Baba Olivia Episode 05// A single father teach his daughter the POWER of believing on herself

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024
  • Tazama jinsi Baba Olivia #GaboziGamba anavyompa binti yake nguvu kwa kumfundisha umuhimu wa kujiamini na kuwa na imani na uwezo wake. Akiwa anakabiliana na changamoto za kulea mtoto pekee Gabo ama Athour, anamfundisha masomo muhimu ya maisha ambayo kila msichana mdogo anapaswa kuyasikia.
    Jiunge nasi tunapoona jinsi anavyomhimiza binti yake kukumbatia nguvu na vipaji vyake, na kumkumbusha kwamba anaweza kufanikisha chochote anachokusudia. Moja ya nyakati zenye nguvu zaidi ni pale anapomwambia asiwaogope WAVULANA, akisisitiza kwamba anapaswa kuwaona kama wenzake na asiruhusu yeyote kupunguza thamani au uwezo wake.
    Kupitia mazungumzo yao ya wazi na uzoefu waliopitia pamoja, baba huyu na binti yake wanaonyesha maana halisi ya ustahimilivu, upendo, na heshima ya pande zote. Video hii ni ushuhuda wa NGUVU ya kujiamini na uhusiano usiovunjika kati ya mzazi na mtoto.
    Usisahau kulike , kutoa maoni, na kusubscribe kwa maudhui zaidi ya kuinua na kuhamasisha! 💪👧❤️
    .............................................................................................................
    In this heartfelt and inspiring video, watch how a single father #GaboziGamba empowers his daughter by teaching her the importance of self-belief and confidence. As he navigates the challenges of parenting alone, he shares valuable life lessons that every young girl should hear.
    Join and see how he encourages his daughter to embrace her strengths and talents, and reminds her that she is capable of achieving anything she sets her mind to. One of the most impactful moments comes when he tells her not to be afraid of boys, emphasizing that she should see them as equals and never let anyone diminish her worth or potential.
    Through their candid conversations and shared experiences, this father-daughter duo demonstrates the true meaning of resilience, love, and mutual respect. This video is a testament to the POWER of believing in oneself and the unbreakable bond between a parent and child.
    Don't forget to like, comment, and subscribe for more! 💪👧❤️
    For business:
    mwakajumbafilms@gmail.com
    instagram: / henrymwakajumba
    #SingleFather #Empowerment #BelieveInYourself #Parenting #FatherDaughter #Motivation #SelfConfidence #LifeLessons

КОМЕНТАРІ • 544

  • @shuzashadyproduction8438
    @shuzashadyproduction8438 4 місяці тому +141

    Sema Nini Jamani huyu Dude ni The best Actor Of All Time🔥🔥 kwa wanaomjua Toka zamani miaka ya 2008 mtanielewa

  • @ivymwalasa4471
    @ivymwalasa4471 3 місяці тому +28

    Hizi ndo tamthilia tunazo zihitaji kwenye Tv wazazi kujifunza na watoto kujifunza best series every👏🏼👏🏼👏🏼

  • @witnesswaerda
    @witnesswaerda 4 місяці тому +46

    Hii momie ukiitazama unaweza sema hawaingiz bali wapo kwenye maisha halisia yaan kama hakuna kamera naipenda sana team olivia tujuane❤❤❤

  • @nguyamtwartz5413
    @nguyamtwartz5413 4 місяці тому +61

    Ka Olivia hata nje ya movie kanaonekana kana akili sana😊

  • @BinHakim
    @BinHakim 4 місяці тому +64

    Kuanzia episod ya kwanza adi leo episod ya 5 Olivia amekuwa muigizaji bora kwa mtazamo wangu kwenye hii series

