Sheikh wangu Allah akuzidishie usirudi nyuma sheikh wangu walahi sisi wa Tanzania tume kume kupongeza kumpokea mama etu kipenzi chetu mama Samia suluhu Hassani hakuna kosa walahi ange pokelewa na ndombolo tunge sikitika sana japo mama etu inge mkera sana sheikh wangu kaka nakupenda masha Allah Allah bariki 🤲🤲🤲♥️
Thank u ustad niko na furaha sana lau ningejuwa upo hapo musa mmi ningekutumia kibahasha nituze cz mashekhe wa hapo musa si dhani wana ilmu ya kutosha coz wao ni kupondaaaa wenzao tu Alhamdulilah umewapa vaccine yao
Msanii Yusuph Andi unaimba muziki wewe tofauti hukati viuno tu. Kwenye nyimbo zako Zina ala za muziki hebu liongelee hizo. Nyimbo zako Zina vinanda kwa mbali. Umefanya hivyo kuficha ushetani wa ala za muziki. Anayesikiliza kwa earphone anasikia sauti za bitts kwa uzuri kabisa. Hakuna tofauti na Kina Mboso na Diamond. Bali Yusuph Abdi kauingiza Muzik ktk dini. Acha nasheed yusuph Zina ala za Muzik
Jamani Muacheni ametumia unyenyekevu na pia Mama kupata furaha kuona yupo kwa ndugu na watoto wake hino ni furaha kwetu sote. Sheikh Yusuf umefanza sawa nenda mbele nakusupport kwauliyo fanya
MashaAllah ilikuwa fursa Adhim AlhamduliAllah kwamba tumeweza kufikisha ujumbe wa dini mahali kama pale Allah atakujazi kheir na ajaalie watu wa pate uongofu from what happened
Yusuf hio nasheed yakumsifu samiya wewe na wenziwe mulitunga wimbo kumsifu samiya AIBU KUBWA SANA AIBU SANA YUSUF ABDI UMEKOSEA KUMUIMBIA KUMSIFU BINADAMU
Kweli. Kwani huyo mama ni Nani hasa katika waislam hadi kwenda kumnyenyekea. Mwanamke tu kama wanawake wengine wanao Fanya kazi serikalini anae chumia tumbo lake.
Hikmah Masha'Allah,was Great seeing you giving da'awah to our leaders.Allah akuhifadhi.lastly alimfanya muislam kafurahi ambaye alikuwa mgeni wetu Allah akupe furaha pia wewe.
Mashallah endeleya na dawaa mungu akulinde binadamu tumehadawa namate napumzi mungu atuswamehe walokukosowa kwangu uko sawa mkuu issa Nairobi pangani modhainga
Mziki ama nyimbo zenye kuambatana na ala za miziki kama vile gitaa, vinanda nk ni Haram bila shaka yoyote, na huo ndio mziki haswa unaokatazwa, hata kama mtu atamtaja Mungu au kumsifu mtume akatumia ala za miziki ni haram tu, kumtaja kwake Mungu au mtume hakuufanyi mziki kuwa ni halali Bali ni hatari zaidi kwani hilo linaashiiria kutotukuza utukufu wa Allah na Heshima na hadhi ya Mtume kwa kuwataja kwenye mziki ambao wameuharamisha. Waislam wengi wakiwa wamerudi kwa Allah na kumuabudu kwa kuswali na kufunga na kuacha maovu mengi ikiwamo kutosikiliza miziki, lakini kwa bahati mbaya baadhi yao kwa kudhania kaswida na anashidi zinazoimbwa kwa wingi siku hizi zikiwa na sura ya mziki mia kwa mia wanadhani kuwa ni halali hivyo wamekuwa wakisikiliza kwa kutojua kuwa huo pia ni mziki tu. Kwa hivyo yapasa tujue hili tusije ingia kwenye makosa. Sikiliza Quran, mawaidha ni bora zaidi kwako ili kuilinda dini yako nakujikurubisha zaidi kwa mola wako. Shukran
Assalam Aleikum sheikh Allah akubari, hata mtume pia alipata misukosuko kama hayo, binadamu ndivyo tulivyo wivu mwingi mpaka kwa waislamu wenzetu SubhanaAllah.
