ONA DKT MWINYI ALIVYO JAWA NA SIMANZI WAKATI MWILI WA MAALIM SEIF UKIWASILI KWA "SWALA & DUA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    cc: Maryam Busara
    cc: Masoud Maganga
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

КОМЕНТАРІ • 94

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 3 роки тому +11

    Nenda salama baba yetu Allah akupokeee vyema na pepo iwe bustani yako milele pamoja na sisi.

  • @adilaaliy8590
    @adilaaliy8590 3 роки тому +5

    Tupoe wanzanzibr tumeumia snaa kuondokewa na shujaa wetu😭😭😭😭😭😭😭 Allah ampokee kwa mikono ya furaha

  • @mohdalwaili5289
    @mohdalwaili5289 3 роки тому +10

    Baba yetu pumzika salama in sha allah makazi yako peponi (ameen 🙏)

  • @khamisdaima1455
    @khamisdaima1455 3 роки тому +6

    Mungu amsamehe makosa take na amlaze pahala pema peponi Aamin

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 3 роки тому +1

    Allah amjazie kher na amuongeze nur katika kaburi lake

  • @hajjmohd3602
    @hajjmohd3602 3 роки тому +8

    TUTNGENEZENI HISTORIA MZURI NA SIS TUKIONDOKA DUNIANI WAT WAHUZUNIKE NA UMMA UTAHARUKI SIO TUNG'ANG'ANIE MADARAKA TU , APO ND TUPATE FUNZO KUWA MADARAKA SIO KITU KWAN KUNASIKU TUTAYACHA NA KITAKACHOTUSAIDIA NI AAMAALU SWAALIH, ALLAH MPE MAKAZ MEMA YY NA SISI TUNAOMFATA .

    • @khamissiali2231
      @khamissiali2231 3 роки тому

      NOTE:nani ataziba pengo 😭😭😭

    • @alimuhamed1830
      @alimuhamed1830 3 роки тому

      Amin

    • @alimuhamed1830
      @alimuhamed1830 3 роки тому

      Kaka allah haondoshi kama hajaweka inshllah

    • @latifaame5579
      @latifaame5579 3 роки тому +1

      Ni kweli maana mkapa kaondoka juzi tu lkn hapa kuna watu wasema hawajui km mkapa kafa

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 3 роки тому

    Mwenyezi mungu akupe kauli sabiti akupe pepo ya firidausi na sisi atupe mwisho mwema

  • @simbalion2871
    @simbalion2871 3 роки тому +1

    Mungu amlaze mahalipepa peponi babu yetu pongezi za pekee kwa mh mwinyi kwa kuona mbali na kwa kipekee kuleta maridhiano na maalim kaondoka kwa heshima na kuondoka bila kinyongo asantekwa kumpa heshima mzee wetu maana bila maona ya mh raisi wasingemuheshimu sasa waznz wanafuraha kwa kupewaheshima mzee waliempenda mungu mpe pepo ya juu mzee wetu

  • @hawahawa7484
    @hawahawa7484 3 роки тому

    Maalim twakupenda sana japo hatupo na wewe tena maalim tunakupenda sana Allah akuhifadhi huko ulipo milele Yaa Rabbi mkutanishe na Waja wema pepon mja huyu

  • @nassoursaidabdi8910
    @nassoursaidabdi8910 3 роки тому +6

    Duh dr. Mwinyi anahuzunika

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 роки тому +1

    Inalillah wainailaihim rajuhun Allah amsameh mazambi yake na sisi atujaaliye mwisho mwema Insha Allah 💔💔💔💔❤❤❤

  • @abdulwarithmusa8134
    @abdulwarithmusa8134 3 роки тому +3

    إنا لله وإنا إليه راجعون البقاء لله.....Allah akusameh makosa yako akupe kauli thabit alitie nuru kabri lako akuingize jannatul firdaus yakawe. makaazi yako.....Na sisi tulobaki Allah atujaalie husnul khaatimahn....Daima tutakukumbuka shujaa wetu

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 3 роки тому +3

    Innalillah wa inna ilayhi rajiun.
    ALLAH ATAMLETA MWENGINE WAWE PAMOJA NIA IWE MOJA YA KUWAUNGANISHA WAZANZIBARI KAMA MWINYI ALIVOMUWEKA MAALIM.... KWA KWELI WALIKAA KWA MOYO SAFI....

