Sheikh Mselem awekwa kwenye mizani na Ustadh Haji Upepo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 381

  • @MakameRashid-bo6yw
    @MakameRashid-bo6yw 3 місяці тому +12

    Tuwachieni sheikh Mselem Allah ampe afya na azidi kumpa hekma

  • @issabinmachano3302
    @issabinmachano3302 3 місяці тому +6

    Asalam aleykum shekh najua ww umesoma kwa kiasi chako na wezko wamesoma kwa kiasi chako na km unavyojua elimu ni bahar elimu ni pana pia khitilaf zipo ktk dini wakat m2 iman yake mungu 1 na hana alicho pinga kwenye sunna wala qur ani hamna shida haina haja ya kualikana kwenye mitandao kutia peponi na kuoana peponi sot tunatafuta radh za allah ole wako muite m2 wahab haliyakuwa sio wahab allah atakula na ww sahan moja

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 3 місяці тому +10

    We love sheikh Msellem for the sake of Allah

    • @RamadhaniShabani-nc5ve
      @RamadhaniShabani-nc5ve 3 місяці тому

      Huyukijana hajaja kusifu shekh mselem but kajakumkejeli hafaikuungwa mkono huyukijana mnafki huyu

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 3 місяці тому

      @@RamadhaniShabani-nc5ve Naam hakika

  • @fahadAlloufy
    @fahadAlloufy 3 місяці тому +13

    Taarifa: naomba kufikisha taarifa kuwa shk Msellem sio tu sheikh bali ni Proffesor na Haji upepo sijui ni nani labda ni huo upepo

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 3 місяці тому +2

      Uwe unasikiliza Tena Kwa makini la SIhivyo utaonekana mpumbavu Kwa wenye akili iliyosalimika.

  • @bakarfaki-vb8kv
    @bakarfaki-vb8kv 3 місяці тому +7

    Vijana wenzangu tuwe adabu katka utaftaji wa elimu . Ewe ndugu yangu Haji upepo bado ni unahitaji kama Mimi ninavohitaji elimu jaribu kuwa na heshma kwa masheikh.

    • @user-qy9qx5hd2u
      @user-qy9qx5hd2u 3 місяці тому

      Bravo..Kijana mdogo lakini una hikma za kukutosha..WAMAN YUUTAL HIKMA FAKAD U'TIA KHAIRAN KATHIRA..

    • @mohamedimiraji5495
      @mohamedimiraji5495 3 місяці тому

      Anatafuta kick za umaarufu

    • @saidali9255
      @saidali9255 2 місяці тому

      Looking for high ranked! Young man be humble down to Earth! Mselem is out of your planet! Continue milking from your Mommy! You still smell milk!

  • @hassanyusuph9446
    @hassanyusuph9446 3 місяці тому +1

    Yan n darsa tupu lisilo na ufafanuzi hiv vijamaa vikisoma kidogo tu mtihan wanaamin maulamaa hawa kuliko maneno ya ALLAH

  • @TalibMuhsin
    @TalibMuhsin 3 місяці тому +8

    vitoto kama hivi vya karne ya 21 vikishasoma vitabu viwili vinakua vina mashaka kweli

  • @IbrahimKassim-j8o
    @IbrahimKassim-j8o Місяць тому

    Ww usijifananize kabisa na sheikh mselem ni aalim min ulamati sunah Allah amuhifadhi

  • @WagugaAlhaji
    @WagugaAlhaji Місяць тому

    Innallillah wainnaaillah rajiun

  • @ImamAlban
    @ImamAlban 3 місяці тому +2

    Haji upepo ni baradhuli tu na khanisi

  • @khaliddadi2063
    @khaliddadi2063 3 місяці тому +1

    Kwa tulio angalia hadi mwisho hii video tumeelewa
    Asnate hongera sana Allah akulipe kher

  • @user-sm7if6ni3o
    @user-sm7if6ni3o 3 місяці тому +3

    Toa darasa akhy watu wapate faida mambo yakumpandisha mtu au kumshusha so jukumu lako nahalina faida kwawasikilizaji sheikh wangu

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 3 місяці тому

      Kazi yake yy Ni kukosoa watu ambao wamefanya juhudi ya kupigiwa mfano ktk Dini

  • @HalfanAlly-pr4xt
    @HalfanAlly-pr4xt Місяць тому

    Asalam alaykum huyu shekh haji hana elimu kabisa hivi unaelimu gani ya kumzidi shekh mselem bin ally