Sheikh Yusuf Umefannya mambo mazuri: 1 Kwanza umeilimisha watu kuwa waswahili ambao niwaislamu niwatu wenye busara na ustarabu. 2. Pili umeweza kufanya watu wajuwe kuwa waislamu niwatu sio vile munavyo wafikiria kuwa niwatu wavita bali niwatu weweza kutanganyika na makabila mbali mbali. 3. Mashairi yalikuwa yamsifu Raisi wa Tanzania ambaye nimuislamu. Huu pia nimfano kuwa kenya pia twaweza kuwa na rais mwananke Muislam tukiwa na ummoja. 4. ni kwa mara ya kwanza waswahili kuwa na raisi mwanamke ambaye nimuislamu ambayo imetupa sifa sisi Waswahili kuona kuwa twaweza kuwa katika daraja kubwa. 5. Umeondoa fikra yakuwa waswahili au kwa ujumla waislamu niwatu hawawezi kutanganyika na jamii zengine. 6. Yeyote ambaye alikuwa simuislamu ameona waislamu niwatu waina gani. Pia niraisi sana watu kubadilika . kwa kweli kulikuwa na nidhamu,. uislamu ulihishimiwa yani watu hawakunywa vinajwi vya haramu. 7 Uhuru mwenyewe alihishimu waislamu lau angetaka pia angefanya kuwe na tembo, lakini hakufanya hayo kwa sababu amehishimu uislamu. 8 Kumalizia Sheikh Yusuf Pongezi sana na yeyote yule ambae hakufurai basi hao nikatika wale waliopotea. Ukubwa ni Jaa. bila shaka utapata watu wengine nimahasidi.
Mashaa Allah Mungu azidi kukuongoza n akukinge n hasad n azidi kukuneemesha zaidi ,,baadhi y wanadamu hawakosi kutia wenzo ila ,, waislamu wameoewa hishima n nchi yaongozwa n ndini nyengne,, Ni SoMo kwa waislamu kuheshimiana n kuunguna pamoja , kma twaheshimiwa n wasokuwa waislamu je ,, mungu amhifadhi n ampe umri mrefu
Mziki ama nyimbo zenye kuambatana na ala za miziki kama vile gitaa, vinanda nk ni Haram bila shaka yoyote, na huo ndio mziki haswa unaokatazwa, hata kama mtu atamtaja Mungu au kumsifu mtume akatumia ala za miziki ni haram tu, kumtaja kwake Mungu au mtume hakuufanyi mziki kuwa ni halali Bali ni hatari zaidi kwani hilo linaashiiria kutotukuza utukufu wa Allah na Heshima na hadhi ya Mtume kwa kuwataja kwenye mziki ambao wameuharamisha. Waislam wengi wakiwa wamerudi kwa Allah na kumuabudu kwa kuswali na kufunga na kuacha maovu mengi ikiwamo kutosikiliza miziki, lakini kwa bahati mbaya baadhi yao kwa kudhania kaswida na anashidi zinazoimbwa kwa wingi siku hizi zikiwa na sura ya mziki mia kwa mia wanadhani kuwa ni halali hivyo wamekuwa wakisikiliza kwa kutojua kuwa huo pia ni mziki tu. Kwa hivyo yapasa tujue hili tusije ingia kwenye makosa. Sikiliza Quran, mawaidha ni bora zaidi kwako ili kuilinda dini yako nakujikurubisha zaidi kwa mola wako. Shukran Jaziilah..
Mashaallah umefanya jambo ambalo halina hata kosa .watu wengine ni wivu kwa sababu mlikuwa mbele ya marais 2 hao wasemao hawakupata hizi nafasi ndio maana wanaumia
Mashaallah Hakuna ulolikosea ukiangalia hata hujjaj wakipanda ndege kunakuwa na mchanganyiko ya wanaume na wanawake. Hasbunallah wa neemal wakiil. Achana na hao wanakuonea dege.
Sheikh hapo umetuchanganya kidogo. Umesema hujaenda kuwakilisha waislamu na pia unatuambia ilikuwa yapasa cc waislamu kufurahi kwa fursa kama hyo uliopewa wewe. Sasa which is which
Misikiti itakua vituo vya nyimbo sasa. Kwani Samia ni nani katika waislam isipokua kiongozi wa kidunia tu anae chumia tumbo lake. Waislam msichanganye siasa na dini. Huyo mama ukimuangalia hata kichwani afunikia mi nywele ya bandia kwa hivyo hata swala si dhani yu wa swali
Achana nao hao cha ajabua mda huu waislam wnakufa palestina anakuja na hoja za nashid badla azungumzie palestina aja na hoja na kutwambia kila k2 badaa
Kawaida ya umma wenye akili ndogo vigumu kuelewa chochote!!. Endeleya na kazi yako nzuri acahana na wapuzi. Hamuja fanya makosa. Watu hawako teyari kuona wenzao wanaendeleya kivyoyote.
