SIRI ZA MAFANIKIO KWA KIJANA YEYOTE MWENYE MALENGO MAKUBWA MWAKA 2020.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 88

  • @GOnlinepositivity
    @GOnlinepositivity  5 років тому +4

    ⚡QOTD⚡ Ni kitu /jambo gani hasi linalokuzuia kutoweza fanikisha malengo yako na kufikia mafanikio? Niandikie 👇👇

    • @judithkidiwa7973
      @judithkidiwa7973 4 роки тому

      Nmejifunza kwa kwel

    • @firdausgreen1391
      @firdausgreen1391 4 роки тому

      Kutoa jiamini on what i need

    • @mwesigapius3074
      @mwesigapius3074 2 роки тому

      Maamuzi na piasielewa nifanye mchongo gan nifanye mm naitaji kuwa dereva wa magali makubwa kama scania Ila bado nasita kwasababu iyo kaz sijui inalipa au laa

  • @waziriissa7018
    @waziriissa7018 3 роки тому +1

    Dar iro somo rimenigusa Mimi kabisa Asante ⛪ sana uko sawa

  • @mzaliwajohn1395
    @mzaliwajohn1395 4 роки тому +1

    good sana broo, naanza kuanzia leo.
    nimepanga kila kitu na malengo ya kutosha, kuanza ndo shida, ILA NAANZA LEO

  • @erickstephano7756
    @erickstephano7756 4 роки тому +1

    Asante kaka nimeipenda sana mim mwenyewe kuna biashara naipenda na ndo naelekea kuianzsha ila bado nina woga nifanyeje kaka

  • @laurentisayampindaisayampi3664
    @laurentisayampindaisayampi3664 4 роки тому +1

    Elimu yako iko good nimeikumbali

  • @fanisaproducts9551
    @fanisaproducts9551 4 роки тому

    Ahsante sana Zahir11gomelo *#burning** desire* nimejifunza mengi

  • @fredrickkahungya8482
    @fredrickkahungya8482 3 роки тому

    Asante kaka . Yako Mambo mengi
    1. Pale ambapo unafanya Jambo ukiwa na matarajio ya kupata hivi na ikawa tofauti muda mwingine unaweza kuhisi kuwa hiyo siyo fursa sahihi

  • @hunterboy7713
    @hunterboy7713 4 роки тому

    Shukrani sana

  • @hajvennahkorofi6755
    @hajvennahkorofi6755 3 роки тому +1

    Mungu hakuongezee ujuzii zaid Asante💓

  • @luganogodfrey7949
    @luganogodfrey7949 4 роки тому +1

    Utajuaje Kama unapenda kaz flani maana watanzania wengi tunajichanganya Sana ktk kaz

  • @neemalyimo2039
    @neemalyimo2039 4 роки тому

    Nashukuru sana kwa ushauri wako maana umenifungua akilii.

  • @godfreyfrance97
    @godfreyfrance97 4 роки тому +1

    Kaka asantee kwa somo zuri Mimi kinachonikwamisha n kuwa mwepec kutoa hela hasa kwa wanawake. Naomba ushaur

  • @adrianruben663
    @adrianruben663 4 роки тому

    Asante brooo mungu aendelee kukutumia

  • @marthakulanda2029
    @marthakulanda2029 2 роки тому

    Kazi na yofanya na tumia muda mwingi na ripwa mshala mdogo na unacherewa sana

  • @alfakanyika2260
    @alfakanyika2260 4 роки тому

    Nashukurusana ntafanyia kazi.

  • @mselemismail5736
    @mselemismail5736 4 роки тому

    💥💥💥💥big more than big

  • @wayofsuccess8083
    @wayofsuccess8083 4 роки тому

    Kalibu

  • @Allhy14
    @Allhy14 4 роки тому

    Safi sana ndaishi kwa malengo from now

    • @kurwamkopi215
      @kurwamkopi215 3 роки тому

      Mimi nipo kaka naweza kufanya kazi

  • @jacobphales7810
    @jacobphales7810 3 роки тому

    Bro nimekuelewa ,,, God bless you,, sure God bless you

  • @daviesgamba8152
    @daviesgamba8152 4 роки тому +2

    Ninachonifelisha ni usimamizi wa biashara inayotaka kuianzisha ivi karibuni,, coz mimi binafsi kwa sas nimeajiriwa.

  • @fficialeliactz1389
    @fficialeliactz1389 4 роки тому +1

    Asante

  • @mwesigapius3074
    @mwesigapius3074 2 роки тому

    Naomba unisaidie Mimi nataka niwe dereva wamagar makubwa kama scania au bus nawezaje kupata mafanikio kitokana nakazi ii nayotaka kufanya napia naitaji kutengeneza pesa kupitia kazii sasa sitaki kupoteza mda maana nataka nijue inalipa au ailipi tafadhali nisaidi naitaji ushauli wako

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 5 років тому +3

    🙏🙏🙏 burning desire ...

