POROJO LA MUHAMMAD BACHU LAJIBIWA: MASUFI HAWAABUDU KABURI // USTADH HAJI UPEPO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 152

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 5 місяців тому +1

    Asante sana sheikh haji upepo kwa darsa nzuri ,hawa mawahabi kazi yao kudanganya watu tu kusoma hawatakii

  • @Assalafiyyah637
    @Assalafiyyah637 5 місяців тому +1

    Latetea usufi

  • @ahmadmadaai1357
    @ahmadmadaai1357 7 місяців тому

    Allah akulinde na hasad upo vzr maalim

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 7 місяців тому +3

    Sikiliza kwa sikio la uadilifu❤🤝

  • @BashrahilAshaary
    @BashrahilAshaary 7 місяців тому +3

    mm nakubaliana na ww mawahabi ni makhawarij,,
    Shekhe Allaah akupe afya na Umri mrefu uzidi kuweka wazi kuhusu uwahabi,,

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 місяців тому

      Khwatruji wawajuwa ww au waropokwa na huyu shekhe wenu sijui mmeuokota wapi mtu mwenyewe hana ilmu anawavamia mashekhe wenye ilmu hivi uliona wapi kiroboto akamuangusha tembo chini ibada hizo zipo kweli na watu wanazifanya mnapinga nini ukiona mtu anapinga na mushiriki huwezi tetea ujinga video zipo mtandaoni kibao watu wanasuhudia na kuomba maiiti huyu kijana wenu mnaemtuma bado xana hana ilmu kabisa kazaliwa juzi tuu watu kitambo wanaabudia makaburi na wakijidai ni waislamu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 місяців тому

      Ampe umri mrefu kutetea kuabudu makabuli sio shirki iendelee mwenye kumtetea mshirikina nae Ni mshirikina ninyi abudini Allah yupo anawangoja mbona kunawatu wanaomba kupitia yesu na Allah anawapa neema tuuh! So kama kawasahau anawapa umri Hana haraka nao na ninyi mnaotetea kuomba makaburi Allah yupo anawasubil ipo siku ambayo hakuna atakae mfaa mwenzake huyo upepo unae muamini ww atakuwa mchanga tuuu, kwa Allah mtume alikuja kataza shirki na watu kuomba mayti vile visivyo sikia na uwezo wowote mkavifanyia maombi na Allah mtajuta nyie hii dunia yupo aloumba na anawasubil madhalimu kuwapa mda wa kuishi tuu msifikili Allah atadhulika na kupunjika na hivyo mnavyomuwekea ushirika Allah aghafiriki navyo kabisa

  • @RamaNassry
    @RamaNassry 7 місяців тому +3

    KWA HAKIKA UISLAMU WA KWELI NI "KUIFUATA QUR,AAN,SUNNAH KWA UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA{MTUME NA MASWAHABA NA WALIOWAFUATA KAMA WAO WALIVYO},KUACHANA NA UZUSHI KTK DINI YA ALLAH ILIYOKAMILIFU" HIYO INANITOSHA MIMI KAMA MUISLAMU

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 6 місяців тому

      HATA HAO WEMA WALIOTANGULIA HAWAKUWA NA UFAHAMU MMOJA KATIKA MASAAILU MBALI MBALI YA HUKMU ZA KIDINI,
      KWA HIYO HILO NENO : KWA UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA, HALIPO KATIKA KUTOLEA HUKMU MAMBO KIDINI.

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 5 місяців тому +1

    Kwa maneno hayaa na bado wanapinga mawahabii 😂😂😂 ila sishangai sana kwa sababu watu waovuu ndivo walivyoo hata uwaambie nni hawaelewii kwa sababu nyoyo zao zishaotaa kutuu

  • @YussufWakala
    @YussufWakala 6 місяців тому

    Shekh muogop Allah

  • @SeifAlly-g9i
    @SeifAlly-g9i 6 місяців тому

    Hawo mawahabi Wana feats fikra yamayahudi

  • @SeifAlly-g9i
    @SeifAlly-g9i 6 місяців тому

    Yaahla sh upepo ukovizulisana haoninani aliwambia wawe masalafi vitu havimo katika utaratibu wamafunfisho wanabii utapata shida Sana nahao

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 7 місяців тому +3

    Wallahi bachu ni sindano kali kwa masufi hata kama wakifanya nini ulimwengu umesha jua. Hawawezi kuanza mada na wala hawalali kwa kufikiria tufanye nini tumzibe mdomo bachu. Lakini wallahi hawawezi kumziba mdomo kwa kua yuko kwenye haqqi. Allah ataendelea kumlinda na vitimbi vyenu.

    • @SaidIssa-tq3yv
      @SaidIssa-tq3yv 7 місяців тому

      Bachu bangi zinamsumbua .acheni ujinga waombeeni Dua wazee wenu ,

    • @hamidaawadh9024
      @hamidaawadh9024 6 місяців тому

      ​@@SaidIssa-tq3yvulimuona anavuta bangi? Utakwenda kujibu

  • @ImeldaNaliaka
    @ImeldaNaliaka 7 місяців тому

    Masha Allah may Allah protect you shk

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 7 місяців тому

    Shukran sheikh

  • @NzaraMreto
    @NzaraMreto 6 місяців тому

    ACHENI USHIRIKINA

  • @husseinkhalfan8378
    @husseinkhalfan8378 7 місяців тому +2

    Acheni ushirikina masufi

  • @JumbiSecondary
    @JumbiSecondary 7 місяців тому

    ALLAHUMMA Ihdina bi hudaKA

  • @ALLYMTAWATAWA
    @ALLYMTAWATAWA 7 місяців тому

    Dunia kumeiweka mbele sana.