  • @BABAMULHATSAID-ff3lw
    @BABAMULHATSAID-ff3lw 3 місяці тому +2

    We kweli upepo,kazi kutafuta umaarufu tu,kusoma aaaa

    • @Sobo740
      @Sobo740 3 місяці тому

      Jina linaumba

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 3 місяці тому

    Allah akuhifadhi sheikh haji ila iyo aya katika suratil nisai imeisoma vibaya kidogo

    • @khamisomary7428
      @khamisomary7428 3 місяці тому +1

      Naam kweli namm nimesikia, tustiriane hakuna mkamilifu

  • @ShadhilShaame
    @ShadhilShaame 2 місяці тому +1

    Mm siamin kama kuna mtu anauhakika kama itikad yake ndo iko sw maana hakuna aliemuuliza mtume

  • @hafidhbancar2316
    @hafidhbancar2316 3 місяці тому

    Shekh mimi nimekufahamu San Allah akubarik

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 місяці тому

    Wallahi sheikh Msallem hatujui ila kheiri ni mpambanaji katika dini hajawahi kutetereka

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni 3 місяці тому +6

    Inatakiwa bakora irudi ili kama hawa wapate viboko kidogo

  • @HabibAlmaully
    @HabibAlmaully 3 місяці тому

    Mungu hampendi mtu mwenye kujikweza na kujifakharisha kama unavojikweza wewe na kujifakharisha.

  • @abdallahkabuto8392
    @abdallahkabuto8392 3 місяці тому +1

    Hii in ngia kwa biography book ya shk mselem mungu amuhifadhi

  • @babuamuri29
    @babuamuri29 3 місяці тому +2

    Hao wapumbavu waliomkosoa hawana tofauti na ww, tofauti Yenu ww hujijui tuu kama mpumbavu.
    Muulize Mungu akuoneshe Kati yako na yeye nani yupo daraja ya juu kwake hapa duniani na kesho akhera mkifika. Halafu ndo ujitie kukosoa mashekhe kenge wee

  • @KombHaji-dr5pd
    @KombHaji-dr5pd 4 місяці тому +3

    nazani shekh mselem alihuzuria maulid wete jadida mskiti wa mwitani

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 4 місяці тому +1

      Shekh msellem anajifaham sio watu wa riyaa na kupenda sifa kama walivyo masheikh wetu wengi, Allah azidi kumuongoza sheikh msellem na sisi pia atuepushe na fitna za makafiri na masheikh ma mwehu inshallah

  • @MwanaidiZidiheri
    @MwanaidiZidiheri 2 місяці тому

    Tufundishe Iman km unajua tupate kufikia kwenye kher

  • @abuurasshaad
    @abuurasshaad 2 місяці тому

    Masufi mkiambiwa achen uganga hamtaki, haya sasa oneni huu upepo wa mizimuu😢

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 4 місяці тому +1

    Sheikh Haji Upepo Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى akupe nguvu ya KUSAHIHISHA na umeongea kwa INSWAFU sana
    Tunakupenda kwa ajili ya ALLAH سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى

    • @user-er7gb7cn6u
      @user-er7gb7cn6u 3 місяці тому

      tatizo lenu nyinyi mashekhe hamna adabu sijui mmefundishwa wapi ebu kuen na unyenyekevu shekhe anapokosea mfuate kwanza akuelekeze kwa nini amepita hapo Ukiona amekupitisha hukuelewa basi nawe muoneshe njia yako unayo ijua ukiwa nae hii ndio adabu sio kwenye TV huu ni utovu wa nidham kama wewe ulisoma kwenye TV uko sawa ila kama ulikaa chini mbele ya Mwalim basi nawe kakae belle ya shekhe umueleze kielim kwa adabu

  • @user-kc4fv6cf8l
    @user-kc4fv6cf8l 3 місяці тому

    Hakuna muwahabi ambae amtambuwa kuwa shekh mselem kuwa ni miongoni mwao
    Kwa mawahabi hakuna muisilam isipokuwa ni msuni , na hakuna msuni isipokuwa msalafi , na hakuna msalafi isipokuwa yeye na shekhe wake

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 3 місяці тому +1

    Siku hizi hata mtu akimtukana mama ake mzazi anapongezwa.Uhuni mwingi mpaka kwenye Dini. INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RRAJIUUN.