    • @YussufKombo-v4e
      @YussufKombo-v4e 4 місяці тому

      Nikubaliana na wew

    • @Rahema123
      @Rahema123 4 місяці тому +2

      Kweli kabisa yani ni anaweza adi anaweza tena ongera kwako olivia🎉🎉🎉🎉

    • @zenasalum699
      @zenasalum699 4 місяці тому

      Kweli kabisa mimi nakapenda ❤

    • @MicolineMario
      @MicolineMario 4 місяці тому +1

      Na Hana mpinzani 😅

    • @SalmaRandu
      @SalmaRandu 3 місяці тому

      True ❤❤❤❤❤

  • @rweyemamurweyemamu680
    @rweyemamurweyemamu680 4 місяці тому +21

    Sema aka ka Olivia jmni 😊😊katakuwa kaigizaji kazuri, nategemea kukaona kwenye muvi nyingine naomba msikaache,baada ya Jenifer na Patrick hatujapata damu mpya nyingine

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  4 місяці тому

      🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️❤️ Zinakuja nyingine!

  • @bongolyricszone5715
    @bongolyricszone5715 4 місяці тому +20

    aisee sijawah kuenjoy kuangalia filamu nzuri ya kibongo kama hii , mpangilio mzuri wa story so far na ukiangalia Waigizaji wamefit kwa nafasi zao na kuzitendea haki . Hii ni kazi nzuri sana pongezi sana kwa timu nzima ya Baba Olivia , akhsanteni kwa kutupa burudani yenye fundisho kubwa. I can't wait for the next episode

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  4 місяці тому

      Asante sana na ubarikiwe sana kwa kutupa Muda wako!❤️🙏🏾

  • @Loudlovealways
    @Loudlovealways 4 місяці тому +90

    Yaani olivia anavyoigiza utadhani hakuna kamera yani kama ndo maisha yake uhalisia umezidi saafi saana kaka Gabo dogo kaivaa😂😂

  • @fatumakiyungi6632
    @fatumakiyungi6632 4 місяці тому +23

    Hizi ndio tamthilia za kuangalia na wazazi ❤kazi nzuri

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 4 місяці тому +65

    Team Olivia ❤🎉

    • @SalmaRandu
      @SalmaRandu 3 місяці тому

      ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 4 місяці тому +3

    Olivia nfani ya uharisia wake kajua kucheza na akiri za watu wallah tena 🎉🎉

  • @georgesamwel5573
    @georgesamwel5573 4 місяці тому +22

    Gabo hii imenigusa sana brother.olivia anajua kuigiza yupo serious.movie ya kijanja na mafunzo ya kimaadili pia Good Life bro

  • @yusuphjafarijr7583
    @yusuphjafarijr7583 4 місяці тому +14

    Bonge la surprise aisee sikutarajia kupata hii season kwa wiki mala mbili 💪💪💪

  • @KmbalphaniMoradj
    @KmbalphaniMoradj 4 місяці тому +10

    Bro Gabo we ni atari from 🇨🇩 🇨🇩 congo nakukubali sanaaaa

  • @ericnduwimana8246
    @ericnduwimana8246 4 місяці тому +8

    Baba wewe teacher wakucheza filam kabisa,congratulation,more❤❤❤ to youu

  • @FatmaSeguni
    @FatmaSeguni 3 місяці тому +3

    Olivia n baba ake pend San jmn utan km wt maish yaendelee nmewapend sn jmn🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @donvanpierre4369
    @donvanpierre4369 4 місяці тому +4

    Naona hapa mzee kotongo alishafariki... The man was so talented. His sounding voice was quo...