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 7 місяців тому

    Wallahi naapa;wa jina la Allah mawahabi ni pote ovu linalokufurisha waislam na si watu wa dini na kuhudhuria vıkao vya kiwahabi ni kutafuta mtihan

  • @MahmoudKhamis-cv9pi
    @MahmoudKhamis-cv9pi 6 місяців тому

    Yaani shehe unawamaliza Mawahabi Maana hawataki kabisa kusikia mtume s. a. W. Anasifiwa. Wanataka wasifiwe mashehe wao kuliko mtume

  • @ALLYMTAWATAWA
    @ALLYMTAWATAWA 7 місяців тому

    Mche allha munawagawa watu. Mutalipwa na Allah

  • @bagalucha
    @bagalucha 7 місяців тому

    Ama huu ni Upepo mtupuu.

  • @AmirathumaniSori
    @AmirathumaniSori 6 місяців тому

    Haji upepo acha ushirikina wa hazaran ww mbn humuongop mungu www

  • @salemaliy1963
    @salemaliy1963 7 місяців тому

    Bachu Hana adabu tu ..Hana elimu mbwembwe nyingi tu

  • @msabahkhamis9438
    @msabahkhamis9438 5 місяців тому

    Tulinganisheni hawa mashekhe2
    Anaegawa watu hayupo sahihi
    Anae waunganisha watu yuko sahihi kwaio mwenye macho haambiwa tazama hawa mashekhe2
    Yupi anagawa watu na yupi anaeunganisha watu hapo utapata jibu sahihi ni yupi yuko ktk haki
    Na uchaguzi huo chaguweni kwa ajili ya Allah na ushabiki tuache pembeni.

    • @msabahkhamis9438
      @msabahkhamis9438 5 місяців тому

      Na mimi nilotowa huu ushauri sijaegemea upande wwte

  • @abuunufaysah5328
    @abuunufaysah5328 7 місяців тому +1

    Nyinyi siyo Ahlu Sunnah waljamaa' bali nyinyi ni Ahlul bidaa' wal ahwaa,Allah awaongoze katika Tawhiid na sunnah.

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 7 місяців тому

      Na ww ni nani wahabi kasome tawhed tatu mumezitoa wapi nyinyi mawahabi wapotoshaji mwamzushia mtume tawhed tatu mtume s a w hajafundisha wala maswahaba hawazijui tawhed tatu mumezitoa wapi nyinyi mawahabi wapotoshaji watu wa twarika ndio wamfuata mtume s a w kwa kila suna

    • @abuunufaysah5328
      @abuunufaysah5328 7 місяців тому

      @@saba-gv3mj hakuna sufi mwenye akili timamu duniani,Allah awaongoze watu wabidaa' nyinyi,nguzo za swala,hija,udhu,swaumu au ndoa Mtume عليه الصلاة والسلام kafundisha kitabu gani?

  • @manrectorz
    @manrectorz 7 місяців тому +1

    Tatizo lenu hamtaki kuelewa kwa makusudi. Nyie mnafanya kuomba Watu waliokufa badala ya kuwaombea, Hakuna Tawasul aliwahi kufanya Mtume S.A.W wala Maswahaba, wala Salafy swaleh

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 7 місяців тому

      Hakuna anae omba maiti wanatawasal ww ulimsikia nani akiomba maiti ww tu ukiomba dua ili dua zako zikubaliwe lazima umswalie mtume s a w katika dua zako na mm naeeza kutawasal kwa mtume s a w ama mwanachuoni ya Allah nijalie na maisha mazuri ama kazi mzuri kupitia huyu kiumbe chako bora ya Allah hapo unetawasal hujaomba maiti elewa

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 7 місяців тому +1

      Ww chizi mtume s a w humuomba Allah kwa sababu hakuna kiumbe bora zaidi yake na mtume s a w atakacho Allah humpa na humridhia sasa ww chizi ukitaka kuomba utaomba kwa Allah lakini dua yako haitakabaliwi mpaka umtaje mtume s a w ama waeza kutawasal kwa waja wema