Dunia ime tumeza wallah. Ina maana wakienda mashemeji zake wakike nyumbani kwake ata watungia nyimbo zaku wakaribisha. Hayo maneno ange ya tamka bila kuimba kwani pange haribika nini.
Tusilaumiane ikiwa Sharia haijavunjwa. Hukum ya Sharia tuacheni wenye ilmu, Maulamaa wale wanaojua uhakika wa mambo wawe ndio hutuongoza. Na tuhimizane kupendana na tupende kuelimishana sio kuharibiana sifa nk. Mimi nampenda Sheikh Yusuf kwa juhudi zake za kuhimiza mambo mema
Am nota fan nor a follower of ustad but nakupongeza what u hv done for Bi samia na tena nimefurahi hio khutaba ni hapo musa kw mashekhe wanafik nataraji una wachapa wao
Heri ungeomba nasheed hio, lakin tulio kuona unaiomba na kutuzwa ni ya kumsifu huyo mwanamke sio ya kutangaza dini. Ukweli kuna mushkil wewe kwenda kumuimbia nasheed na maneno ulio tumia. Mushkil sh Yusuf sio kuimba nashed, Mushkil ni .1, kumuita mama waimani na kuridhia urais wa mwanamke ambae imani yake inakataza kuongoza wanaume, 2, wewe ushekhe wako hukuthubutu kumwambia hilo na unajua ni munkar kubwa kwa imani yako. 3, Umeshindwa kukanya munkar huo wala kuuchukia kwa sababu umesifia uraia wake. 4, unajua ولن يجعل الله الكافرين على المؤمنين سبيلا. Na unajua ومن لم يحكم بما انزل الله فؤلئك هم الظالمون، فاسقون ، مسافرون. Badala yake umesifia uongozi wa uhuru Kenyatta kua anaongoza vyema amesomea, Allah awaits madhalim mafasiq wewe kuitwa ikulu washajua viongozi bora. 5, kama ulipokua faragha na uhuru ndio ungemlingania dini hapo ndio useme, Lakin nasheed ulio itaja sisi hatukukusikia nayo hapo ikulu, tunasema kwa ulio sifu viongozi wakikafiri wawili kwa sababu wanatawala kinyume na sheria za ALLAH japo mmoja ni muislamu. Hatusemi kwa kuimba nashed wala hatufurahiki joho kuleta wanamuziki mji wa kiislamu wa mombasa.
Kwani amezini amefaya liwat amekula ngurue kama hamjui masaala ya dini wacheni ufedhuli hajakosea kabisa amesifu sifa za ukweli mbona uko na chuki sana.
mm nmekwelewa....lkn kwa mawazo yangu nkuwa ulienda kwa nasheed kwa maslah yako...... ambapo ulikua fursa kama sheikh utumie kueleza maswala ya umma..... na mwisho ukataja kwa mazuri yote ulofanya ukataja moja kosa ulofanya ..kumanisha umekubali kama ni kosa....yote tisa ALLAH AALAM....
Yusuf Abdi aambiwe ukweli mtu mwenye ilmu hawezi kufanya mambo hayo. Sasa wewe ni msanii.Lakini ushindani wako utakuweka pabaya. Nashid is not a problem lakini wewe tupe dalili ya ulama yeyote ambaye aliwahi kumuimbia rais wa nchi ya Kikafiri nasheed.