  • @AdhamAlliy-mg5py
    @AdhamAlliy-mg5py 3 місяці тому +4

    Huyu ni mfanya kazi au mtoto wa kazi jaman rahaaa sanaa

  • @sarahmero4561
    @sarahmero4561 2 місяці тому +1

    kwa kwl gabo uko vizur, stori na maudhui nzuri sana bigup sana kaka,

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 4 місяці тому +31

    Kiukweli sijawahi kuomba like ila kiukweli nainjoi sana hii movie naupenda sana

  • @geoffreysasia
    @geoffreysasia 4 місяці тому +1

    Napenda sana Olivia anavyo zungumuza lugha ya kiswahili iliyo na heshima na ujasiri,napendezwa na tabia yake kutoka 🇰🇪

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  3 місяці тому

      ❤️❤️🙏🏾🙏🏾🙏🏾 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MohammedIbrahim-v7n
    @MohammedIbrahim-v7n 2 місяці тому +2

    Yenyewe hii series act wote sio washamba wa camera wanaigiza maisha halisi kana kwamba hakuna camera 📷.. big up saana

  • @FatmaSeguni
    @FatmaSeguni 3 місяці тому +2

    Jmn tin n bab ak nmewapend sn utani wao hd rah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @victorburser1717
    @victorburser1717 4 місяці тому +11

    Brother hii movie ipo very emotional asee yani kifupi kila mmoja kafanya ktk usahihi

  • @KadibaKadiba-wl4ip
    @KadibaKadiba-wl4ip 3 місяці тому +3

    Nakukbar San kazi yenu hakika pongezi kubwa kwa Director

  • @salimNdendya
    @salimNdendya 4 місяці тому +6

    Tunaburudika na muvi kali ya baba olivia hallaah asanten sana

  • @meshacklove7748
    @meshacklove7748 2 місяці тому

    Kwakweli baba olivia nakupenda sana wewe nimuigizaji mzuri sana Huwa unakuwa upo siryazi nakazi Yako kabisa move hiyi kwakweli imetuliya kabisa

  • @rdtt6985
    @rdtt6985 4 місяці тому +32

    Movie nzuri ila mnaitoa utamu maana munaileta maramoja kwawiki

    • @omarhussein-iq7yg
      @omarhussein-iq7yg 4 місяці тому +1

      Mara mbili kwa week itakua vyema sana

    • @kandoxgiftgift5924
      @kandoxgiftgift5924 4 місяці тому +2

      Jamani hamuoni kama sasaivi system imebadilika sehemu ya 4 iliachiwa juma3 ijumaa imeachiwa ya5 atreast tunaenjoy movie Kwa wik mara mbili

  • @rahelkibona6328
    @rahelkibona6328 3 місяці тому +2

    Hivi nduvyo inavyotakiwa baba kua karibu na mtoto wake wakike 👏👏👏

  • @Sweetnaah
    @Sweetnaah 4 місяці тому +7

    Olivia na baba ake wametisha❤❤❤

  • @patrickgeorge8275
    @patrickgeorge8275 Місяць тому

    Huyu Mtoto Olivia huyu, yaan ni bonge la Moja la Talanta❤ Yaan km hayupo mbele ya Camera Asee khaaa!

  • @nyandichearts
    @nyandichearts 4 місяці тому +5

    Best actor in Tanzania gabo as known as baba Olivia munachelewa kuitowa atiii

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 4 місяці тому +8

    Baba Olivia movie zake n noma sana👏👍

    • @SalmaRandu
      @SalmaRandu 3 місяці тому

      True ❤❤❤❤❤

  • @perajiampipi4473
    @perajiampipi4473 4 місяці тому +2

    Movie nzuriii mpaka nzuriii tena🎉🎉❤ nmecheka wanavyofurahia wazungu😂😂

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  4 місяці тому +1

      ❤️❤️❤️🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @paulosasala677
    @paulosasala677 2 місяці тому +1

    Gabo anajuwa sana mungu akulinde 2nawewe pekee

  • @PierreHeriIlungu-ks1mr
    @PierreHeriIlungu-ks1mr Місяць тому +1

    Tuka hogeleye
    Jameni❤❤❤

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 4 місяці тому +2

    Sema hii kazi ni nzuri sana 🔥 kuanzia casting wahusika walivyoigiza hadi ujumbe unaotolewa hongereni saana

