Mke wa Maalim Seif azungumzia pengo la mume wake.
Вставка
- Опубліковано 17 жов 2024
- Wiki hii, Tanzania bara na visiwani Zanzibar itaadhimisha mwaka mmoja tangu kufariki kwa kiongozi na mwanasiasa mashuhuri katika siasa za Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad.
-
Huku kukiwa na maandalizi ya siku yake ya kufariki ambayo ni Februari 17, mwandishi wetu Aboubakar Famau amemtembelea mke wake maarufu kama mama Aweina na kufanya nae mahojiano nyumbani kwake Unguja na kwanza alimuuliza ni kitu gani hasa ambacho wanamkumbuka nacho Maalim licha ya kwamba hamko nao?
#bbcswahili #zanzibar #tanzania
Mama yetu bi Awena Allah akuhifazi nyote familia ss bado tuko pamoja naww inshaallah ipo siku juhudi za kipenz chetu malim sefu itatimia kwa om inshaallah
Allah ampe kila la kher na alifanye kabur lake liwe moja katika bustani za peponi ya rabb
Amin yarabi takabali dua
Amiin
Kweli kabisa
Alihhamdu lillah kilanionapo akitajwa mtuhuyu maalim sefu machoyangu humiminikwa na machozi miaka 20 niliomfahamu aliniingiasana moyoni kwangu niliamini mawazo yake fikrazake nautu aliokuwanao kuwa nimtumuhimu kwajamii ya watu wa Zanzibar mungu amrehemu sikumoja tutayatimiza alioyaanzisha isha Allah
Pole sana hilo ni donda la maisha halipoi kwa wazanzibar tuliowengi
Amin yarabi takabali dua
😭😭😭🙏🙏🙏
Kazi ya allwah haina makosa lakini maalim katuwachia simazi jamani tunaona Kama kaishi sikukidogo tu mm naumiya nilisikiya hata sauti yake bi awena nakuhisi una machungu sisi hivi je wewe
Mama wa taifa.la wa zanzibar people for rever we miss maalim seif sheriff hamadi
Watu aina ya Maalim Seif huendelea kuishi hata baada ya mauti yao!..huwa hawafi!
Kwa hakika atakumbukwa kwa Mchango wake mkubwa, Allah amrehem huko alipo ameen!!
Amin yarabi takabali dua
Amina
Alhamdulillah bint Masoud sinani uko vizuri tumuombee dua baba wa taifa la zanzibar
Mm nikikumbuka maalim nahis kama ni zawadi kutoka kwa Mungu kwetu wazanzibari ambayo hatukuitumia vizur inavyostahili
tutamkumbuka daima kipenzi chetu Allah kampenda zaidi tumkumbuke kwenye dua zetu tujitahid kila tukisali
Kweliii umeongea kabisaa.
Walomdhulumu na hawakumuomna radhi Ipo sku watajutaa
Subra ndiyo nguzo yako Mama
Innallillah wainailah rajiun kwa kwel tumepoteza kiongozi shupavu wala hawezi kutokea tn km maalim seif nuru Allah aliompa ni ya kipekee....pole Aunty Awena tunalia sote mm juzi nimeenda kaburin kwake kwa kweli hali ilikua ngumu unauhusu moyo unashindwa kuhimil uzito wa kulala kwake ple
Allah amraham na atuzidishie subra kwa hakika Maalim n zaidi ya kiongozi...
Allah awepe subra inshaallah
ALLAAHUMMA GHFIRLAHU WARHAMHU....
Mama mzur pamoja Na mume wake
Yoot ulio ongea mama Wetu ni kweli
😥😥😥
Naaam sawa sawa sawa
Allah amlaze pema na wema... amin
Amina
Yaani imetuondokea tunu wengi kila tutakukumbuka tunaumia sana mioyoni mwetu
Pole sana