@@abdab8466 alimpa tawheed, alimpa dawa hakuenda kumsifu na kumfurahisha nakusema Kenya na Tanzania zishikane na kuendelea kufanya urafiki. Usimlinganisha nabii Musa na mchezo I a Yusuf Abdi
Abu Shuraim na Yusuf Abdi hawajaanza Leo kusema binadamu...wanamtukana Allaah na mtume wake sembuse nyinyi ikhwaany???...musiyumbe hata chembe wala musipoteze mda wenu kujieleza... Ndugu zangu...endeleeni kuitangaza dini ya Allah kwa njia munayoifahamu... Allaah yahfadhkum . Allaah ma'aakum.Allaah Akbar... Fi Amanillaah
zungumza habib mungu yupo na ww kawaida mwenye kutumikiya mungu kwa ikhlasi bx lazima utapatikana na misukosuko inshallah mungu akujazi kila ukisemwa nakutukanua ndio wapanda daraja nakupenda kwajili allah
Nashidi haipigwa msikitini ilipigwa msikitini ni kufaya biyashara waambiye kwaupole wajuwe❤❤❤❤❤
Shekhe Allah akubariki maneno mazuri❤
MashaAllah sheikh Yusuf hujafanya makosa kabisaaaa, Allah akuhifadhi. Ameen ya Rabby
Sheikh wangu Allah akuzidishie usirudi nyuma sheikh wangu walahi sisi wa Tanzania tume kume kupongeza kumpokea mama etu kipenzi chetu mama Samia suluhu Hassani hakuna kosa walahi ange pokelewa na ndombolo tunge sikitika sana japo mama etu inge mkera sana sheikh wangu kaka nakupenda masha Allah Allah bariki 🤲🤲🤲♥️
Mashaallah
Mashallah Allah akuzidishie napenda sana mawaidha yako mashallah Allah akuepushe na hassad
Thank u ustad niko na furaha sana lau ningejuwa upo hapo musa mmi ningekutumia kibahasha nituze cz mashekhe wa hapo musa si dhani wana ilmu ya kutosha coz wao ni kupondaaaa wenzao tu Alhamdulilah umewapa vaccine yao
Allah akuhifadhi sheikh wetuu. Binaadam tuna mitihani na kila kitu hakiridhishii . SubhanaAllah
Msanii Yusuph Andi unaimba muziki wewe tofauti hukati viuno tu. Kwenye nyimbo zako Zina ala za muziki hebu liongelee hizo. Nyimbo zako Zina vinanda kwa mbali. Umefanya hivyo kuficha ushetani wa ala za muziki. Anayesikiliza kwa earphone anasikia sauti za bitts kwa uzuri kabisa. Hakuna tofauti na Kina Mboso na Diamond. Bali Yusuph Abdi kauingiza Muzik ktk dini. Acha nasheed yusuph Zina ala za Muzik
Jamani Muacheni ametumia unyenyekevu na pia Mama kupata furaha kuona yupo kwa ndugu na watoto wake hino ni furaha kwetu sote. Sheikh Yusuf umefanza sawa nenda mbele nakusupport kwauliyo fanya
WACHA WASEME USIKU WATA LALA!
Sheikh Abdi wewe ni mti wenye matunda. Usishangae kupigwa mawe. Wenzako wanakuonea choyo . Wao hawana kipaji alichokupa Allah. Endelea Sheikh Abdi na Allah atazidi kukunyanyua. Amen.
ua-cam.com/video/r73A5gfmW0E/v-deo.html
Nafaatilia Comments kwa makini sana
ua-cam.com/video/r73A5gfmW0E/v-deo.html
MashaAllah ilikuwa fursa Adhim AlhamduliAllah kwamba tumeweza kufikisha ujumbe wa dini mahali kama pale Allah atakujazi kheir na ajaalie watu wa pate uongofu from what happened
Yusuf hio nasheed yakumsifu samiya wewe na wenziwe mulitunga wimbo kumsifu samiya AIBU KUBWA SANA AIBU SANA YUSUF ABDI UMEKOSEA KUMUIMBIA KUMSIFU BINADAMU
Sheikh hacha kuremba . Umetereza kubali ndio uungwana.
Kweli. Kwani huyo mama ni Nani hasa katika waislam hadi kwenda kumnyenyekea. Mwanamke tu kama wanawake wengine wanao Fanya kazi serikalini anae chumia tumbo lake.
Allah akuhifadhi sheikh ndiyo mitihani ya dunia
Allah Akuhifadhi
ALLAH akuhifadhi Maana ingelikuwa Fedhehea Kama Mama yetu angeliletewa ndomboro karibu Mwz Tanzania
Mungu akuhifadhi sheikh wetu
MashaAllaah nikuelimishanaaaa hujafanyaa vibayaaa.Allaah Atakuhefadhiii
We love you kwa ajili ya Allah
Shekh wetu.
Mimi binafsi nilifurahi. Go on shekh hakuna ubaya umefanya
Hikmah Masha'Allah,was Great seeing you giving da'awah to our leaders.Allah akuhifadhi.lastly alimfanya muislam kafurahi ambaye alikuwa mgeni wetu Allah akupe furaha pia wewe.
Mashallah endeleya na dawaa mungu akulinde binadamu tumehadawa namate napumzi mungu atuswamehe walokukosowa kwangu uko sawa mkuu issa Nairobi pangani modhainga
Shekhe mungu akuweke upo sawa allah akulinde na hasad
MASHA ALLAH.BT WANAO KUPINGA NI MAWAHABI PEKEE AMBAO NI WENZAKO
Aktham wa mld?