  • @Linalina-mo8xg
    @Linalina-mo8xg 4 місяці тому +7

    Wanao mpenda mama Tina tujuane😂😂❤😂😂

  • @ZeituniMalingumu
    @ZeituniMalingumu 2 місяці тому

    Tamthilia nzuri sana mungu awabariki tunajifunza sana

  • @suleymanyaasin
    @suleymanyaasin 3 місяці тому +2

    Daaah!!! Katarina,,,, nakupenda sana

  • @HawaSimai
    @HawaSimai 3 місяці тому +4

    Ata jina sijuwii dude bwana

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 4 місяці тому +13

    Natamani kujua mama Olivia yupo wapi na kwanini hayupo na baba Olivia ❤🎉

    • @ZainabSalum-tv2mu
      @ZainabSalum-tv2mu 4 місяці тому +2

      Akii wallah😂

    • @ZainabSalum-tv2mu
      @ZainabSalum-tv2mu 4 місяці тому +2

      Na wish nimjue mama olivya yuko wp

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  4 місяці тому

      Muda si mrefu ukweli utaujua!! Endelea kufuatilia na Subscribe!! Episode ziko 17 Safari ndefu bado!❤️❤️❤️

    • @ZainabSalum-tv2mu
      @ZainabSalum-tv2mu 4 місяці тому +1

      @@henrymwakajumba daaah ref kwel 17, ssa bc mue mnatoa kwa siku kipand kimja pia at least

    • @EmanuelKitokero
      @EmanuelKitokero 4 місяці тому +1

      Nenda kwake

  • @HopeBaby-hm8xq
    @HopeBaby-hm8xq 2 місяці тому +1

    olivia unaweza sana🎉🎉🎉🎉 nawapenda na gabo move zako

  • @MaxmillanMathew
    @MaxmillanMathew 4 місяці тому +7

    Jamn hii movie ni nzuri naomba like usipite tu nawew😢😢

  • @geraldndosi2083
    @geraldndosi2083 4 місяці тому +17

    Baba olivia anaulizia habari za mwalimu kwa akili sana 😂

    • @Mwanja72
      @Mwanja72 4 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  4 місяці тому

      Hahaha ❤️❤️❤️

    • @VILLAMEDIA254
      @VILLAMEDIA254 4 місяці тому

      😅😅ashaanza kuona dalili za kumpoteza 😂😂😂ila sijapenda yule jamaa alipita Naye kwenye swimming pool😂

    • @maxlyzermico2041
      @maxlyzermico2041 4 місяці тому

      Ametumia ubaharia mwingi sana kuuliza yaan hata dogo Olivia hajastuka😂😂

    • @maxlyzermico2041
      @maxlyzermico2041 4 місяці тому

      Mfugo utaingia kwa bwana shamba siku sio nyingiiii

  • @NobelKamboko-ij9if
    @NobelKamboko-ij9if 3 місяці тому +1

    Kati ya myungu zangu ki cinéma uyu gabo ni wakwanza kabisa, kanumba nyuma❤❤❤❤❤❤❤❤😂❤❤❤

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 4 місяці тому +2

    Nzur sana hii jmn hongereni waigizaj wote

  • @AjuwaeTz
    @AjuwaeTz 4 місяці тому +35

    Wanao mkubali mwakajumbe gonga like twende pamoja wadau wadau wangu

  • @shufaamajid6328
    @shufaamajid6328 4 місяці тому +20

    Olivia 🔥🔥🔥

  • @ZakiaLilai
    @ZakiaLilai 4 місяці тому +3

    Olivia ni man of the match

  • @ImmanuelNgondya
    @ImmanuelNgondya 4 місяці тому +2

    Series naipenda vibaya muno

  • @JacobMapunda-df5dg
    @JacobMapunda-df5dg 2 місяці тому +1

    Gabo anamichezo sana et maji ya bomba la mvua yana cancer Cancer Which What Where Sema Tuh Huna Hela...

