.
    .
    Kujiunga na group la VITABU
    Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076

  • @abdallasalim3778
    @abdallasalim3778 3 роки тому +4

    Asante ndg, njia nyingine upende kuwasalimu watu ktk jamii inayokuzunguka,,njia nyingine penda kuwasaidia watu kifedha walio na shida mbalimbali,,km utakuwa na uwezo,,au kuwasaidia kw kutumia nguvu zako pia ,au mawazo pia

  • @AnnaThobias-rt7lb
    @AnnaThobias-rt7lb 3 місяці тому +1

    Bombàaaa....sanaaaaa❤️❤️❤️❤️❤️❣️❣️

  • @omarimadiva5352
    @omarimadiva5352 3 роки тому +4

    Ahsante kaka kwa ujumbe kwa sababu kupendwa kunaongeza furaha,hujenga udugu na kufungua fursa mbalimbali kama za kiuchumi

  • @deogratiuslwamboya4032
    @deogratiuslwamboya4032 3 роки тому +3

    Mr. Ezden Jumanne. Salute👌point zote sita zina nyama ya kutosha!! 🇹🇿✍️

  • @bizimanabaruwani780
    @bizimanabaruwani780 2 роки тому +1

    Assalamwalaykum wakiristu jambo sana kweli Nafurahi sana na mada zako ziko poa sana Allah Akujaze ilimu

  • @thabitally9875
    @thabitally9875 3 роки тому +3

    Safi sana, kazi nzuri sana

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 3 роки тому +3

    Thank you kaka Ezen Jumanne I'm alot; when i listen i give myself time to learn something new but when i talk i repeat what i already know.

  • @adelambeikya8363
    @adelambeikya8363 3 роки тому +2

    Nazidi kujifunza kitu kipya kupitia video zako mungu akubariki

  • @charzysimion9055
    @charzysimion9055 3 роки тому +5

    Respect

  • @erastobartalome2709
    @erastobartalome2709 3 роки тому +4

    Respect kaka

  • @rachelmikey5493
    @rachelmikey5493 Рік тому +1

    Nakupenda alafu napenda kufatilia story zako..

  • @japhetitinde9433
    @japhetitinde9433 2 роки тому +1

    Hongera sn,kwa ufahamu wa ufahamu unaoendelea kutoa kwa jamii bnfs nakuelewa vzri ongeza maarifa utafika mbali,ndimi mtumishi Itinde Ibaso/pia mtaalamu Afya wanyama na ndege,pia mjasiamali mazao mifugo.

  • @yumbujackson869
    @yumbujackson869 3 роки тому +2

    Bro Mungu akubarik kwa elimu hii

  • @shidashida6060
    @shidashida6060 Рік тому +1

    👌🏿👌🏿👌🏿

  • @godfreyaliwa7168
    @godfreyaliwa7168 3 роки тому

    Nimejifunza kitu
    Shukrani Sana Kaka Ezden Jumanne ubarikiwe

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 3 роки тому +1

    Mimi nakuelewaga sana kaka Ezden pia naomba Mungu aniwezeshe niweze kuyafanyia kazi mafunzo unayonipa.

  • @saadaalmamary8397
    @saadaalmamary8397 3 роки тому +2

    Exactly amazing u teach me something

  • @pilikipengele963
    @pilikipengele963 Рік тому

    Thanks Edzen God Bless you

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 4 місяці тому

    shukran sana

  • @gideonkipruto3987
    @gideonkipruto3987 2 роки тому

    Asante

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 2 роки тому

    بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا يا أخي العزيز Ezden JUMANNE

  • @maulideabdala3832
    @maulideabdala3832 3 роки тому +1

    Asalam aleikum kaka. Mimi nipo mozambique lakini nnaerewa kiswahili yani kwa ukweli nnajifunza mengi sanar kupitiya wewe, mungu akujarie, muito obrigado

