Sheikh Mselem bin Aly ajibiwa vikali kuhusu funga ya arafa na Ustadh Haji Upepo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 852

  • @kassimothman666
    @kassimothman666 6 місяців тому +31

    Shekh Msellem Allah ambarik hababaishwi na wahuni

    • @askofkibwe6106
      @askofkibwe6106 6 місяців тому +1

      Hakika ndugu

    • @Mufti-g3x
      @Mufti-g3x 6 місяців тому +2

      Yeye mwenyewe kawa muhuni tayari ndio fatwa hii kweli?

    • @AzizMserembwe
      @AzizMserembwe 6 місяців тому

      Shekh mselemu kawa swahaba kwan?

    • @KhamisBakar-ge4sp
      @KhamisBakar-ge4sp 6 місяців тому

      Mawahabi leten hoja hapa hatuzungumzii uhuni

    • @BUGAZANZIBAR
      @BUGAZANZIBAR 6 місяців тому

      Sawa sawa shekh mselem haunbishwi

  • @RukiaAbdalla-v8q
    @RukiaAbdalla-v8q 5 місяців тому

    Mashallah Mashallah nimependa ufafanuzi wako Mungu akupe umul twawil uzidi na uzidi

  • @abdulkarimsalum356
    @abdulkarimsalum356 6 місяців тому

    hongera umeweka sawa vizuri sana tumekuelewa kijana wakaz hayyakallah

  • @DaimaMgusi
    @DaimaMgusi 6 місяців тому +9

    linganien watu wamche Allah syo kusimam kwenye mitandao na kukosoana

  • @kulwasalum3597
    @kulwasalum3597 6 місяців тому +2

    Shekhe Muselem yu sahihi ...
    Anaeleweka..vizuri.....
    Huyu njaa.....!!!

  • @takdirmahmoud
    @takdirmahmoud 6 місяців тому +4

    Kasome kwanza kijana,, sheikh Msselem kamaliza utata

  • @sheikhyusufdiwan2489
    @sheikhyusufdiwan2489 6 місяців тому +12

    جزاك الله خيرا

    • @chancelorharubu2731
      @chancelorharubu2731 6 місяців тому

      Kama ingekua tuafuata mtume amefungaje,wala kusingekua na haya malumbano,kwani mtume yeye alikua akifungajee,na vipi miji mingine kipindi hicho na hakukua na vyombo kama ivi leo,inamaana hawakua sahihi.na je mtume alisema kua funga zetu tuangalie wanaosimama?.mbona mambo yako wazi sanaa

    • @AmeryHamad
      @AmeryHamad 6 місяців тому

      kuna hadithi inayo wataka watu walio simama arafa wasinge bali wafunge wale walio nje ya kisimamo cha arafa kuungana nao halafu ww unatuambia arafa ni mwezi tisa wa mtu alipo umepata wapi

    • @AmeryHamad
      @AmeryHamad 6 місяців тому

      hebu wacha hiyo kauli ya uthaymini rudia maneno ya rasuli anasemaje kuhusu arafa

    • @AmeryHamad
      @AmeryHamad 6 місяців тому

      ikiwepo kauli ya rasuli hapatangulizwi kauli ya yeyote

    • @AmeryHamad
      @AmeryHamad 6 місяців тому

      sasa kwanini usitolee mfano wa hapo ulipo unatolea mfano wa nchi za mbali toa wa hapo ulipo mana ndo pahala pamzoz o

  • @mudinhomeshack9041
    @mudinhomeshack9041 6 місяців тому +5

    Sheikh muselem Allah amuhifadhi ili endelea kutupa elimu

  • @RukiaAbdalla-v8q
    @RukiaAbdalla-v8q 5 місяців тому

    Yaani umetulia katika kuelezea kwako Mungu akubariki mwanangu

  • @ramamavumba6187
    @ramamavumba6187 6 місяців тому +2

    Pole sana shekh unajua mnachopatashida nikua mnataka muonekane nanyimnaweza mnaelimu mimibinafs sikuelewi ufahamu kilamtunawake nyinyi kilasiku mnapenda kupinga pingeni ilamsiwachafue wanawazuoni

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 6 місяців тому +6

    Umeongea vzr sn akhiy, Allah akulipe kheri, ila nakunasihi tu unaporaddi utumie sn maneno ya hekima na adabu, uctumie laneno mabaya km vile neno "pumba"

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 6 місяців тому +8

    Pole Sana Haji Upepo. Kumbe Elimu yako ni changa mno, yaani uwezo wako NI mwepesi Sana. Duh. NI aibu Sana kwako . Sheikh Mselem Masha Allah. ameweka wazi mno. Rudi kaitazame na hoja za Sheikh Mziwanda