    • @bagalucha
      @bagalucha 7 місяців тому

      @@saba-gv3mj Hoja hii mashuhuri ndiyo waliyoitegemea washirikina katika zama za kale na bado wanaitegemea hivi sasa. Mitume (rehema na amani ya Mwenyezi Mungu ziwe juu yao wote) walikuja kuikanusha na kuikataza, na kuwalingania watu kumwabudu Mwenyezi Mungu peke yake, bila mshirika wala mshirika.” (Tafsiir Ibn Katheer 7/84-85).
      Waabudu makaburi wanafanana na washirikina wa Jaahiliyyah, kwa sababu makaburi haya yamekuwa kama masanamu ya watu wa Jaahiliyyah, kwani wathan (sanamu) ni jiwe linaloabudiwa.
      Allah Subhana wataalla anasema Az Zumar
      (2. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki kwa Haki. Basi muabudu Mwenyezi Mungu ukimsafia Dini Yeye tu.)
      (3. Hakika Dini Safi ni ya Mwenyezi Mungu tu. Na wale wanao wafanya wenginewe kuwa ni walinzi wakisema: Sisi hatuwaabudu ila wapate kutujongeza tu kumkaribia Mwenyezi Mungu - Hakika Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Mwenyezi Mungu hamwongoi aliye mwongo kafiri.).
      Tatizo lenu masufi,kwakutaka kumshusha utukufu wake Allah,kwa kuzitilia nguvu hadith dhaifu,shetani kakughilibuni,hapo ndipo mnapozisisitiza na kushadidia,na kumshusha hadhi Allah Subhana wataalla kwa kuipiga vita Tawheed/utukufu wake,
      Laanatu llahu kwa wote wanaomshirikisha Allah,na chochote,wanamzulia mtume kwa Hadith za uwongo

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 7 місяців тому +2

    Jamani imamu shafi kaona mbali Kwa masufi

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi 7 місяців тому

    Hawa jamaa kwel wameishiwa na hoja sasa kumuomba allah kua anjaalie awe na mtume peponi na kwenda kumuomba maiti mtu ambae ashakufa yake mwenyew hayajui yapoje then akakuchukulie na mzigo wako pia hii si balaa engekua hakuna muislam mweny zambi hata mmoja dunian

  • @SeifSimba-qq8rk
    @SeifSimba-qq8rk 5 місяців тому

    Majaji upepo hana ki2 chochote nyny mwaomba makaburi

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 7 місяців тому +1

    Raha kuwa na vijana wanazuoni.

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 7 місяців тому +1

    Haji upepo kashaingia kwenye uchizi.

    • @KhamisiOmar-v3h
      @KhamisiOmar-v3h 7 місяців тому +1

      Wewe ndie chizi wa kwanza wakiwahabi wenye kuabudu miungu mitatu.

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 7 місяців тому

      Unatkiwa umpinge kw hoja,mwambie hizo hadithi zote sio sahihi au utoe maana yko ww ulivyoelewa na SI kuongea ujeur,Hali ikikudhihirikia gusta atkm kasema mtu usompenda

    • @AbdurahmanMahfoudh
      @AbdurahmanMahfoudh 7 місяців тому

      Mawahabi ni tabaka la waingereza ujeruman ufaransa Italy na America nyuma ya uyahudi watawajuaje ahtasawf iyo bahri nyenyengine aje bagamoyo tumfundishe zawiyatulqadiria I Nawatakia majuha kama hao
      On

    • @hamidaawadh9024
      @hamidaawadh9024 6 місяців тому

      ​@@KhamisiOmar-v3hhayo ni mawazo yako

  • @ramadhaniissa6703
    @ramadhaniissa6703 7 місяців тому +1

    Jamani mawahabi na masalafi wanfikiria kuwa mtu akifa hajiwezi tena ilihali mtume anasema hao wanasikia kuliko walohai hawa kweli ni makhawariji na hadith ipo wazi kuhusu wavurugaji hawa wa dini

    • @bagalucha
      @bagalucha 7 місяців тому

      Hoja hii mashuhuri ndiyo waliyoitegemea washirikina katika zama za kale na bado wanaitegemea hivi sasa. Mitume (rehema na amani ya Mwenyezi Mungu ziwe juu yao wote) walikuja kuikanusha na kuikataza, na kuwalingania watu kumwabudu Mwenyezi Mungu peke yake, bila mshirika wala mshirika.” (Tafsiir Ibn Katheer 7/84-85).
      Waabudu makaburi wanafanana na washirikina wa Jaahiliyyah, kwa sababu makaburi haya yamekuwa kama masanamu ya watu wa Jaahiliyyah, kwani wathan (sanamu) ni jiwe linaloabudiwa.
      Allah Subhana wataalla anasema Az Zumar
      (2. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki kwa Haki. Basi muabudu Mwenyezi Mungu ukimsafia Dini Yeye tu.)
      (3. Hakika Dini Safi ni ya Mwenyezi Mungu tu. Na wale wanao wafanya wenginewe kuwa ni walinzi wakisema: Sisi hatuwaabudu ila wapate kutujongeza tu kumkaribia Mwenyezi Mungu - Hakika Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Mwenyezi Mungu hamwongoi aliye mwongo kafiri.).
      Tatizo lenu masufi,kwakutaka kumshusha utukufu wake Allah,kwa kuzitilia nguvu hadith dhaifu,shetani kakughilibuni,hapo ndipo mnapozisisitiza na kushadidia,na kumshusha hadhi Allah Subhana wataalla kwa kuipiga vita Tawheed/utukufu wake,
      Laanatu llahu kwa wote wanaomshirikisha Allah,na chochote,wanamzulia mtume kwa Hadith za uwongo

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 7 місяців тому

    SUBIRI MUHAMMAD BACHU AJEAKUFUNDISHE USIFANYE UBABAISHAJI.
    HUNA HOJA POROJO TUUUU.

    • @abdikadirshariif5311
      @abdikadirshariif5311 7 місяців тому

      Huyo kikojoozi atafundisha nini, atawapeleka motonitu. Yani hamtaki mtume SCW kasema. Unatu leteya momhamas Bachu Kikojoozi na wakina Fouzan.