  • @MartinLameck-hm9gx
    @MartinLameck-hm9gx 4 місяці тому

    Kaka nimependa sana mafundisho yako wacha nianze kuyaishi hayo uliyoyasema kwa kweli nimepata mtaji mkubwa sana wa maisha Mungu akubariki sana kaka

  • @shabanzege3050
    @shabanzege3050 3 роки тому +1

    Broo Ezden Allah akubariki sanaa

  • @mbaloplatnumz646
    @mbaloplatnumz646 Рік тому

    Mwenyez mungu akubarkh kaka

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 роки тому

    Mashallah
    Jazakhah Lwah Kher Akhui

  • @MesiusKaroli
    @MesiusKaroli 4 місяці тому

    Ubarikiwe sana kaka

  • @merydavis3860
    @merydavis3860 3 роки тому +3

    Waooow

  • @chw2075
    @chw2075 3 роки тому +1

    Nice lecture

  • @khadijashabaninimba7890
    @khadijashabaninimba7890 2 роки тому +1

    Barikiwa 🙏❤️sana

  • @floramwaijele9322
    @floramwaijele9322 3 роки тому +1

    Noted

    • @mihayogodfrey606
      @mihayogodfrey606 3 роки тому

      Big up sana kaka edzen jumanne nmejifunza kitu kikubwa sana

  • @sixmundstephen8042
    @sixmundstephen8042 3 роки тому +1

    Nimekuelewa bro.

  • @salumhamad
    @salumhamad Рік тому

    asante san kijan

  • @theonilachaula1064
    @theonilachaula1064 3 роки тому

    Nakukubali sana kaka,asante kwa masomo mazuri unayotupatia

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 3 роки тому +1

    Asante kaka nipo Zambia lkn kila mda nakufwatilia by Steven nzito

  • @bravoinfo8446
    @bravoinfo8446 3 роки тому +1

    Kweli lakin ikitokea kakukosea utafanyaje na ni best yako

  • @hajihashimu4199
    @hajihashimu4199 3 роки тому +1

    Unatupa madini bro Allah akupe afyatele

  • @mickmussa9353
    @mickmussa9353 3 роки тому +1

    Baad ya kukusikiliz nimepat mamb meng San thanks for that

  • @gseventz4663
    @gseventz4663 3 роки тому +2

    Respect kwako kaka..

  • @mwashighadijames3018
    @mwashighadijames3018 3 роки тому

    Asante sana Ezden,funzo nzuri

  • @anicertsweetbert8746
    @anicertsweetbert8746 3 роки тому

    Sawa kaka nakukubari ongera sana

  • @jacobzama6483
    @jacobzama6483 Рік тому +1

    kaka nafurahi Sana napata Somo jipya kila siku nikikusikiliza Kaka 🙏

  • @asumanisuleimani1295
    @asumanisuleimani1295 3 роки тому

    Nakuelewa Sana

  • @venturebown6983
    @venturebown6983 2 роки тому

    Bless up bless up

  • @nasonoyaro7740
    @nasonoyaro7740 3 роки тому +2

    Mungu akubariki qwa kujitolea kwako

  • @selemanirashidi1277
    @selemanirashidi1277 2 роки тому

    Asante sana kaka

  • @abudihatari4617
    @abudihatari4617 2 роки тому

    Safisana

  • @binallymunshed7848
    @binallymunshed7848 2 роки тому +1

    Bin Ally APA
    Broo pia yapo mambo ambayo ukiyafanya pia watu watakupenda
    1 kujiepusha na kuomba omba ovyo yani kuto kukinai..
    2 Kupenda Usafi
    3 Kuto kujivuna

  • @shabanhassanishabanhassani2913
    @shabanhassanishabanhassani2913 2 роки тому +3

    Bro pamoja na madini unayotoa yooote lakini mimi kinachonifurahisha sanaaa ni jinsi unavyoongea

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 2 роки тому +1

    بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا يا أخي العزيز

  • @miriamiboni8232
    @miriamiboni8232 3 роки тому

    ubarikiwe sana j4 kwa elimu hatamimi natamani kufanya kitu/biashara lakini naogopa kusubutu

  • @billmoneysuleiman2141
    @billmoneysuleiman2141 2 роки тому +1

    Kaka Ezden Jumanne me nijifunza mengi sana khs hiyo video 1 nimejifunza kuwa msikilizaji na kutojivuna sana mana na me ninayo tabia hiyo ila “ tabia huota kama majani “so nitajitahidi iyondoke.