    • @maggehnew9729
      @maggehnew9729 4 роки тому

      Hii Point burning desire nimeipenda pia👍🏼

  • @mocomoco1836
    @mocomoco1836 4 роки тому +2

    Zidi kuleta vitu vipya we ni zaid,ya mwalimu darasan

  • @jdjdjdu8542
    @jdjdjdu8542 4 роки тому +1

    Mimi nko n job buh mwanzo niliingiwa n motisha kuifanya.. Ila baada y mwaka nahisi kuchoka mitihani mingi cjui nifanye nn??

  • @gailamipawa8664
    @gailamipawa8664 3 роки тому

    Ubarikiwe sana bloo m nina mapenzi na mpira yaani kuwa mchezaji Kama kazi yangu ya kuniingizia kipato ila nahisi umri unataka kuniacha Nina miaka 22

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  3 роки тому

      Usikubali suala la umri, kuzuia malengo na ndoto zako.

  • @michaelpilly7449
    @michaelpilly7449 3 роки тому

    Nice

  • @joxhuajoxhuaibrahim2062
    @joxhuajoxhuaibrahim2062 4 роки тому

    Naomba unisaidie mm ninakazi naifanya inaniingizia lakin siipend kazi ambayo naipenda sjna mtaji nayo maaana iyo ninayo ifanya najikuta SNA muudi kwaiyo najikuta siifanyi vizur

    • @yohanaemmanuel3515
      @yohanaemmanuel3515 Рік тому

      Fanya endelea kufanya kazi huku ukikusanya mtaji ukiona mtaji umekua achana na hiyo kazi kafanye unayo ipenda baada ya kupata mtaji

  • @mistytambilija
    @mistytambilija Рік тому

    Nahitaji Katiba ya maisha

  • @maggehnew9729
    @maggehnew9729 5 років тому +2

    Woooh thanks

  • @sidaryotv8821
    @sidaryotv8821 4 роки тому

    Good

  • @Emmymgen
    @Emmymgen 4 роки тому +1

    Tatizo langu ni mtaji ndio jambo linalo nikwamisha katika maendeleo ya mafanikio yangu

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  4 роки тому +1

      Pambana na tafuta mtaji

    • @Emmymgen
      @Emmymgen 4 роки тому

      @@GOnlinepositivity sawa but nipenjia yakupata mtaji maan nimeandika proposal budget ya biashara yangu nanimejaribu kutafuta watu wani support ila mpaka sasa sion mwanga kuhusu fanikio la ombilangu

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  4 роки тому +2

      Hatakiwi kukata tamaa, proposal yako ya biashara uliyoandika imekataliwa haimaanishi kuwa ndo kila kitu, ndoto yako, malengo yako ya biashara yamekufa. Andika proposal nyingine kwa kampuni nyingine na huku ukiendelea kupambana. Hakuna njiani ya kupata mtaji zaidi ya kufanya kazi kwa bidii na kutengeneza pesa kupata mtaji na kuanzisha biashara yako.

    • @Emmymgen
      @Emmymgen 4 роки тому

      @@GOnlinepositivity haija kataliwa sema wengi husema hawana pesa nawanaisifu proposal yangu

    • @priscapaulo2116
      @priscapaulo2116 4 роки тому

      @@GOnlinepositivity 0788602178 wsp 0719614934 nakuomb nitafute kaka

  • @floraelias2367
    @floraelias2367 4 роки тому +1

    Bro mm kinachonisumbua sana ni aibu kukata tamaa mapema sana nifanyeje kuepukana na hilo

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  4 роки тому

      Flora Elias -Angalia video hii - ua-cam.com/video/MpsItuUDrws/v-deo.html

  • @neemalyimo2039
    @neemalyimo2039 4 роки тому

    Mi kinachonikwamisha kufanikiwa huwa nikipata hela sijui inaishaje na nikifikiria sioni nilichoifanyia.Kaka naomba unishauri nifanye nini ili niweze kufikia malengo.

  • @julitherfelix3130
    @julitherfelix3130 4 роки тому +1

    Kaka Mimi napenda duka la cosmetics lakini nafanya b'ness nisiyoipenda kwasababu mtaji wa cosmetics sina je unanishauri nini

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  4 роки тому +1

      Safi swali zuri sana Julither Felix, Sasa nirahisi sana Kuishi na kufanya biashara unayoipenda, hebu cha kufanya weka lengo kuwa NATAKA NIFANYE BIASHARA NINAYOIPENDA MWAKA HUU sawa na liandike sehemu nzuri tu na uwe unalipitia kila siku kama Kweli Kama unania na hicho kitu, utafanya kazi kwa bidii katika hiyo biashara nyingine usiyoipenda na kusave pesa unayoipata ili upate mtaji wa kufungua biashara unayoipenda.Na si lazima uanze na mtaji mkubwa, anza kidogo na fanya kazi kwa bidii kadri utavyopiga hatua ndo unakaribia mafanikio yako.