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 2 місяці тому

      😅😅😅😅😅yani nimcheka kusikia bomba la maji ya mvua lina cancer

  • @RehemaHamdani
    @RehemaHamdani 4 місяці тому +3

    Jamani kazi nzuri sana mungu awabariki❤🎉

  • @HopeBaby-hm8xq
    @HopeBaby-hm8xq 2 місяці тому +1

    nzuri sana🎉🎉🎉😊

  • @dotoomary6889
    @dotoomary6889 4 місяці тому +12

    Nampenda Olivia anavyoongea

  • @amosigreadi585
    @amosigreadi585 4 місяці тому +3

    Kazi nzuri sana Gabo hongera sana

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 4 місяці тому +1

    Olivia nakupenda sana ❤❤❤ vyenye unaishi na babako vizur

  • @ElishahMwaisaka
    @ElishahMwaisaka 4 місяці тому +3

    Daaah sema sawa ila mnatukaba mda jaman 😢😢😢😢 but good work ❤❤❤

  • @JOSHUA-b6v7o
    @JOSHUA-b6v7o 2 місяці тому

    Olivia nimempenda bure jamani
    Hongera zake

  • @AliHassan-fy6zk
    @AliHassan-fy6zk 4 місяці тому +2

    Kazi nzuri safi Gabo

  • @johnsongerald9660
    @johnsongerald9660 Місяць тому

    Gabo kwenye hii movie umeipiga mwingi movie nzuli sana na kingine muoe mwalimu kashakuewa😂

  • @RajabuSiri
    @RajabuSiri 2 місяці тому +2

    Mwarimu❤❤

  • @boniphacenyuma3537
    @boniphacenyuma3537 2 місяці тому

    Hii iko sponsored au! Iko vizuri, that Olivia❤

  • @khalelykhaled9266
    @khalelykhaled9266 3 місяці тому

    Movie ni nzuri cn na ina mauzui mazuri

  • @kabintmpase1544
    @kabintmpase1544 4 місяці тому +4

    Yaani Olivia 😂😂 anavyoongea kwa kulalamika fetty wangu namuona kabisa❤❤

  • @QueenJane-x3m
    @QueenJane-x3m 4 місяці тому +1

    Tunafurahia hii big up sana wahusika wote

  • @mauriciocristianomardes6295
    @mauriciocristianomardes6295 4 місяці тому

    Kazi nzuri sanA ❤❤. FROM MOZAMBIQUE

  • @EdgarZawadi-dz4fn
    @EdgarZawadi-dz4fn 3 місяці тому

    Best series in Africa🎉🎉🎉🎉

  • @husseinsalum1983
    @husseinsalum1983 4 місяці тому

    Hongeleni sana ote pia mtoto Olivia kongole mwanetu

  • @GfgGgh-v5z
    @GfgGgh-v5z 4 місяці тому

    Kuna mafunzo humu wacha niendelee kuvuna dhahabu hongera kwake mwakajumba💐💐🔥 akiwepo gabo,dude mambo bulbul

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 4 місяці тому +5

    Gabo unajua tena unajua pamoja na tim yako nataka kolabo kati yako na clam vevo mahana mi ni shabiki enu na naweka bando kwa jili enu miamba 👀👀👀👀👀👀👀👀👀👀

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  4 місяці тому +2

      Asante sana, tuta lifikiria hilo! ❤️

  • @YusoufYuzhoo
    @YusoufYuzhoo 2 місяці тому

    😂😂 MJOMBA dude anamkanyagia semenii kiroho mbaya

  • @ContentOmbreSky-ir6kl
    @ContentOmbreSky-ir6kl 4 місяці тому +1

    daaaaah ila mama Tina yani bomba zaidi .