  • @khadijaismail9921
    @khadijaismail9921 3 роки тому +6

    Innaalillaah wainnaailyh raajiuun tulikupenda kiongoz wetu lkn molawetu amekuhitaj hatuna bud kusema alhamdulillaah

  • @salminmabrouk5433
    @salminmabrouk5433 2 роки тому

    Kumbukumbu kubwwa Hii in shaa Allah m.mungu msamehe makosa yake

  • @rashidally1149
    @rashidally1149 3 роки тому +4

    Hakika inaonesha wazi kua ww ni mpendwa wa wengi maana hata waliokua maadui zako basi wamejitokeza Mungu akulaze mahali pema Peponi Ameen

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 роки тому

      Hakuna maadui hizo ni siasa tu.

    • @khamissiali2231
      @khamissiali2231 3 роки тому

      @@husseinmkanga7794 maadui wapo be serious

    • @latifaame5579
      @latifaame5579 3 роки тому

      @@husseinmkanga7794 mbona maadui ni wengi.
      Hivi mpaka watu kuuliwa halafu useme hakuna adui 🤔au kwa sababu hujauliwa babako 😭😭😭😭mimi huyo sheni hata simtamani nahisi kaja kinafik tu hapo

  • @fauzakassim2271
    @fauzakassim2271 3 роки тому +1

    Amiin yaraby kwa sote

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому +6

    Alafu mimi tu ndo sijavaa kanzu lakini niko hapa pia naungana na nyie kuomboleza mungu awatie nguvu

  • @khamisame1919
    @khamisame1919 3 роки тому

    Innalillah waynna ilayhirajeun, Sisi tulikupenda lakini Allah amekupenda zaidi🙏🙏🙏

  • @mohammedomar9883
    @mohammedomar9883 3 роки тому +3

    Huu ni msiba mzito sijapatapo kuuona au kuusikia nyoyo zinaumia Sana,Mbaraka iddi umetoa ushauri mzuri ipo haja kuandikwa kitabu kuhusu maalim iwe kumbukumbu kwa Sasa na vizazi vijavyo

    • @latifaame5579
      @latifaame5579 3 роки тому

      Ni kweli hata watoto na wajukuu waje wajue km wazee wao tulikua mayatima kwa kumpoteza kiongozi mzalendo na muadilifu, mwenye upendo hekma na busara 😭😭😭😭Ni Allah pekee ndo ajuae tunakoelekea kwani shari huzaa kheri na msiba huu pia tuombe uzae furaha japo twaamini hausahauliki😭😭🤧

  • @mmadiausiy9810
    @mmadiausiy9810 3 роки тому +1

    Twasubir mkuu wetu tumuone
    Tupo pamoja nae in sh ALLAh

  • @munamohd963
    @munamohd963 3 роки тому +2

    Ameen yarabl alameen

  • @hudhud2022
    @hudhud2022 3 роки тому

    Allah awajaalie hao wanajeshi kama sio waislam wautafute waingie kwa wingi Allahuma Aamin

  • @ngwelesalu8348
    @ngwelesalu8348 3 роки тому +5

    Innalillah wainna ilaihi laajiun

  • @mulhatramadhan9425
    @mulhatramadhan9425 3 роки тому +2

    Allahu Akbar jaman hapo mbele ya jeneza kuna upepo km kumefunguliwa feni angalien vzr kitambaa kinavyo pepea kwenye jeneza, Allah ampe pepo ya firdaus, Allahumma amiin.