Mziki ama nyimbo zenye kuambatana na ala za miziki kama vile gitaa, vinanda nk ni Haram bila shaka yoyote, na huo ndio mziki haswa unaokatazwa, hata kama mtu atamtaja Mungu au kumsifu mtume akatumia ala za miziki ni haram tu, kumtaja kwake Mungu au mtume hakuufanyi mziki kuwa ni halali Bali ni hatari zaidi kwani hilo linaashiiria kutotukuza utukufu wa Allah na Heshima na hadhi ya Mtume kwa kuwataja kwenye mziki ambao wameuharamisha.
Waislam wengi wakiwa wamerudi kwa Allah na kumuabudu kwa kuswali na kufunga na kuacha maovu mengi ikiwamo kutosikiliza miziki, lakini kwa bahati mbaya baadhi yao kwa kudhania kaswida na anashidi zinazoimbwa kwa wingi siku hizi zikiwa na sura ya mziki mia kwa mia wanadhani kuwa ni halali hivyo wamekuwa wakisikiliza kwa kutojua kuwa huo pia ni mziki tu.
Kwa hivyo yapasa tujue hili tusije ingia kwenye makosa.
Sikiliza Quran, mawaidha ni bora zaidi kwako ili kuilinda dini yako nakujikurubisha zaidi kwa mola wako.
Shukran
Mwanzo.soma ujuwe maana ya wahabi zuzu wewe
sheikh yusuf uko sawa allah shahid sheikh yusuf hawo wanao ponda mungu atawashinda
Assalam Aleikum sheikh Allah akubari, hata mtume pia alipata misukosuko kama hayo, binadamu ndivyo tulivyo wivu mwingi mpaka kwa waislamu wenzetu SubhanaAllah.
Na salute karibu zote na waleee wanaompokea mtume saw
Sheikh Yusuf Umefannya mambo mazuri:
1 Kwanza umeilimisha watu kuwa waswahili ambao niwaislamu niwatu wenye busara na ustarabu.
2. Pili umeweza kufanya watu wajuwe kuwa waislamu niwatu sio vile munavyo wafikiria kuwa niwatu wavita bali niwatu weweza kutanganyika na makabila mbali mbali.
3. Mashairi yalikuwa yamsifu Raisi wa Tanzania ambaye nimuislamu. Huu pia nimfano kuwa kenya pia twaweza kuwa na rais mwananke Muislam tukiwa na ummoja.
4. ni kwa mara ya kwanza waswahili kuwa na raisi mwanamke ambaye nimuislamu ambayo imetupa sifa sisi Waswahili kuona kuwa twaweza kuwa katika daraja kubwa.
5. Umeondoa fikra yakuwa waswahili au kwa ujumla waislamu niwatu hawawezi kutanganyika na jamii zengine.
6. Yeyote ambaye alikuwa simuislamu ameona waislamu niwatu waina gani. Pia niraisi sana watu kubadilika . kwa kweli kulikuwa na nidhamu,. uislamu ulihishimiwa yani watu hawakunywa vinajwi vya haramu.
7 Uhuru mwenyewe alihishimu waislamu lau angetaka pia angefanya kuwe na tembo, lakini hakufanya hayo kwa sababu amehishimu uislamu.
8 Kumalizia Sheikh Yusuf Pongezi sana na yeyote yule ambae hakufurai basi hao nikatika wale waliopotea. Ukubwa ni Jaa. bila shaka utapata watu wengine nimahasidi.
Mashaa Allah
Mungu azidi kukuongoza n akukinge n hasad n azidi kukuneemesha zaidi ,,baadhi y wanadamu hawakosi kutia wenzo ila ,, waislamu wameoewa hishima n nchi yaongozwa n ndini nyengne,, Ni SoMo kwa waislamu kuheshimiana n kuunguna pamoja , kma twaheshimiwa n wasokuwa waislamu je ,, mungu amhifadhi n ampe umri mrefu
Masha Allah kazi nzur shehe
Mziki ama nyimbo zenye kuambatana na ala za miziki kama vile gitaa, vinanda nk ni Haram bila shaka yoyote, na huo ndio mziki haswa unaokatazwa, hata kama mtu atamtaja Mungu au kumsifu mtume akatumia ala za miziki ni haram tu, kumtaja kwake Mungu au mtume hakuufanyi mziki kuwa ni halali Bali ni hatari zaidi kwani hilo linaashiiria kutotukuza utukufu wa Allah na Heshima na hadhi ya Mtume kwa kuwataja kwenye mziki ambao wameuharamisha.