  • @KhamisNeymar
    @KhamisNeymar 4 місяці тому +9

    Ww sio shekhe wew ni mpuuzi dini haiko hivyo walaselem hajawahi kukwambia kama yeye wahabi yy amesema hana kundi yeye ni muoslam kama alvyokuja mtume mtume hakuja nakundi nyinyi hayo makundi mumeyatoa wapi mahafidhina wakubwa nyie makundi yote niwanafiki t

    • @MAPETEE
      @MAPETEE 4 місяці тому

      Mbuzi na hao walio kuzaa

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 місяці тому +1

      Upuzi wake nn nyinyi mawahabi muna shida mm naona shekhe kamsifu muselem tena kasema katika kuigwa kwa sababu ilimu yake siyakugombanisha watu

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 4 місяці тому

      Wewe mwehu, kwani wahabi lazima aseme? Uwahabi ni msimamo

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 місяці тому

      @@HemedSerious nyinyi mawahabi wapotoshaji mwajulikana kazi yenu kumzushia mtume na hamutaki mtume asifiwe aliyetumba kamsifu na kumswalia sawa ila mashekhe wenu kazi ya kukufurisha waisilamu ndio mukambiwa nyinyi mawahabi nendeni mwendo kama anavo enda muselem

    • @mohamedrashid7864
      @mohamedrashid7864 4 місяці тому

      Comment za kiwahabi ni matusi tu humu

  • @AliySalumAlawi
    @AliySalumAlawi 3 місяці тому

    Ikiwa umemuamin allah sw na ck ya mwisho sema ya kheri au nyamaza

  • @mirajihamza4532
    @mirajihamza4532 3 місяці тому

    Sheikh Msellem yuko hivyo kweli Allah amlinde

  • @MbaroukAmour-fs8hb
    @MbaroukAmour-fs8hb 3 місяці тому +5

    Walaa tamuutunna illaa waantum muslimuun........ Haya makundi yana faida gani siku tukisimamishwa mbele ya Allah....... Je kuna ofa yoyote itakayopatikana ukiwa ktk kundi fulani?

    • @user-mx5wq2wl7n
      @user-mx5wq2wl7n 3 місяці тому

      Ni mtihani mkubha watu wametupwa huko katika MADHEHEBU sijui wata amka lini Dah

  • @KassimJuma-mu1zi
    @KassimJuma-mu1zi 2 місяці тому

    Hiii n ghaira ya kielimu tunachotakiwa tuliobaki tusome ili tuwe ni wakutekeleza ibada kwa usahihi ALLAH atupe wasaaa na utambuzi wa dini yetu hapa dunia na cku mwisho .Insha Allah

  • @abuurasshaad
    @abuurasshaad 2 місяці тому

    Huu unaitwa upepo, upepo sio wa kuuzingatia sanaa kwan hauelewekiii

  • @user-rh7lj1lo5x
    @user-rh7lj1lo5x 4 місяці тому +2

    Hapo Ust Haji Umesema kwamba Sheikh Mselem hujui Aqidah yake kwanini unamuhukumu kwamba ni Wahabi na Yeye Hujui Aqidah na hujahakikisha yake vizuri Ulikuwa Usimuhukumu katka Kundi Fulani.

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 3 місяці тому +3

    Yaani anazungumza kwaa upoleee unataka huruma kwa mashabiki wako haraf mpumbavu mwenyewe

  • @stedeteam531
    @stedeteam531 3 місяці тому

    WALIOZALIWA KUANZIA 2000
    HATA WASCHANA
    KUOLEWA PIA HAWAFAI
    UTAPATA TABU SANA
    HUYU NI BAHAU

  • @moussabumbor2414
    @moussabumbor2414 3 місяці тому +1

    NIMEMSIKILIZ VYEMA, WENGI WENU HAMKUELEWA NA MKAKOMENT KWA KUMPINGA SIKILIZ HADI MWISHO UTAELEWA VYEMA NINI NIA YAKE WALLAH

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 3 місяці тому

    Wape heshma wanazuoni... Huna unayempenda Wala kumuheshimu. Umekazana wahabi wahabi....Muislam nduguye Muislam.