  • @salmaabdulla7797
    @salmaabdulla7797 3 роки тому +1

    Pumzika kwa salama BABA

  • @hawahawa7484
    @hawahawa7484 3 роки тому +2

    Wazanzibar tumeumia sana nanini Kama maalim?jibu nikuwa hakuna maalim mpaka dunian itaisha Allah amueke ktk orodha ya Waja wema pepon mja huyu

  • @rayurayan543
    @rayurayan543 3 роки тому

    😭😭😭😭😭 mmnashindwa kustahamili Allah akuweke mahal pema kipenz chetu

  • @umyusuphumyusuph5706
    @umyusuphumyusuph5706 3 роки тому +2

    Inalillah wainailaihi rajuun wakati umefika ila kinachotuliza mazowea uliotuachia

    • @latifaame5579
      @latifaame5579 3 роки тому

      Si mazoea tu, tumeumia twafikiria na vizazi vyetu kwa kumkosa kiongozi muadilifu

  • @salmaalbarwani2618
    @salmaalbarwani2618 3 роки тому +1

    Lazima atakuwa na simanzi we r brothers anajuwa mwenziwe leo anakwenda wapi

  • @shemsahemed3577
    @shemsahemed3577 3 роки тому +1

    Masikini bodigad wake yupo sambamba allah atupe subra katika hili inalillahi waina ilayhi rajiun allah amsame makosa yake na ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia ameen yaarabi

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 роки тому

    inallh wainailaih rajiun.

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 3 роки тому +2

    Maskini namuonea huruma mlinzi wake alikua nae zaidi ya miaka 10

  • @salminmabrouk9567
    @salminmabrouk9567 3 роки тому

    Ina lillah waina ilayh Raajiun

  • @issaisaa1374
    @issaisaa1374 3 роки тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝

  • @mbarakaiddi8209
    @mbarakaiddi8209 3 роки тому +2

    Alifungwa kwa ajili ya watu wake wamemueka ndani mara kadhaa kwa ajili yakutetea haki za watu wake leo wamembeba kwa heshma zote hakika haki siku zote haifunikwi na uchafu maalim umetuachia pengo ambalo halitazibika ushauri wangu kiandikwe kitabu kwa ajili yake ili wajifunze vizazi vijavyo

    • @zakiahaji1683
      @zakiahaji1683 3 роки тому

      Kitabu ameshaandika ktk uhai wke n in shaa Allah kutatolew hvi kribuni

    • @mbarakaiddi8209
      @mbarakaiddi8209 3 роки тому

      @@zakiahaji1683 baas inshaa allwah moyo wangu utatuliza kwa sababu na mimi ni ndugu yake haki mtoto wa mwisho

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 3 роки тому

      UKO SAWA IDDI

    • @mbarakaiddi8209
      @mbarakaiddi8209 3 роки тому

      @@hudhud2022 shukrani sana ndugu

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому +1

      Haki haifunikwi na uchafu kweli. Na hili ni jambo lakuzingatia waisilam wote wenye kuchanganya dini na siasa za kidunia. Maiti haizungumzwi kwa ubaya lkn tutafakarini ikiwa hao viongozi wa ccm ni madhalimu na yy alipitia udhwalimu wakt yupo ccm na mpaka yupo nje hakuridhika alifanya kila juhudi mpaka karudi kwenye madhalimu wenziwe na kuishia maisha yake kwenye udhalimu na madhalimu na kuzikwa ktk njia zile zile tunazozisema wanazozikana madhwalimu. Hapa panasomo kwa mwenye kutafakkar! Hio kuunganisha watu si kwamba kunamtoa dhwalimu kwenye udhwalim na kumpeleka kwenye wema, inategemea na nia yake. Ni kawaida ya wanasiasa wa vyama pinzani wanapokua madarakani huunganisha watu na wanapoondolewa huhasamisha watu. Na kuunganisha watu kwake si mara ya kwanza hata wakt wa Shein aliunganisha na alivyoondolewa alihasamisha. Na wakt huu hakuna ajuaye nia na msimamo wake wa kweli ulikuaje ila Allah. Kimtazamo wa kibinaadamu unaeza kumuona mwema aliunganisha watu na mbele ya Allah kumbe ni mnafik alifanya kwa ajili ya maslahi yake. Tusifanye masikhara maisha aliyokua nayo sasa si ya udanganyifu na ni yauwazi. Tumuombeeni dua kwa wingi na tusimpe nafasi shayatwiin kutuhadaa kupitia lugha zake/zao za kisiasa. Muisilam mwenzetu alikua nimwana siasa na km tujuavyo wanasiasa wanafanya mengi ambayo yanamchukiza Allah na pengine hata yanayomtoa muisilam kwenye uisilam wake km kumshirikisha, kutembelesha w'ke uchi, michanganyiko n.k. Sisi hatuezi kujua inaeza kua unaona amebebwa na viongozi kwa heshima ukaona ni neema kwake kumbe ninaqama kwake huko alipo. Tumuombeeni dua kwa wingi kwani Allah pekee ndie anaejua aliyoyatanguliza. Allah ailaze roho yake mahali pema peponi, Amiin.