Waislam wengi wakiwa wamerudi kwa Allah na kumuabudu kwa kuswali na kufunga na kuacha maovu mengi ikiwamo kutosikiliza miziki, lakini kwa bahati mbaya baadhi yao kwa kudhania kaswida na anashidi zinazoimbwa kwa wingi siku hizi zikiwa na sura ya mziki mia kwa mia wanadhani kuwa ni halali hivyo wamekuwa wakisikiliza kwa kutojua kuwa huo pia ni mziki tu.
Kwa hivyo yapasa tujue hili tusije ingia kwenye makosa.
Sikiliza Quran, mawaidha ni bora zaidi kwako ili kuilinda dini yako nakujikurubisha zaidi kwa mola wako.
Shukran Jaziilah..
Mashaallah sheikh keep going Allah akulipe, very true.
Mashaallah umefanya jambo ambalo halina hata kosa .watu wengine ni wivu kwa sababu mlikuwa mbele ya marais 2 hao wasemao hawakupata hizi nafasi ndio maana wanaumia
Allah akuhifadhi Sheikh
Manshaalah sheik Yussuf abdi 🤞🤲❤️✌️
Shekh nimekupenda sana ulivyoongea imetoa doku duku lako sema ukweli japo kuwa ni uchungu
Na naam mama amefurahi sana Allah akuifadhi
Sheikh yussuf abdi wewe ni aalim mashallah tumekuelewa Allah atakulinda nanshari za wanafik
Sheikh Yusuf insha Allah mungu atakusimamia kwa yote unayopitia usichoke endelea kusonga mbele
Mashaallah Hakuna ulolikosea ukiangalia hata hujjaj wakipanda ndege kunakuwa na mchanganyiko ya wanaume na wanawake.
Hasbunallah wa neemal wakiil. Achana na hao wanakuonea dege.
Sheikh hapo umetuchanganya kidogo. Umesema hujaenda kuwakilisha waislamu na pia unatuambia ilikuwa yapasa cc waislamu kufurahi kwa fursa kama hyo uliopewa wewe. Sasa which is which
Watu wa chukulia ikulu kama Jannah
أستاذ أنشر الدعوه علي منهج السلف لا تدافع نفسك مستدلا إختلاف الأراء لا تنفعك هذه كلها الرسول صلى الله عليه وسلم ما دافع نفسه قط إلا أنتهكت حرمات الله
Ah sheikh yusuf wachana nao hao wanakupa stress za bure endelea na kazi yako akhy الله يحفظك ويحفظ كل المسلمين الله اعلم من ذالك
dont ever care what people said or think about you coz you wont move foward
Misikiti itakua vituo vya nyimbo sasa. Kwani Samia ni nani katika waislam isipokua kiongozi wa kidunia tu anae chumia tumbo lake. Waislam msichanganye siasa na dini. Huyo mama ukimuangalia hata kichwani afunikia mi nywele ya bandia kwa hivyo hata swala si dhani yu wa swali
الله يحفظك شيخ يوسف.
Achana nao hao cha ajabua mda huu waislam wnakufa palestina anakuja na hoja za nashid badla azungumzie palestina aja na hoja na kutwambia kila k2 badaa
mashaalah sheikh yusuf abdi Allah akuhifadhi.uko sawa kabisa maneno ya hekima mashalah.
Wongu yeke
Badilika sheikh ngoma mwito washetani wacha hasira huwezi tubadilisha moyo zetu leta dalili ngoma zako kama nihalali
Munakera sana nyinyi musiosoma Sasa hizo anazoimba ni ngoma?
Sheikh achana nao hawaelewi binadamu.wanafanya kila kitu ikuwe ngumu sana.dat event tulipewa heshma kubwa sana waislamu.alhamdullah
heshma gani tumpewa? vijana wengi waislam wamepotezwa ..jee alimwambia rais uhuru na samia? shida za waislam
kina mazinge ndio wanatangaza dini huskii nyimboo
Aliokwambia nani
MashaAllah mm nakupenda
Kawaida ya umma wenye akili ndogo vigumu kuelewa chochote!!. Endeleya na kazi yako nzuri acahana na wapuzi. Hamuja fanya makosa. Watu hawako teyari kuona wenzao wanaendeleya kivyoyote.
Sheikh yusuf nakukubali upo sahihi kabisaa
الله ينصرك و لا تبالي أقوال السفهاء و الحاسدين.
الله لا ينصر الباطل
ustadh bahasha
Una maneno ya busara ila hizo nyimbonyimbo tu shaikh. Usjifananishe na wasanii
Hikma yataka mnoo maishani
Kabisa
Mbona wao hawalinganii tukawaona hasadi tuu izo wasikushuhulishe choyo tu fanyeni nanyie mtunzwe
Sina tu namba ya huyu msanii ningempigia wallahi nimuulize hivi ala za Muzik zaruhusiwa kwenye dini yetu?