  • @MussaMohammed-g6o
    @MussaMohammed-g6o 3 місяці тому

    Vitoto vya 2000,,vina shida sana,,,,, kwanza baadhi yao vyenyewe havijielewi halafu eti vinataka kumjua mtu,,kabla ya Elim muombe ALLAAH aukuruzuq hekima,,Wallah mtihani,,

    • @Sobo740
      @Sobo740 3 місяці тому

      Jina linaumba

  • @RamadhaniShabani-nc5ve
    @RamadhaniShabani-nc5ve 3 місяці тому +1

    Ha2jakutuma uwemchambuzi kwamasheikhze2 tunakuomba hiyokazi iache mapema sw usitafute umaarufu kupitia mashekhze2

  • @showshowtv1854
    @showshowtv1854 Місяць тому

    ww sheikh angalia maneno yako
    sheikh msellem ni ahlu sunna waljamaa

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 3 місяці тому +1

    الكمال لله

  • @aflahammar3731
    @aflahammar3731 27 днів тому

    She WACHA HUO itaratib mfate MTU mubashara

  • @rashidsuleiman9253
    @rashidsuleiman9253 3 місяці тому +3

    Wewe binafsi kama nani?

  • @hassanalikombozanzibar1192
    @hassanalikombozanzibar1192 7 днів тому

    Dini yetu ya uislamu inakataza kuitana majina mabaya kama hayo unayo yatamka.

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 3 місяці тому +2

    Mbona umefananisha visivyo lingana
    Shk mselem yeye mwenyewe amesema hana wala hajifungamanishi na kundi lolote kisha wewe ukampeleka ukamtafutia kundi ukampachika kisha unawataka unaowaita mawahabi wafuate msimamo wayule asie na kundi..HAYO NI MATAMANIO YAKO

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 3 місяці тому

      Wahabi ndio hana kundi. Waliobaki wote kundi

  • @saidnjela3939
    @saidnjela3939 3 місяці тому

    Haina haja kumkosoa mtu kama unavyo fanya wewe upepo,tena hadharani ungekuwa una ilimu wewe ungetumia hikma na mawaidha mazuri mfuate sheikh mselem mkae chini mjuzane nae penye kosa mrekebishane,si kama unavyofanya wewe upepo,

  • @omaryshaabani8491
    @omaryshaabani8491 Місяць тому

    Hujui kama ni wahabi ila hukubaliani na uwahabi wake.. unachanganya madesa sheikh wangu

  • @shahidumaulidi9721
    @shahidumaulidi9721 3 місяці тому +2

    yaani hili jamaa ni matako " pumbavu kabisa halina akili linazungumza vitu lisivyo vijua " shekh msellem na uwahabi wapi na wapi " ebu kaachini usome kwanza kisha ulinganie kilicho sahihi " wafundishe watu waijue dini yao " sio kukaa na kupigana vijembe kama wanawake " dume zime lipo kama dem acha usenge bwege wewe kua na adabu na mashekh .

  • @saidnjela3939
    @saidnjela3939 3 місяці тому

    Hiyo mizani mtu wa kwanza kupimwa ungejipima wewe mwenyewe kwanza kabla ujawapima wengine, usitafute umaarufu kwa kuwakwaza wengine, tafuta kazi ufanye kama kutoa mawaidha umechoka

  • @MOHAMMEDMOSHE-sy3qi
    @MOHAMMEDMOSHE-sy3qi 3 місяці тому +1

    ]wahabi[ NI ]wewe[, HAKUNA 'WAISLAMU' WANAOITWA ]mawahabi[ DUNIANI, HAKUNA 'WAISLAMU' HAO; HUO NI UZUSHI NA VITIMBI VYENU ]watu wa bid'aa[ DHIDI YA 'AHLU SUNNAH WAL JAMAA'

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 3 місяці тому

    Uko sahihi ustadh hajji upepo

  • @khalidkhazab2348
    @khalidkhazab2348 3 місяці тому +2

    Mbona huyu anawakosoa masheikh wakubwa na kuwapima elimu zao, yeye ndo mwanachuoni mkubwa. Dohhh uislamu wetu jamani

  • @hilalalhabsi2047
    @hilalalhabsi2047 3 місяці тому

    HAJI UPEPO LEO UMETUKOSEA SANA. TAQQIYA YA MUWAHABI ISIKUFANYE KUMTETEA MUWAHABI

  • @LASSUH4947
    @LASSUH4947 4 місяці тому

    Shukran sana habeeb mm kitambo nilisha muona shekh mselleh kma ni mtu wa kupigiwa mfano maana habezi upande mmoja hata zile itikadi chafu za kiwahabi za kukata suruali ndo uingie mskitini anaziongelea kwa kuzikemea kwa kwly ana adabu ya hali ya juu niwakupigiwa mfano hakika

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 3 місяці тому

      Kasome ndugu, sheria imemlazimu mwanamume avae nguo isivuke vifundo vya mguu, kwa maana avae nguo fupi.