  • @skeneali6125
    @skeneali6125 3 роки тому

    Tumeumia sana na hatuweza kuyasahau haya maumuvu😭😭😭

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому +2

    Wako wapi wale polisi mlokuwa mkikimbizana nae na mabomu leo hayupo subirin zamu yenu ndo mjue mwanadamu siku zake za kuishi sii nyingi

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 роки тому

      Wewe inakuuma nini? Mwenyewe kesha samehe? Watu tunamajonzi katafute mwanaume uko. Polisi si alikuwa nao kila siku kama makamu wa Rais wanamlinda. Nenda huko kwanza sio mzanzibar.

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 3 роки тому

      @@husseinmkanga7794 Yaweza kuwa wee ni mmoja wao mbona umekereka ukweli haujifichi hadi wajukuu watajionea alivyoteswa akiitetea ZNZ

    • @khamissiali2231
      @khamissiali2231 3 роки тому +1

      @@husseinmkanga7794 iv ww mbona unapenda kuubishia ukweli , bx ndio hivo km walivaa magandwa kesho watavaa sanda

  • @ramilialiy3725
    @ramilialiy3725 3 роки тому

    Gone so.soon dad

  • @yassinshekh2936
    @yassinshekh2936 Рік тому

    😭😭😭😭

  • @salehsaleh548
    @salehsaleh548 3 роки тому +1

    Hivi huwa najiuliza je kwa mfano kama anoinuka hapo maalim itakuwaje??!!😄😄

  • @utaani1
    @utaani1 3 роки тому

    Jamaa ametoa hutuba nzuri

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 роки тому

    WANAFIKI WENGI

  • @hudhud2022
    @hudhud2022 3 роки тому +1

    Kumbe Bashiru alikuwapo msiba mkubwa

  • @abdulmajidshafi9973
    @abdulmajidshafi9973 3 роки тому +1

    Korona hakuna sasa ayo mamask ya kazi gani😢😢

  • @shemsahemed3577
    @shemsahemed3577 3 роки тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @khalifa_wayy1979
    @khalifa_wayy1979 3 роки тому

    Mbona hawajawapa watu wake hata kumshika only ccm hakuwa mwanachama wao kwanini wamemzuia

  • @issahassan8361
    @issahassan8361 3 роки тому

    Mchukuwa camera ulikuwa unafukuzwa au

  • @mmadiausiy9810
    @mmadiausiy9810 3 роки тому +2

    Innalilah waina ilaihi rajiuun

  • @khadijaismail9921
    @khadijaismail9921 3 роки тому +1

    Innaalillaah wainnaailyh raajiuun tulikupenda kiongoz wetu lkn molawetu amekuhitaj hatuna bud kusema alhamdulillaah

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 3 роки тому

      Sawa sawa mwanangu Khadija.

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 3 роки тому +1

      Sawa sawa mwanangu Khadija.

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 3 роки тому

      Kabisa ni huzuni na vilio kwetu Ila kazi ya Allah haina makosa Allah lijaalie kaburi lake liwe bustani miongoni mwa bustani za peponi Allahuma ameen hatuna budi kusema innalilah wainna ilyh rajiuun 😭🥺🥺😥

  • @issaisaa1374
    @issaisaa1374 3 роки тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝

  • @hajiharuna786
    @hajiharuna786 3 роки тому

    Innalillahi wainnailayhirajiuun