    • @binzubeir6510
      @binzubeir6510 7 місяців тому

      @@abdikadirshariif5311 Hoja zenu matusi tu tutawachapa kwa RADDI mpka mkae sawa mkifanya UBABAISHAJI hauwaachi.

    • @binzubeir6510
      @binzubeir6510 7 місяців тому

      @@abdikadirshariif5311 Sasa bila ya kukojoa wewe ungezaliwa?
      Hamna hoja.
      tafuta TUSI jengine utokane.

    • @abdikadirshariif5311
      @abdikadirshariif5311 7 місяців тому

      @@binzubeir6510 lkn ya shehe weenu ameonikanwa na waatu woote hadi watoto waka cheka na kushanga mtu mzima kukojoa.

    • @abdikadirshariif5311
      @abdikadirshariif5311 7 місяців тому

      @@binzubeir6510 hilo siyo tuusi bali ni tendo lililo fanyika.

  • @SeifAlly-g9i
    @SeifAlly-g9i 6 місяців тому

    Shirki nikumwabudu mwezimungunakitukingine

  • @abdul_azeez_almaamir
    @abdul_azeez_almaamir 7 місяців тому

    "Vitabu vya wahuni" hii ni aibu kwako Shaykh

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 7 місяців тому

      Kwahiyo Ibnu Taimia ni muhuni

    • @abdul_azeez_almaamir
      @abdul_azeez_almaamir 7 місяців тому

      @@IsmailSanga mtihani, kwamba chuki zinazidi mpaka Vitabu vilivyo tungwa kwa bidii na jitihada kubwa na wengi tuna yakin kwamba hawakutaka kwa Vitabu vyao hivyo ispokua kheri Leo waitwa wahuni na watu ambao hata kutawadha hawajui.. Allah amrehemu aliesema
      رحم الله امرأ عرف قدر نفسه فلزمه، وعرف حده فوقف عنده، وعرف ما عنده فقنع به ولم ينازع الحق أهله، وحفظ المعروف فلا يغدر ولزم الصدق فلا يكذب وحفظ العهد فلا ينكث.

  • @MuhammadShariff-ji9ye
    @MuhammadShariff-ji9ye 7 місяців тому

    Ametoa hadithi na Aya zijibuni kutukana si jawabu

  • @rashidhemed1444
    @rashidhemed1444 5 місяців тому

    Nyie mawahabi mkosoeni kama anachokisema sio sahihii so munapenda kupiga Raddi

  • @SeifSimba-qq8rk
    @SeifSimba-qq8rk 5 місяців тому

    Bado hajasema ki2 upepo

  • @kitosio
    @kitosio 7 місяців тому +1

    Labda Sufi huyu lakini wenzake wingi wanaabudia Makaburi

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 7 місяців тому

      Yeye anatoa dalili kielimu wewe una ushabiki.

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 7 місяців тому

      Nani aliabudu qaburi siku yakiyama utataja aliomba vp qaburi hakuna anae omba kaburi sawa watu wanazuri na mtu akiwa na shida zake anatawasal na wale wanazuoni anae ombwa ni Allah yani mtu amesoma miaka 40 Mia 50 amjua Allah na mtume wake alafu mtu aombe qaburi kuweni makini ulimi kitu kibaya utakuingiza motoni bila kujua

    • @kitosio
      @kitosio 7 місяців тому

      @@saba-gv3mj
      Huwaoni ama unajitia Pambani. Masufi. Basi waulize wanaokwenda India Bangladesh, kuna kipi kinachofanywa Kwa Makaburi yaliyomo ndani na nje ya misikiti. Kwa kukusaidia Ingia hapo2 You Tube Search Namna Sufi wanavyoomba makaburini, kisa NI mawalii . ALLAH anataka aabudiwe na aombwe yeye Tu. Mwamba fuatilieni sio mnazingua2

  • @JumaMohamed-y4w
    @JumaMohamed-y4w 7 місяців тому

    Mambumbu yameshika misimamo baadhi hayajui hata swala misimamo bila elim wewe si nyumbu tu haji faida huyo bachu wenu alikimbia maburui ananini huyo someni acheni adarawesh.

  • @abuukarata9653
    @abuukarata9653 7 місяців тому

    Shekh la majini ulijitahidi vizuri lakini hili umeanguka

  • @KomoraMohamed
    @KomoraMohamed 7 місяців тому

    Bachu ni mkware muacheni asingejikojolea msa yule zuzu mmoja

  • @JumaMohamed-y4w
    @JumaMohamed-y4w 7 місяців тому

    Wengine wanajiita salafi kama manyumbu tu sikiliza upate faida acha kukaririshwa misimamo.haji toa faida hawa masafi hawana elim bali wanamisimamo tu yanamfaata m

  • @AthumanRajabu-re8cm
    @AthumanRajabu-re8cm 7 місяців тому +1

    Huyu upopo nimhuni mana atetea ata uvu hata kama anajua alafu utafuta umalufu kupitia suna jaman Sufi nasuna wapina wap

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 7 місяців тому

      We huna unachokielewa hujielewi

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 7 місяців тому

      Kivipi

    • @SaidKessy-f5p
      @SaidKessy-f5p 7 місяців тому

      Sasa kuandika kiswahili tabu utaelewaje kama bumbuna?