Msanii tu huyu
Haziruhusiwi
@@abuuluqmaantv acha uhasidi
Dunia ime tumeza wallah. Ina maana wakienda mashemeji zake wakike nyumbani kwake ata watungia nyimbo zaku wakaribisha. Hayo maneno ange ya tamka bila kuimba kwani pange haribika nini.
Allah ma3ak
Tusilaumiane ikiwa Sharia haijavunjwa. Hukum ya Sharia tuacheni wenye ilmu, Maulamaa wale wanaojua uhakika wa mambo wawe ndio hutuongoza. Na tuhimizane kupendana na tupende kuelimishana sio kuharibiana sifa nk. Mimi nampenda Sheikh Yusuf kwa juhudi zake za kuhimiza mambo mema
Mashaallah nilifurahi binadamu hawakosi la kusema labda kwa vile hawakuitwa wao hukufanya makosa
SHEKHE YUSSUF Fanya kazi ako usiwasikilize wasiokupenda dunia hii ufanye lolote utasemwa tu liwe jema liwe baya
mbona una wasiwasi
Am nota fan nor a follower of ustad but nakupongeza what u hv done for Bi samia na tena nimefurahi hio khutaba ni hapo musa kw mashekhe wanafik nataraji una wachapa wao
Dawaa yako mbonaa hukutumia kwa mtume ukamsifu maraisi au n pesaaaaaa
Dawa ya mtume ni ipi hebu tupeni nasisi
ما شا الله الله اکبر ۔
Masha Allah..Open minded sheikh
Heri ungeomba nasheed hio, lakin tulio kuona unaiomba na kutuzwa ni ya kumsifu huyo mwanamke sio ya kutangaza dini.
Ukweli kuna mushkil wewe kwenda kumuimbia nasheed na maneno ulio tumia.
Mushkil sh Yusuf sio kuimba nashed,
Mushkil ni
.1, kumuita mama waimani na kuridhia urais wa mwanamke ambae imani yake inakataza kuongoza wanaume,
2, wewe ushekhe wako hukuthubutu kumwambia hilo na unajua ni munkar kubwa kwa imani yako.
3, Umeshindwa kukanya munkar huo wala kuuchukia kwa sababu umesifia uraia wake.
4, unajua ولن يجعل الله الكافرين على المؤمنين سبيلا.
Na unajua
ومن لم يحكم بما انزل الله فؤلئك هم الظالمون، فاسقون ، مسافرون.
Badala yake umesifia uongozi wa uhuru Kenyatta kua anaongoza vyema amesomea,
Allah awaits madhalim mafasiq wewe kuitwa ikulu washajua viongozi bora.
5, kama ulipokua faragha na uhuru ndio ungemlingania dini hapo ndio useme,
Lakin nasheed ulio itaja sisi hatukukusikia nayo hapo ikulu,
tunasema kwa ulio sifu viongozi wakikafiri wawili kwa sababu wanatawala kinyume na sheria za ALLAH japo mmoja ni muislamu.
Hatusemi kwa kuimba nashed wala hatufurahiki joho kuleta wanamuziki mji wa kiislamu wa mombasa.
haifai kuimbaa ramathani hakuna mtu aliye kuchukia na hakuna mtu nzii wewe ni msanii
Huna haja ya kueleza..kwa binadamu....madam uko sawa na Allah
TWAKUPENDA
Allah akuhifadhi Hilo lote Ni chuki tu!!!
Kumbe unaweza kufanya daaawah kutumia nyimbo pia.Sheikh Bahero na wengineo mbona mpo kimya.
Wewe mbona ukokimya hujiamini?
Mtume alikua akifanya Dawah na sio kuimba kwaya
haifai kuuimbaa ramadhani na usiete watu maiziii kwa vile ameambiwa ukweli wewe ni mnafiki
huna uminiii wowote wewe umekodisha na ukalipwaa alafu ukiambia ukweli wasema watu inzi Chunga maneno yako
Kwani amezini amefaya liwat amekula ngurue kama hamjui masaala ya dini wacheni ufedhuli hajakosea kabisa amesifu sifa za ukweli mbona uko na chuki sana.
Sheikh yusuff nakutambua 0748998819 Allah akupe afya na sauti hio hio inshaAllah itaingiza watu peponi .
Sheikh yusuf wape ukweli
Mm sielewi ustadh maana kwani kumekuja mada ganiiii mpaka hivi coz sioni issue mm ya mtu aitwe or aende ikuluuuu.usahilini balaaa.