    • @abdulbasitkombo-pz4lr
      @abdulbasitkombo-pz4lr 3 місяці тому

      Sheikh mselem bin aliy allhaa amjalie kila la kheri kwa mambo ambay anayo ya fany kwa umma ila sheikh mselem ni bingwa bingwa bingwa bingwa na ubingwa wak sio wa kumraadi mtu sas uyo ndio wa kujichukulia mfano na kujifunza kutoka kwako

    • @abdulbasitkombo-pz4lr
      @abdulbasitkombo-pz4lr 3 місяці тому

      Na ao wanao jita salafi baazi ya wengine majanga tu hawana chchote zidi ya ku raadi watu tu nani ambae hapa mwenye kutoa tafsiri kama sheikh mselem achani izo kuweni na heshima

    • @abdulbasitkombo-pz4lr
      @abdulbasitkombo-pz4lr 3 місяці тому

      Na ao wanao jita salafi baazi ya wengine majanga tu hawana chchote zidi ya ku raadi watu tu nani ambae hapa mwenye kutoa tafsiri kama sheikh mselem achani izo kuweni na heshima

    • @abdulbasitkombo-pz4lr
      @abdulbasitkombo-pz4lr 3 місяці тому

      Na ao wanao jita salafi baazi ya wengine majanga tu hawana chchote zidi ya ku raadi watu tu nani ambae hapa mwenye kutoa tafsiri kama sheikh mselem achani izo kuweni na heshima

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gj 2 місяці тому

    Kwni weye huwez kuzungu mzia mawaidhatu Bila kumtaja mselem mbona weye unatabu mbona mselem hatumsikii kukutaja weye Wala uwo ujinga wako sijui mawahab masufi masalaf usenge mtupu sisi sote ni waisilam uoubaguz wako ishi nao

  • @MwanaidiZidiheri
    @MwanaidiZidiheri 2 місяці тому

    Upepo hauna Shep wala rangi wala sishangai kutokuelewa, mselem hatafuti umaarufu anafanya kaz ya Allah. Allah amlipe kw kz yk

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 3 місяці тому

    IKO SIKU NA WEWE UTAKUA WAHABI BADO ELIMU YAKO NDOGO TU ILA UKISHAPATA ELIMU UTAACHA TU UZISHI NA UTAFUATA SUNNA

  • @aflahammar3731
    @aflahammar3731 27 днів тому

    Uo WAKO pia ni udhaifu pia

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 місяці тому

    HUYU KIJANA ANA ISHARA ZA USHOGA NA ANATAFUTA MWENZAO. YUPO DORO NDIO MAANA ANATAKA AJUULIKANE!

  • @user-kc4fv6cf8l
    @user-kc4fv6cf8l 3 місяці тому

    Shekh mselem ni ahli sunah na sio muwahabi

  • @HajiMabrouk
    @HajiMabrouk 3 місяці тому

    Acha kupakaziy masheh wetuu

  • @ABDULLAOALI
    @ABDULLAOALI 3 місяці тому

    Ametoka kwa masheikh wa makka xx anaingia Tanzania baada ya kutafuta kitabu ukasoma anadapia dapia t

  • @AbdillahBakar-qx9sr
    @AbdillahBakar-qx9sr 3 місяці тому

    Aliemkosoa ni yule mjinga, mtomvu adabu wa kasim mafuta..

  • @komboame5492
    @komboame5492 2 місяці тому

    huu upepo sijui tuuite jina gani

  • @esheseif2203
    @esheseif2203 3 місяці тому

    Wewe huna busara kabisa kwni hayo mpaka muyaseme mtandaoni. Mnaposoma hamfundishi adabu

  • @Thabitilubunani
    @Thabitilubunani 3 місяці тому +1

    Kasome bado kijana unaongea hatahuelekwi unazungumzia nini mara namkubali mara simukbali sasa unampndaje mtu wakti huwafikiani naye

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 2 місяці тому

    Yaani wewe ni mjinga sana!na unataka kusema masufi ndio wako sahihi?na kuhusu adabu wewe ndio ulipashwa hasa kuna adabu!na yoooote aliyotokea ni utovu wako wa adabu!