    • @yakobokayuni6842
      @yakobokayuni6842 4 роки тому

      Kaka uko Poawa Sana napenda sana maelekezo yako na this is my watsap Namba 0621004969

  • @catherinegabriel2669
    @catherinegabriel2669 4 роки тому +1

    Mimi ni muoga kuanza ila i promise mwaka huu ntafanya

  • @yusuphbonifacy4626
    @yusuphbonifacy4626 4 роки тому

    Naitwa yusuph mm kinacho nikwamisha ktokuwa nasimamo na kazi bos anazingua anahamisha ofis mara kwa mara

    • @hamisimtanda4633
      @hamisimtanda4633 3 роки тому +1

      Acha hiyo kazi kafanye Kaz yako utafanikiwa Mimi nimeacha ualimu nipo kwenye kazi yangu na nimefanikiwa Zaid kuliko niliowaacha

  • @kombomwazini7748
    @kombomwazini7748 4 роки тому

    Nataka kuwa muandishi was habari nifanyeje tRNA naipebda sana

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  4 роки тому

      Unaweza kuwa muandishi wa habari kaka. Pambana na fuata ndoto yako. Mipia nilikuwa na ndoto hiyo na hadi leo sijakata tamaa. Sijihusishi na wa tu wa tasnia hiyo na hata kujitolea kwani hapo ndo utan]kapojifunza, shiriki na mashindano mbalimbali yanayofanyika ya uandishi wa habari na utangazaji bila ya kusita, kwani mi nawajua wengi waliopitia huku na sasa niwaandishi an wasomaji wakubwa wa ha bari, na kutengeneza connections na watu mbalimbali. Haijashi nini unataka, jinsi gani utakipata? hiyo si kazi yako kitu muhimu ni kushikilia ndoto yako na kupambana bila ya kukata tamaa

  • @johnlameck9351
    @johnlameck9351 3 роки тому

    Safi

  • @mzaliwajohn1395
    @mzaliwajohn1395 4 роки тому

    NATAKA KUA MUWEKEZAJI MKUBWA KWENYE KILIMO HAPa tz

  • @biaishasaid8494
    @biaishasaid8494 4 роки тому +1

    Yani me bro chakwanza Ahsant kwa maudhui mazuri ila me kinachosumbua saaana ni viwili muhimu kwanza aibu pili English language inanishinda sijui nianzie wapi

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  4 роки тому

      Kingereza unaweza kujifunza brooo, na si lazima ukae darasani kupitia platform hii ni darasa tosha tafuta niche mbalimbal kujifunza kingereza. Kuhusu aibu kama kweli unataka kufanikiwa ananza kujenga kujiamini mbele za watu.

  • @melaniabarulas73
    @melaniabarulas73 4 роки тому

    Natamani na napenda kufanya biashara ila sina mtaji

  • @alfakanyika2260
    @alfakanyika2260 4 роки тому

    Mafanikiozaidi or,

  • @stevenkilonzo5519
    @stevenkilonzo5519 4 роки тому +1

    Ninakuwa na malengo yakufanya kitu tatizo linapo tokea napotezea hayo malengo

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  4 роки тому

      Yaandike chini kwenye notebook, simu, au sehemu yoyote ambayo utakuwa unayapitia ili kujikumbusha malengo yako. Najua kichwa kina mambo mengi hauwezi kushika vitu vingi kwa wakati mmoja. So ushauri wangu kwako kuwa unaandika malengo yako sehemu nzuri na yapitie kila siku kujikumbusha nini unatakiwa kutimiza

    • @hagaigregory6571
      @hagaigregory6571 4 роки тому

      @@GOnlinepositivity sawa brother tumekusoma

  • @maggehnew9729
    @maggehnew9729 5 років тому

    Napenda sana Videos zako. My goal ni kuwa youtuber mkubwa na 2020 Nitafanikiwa tu, pia Niko na Video inayofanana na hii, guys mnaweza kuangalia hapa ua-cam.com/video/nSyiG7cyeW8/v-deo.html

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  5 років тому +1

      Yessss

    • @maggehnew9729
      @maggehnew9729 5 років тому

      @G Online thank you so much. Yani umenipa moyo niendelee bila kukata tamaa

    • @GOnlinepositivity
      @GOnlinepositivity  5 років тому

      @@maggehnew9729 keep going

    • @maggehnew9729
      @maggehnew9729 4 роки тому

      Amani Longishu karibu sana, ntafrahi nikikuona. Just comment chochote nikuone ndugu 👍🏻

    • @allykaule7893
      @allykaule7893 4 роки тому

      Kaka zahir naomba namba yako

  • @safeniubwa4627
    @safeniubwa4627 3 роки тому

    Nice

  • @floraelias2367
    @floraelias2367 4 роки тому +1

    Bro mm kinachonisumbua sana ni aibu kukata tamaa mapema sana nifanyeje kuepukana na hilo