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 7 місяців тому

      Wewe Athumani Rajabu
      Acha ushabiki
      Kama una Elimu jibu maswali wala usilete balbala zako .
      Ust HAJI amenukuu katika vitabu vya lBNU TAYMIA na lBNUL kayyim
      Na wao ndio wanayoyasema maneno hayo. Jee nao ni washirikina ??

  • @omarabdullah3412
    @omarabdullah3412 7 місяців тому

    Hili sufi pumbavu kweli. Lajitoa fahamu kama chizi. Haliwazungumzii masufi wenziwe kusujudia, kugaragara na kulia makaburini wazi wazi. Lazirusha, lachekeshaaa!

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 7 місяців тому

      Ndugu omar Abdullah Acha matusi dini ni nasaha kama una Dalili toa na mungu akuongoze

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 6 місяців тому

      YEYE KATOA HADITHI
      ZA KUHALALISHA,
      WEWE TOA ZA KUHARAMISHA IKIWA UNAZO, KAMA HUNA BASI KEJELI NA MATUSI HAZITOKUSAIDIA CHOCHOTE ZAIDI YA KUJIJAZIA UCHAFU TU KWENYE MAGUNIA YA AMALI ZAKO.

  • @KombHaji-dr5pd
    @KombHaji-dr5pd 7 місяців тому +1

    mawahabi ni makafri au utawaita pembe ya shetwani kam muhamd ibn wahabi

    • @idisaidi287
      @idisaidi287 7 місяців тому

      Huna akili wew , hakuna sheikh lako la kisufi linamuweza Abdul Wahab

  • @mussakisope7207
    @mussakisope7207 7 місяців тому

    Upepo mtupu

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 7 місяців тому

    Wewe mjini mpotofu Mtu wa bidah
    Iyo ni tofahuti na kuabudu makaburi
    Mnavyo fanya nyinyi masufi na mashia
    Wewe uwepo kwanini usimuombe Allah direct

  • @ramadhaniissa6703
    @ramadhaniissa6703 7 місяців тому

    Masufi ndo watu wa sunna hakuna wanafuata sunna kuliko sufi

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 7 місяців тому

    Wape elimu hawajui

  • @KhamisiOmar-v3h
    @KhamisiOmar-v3h 7 місяців тому

    Mawahabi kweli ni vipofu summun bukmun jamani vitabu ni vyenu vinawashinda kusoma hata hawajavielewa kisha wanakurupuwa kutafsiri vitabu ambavo hawana elimu navyo...

  • @adammaulid2356
    @adammaulid2356 4 місяці тому

    Sas itakua vp mawahabi wawe salaf sswaaleh ,vp watakua wapenz wa mtume wakati ushasema wapo mbali na uisilamu, wkt ushawakufurisha ushasem mayahudi !?nyiny masufi at mukilia mukihuzunik nyiny c wa mwanz, ch msingi acheni shirk n makaburi

  • @Abuu-lr5bz
    @Abuu-lr5bz 7 місяців тому

    Wewe upe wallah huijui tauhiid aliokuja nayo mtume swallallahu alaihi wasallamu wallah huijui fatilia baadhi ya masufi wenzako wanavyoomba kwenye makaburi wewe upepo kausome uislamu
    Uislamu huujui

  • @khamisali5942
    @khamisali5942 7 місяців тому

    Kwan hili jambo mumesema wenyew hajakusemen bachu mbona mumrmsakama sana halafu unasema tusikilize kwa uadilifu wakat we mwrnyrw sio muadilifu mtukanaji tu elimu yenyew ya kuunga unga

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 7 місяців тому

      Kwa sabubu bachu anasema na ilimu hana amefuata wale wapotufu waliomtangulia

  • @alisharifsalim
    @alisharifsalim 7 місяців тому +2

    Mohammed Bachu ni mbwa wa motoni

    • @ediamir-m8l
      @ediamir-m8l 7 місяців тому

      weye ni nguruwe wa jahannam

    • @la_raib953
      @la_raib953 7 місяців тому +1

      Allah akuongoze.mwenyewe haki ya kuhukumu ni Allah sw pekee

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 7 місяців тому

      Habibi mimi ni kipenzi wa haya mambo lakini kutusi bachu ume kosea hiyo siyo dabiya yetu ya matusi sisi wa sufu

    • @idisaidi287
      @idisaidi287 7 місяців тому

      Na wew nguruwe wa motoni

    • @masoudtalib4734
      @masoudtalib4734 7 місяців тому

      Wew ndio Unaetoa hukmu Sio?

  • @AmerinhoAmour
    @AmerinhoAmour 7 місяців тому

    Linajifanya kuangalia huku na huku kama limezunguukwa na waaaa2 vile.

  • @Ramadhan12623
    @Ramadhan12623 7 місяців тому +1

    Ndio mnaomb mait kuna msuf mwenzio tanga kweny kabur na Mohammed ayub anasema ukiwa na shida kiuno kina uma ety njoo kwa kwabwana mkubwa huyu kila kitu kitakaa sawa alaf mtu wenyew kafa asa apo mnamuomba ALLAH au mnaomb alieko kwenye kabur nyie ongeen mtakavyoongea ila itikad zenu mnawaomb mait

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 7 місяців тому

      Wanaomba kweli Mimi nimejionea mwenyewe Bagamoyo wanaita mazialani

  • @SeifSimba-qq8rk
    @SeifSimba-qq8rk 5 місяців тому

    Kwaiyo masalafi ndio nyinyi au???