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 3 місяці тому +1

    Unamtusi kiujanja ujanja, unamtukana hadharani kiujanja ujanja.
    Unatamani alale maulidini maisara na kwengineko umuone kaongoka kuliko viumbe wote.

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim 3 місяці тому

    Acha wivu..Shekh Msellen ni no moja kwa #Zanzibar kwa kutafsiri quran...na hata Tanzania kwa ujumla na akiskia atapenda

  • @kitosio
    @kitosio 3 місяці тому

    Jamani Hebu Tusome Usufi undani wake kisha tuje tukae kitako tupime. Kuna tafauti gani baina ya Shia na Sufism

  • @RamadhaniShabani-nc5ve
    @RamadhaniShabani-nc5ve 3 місяці тому

    Hiidini niya allah kwaiyo kama unaujumbewako kwawaislam zungumza tutakuangalia endapo uposahihi lkn sio kutoasifa zakinafki kwaviongozi we2 acha ujinga bana

  • @RamadhaniShabani-nc5ve
    @RamadhaniShabani-nc5ve 3 місяці тому

    Yani ukitaka kujua kama huyu jamaa nimnafki kaweka kilekipande alichosema misijui alichosema sheikh mselem vinginehata hajaweka

  • @Sobo740
    @Sobo740 3 місяці тому

    Kumbe unatexeka na madhehebu upepo

  • @HassanSheikhghalib
    @HassanSheikhghalib 3 місяці тому

    Dahh kweli wewe Ni mpumbavu mahawab wamewakosea nini Wewe ndio huna adamu unao wakosoa mpaka maimamu wa kabah makka we umesoma wapi kurafi subhana llaha acha kusingizia uongo eti mawaha wanasema allah yupo juu kiti kama hiki alicho Kalia yeye Allahu akbar Allah atakuonyesha hayo unae tusingizia sisi mawaha kama mnavo tuita

  • @biangwatv.1223
    @biangwatv.1223 2 місяці тому

    'Aqeedah ya kiwahabi ni 'Aqeedah gani?

  • @mansourkombo587
    @mansourkombo587 3 місяці тому

    Ndugu yang wwe huna robo ya elim ya kumkosowa mselim

  • @salummohammadomar5015
    @salummohammadomar5015 2 місяці тому

    Haji tumekuelewa nini unataka katika jamii vp unamtukana shekh halafu unamsifu wewe na huyo ni sawa jitambuwe kama unataka kujikosha kwanza muombe radhi mtandaoni na binafsi yy mwenyewe

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 місяці тому +3

    Umepata wafadhili wa wapi naona unajitahidi ktk kuwagawa waislam na wewe ni haji upepo kweli kwahiyo na wewe unatafuta umaarufu wako?

    • @RamadhaniShabani-nc5ve
      @RamadhaniShabani-nc5ve 3 місяці тому

      Huyukijana nichafu wauwisilam hafai huyu

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 3 місяці тому

      @@RamadhaniShabani-nc5ve hawa wanalipwa kwa kazi ya kuwavuruga waislam wako wengi saana kwahiyo kazi yao nikuwafanya waislam wagawanyike

  • @khalidtechnology367
    @khalidtechnology367 3 місяці тому +1

    Ust utuwaache hayo mambo usitutafute
    Na kama unatafuta umaruf tafuta kwa njia nyengine
    Ila hongera kwa kumpongeza
    Ila utuwache

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 місяці тому +1

    Kampende mamaako toa unafiki wako unajidai unampenda alafu unamtusi kimburu mkubwa alafu unasema uwahabi nini uwahabi pumbavu kampende mamaako

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 3 місяці тому

      Ww ukitukaniwa mama ako utaridhika?maana usione raha kumtkana mama wa mwenzio wkt ww pia umezaliwa na mwanamke mfani wa mam Ake,

  • @ibrahimbinwaibura9742
    @ibrahimbinwaibura9742 3 місяці тому

    Nyinyi ndo mnaotuharibia dini washenzi dini mumeigawa matabaka mtume kasema tuite watu wahabi au salafi

  • @omarjuma3793
    @omarjuma3793 3 місяці тому

    Huyu wawapi ten anapiga stor hana elimu yeyote

  • @RamadhaniShabani-nc5ve
    @RamadhaniShabani-nc5ve 3 місяці тому

    Ww unaonekana nimnafiki manakama ungekuanasifa njema unatakakumpa kweli kwanini usingemtafuta ukampa hadiuposti kwenye mitandao kamasio unafki uo ebana achana naiyokazi ww

  • @user-dm2uy3un5q
    @user-dm2uy3un5q 3 місяці тому

    Ukitaka umaarufu subiri Allah akupe sio kutumia njia usio swahihi hivo zingatia sana kaka.....