  • @akidasalim3859
    @akidasalim3859 3 роки тому

    Nimependa sana hili soma

  • @patricktarimo2699
    @patricktarimo2699 2 роки тому

    Big up sana bro, nimekuelewa

  • @talalimpagalala6261
    @talalimpagalala6261 2 роки тому

    Mr endelea kutoa elimu especially for young people that expected to win success

  • @musason1680
    @musason1680 2 роки тому

    Asee jina n kila kitu hata mm nikiitwa t huwa namzingatia mtu kile anachotaka kukisema,

  • @omarisaleh8881
    @omarisaleh8881 2 роки тому

    Kwakwel point ilio nigusa zaidi nikumuita mtu kwajina lake lakuzaliwa au lautani ambalo analipenda pamoja pamoja nakua makini kumsikiliza mtu nakuchangia kidogo anachokiongea ili umsibitishie kweli unamsikiliza .

  • @albanusmbithi3486
    @albanusmbithi3486 3 роки тому

    🥳🥳🥳🥳 listen twice

  • @tatu3tatu549
    @tatu3tatu549 2 роки тому

    Hi

  • @ramadhannyigana8883
    @ramadhannyigana8883 3 роки тому +1

    Kwema kaka kuna somo moja nilikuwa naomba kama itawezekana ukiwa natabia ya kufanya kazi kwabidii adi boss akakupenda sasa changamoto ipo kwa wafanyakazi wenzio wakakuchukia vipi somo jinsi ya kwenda nao sawa kaka , samahani mm sio mtaalam katika kupangilia sentensi ila naimani utakuwa umenielewa

  • @gideonkipruto3987
    @gideonkipruto3987 2 роки тому

    Kuita watu kwa majina yao imenigusa

  • @tatu3tatu549
    @tatu3tatu549 2 роки тому

    Swali langu lipo hiv sifa nyingi unazosifiwa na mabaya meng unayotangaziwa lipi lenye ubora wa kanifikisha mbali

  • @tinahosea9930
    @tinahosea9930 3 роки тому

    🙏🙏🙏

  • @danielhaule4903
    @danielhaule4903 3 роки тому

    Big up bro 💪🔥🔥

  • @maungomubita7981
    @maungomubita7981 3 роки тому

    About calling people by their name....I have questions and reservations. I am of the view that you might want to call people what they want to be called. Also that there is also a cultural aspect to be considered.

  • @farijanibakari9772
    @farijanibakari9772 3 роки тому

    Kaka vp

  • @bigj1657
    @bigj1657 3 роки тому

    you're not guy

  • @khadijamohammad473
    @khadijamohammad473 3 роки тому

    Jambo kaka ezden jumanne nauliza hivi kwa mfano kazini kwangu naeza kuandika jina langu kama kwenye kutangaza biashara kama nilivoandika kwenye license sbb naona nikiandika haipendezi sbb kila mtu atakua ananijua kazi yangu ya ufundi wa nguo

  • @mathiaslaban8530
    @mathiaslaban8530 3 роки тому

    Namba hyo kaka ezden naomba uniunge group lako la whataap 0757002811

  • @zeynakatimba546
    @zeynakatimba546 3 роки тому

    Masomo mazuri kaka Edzen ila rekebisheni kwny sauti inatangulia halafu midomo ndio inamalizia kuongea.
    Otherwise shukran sn kw masomo yanasaidia kumbadili mtu kimtazamo na kuyafanya kimatendo.