hiinipicha ya kwanza kwangu kuiyona yautofauti kwakua ina ubunifu mwingi tofauti nazile tulizo zoea tajili ana jifanya masikini kidogo lakini hii mwendo wa buku na nilipo penda zaidi pale mwana mke alipo jiongeza yani dairecta katisha apa kutoa akili za watu kuklemisha kwamba ita ishia ivi kweli mtazamo niuleule lakini kwautofauti sana tishaaaa sanaaaa directa
Halaf ww jamaa unatafsir vizuri kweli kweli😂😂😂mana una maneno yale yale ya kusisimua ya kwetu uswahili😂😂😂😂mara kerebu, mara mzigo, mara jumba la kifahari la bilioni moja la mwijaku😂😂😂😂😂😂hadi nafurahi
Uko vzr best
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hii kali sana broooo God bless you 💖 😊
M0vie nzuri xan❤❤❤🎉
Move mzr sana kwel inatufundisha
Bigger up sana bro we nizaid ya wale 👍👍👍💪💪
Hii ngoma noma san
Duuuu kuna watu wanatulia Kwenye kutengeneza movie
Hiii kali sana brother.......
😅😅Ety humu tu 😅😅ila nimejifunza kitu big up
Move tamu sna ❤️💯💯☑️
wanawake kama chidema bongo nzima unaweza Kuta wako wawil au mmoja aisee
Hawapo kabisa 😂
Watokee wapi
Isitoshe ni chidema tu
Wapo bhna
Sure umesema kweli
hiinipicha ya kwanza kwangu kuiyona yautofauti kwakua ina ubunifu mwingi tofauti nazile tulizo zoea tajili ana jifanya masikini kidogo lakini hii mwendo wa buku na nilipo penda zaidi pale mwana mke alipo jiongeza yani dairecta katisha apa kutoa akili za watu kuklemisha kwamba ita ishia ivi kweli mtazamo niuleule lakini kwautofauti sana tishaaaa sanaaaa
directa
Iyo inawakuta watu wengi sana ❤❤
Brother unapika kazi nzuri sana naitaji kuijua hii movie inaitwaje
Nimejifunza ki2 bro ❤❤❤
Tusizaralauliane kwa kweli
Kabisa tu mashaallah mungu akuźidishiye kutufunza
Qaliii mnoo broo
Nzuri sana,tamaa mbaya
Ipo good sana
Kweli ndoa ni kuvumilia kesho mungu atakubariki🙏🙏
Mbona kimy sanaa chapa
We mzee baba Chapa hebu weka nyingine mpya mnachelewa, ikiwezekana kila siku mpya 😂
Daah Hii imenitoa machozi kwakweli
nguo ya kijan sio ya njano 😂😂😂
😂😂😂
Irmão avança não volta para atrás
Kaka soundTrack imezidi sauti...lkn kaz nzur sana
Jamani nimecheka mama mtoto alivyo stuka kazi nzuri from oman
Toa soundtrack inaharibu
❤❤❤ unajua sana Kaka kusimulia I love that
Daah masikini mbona wanamtesa sana sio vizuli❤❤😂😂🇴🇲🇴🇲
Pamoja sana❤
Ziga la mov❤❤❤❤❤❤❤
🎉tutaftie parti 2
O waooooh, another one 🕐
Jamani hii movie ina simulizi pia sasa apa sijajua nani kamkopi mwezake ila nimefarijika cz nimeaza kusikiliza zen leo nakuja kuona ongereni sana ❤
❤❤❤❤move nc
Ama.kweli usimzarau usiemjua❤❤😂🎉
Kamziki kanakera broo
Mbona kinya Mzee tunataka kazi bado ujapost
Nice👍♥️
Waooo waoooo waoooo nimependa❤❤❤
Nimejifunza vtu vingi Asante ❤❤
Olooo jialeba makabhii
Aisee ni nzuri sana
Jina la movie
The resourceful woman
Sound ya huo mziki imemeza sauti yako yote makelele ya mziki ni makubwa
kwl kaka
Jamaa anamkomoa uyo Mwanamke bana
Magic sound ...... 👂🏻
Kazi nzuri sana
Fine broo,
Inaitwa je
Chapa tunaomba hako ka mziki video zijazo kasiwepo kanakera
movie 📽️ mzur mashallha masikini naye mtu 😢😢
Japo kuwa Hana kitu
Ama kweli mungu hukuondolea mateso
Yani ww kak nakupenda san had saut yak yani unajua kz yako ❤
Acha umalaya we dada
@@mrgmwando9494😂😂😂😂😂
Next
Good job
Ebwanaeee ebwanaeee hatari bonge la movie mm sioendi sana movie lakini hii imenifanya nitamani sana kuchek tena movie
Mnashelewa kutowaingine baba chapa hebu wekanyingine
Dj Wacha kujifanya washasha 😂😂na shebereshebere chukua hio big up❤❤❤❤
Punguzaga sound inaboa broo sawa uko vzr ila iyo beat iko juu sn
Mbona haiendelei
Chapa mbona kimya sana saiv
Safi sana ❤
Kiukwel nimelia sana jaman
Ana moyo yaan
Story iko powa ila sound ya music ipo juu saana ukiwa unafanya hii kazi jitahidi kubance sound hiyo
ii ni nomaa😂
Dj huu mziki upunguze sauti halafu pandisha yako
Mashallah ❤❤❤❤❤❤
Noma sana
Hii IPO vzr
😂😂😂😂😂eti unaondoka mama
Nzur
Nzur kwer
Uwo mziki unakera
Unajua sna story nzuliiii
Bahati ya mtu waga haikwepi 😂🎉
Jina la movie
Daaag😢😢
❤❤❤❤❤
👍👍👍👍❤❤
Sio kwa mateso hayo 😂😂😂😂
Mwanamke kama huyu Dunia ya sasa ukimpata Wewe ushafaulu Maisha
Ebwana we simulizi zako mbona mzuri tu yaani unainjoi kuliko picha yenyewe.
Kipimo cha kujua mke mwema ni hii aisee 😅😅 mwendo wa buku
Halaf ww jamaa unatafsir vizuri kweli kweli😂😂😂mana una maneno yale yale ya kusisimua ya kwetu uswahili😂😂😂😂mara kerebu, mara mzigo, mara jumba la kifahari la bilioni moja la mwijaku😂😂😂😂😂😂hadi nafurahi
nmeipend sn ❤❤
Sushmita
Nice
Nzuri
Sounds kubwa mno
Kweli amekoseha sema tuangalih t
Na mm sinipate kama huyu
Humuu tu
Saut ya iyo sound adi kelo
Wanawake wa hivi bongo nimebaki pekeangu
Hii ndo dunia usimfanyie mtu ubaya...
Mwendelezo plz bhna😢
👏👏
Ondoa soundtrack izo mzee