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 7 місяців тому

    Watu wabidaa hawana IN-SWAFI hemu ukizungumza wewe upepo Bainisha ao Mawahabi vizuri izo kauli zao usichukue baadhi ya maneno ukawadanganya watu.
    Haya unayoyazungumza ni Dini na utaulizwa na ni dhimma hiyo mbele ya Allah.

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 7 місяців тому

      Wacha mihemko yakujitoa muhanga.
      Kwahiyo Ibnu Taimia nimuhuni!?

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 7 місяців тому

      ​@@IsmailSanga
      Kwani hujui akhy kiwa mawahabi wengine hawana ata akili ??
      Mara nyengine bora Mkristo anatumia akili kuliko mawahabi .
      Ukisema Ust HAJI ni MUHUNI AU MSHIRIKINA AU MPOTEVU kwa sabb ya anayoyasema .. halafu humuiti lbul Qayyim wala lBNU TAYMIA ni MUHUNI ,MSHIRIKINA ,MPOTEVU .
      BASI. BORA PUNDA KULIKO WEWE .. KWASABABU ALIOWANUKUU NI IBNU TAYMIA NA IBNUL QAYYIM .

  • @KhamisiOmar-v3h
    @KhamisiOmar-v3h 7 місяців тому

    Huyu jamaa bachu kwe yuko na laana ya babake.lini ama wapi ama kitabu kapo ama mafundisho yapi yanayo wafundisha waislamu hivyo kwenda kuabudia makaburi.yeye anachukua vitu vya watu wa mila potifu kisha huwambandikia masufi na hizo ndio tabia za mawahabi warongo kama ndugu yao ibilisi..

    • @idisaidi287
      @idisaidi287 7 місяців тому

      Ulikuwa siku laana inatolewa ?

    • @bagalucha
      @bagalucha 7 місяців тому

      Hoja hii mashuhuri ndiyo waliyoitegemea washirikina katika zama za kale na bado wanaitegemea hivi sasa. Mitume (rehema na amani ya Mwenyezi Mungu ziwe juu yao wote) walikuja kuikanusha na kuikataza, na kuwalingania watu kumwabudu Mwenyezi Mungu peke yake, bila mshirika wala mshirika.” (Tafsiir Ibn Katheer 7/84-85).
      Waabudu makaburi wanafanana na washirikina wa Jaahiliyyah, kwa sababu makaburi haya yamekuwa kama masanamu ya watu wa Jaahiliyyah, kwani wathan (sanamu) ni jiwe linaloabudiwa.
      Allah Subhana wataalla anasema Az Zumar
      (2. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki kwa Haki. Basi muabudu Mwenyezi Mungu ukimsafia Dini Yeye tu.)
      (3. Hakika Dini Safi ni ya Mwenyezi Mungu tu. Na wale wanao wafanya wenginewe kuwa ni walinzi wakisema: Sisi hatuwaabudu ila wapate kutujongeza tu kumkaribia Mwenyezi Mungu - Hakika Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Mwenyezi Mungu hamwongoi aliye mwongo kafiri.).
      Tatizo lenu masufi,kwakutaka kumshusha utukufu wake Allah,kwa kuzitilia nguvu hadith dhaifu,shetani kakughilibuni,hapo ndipo mnapozisisitiza na kushadidia,na kumshusha hadhi Allah Subhana wataalla kwa kuipiga vita Tawheed/utukufu wake,
      Laanatu llahu kwa wote wanaomshirikisha Allah,na chochote,wanamzulia mtume kwa Hadith za uwongo

  • @anyeresa928
    @anyeresa928 7 місяців тому

    Wewe kama ni sufibona maheikh wa kisufi hajakukubali....

  • @ALLYMTAWATAWA
    @ALLYMTAWATAWA 7 місяців тому

    Muongozo ni kufanya munavyo fanya

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 7 місяців тому

    موتو بغيضكم
    WW Upepo bas bachu Ni kimbunga

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 7 місяців тому

    Wwnaomba kweli uliona wapi mwizi akakubali kuwa mimi mwizi kweli

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 7 місяців тому

      Sasa akili yako finyu utafananisha vp mwizi na mja kuomba mwizi hawezi kukubali sawa na mtu anae tawasal atakubali mm nakubali tawasul hakuna anae omba qaburi watu wanatawasal kupitia yule mja mwema ila anae ombwa ni Allah nyinyi mawahabi wapotoshaji na hamuna ilimu mtume s a w aliwatabiri kutakuja watu wakiwatusi wanazuoni wakijiona wanailimu lumbe wanawapotosha watu kina bachu na wenzake mawahabi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 місяців тому