  • @fabianelias7637
    @fabianelias7637 Місяць тому

    Kiukweli naenjoy sana sijutii kuweka bando kwa ajili yenu

  • @fidelkitura54
    @fidelkitura54 2 місяці тому

    Olivia namuona mbali sana

  • @AftabMussa
    @AftabMussa 4 місяці тому

    Safi sana bro series ya moto perfect

  • @CLEVERBOY004-cr5cc
    @CLEVERBOY004-cr5cc 3 місяці тому

    Aisee huyu ni genius sana mashallah

  • @sajidseleman6641
    @sajidseleman6641 2 місяці тому

    Gabo unajuwa na unajuwa tena

  • @JaclinDaniel
    @JaclinDaniel 3 місяці тому +1

    Yaaan Iko vzr jmn

  • @AbdulKigoda
    @AbdulKigoda 2 місяці тому

    Nimempenda olivia buleeee

  • @MonsterHunter-o9z
    @MonsterHunter-o9z 2 місяці тому

    Vizuri vizuri

  • @SalmaRandu
    @SalmaRandu 3 місяці тому

    Ila Olivia daa nakupenda sna ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Zuulito
    @Zuulito 4 місяці тому

    Kazi nzuri MashaAllah❤️❤️❤️❤️

  • @djbarser
    @djbarser 4 місяці тому

    Napenda sana sana intro ya hii series its fireeeee 🔥🔥🔥🔥

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  4 місяці тому

      ❤️❤️❤️ Asante kwa umakini wako!🙏🏾🙏🏾

  • @EL-Protabolisa_Le_King
    @EL-Protabolisa_Le_King 4 місяці тому +3

    Mnachelewa sana kutoa movie hii tena kwa week moja tu dah 😭😭

  • @JudyErick-e5l
    @JudyErick-e5l 4 місяці тому +1

    Ili bongo dar es salama ilitisha sana

  • @AbdulDeusi
    @AbdulDeusi 3 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉 oliva katish yy na baba yake😮😮😮

  • @SamTumwesiger
    @SamTumwesiger 3 місяці тому +2

    ❤❤❤

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 4 місяці тому

    Olivia baba anakuuliza kuhusu madam Janet we unamjibu kuhusu semeni😂😂😂 aisee huyu mtoto mjanja! Gabo kazi nzuri sana

  • @MagrethDaniel-cu5fg
    @MagrethDaniel-cu5fg 4 місяці тому +2

    Nampenda Olivia jaman ❤❤

  • @TumaAmin
    @TumaAmin 4 місяці тому +35

    Basi watu wataacha comment zote watasoma yangu pia sitaki like zenu😂😂

  • @AmanYahya-jv1jf
    @AmanYahya-jv1jf 3 місяці тому

    Nampenda sana olivia

  • @LorikuLaiza
    @LorikuLaiza 4 місяці тому +1

    Nawakubali sana

  • @RobertMazela
    @RobertMazela 2 місяці тому

    Wanafanyavizur sana

  • @PierreHeriIlungu-ks1mr
    @PierreHeriIlungu-ks1mr Місяць тому

    Kweli olivia
    Anajuwa ❤❤

  • @FaithJames-r1q
    @FaithJames-r1q 4 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂 hivi mnamuona dude lakini na mke wake naishiwa nguvu kwa kucheka

  • @HfvJfv-zf2dt
    @HfvJfv-zf2dt 4 місяці тому

    Jamani ni nzuri sana nampenda Olivia sana

  • @LuciaMsabila
    @LuciaMsabila 4 місяці тому +1

    Nampenda Olivia jmn ❤❤

  • @Kambanga_Jr
    @Kambanga_Jr 4 місяці тому

    Sem mnachukua muda mrefu sana kuachia next episode

  • @Erastusbaba
    @Erastusbaba 4 місяці тому

    Jamani Jitahidi Mwe Mnatoa Hata kila siku, Ni kali Sana ila inatoka Taratibu Sana!