  • @esheseif2203
    @esheseif2203 2 місяці тому

    Na wewe pia unatukana mashekh

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 3 місяці тому +1

    Dhambi nyingine zinaepukika. Uislamu ni Dini inayofundisha Adabu. Kukosa adabu ni dalili ya mapungufu ya utambuzi wa mtu.

  • @user-qe8xp6ii1u
    @user-qe8xp6ii1u 2 місяці тому

    Halafu unajifungia Ndani.
    Kiukweli Ni mbumbu.
    Anatumia Tafsiri ya Kisufi Iitwayo Swafwati Tafaasir Ya Sheikh Sabuuni.

  • @abdallahabdallah7872
    @abdallahabdallah7872 3 місяці тому

    Wewe tafuta kazi ya kufanya huna lolote sheikh mselem ni bingwa wa tafsiri Africa mashariki tunamuelewa Sana yeye bingwa

  • @RamadhaniShabani-nc5ve
    @RamadhaniShabani-nc5ve 3 місяці тому

    Mana leo utakejeli sheikh mselem kesho utamkejeli sheikh Othmani maalim keshokutwa utahamia kwa kishiki ww bwana ww achaushoga ushogawako wapeleko mabwanszako uko mpimbavu mkubwa ww watakuungamkono wasioijua dhamila yako lkn m2mwenye mtazamo wakuona mbali atajuakabisa ww mtoto mnafki fala ww

  • @AbdalahMtambuka-rh1dp
    @AbdalahMtambuka-rh1dp 2 місяці тому

    Wewe shekhe upepo unaakili pumbavu zako. Unanizamu kabisa unawakosoa wezio aliyakua mapungufu yako uyasem pumbavu mnafk mkubwa unaakili akilizako kama upepo toa mapungufu yako alafu. toa yamwezio

  • @user-xn2iz7gn7u
    @user-xn2iz7gn7u 3 місяці тому

    Minapata dhambi mbele ya Allah

  • @esheseif2203
    @esheseif2203 2 місяці тому

    Nyani haoni kundule na wewe pia unawatukana mashekh hujioni eeee

  • @suleimanzahor6878
    @suleimanzahor6878 3 місяці тому

    Shekhe mselem ni ashaira

  • @suleimanharoubseif6492
    @suleimanharoubseif6492 3 місяці тому

    Ww unaonesheya umnafiki unamsifu mtu halaf apo apo unamkashifu uku huko wala uku huko

  • @RamadhaniShabani-nc5ve
    @RamadhaniShabani-nc5ve 3 місяці тому

    Sheikh Othmani maalim ashawahikusema kumpa2sifa kwasili nibora sana kuliko sifazakinafki kama hizo

  • @rajababdallah9239
    @rajababdallah9239 3 місяці тому

    Tupo kwenye zama ambazo,tuna aina ya mashekhe ambao kazi yao ni kutia ila na kutoa kasoro kwa yeyote ambaye hakunaliani na msimamo wake.sijui wamepata wapi hii.jee mtume Muhammad s.a.w hivi ndivyo alivyokuwa akifanya?.au hata masahaba zake au hata wanazuoni.ambao elimu hizi zote wao ndio wamekusanya?.

  • @user-kx9ze6gu1j
    @user-kx9ze6gu1j 3 місяці тому

    daaah kwa kweli Allah( sw ) atuhifadhi mana ni mtihani , ila waislamu wenzangu nawausia na kuihusia nafsi yangu tutafute elimu ili tuujue uislamu wetu la sivyo tutajikuta tunafanya ibada alafu siku ya hukumu tuwe miomngo mwa walio poromoshewa matendo yao ibada yoyote utakayo fanya hakika inatoka katika sehemu kuu tatu( 3 )
    1 ; quran
    2 ; sunnah
    3; maswahaba (au wema waliotangulia) walifanyaje kulingana na ( quran & sunnah ) .

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm 3 місяці тому

    Bwana upepo wewe darsa zako unaziendesha msikiti gani