      @@saba-gv3mj Ninyi ndo washirikina wakubwa mnaotetea kuabudu makaburi wapi ushahidi wa quruani na hadithi mtume aliwaambia waislamu mkawaombe mait kwenye makabuli washirikina wakubwa nyie Wana kupotea Allah anasema ombeni Mimi nitawaitika waambieni nipo karibu yao kama mshipa wa fahamu na shingo nasikia maombi yao Sasa wapi mtume aliomba kupitia maiti na makabuli ikiwa mwenyewe tuu aliomba duwa allahuma latajala lkbaburi wathnan yulbad ewe Allah naomba usijaalie kaburi langu wasije lifanya sanamu la kuabudiwa kama mtume tuuh! Kamuomba Allah amuepushe na watu kuja kuliomba kaburi lake wakalifanya sanamu la kuabudiwa vipi we unae enda kuomba makaburi ya mashekhe acheni shirki Allah anasema meenye kumshirikisha Allah haramu pepo kwake, mwenye kumshirikisha Allah matendo yake yote huporomoka, mwenye kumshirikisha allah, hatoisikia harufu ya pepo ninyi ibilisi amewashughulisha na hayo makaburi yenu mkaona muombe pamoja na Allah subili jibu lipo Allah Hana haraka na madhalimu anawapa muda ipo siku ndo mtajuwa kilichokatazwa na mawahabi mnaosema kilikuwa Ni hakki Ni muda ambao hutorudi kufanya touba na Allah mtukufu hana haraka kabisa si kunawatu wanaomba kupitia yesu Allah anawasubili endeleni kuabudia makaburi yenu hayo

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 місяців тому

      @@saba-gv3mj ninyi ombeni hamjakatazwa Ila Allah yupo anawasubili mbona watu wanaomba kupitia yesu na Allah anawapa neema anawashushia mvua Hana haraka nao azidi kuwapa umri mrefu waishi na wazidi kujidahau Allah ndo mueeza na mfalme wa kila Jambo haghafiriki na mbavyoviomba pomoja nae Ila ipo siku mtajuwa hayo matawasuli yenu kwenye makabuli na hawo mashekhe walowapoteza mtawakana siku na wao watawakana na vile mlivyoviabudu pamoja na Allah watafufuliwa waulizwe watakataa kule kufanyiwa ushirika hapo Ni kilio na kusaga meno tuuh! Akuna Cha hajji upepo alokudanganya we na amali zako tuuh! Uliabudia makaburi shirki we ni finnari jahanamu halidia fiha mtadumu motoni milele humo Allah amehaidi kusamehe madhambi yasiyo kuwa hayo ya shirki na Allah atowatazama kwa jicho la huruma mushirikina hatopata hata muombezi na mtume mwenyew atawaonbea watu shufaa lakini kwa mushirikina hapo halitoweza ninyi abudini vzr hawo mayti wenu makaburini na muwatukuze so wasema mnapata baraka kwao subuhana llah wataka baraka kwa mtu ambae ameoza na yey huko aliko huenda anataka msaada ninyi wasjirikina ombeni mtakavyo mtume alishaletwa na dini imekamilika ww tu kufata njia yake au kutofata sawa ww khurafi

  • @Breezy9757
    @Breezy9757 7 місяців тому

    Na ww ndio wale wale

  • @kitosio
    @kitosio 7 місяців тому

    Shekhe sisi tumeshuhudia haya. Nikamuuliza Kijana mmoja anapita mbele ya kaburi la shekhe. Nikamuuliza hili ndio kaburi la Mufti akasema ndio, " watu wanakuja kuomba hapo na kuondowa Nadhiri" na akasema wanafanikiwa. Bonge la shirki. Sema sio nyote manoyafanya haya. Waangalieni wenzenu Iran, Irak, na Mashia. Ingia UA-cam search utajionea mwenyewe.

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 7 місяців тому

      Hilo mbali Mimi nilijionea mwenyewe huko Bagamoyo mpaka wanapaita Madina ndogo,kwasababu Kuna makaburi ya sharifu na mtoto wake

    • @SeifSimba-qq8rk
      @SeifSimba-qq8rk 5 місяців тому

      Nyinyi mnafanya shirk 2 upepo wa kusi

    • @kitosio
      @kitosio 5 місяців тому

      @@SeifSimba-qq8rk
      AAA Mawahabi ktk Suala la shirki 100% hawana. Hawajihusishi hasaaa ni woga. Bora uniambie ktk Fik_hi wanaweza kugeuka lakini shirki za Ki Sufi hapanaaaaaaaaa 100%. Kuwaomba waliomo makaburini

    • @SeifSimba-qq8rk
      @SeifSimba-qq8rk 5 місяців тому

      @@kitosio masufi ndio wa2 wakuomba makaburini hao

  • @saidimkwinzu9106
    @saidimkwinzu9106 7 місяців тому

    Wewe haji ni kama mwenda wazimu tu halafu we na shafii yule shia hamna tofaut 😂 nyote nyie wapotevu na mtapoteza wajinga wenzenu

  • @ALLYMTAWATAWA
    @ALLYMTAWATAWA 7 місяців тому

    kwani amekwambia wewe

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 7 місяців тому +1

    Kumuomba maiti akuombee hiyo ni bidaa bali maiti anaombewa ndio MTUME amefundisha hivyo.

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 7 місяців тому

      Kwahiyi Ibnu Taimia ni sheik wa Bidaah!?

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 7 місяців тому

      Kwaivo lBNUL Qayyim NAE ni sheikh wa bidaah ??

