⚡QOTD⚡ Ni kitu gani ambacho kinashika na kukuvuta usifikie mafanikio katika maisha/biashara yako. Niandikie Jinsi ya kupanga Bajeti-50/30/20 ua-cam.com/video/xt0x6up92CA/v-deo.html Usisahau KuSUBSCRIBE- ua-cam.com/channels/k-G.html
Asante sana kaka na naomba tuitukuze lugha yetu ya kiswahili na tujigambe kwayo sio wote wanajua kiingereza na wala sio lugha yetu hii. Mungu akubariki
Have lean alote bro.. as u said u need to have a team dat it will help u to increase some of ideas I think u can be one of pipo who can teach me more according to what have leaned from you throw hw to success in business mind set can I have your t sap line bro plz..
Tayari yeye yuko ndani ya kazi,ama huna ufahamu kuwa unazodhani ni hadisi ni somo ya kuzingua wengi kimawazo?.Hongera kwa mwalimu na uzidi kutuandalia somo.
⚡QOTD⚡ Ni kitu gani ambacho kinashika na kukuvuta usifikie mafanikio katika maisha/biashara yako. Niandikie
Jinsi ya kupanga Bajeti-50/30/20
ua-cam.com/video/xt0x6up92CA/v-deo.html
Usisahau KuSUBSCRIBE- ua-cam.com/channels/k-G.html
NAOMBA NO YA SM PLEASE 🙏
NO YANGU HII BROO . 0688207567
0629718385
@@GOnlinepositivity Asante ,Labda kunasiku tutaonana , Asante sana broo 🙏
It's not easy
@@GOnlinepositivitynaomba msaada wako kama hutojali
Sawa kaka nimekuelewa vinzur 🙏🙏
Tunamshukul mwenyez mungu ailivo panga kwamba aonyeshae juhudi hatakuwa mtu wa chini
Nimekuelewa sana brother nimejifunza vitu naanza kuchukua hatua.
Safi
Asante sana kaka na naomba tuitukuze lugha yetu ya kiswahili na tujigambe kwayo sio wote wanajua kiingereza na wala sio lugha yetu hii. Mungu akubariki
Nimepata kitu kk Asante kuanzia SS nabadirika
Hongera kwa hii video yako.
Hii ni elimu kubwa sana Kama mm nimejufuza kwakweli ast San fanza
Mungu akufanyie lolote umuombalo👍👍👍👍💯💯💯
Barikiwa zaidi kaka kiukweli sijajuta kusikiliza nitajitahidi kukufatilia
Thanks a lot nimejifunza
Thanks. Naomba ucontiune. Kutukuza zaidi
Mungu akubariki zaidi samahani uliona nini hadi ukatafakari haya yote Ni ushauri mzuri sana😊😊
Asante kwa video hii yakuepuka mambo sits ili kufanikiwa. Jaribu kutumia lugha ya kiswahili bila kuchanganya changanya ili ueleweke Zaidi.
Asante nimelipokea hilo
Thanks brother I appreciate your help
Cjawai kujuta kukufuatilia izak gomelo thanks brow kwa masomo mazuri🙏🙏🙏
Asante na karibu sana
Hongera sana G-ONLINE
Nimeipenda hiyo bro Mungu atuongoze
Kaka G safi sanas nimependa Content zako ... keep doing it .. wengine watu kama sisi tunapenda kusikilia bcoz we learn from it
Asante sana, karibu
Thanks bro nimependa saana
Asante kwa kazi nzuri
Napenda sana kazi zako
BLESSSSSS....kazi nzuri
Kazi nzuri.Mungu akubariki
Naomba Kujua Kati ya Malengo mipango tofauti yake ni IP!
i have nothing to say than to gave u a thumb up 👍👍...umenibariki sana bro keep up to encourage us.
Asante sana.Karibu
Kweli kaka
Kweli kabisa asante sana barikiwa
Nashukuru, asante pia.
Yes very good ideas
Thank you my brother👏👏👏
Any time
Mungu akujarie kaka uzid kutupa elim hii
🙏
Mm nimekukubari
Thanx Mr G.online I appreciate you
Big up
Good I imprécis
Thanks G online for your video
Thank you so much my brother I've learned something
Thank you i appreciate
Thank you sir
I appreciate, thank you too.
Nimejifunza ki2
Barikiwa saba
Asante
Nimekuelewa sana kaka
Thank you
Shukrani sana
well said!
Mungu akubariki kijana
Asante
EXCELLENT!
Asante nimegate kitu
Good
Safx Sana brother
Thanks
So nice
Salute
Kweli
big up bro!
well well
Maneno mazuri
Thax
Mzungumzani kiswahili kama hamuwezi zungumzeni kingereza moja kwa moja
Asante tumelipokea hilo
Rafiki Lakin watu weng hususan jamii yetu yaki africa hatujiamin kwa kusimama sisi kama sisi ila mpaka tufanye uchawi
Good idea
Excellent
Thank you! Cheers!
Umenena kweli kaka
Nashukuru Dada, karibu sana.
I'll be someone one-day
Amen keep going
unatoa mafunzo mazur sana
Nashukuru sana. Karibu
Tumekuelewa lakini jamii pia nayo inachangamoto zake
Najua hilo lakini unaweza fuata mawazo, ndoto na malengo yako. Bila kuwaza wala kusikiliza jamii inasema nini. As long as tu kiwe kitu sahihi kwako
I appreciate u
Exactly😘
Thank you i appreciate
Naomba kujua jins ya kufungua Chanel ya you tube
Ili nweze kupost videos zangu Nami kaka
You
Yes
Asante kaka,lkn sauti yako inafanana na Ezden Jumanne
Asante sana, labda kwasababu ni mentor Wang. 🙏
Nice
TANZANIA
Akuna kuludi never never
Fact
Thenx bro
Asante
Karibu sana, asante pia.
Hakika kabisa
A
Thank very much my bro!
Good messege
True
kwel broo
Have lean alote bro.. as u said u need to have a team dat it will help u to increase some of ideas I think u can be one of pipo who can teach me more according to what have leaned from you throw hw to success in business mind set can I have your t sap line bro plz..
You're welcome ! Let's get connected
👍
Kmana una group niunge
Apo kwnyekuzngumza na waliofankiwa waliofnkiwa weng n wachoyo
Duu!
Binafs nimekuelewa, ni jinsi gani/ni njia zipi za kubajet katika maisha? Plz naomba unijibu
Bakari angalia video hii -ua-cam.com/video/xt0x6up92CA/v-deo.html itakusaidia
.
Niunge group 0713125878
Poa
Kati ya watu uliowataja mbona cjakuona umejitaja hapo nendakafanye kazi acha hadisi
Asante
Tayari yeye yuko ndani ya kazi,ama huna ufahamu kuwa unazodhani ni hadisi ni somo ya kuzingua wengi kimawazo?.Hongera kwa mwalimu na uzidi kutuandalia somo.
Vp huna group whatsapp
Hapana
Nice
Thanks
Welcome
Asante