Hapo umesema Kweli Sheikh. Hão wanna wivu ni mahasidi walikuwa wataka wao nafasi hiyo.
Sheikh Yusuf Abdi
Tupo pmj 🇹🇿🇹🇿
Tell them the truth
Endeleya sheikh na ukipata nafasi ya kwenda bungeni piya enda twajuwa wisho utatusaidiya sisi masikini
Kweli kabissa
mm nmekwelewa....lkn kwa mawazo yangu nkuwa ulienda kwa nasheed kwa maslah yako......
ambapo ulikua fursa kama sheikh utumie kueleza maswala ya umma.....
na mwisho ukataja kwa mazuri yote ulofanya ukataja moja kosa ulofanya ..kumanisha umekubali kama ni kosa....yote tisa ALLAH AALAM....
Bwana farahadi mpe sumu huyu mwenzio afe waonaje??waaacheni hawa vijana wawe wameimba wamfnyaje usWAHILINI MATATIZO MATUPU
Sheikh wewe ni kioo cha jamii...wacha kuimba bana......
Ulikuwa watka tarabu... watu waimbe..
@@faroukamir5484 Wimbo haifai ktika uislamu..
@@fearless......2651 wewe mbona uliingia ukaskiza??
Ulisoma wapi hata ujuwe nasheed nimakosa
Hicho kipaji umepewa na mungu kwanini hukitumii katika mazazi ya mtume umekitumia kwa mwanamke?
Shekhe wetu kaza buti, songa mbele. Wasemao watasema, ndio kazi ya mdomo.
👎wewe ukiambiwa ukweli hutaki wewe ni msanii umekonishwa
Kitambulishe wacha kubweka
Binadamu huwawezi hawana wema achana nao
Sheikh Hao ndo binaadam huwezi kuwaridhisha abadan achana nao
Yusuf Abdi aambiwe ukweli mtu mwenye ilmu hawezi kufanya mambo hayo. Sasa wewe ni msanii.Lakini ushindani wako utakuweka pabaya. Nashid is not a problem lakini wewe tupe dalili ya ulama yeyote ambaye aliwahi kumuimbia rais wa nchi ya Kikafiri nasheed.
Chemistry unazungumza zero, umesahau nabii Musa aliambiwa akamlinganie firaun
@@abdab8466 alimpa tawheed, alimpa dawa hakuenda kumsifu na kumfurahisha nakusema Kenya na Tanzania zishikane na kuendelea kufanya urafiki. Usimlinganisha nabii Musa na mchezo I a Yusuf Abdi
@@chemistrymadeeasy7706 jamanini Madam twaishi na wasiokua waislamu hakuna budi kuamiliana nao hatakama ni kualingania wataka walinganiwe vp
Abu Shuraim na Yusuf Abdi hawajaanza Leo kusema binadamu...wanamtukana Allaah na mtume wake sembuse nyinyi ikhwaany???...musiyumbe hata chembe wala musipoteze mda wenu kujieleza... Ndugu zangu...endeleeni kuitangaza dini ya Allah kwa njia munayoifahamu... Allaah yahfadhkum . Allaah ma'aakum.Allaah Akbar...
Fi Amanillaah
wewe una kibri sanaa waita watu enzi wewe kwani kuabiiwa ukweli unakuumaa wewe ni msanii
Hao ndio binadamu huwezi kuwaridhisha maadamu ww mwenyewe wajua umefanya kher wa wachana nao
huna heshima wewe unaimbaa ramadhani
Wewe ukonayo heshima kumuambia mtu anakushinda kiilimu hivyo toa aya au hadithi kama kutoa nasheed haifai wacheni ujinga.
Huo ni ushamba unataka raisi wrtuvmuislamu apokelewe na diamond kaduka khuku kafunga
wewe huna sheikh nawewe sio muuminii wewe umeitwa ukimbaa .
Zitoe wewe darasa
Nduguyangu punguza ukali wa maneno uislam haupo hivo mbona waislamu hatupendani
Wata kwa kuimba hata kwa kutowa mawaidha pia mulimfanyia hasad
zungumza habib mungu yupo na ww kawaida mwenye kutumikiya mungu kwa ikhlasi bx lazima utapatikana na misukosuko inshallah mungu akujazi kila ukisemwa nakutukanua ndio wapanda daraja nakupenda kwajili allah
Sheikh
Toka
Kwenye
Utata
Hujaimba hiyo ninashid achana nayo hawajielewi
Binadam hatuna dogo hatukosi lawama c oni kosa pale