  • @ediamir-m8l
    @ediamir-m8l 7 місяців тому +1

    uzuri ni kwamba bachu hana habari na weye,kila ukijaribu kutaka uraddiwe yeye anakupotezea,

    • @Breezy9757
      @Breezy9757 7 місяців тому +1

      Hahaa hakika

    • @alhilaltvonline
      @alhilaltvonline 7 місяців тому

      Huwa ujumbe umefika na majibu hakuna ndio maana .....

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 7 місяців тому +1

      KWANI BACHU NDIYO MKAMILIFU?
      UPO KUTAKA ELIMU AU UPO KUTAKA SHEKH MAFUTA NA BACHU?
      ANGALIENI MAWAHABI MSIJE KUWATUKUZA MASHEKHE ZENU KAMA MANASWARA WALIVYO MTUKUZA NABII ISSA KUWA MUNGU AU MWANA WA MUNGU
      MAANA MAWAHABI MAWA

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 7 місяців тому

      ​@@salumhassanallymkurdistan7006umeangalia hiyo video vizuri kaanza kuweka video ya Bachu,inamaana hapo anamrad Bachu.

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 7 місяців тому

      BACHO ni mweupeee hawezi kujibu hoja hizo.
      Kwasabb Ust hajji kutumia hadithi za mtume na ufahamu wa wema waliotangulia ..
      Maiti wanasikia ...tena kwa ljmai ya WANACHUONI .
      Jee wewe unasemaje ??
      Mtume ndio aliposema maiti wanasikia ... Wewe MUWAHABI unasemaje ??

  • @ahmedseif-cu4ex
    @ahmedseif-cu4ex 7 місяців тому +1

    We unataka kujibiwa na bachu ni hali sio saiz yako bachu bado sana kijana wa kisufi

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 7 місяців тому +1

      KWANI MASHINDANO AU KUELIMISHANA?
      MAWAHABI HAMJASOMA MNAFATA MASHEKHE ZENU HAMFATI HADITHI
      MAWAHABI HADITHI KWAO ISEMWE NA SHEKH ZAO IKISEMWA HADITHI NA AMBAE SI SHEKH ZAO HIYO HAWAIYAMINI JAPO IWE SAHIHI
      MAWAHABI NIKUULIZENI HAO MASHEKHE ZENU WANAUTUKUFU MKUBWA KAMA NANI? AU MNAWAABUDU?

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 7 місяців тому

      Huyo bachu mwenyewe alipigwa swali mpaka alijikojolea kule Mombasa,au mnajisaahulisha.

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 7 місяців тому

      ​@@IsmailSangasawa,Sasa kwanini kaweka video ya Bachu mwanzoni

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 7 місяців тому

      BACHO ni mtoto mdogo
      Wala hawezi kujibu haya aliyoyazungumza Ust hajji upepo .
      Hebu sikilizeni kwa utulivu. Mtaona Ust HAJI ametumia hadithi Za mtume na ufahamu wa wema waliotangulia .
      Kama nyny mawahabi hamtaki kufuata maneno ya mtume wala ufahamu wa wema waliotangulia. ..
      Mnataka kutolewa ushahidi katika biblia ????
      Jibuni :
      Swahaba kaenda kumuomba mtume wala hajaenda kumuomba Allah.
      Suali :
      Jee swahaba yule ni MSHIRIKINA ??
      Jee Mtume kwa vile hajamkataza yule (Swahaba) bali karidhia jambo lile NAE ni MSHIRIKINA ???

    • @bagalucha
      @bagalucha 7 місяців тому

      @@salumhassanallymkurdistan7006 Hoja hii mashuhuri ndiyo waliyoitegemea washirikina katika zama za kale na bado wanaitegemea hivi sasa. Mitume (rehema na amani ya Mwenyezi Mungu ziwe juu yao wote) walikuja kuikanusha na kuikataza, na kuwalingania watu kumwabudu Mwenyezi Mungu peke yake, bila mshirika wala mshirika.” (Tafsiir Ibn Katheer 7/84-85).
      Waabudu makaburi wanafanana na washirikina wa Jaahiliyyah, kwa sababu makaburi haya yamekuwa kama masanamu ya watu wa Jaahiliyyah, kwani wathan (sanamu) ni jiwe linaloabudiwa.
      Allah Subhana wataalla anasema Az Zumar
      (2. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki kwa Haki. Basi muabudu Mwenyezi Mungu ukimsafia Dini Yeye tu.)
      (3. Hakika Dini Safi ni ya Mwenyezi Mungu tu. Na wale wanao wafanya wenginewe kuwa ni walinzi wakisema: Sisi hatuwaabudu ila wapate kutujongeza tu kumkaribia Mwenyezi Mungu - Hakika Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Mwenyezi Mungu hamwongoi aliye mwongo kafiri.).
      Tatizo lenu masufi,kwakutaka kumshusha utukufu wake Allah,kwa kuzitilia nguvu hadith dhaifu,shetani kakughilibuni,hapo ndipo mnapozisisitiza na kushadidia,na kumshusha hadhi Allah Subhana wataalla kwa kuipiga vita Tawheed/utukufu wake,
      Laanatu llahu kwa wote wanaomshirikisha Allah,na chochote,wanamzulia mtume kwa Hadith za uwongo