    • @FatwimaZahrau
      @FatwimaZahrau 6 місяців тому

      Mnaona aibu tu kukubali😅

    • @zanlec7357
      @zanlec7357 6 місяців тому

      @@FatwimaZahrau hulaumik kwa7 HUJUI NINI EIDIL HAJI AU ADH HA

    • @FatwimaZahrau
      @FatwimaZahrau 6 місяців тому

      @@zanlec7357 hakuna Eid lhaj ni Eid adha

    • @YaziduIddy
      @YaziduIddy 6 місяців тому

      ​@@zanlec7357Ibada za kiislam hazifungamani na mwiji kuwa na akili mpk mashehe zenu wakubwa mnawapinga mnatumia akili zenu

    • @nasymchuzi8667
      @nasymchuzi8667 6 місяців тому

      Usichoelewa nini apo na kunasehemu mwez umeandama kabla ya saudia au ukumsikiliza mselem

  • @abdallahabdallah7872
    @abdallahabdallah7872 6 місяців тому +1

    Sheikh mselem tumekuelewa Sana wewe kijana kasome Kwanza sheikh mselem bingwa wa tafsiri Allah akupe afya na umri mrefu

  • @SaadDumila
    @SaadDumila 6 місяців тому

    Umefafanua kwa uhodari mkubwa, nimekufahamu kwa sana ndugu, Allah akuzidishie ujuzi.

  • @rajabmwinchande
    @rajabmwinchande 6 місяців тому +6

    Jitahidi kijana huna hoja wala dalio narudia tena jitahidi kuijua dunia. Mazungumzo ya bin Abas Kuraib si hadithi Waheshimu wakubwa kijana.

    • @SalumSeif-w5y
      @SalumSeif-w5y 6 місяців тому

      hoja anayo brother amejibu hoja ya shekhe muselem vizuri na imefahamika allah akubali ibada zako brother hizi hitilafu za mashekhe wetu ziwe na mafaa kwetu inshaallah

  • @sama-_8368
    @sama-_8368 6 місяців тому

    Maashaallah watu mnaokoment hebu acheni mapenzi angalieni ukweli jaman UPEPO YUKO SAWA SANAA.

  • @suleimanhemed9543
    @suleimanhemed9543 6 місяців тому +1

    Mashaallah shekh nimekuelewa sana, leo shekh mselem kajionyesha wazi kwamba ameshaathirika na hila za makafiri, manake wao ndio wanaotaka dunia 1 dini 1 na tarehe 1, hizi ndio fikra za makafiri.

    • @suleali4915
      @suleali4915 6 місяців тому

      Duh tumuamini nani tumuache nani sasa?

    • @suleali4915
      @suleali4915 6 місяців тому

      Mana kila mtu ana hoja zake

    • @munirajuma1270
      @munirajuma1270 6 місяців тому

      Sheikh msellem kamaliza hoja.

    • @dudemussa6715
      @dudemussa6715 6 місяців тому

      Hivi mselem haelewi kwamba duniani kunaingia nyakati tofauti? Mola was magharibi 2 na Mola wa Mashariki 2. Yaani hawa wamelala na hawa wako mchana. Suratil Rrahman. Sasa kusali Je! Mbona yeye hasali adhuhuri kufuata adhuhuri ya marekani, aah! Yuko ovyoooooo!

  • @RukiaAbdalla-v8q
    @RukiaAbdalla-v8q 5 місяців тому

    Mbona kafafanuwa vizuri kijana yuko vizuri mashallah mahanadi wabaya wasikuone achana nao hao

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 6 місяців тому

    Wewe Fanya Adabu Na shekh mselem

  • @planetanimals9547
    @planetanimals9547 6 місяців тому

    Allah awaongoze wanaupungufu wa elimu ya nyakati hao baadhi ya mashekhe

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 6 місяців тому

    Shukran sana sheikh. Uyu sheikh mselem kapotosha sana na kajitia aibu kubwa

  • @KhamisJumaAbdulrahman
    @KhamisJumaAbdulrahman 12 днів тому

    Yaani watoto wa siku hizi,wanasubiri watu wakosee halafu waje kwenye mitandao wawakosowe kwenye mitandao,na hapa ndio dini ilipofikia.
    Hebu hata kama mtu anakosea,tujaribu kutumia hekima halafu na elimu.
    Anakwambia sheikh analeta pumba,hebu fikiria hekima ya dini iko wapi hapa.
    Elimu ni pana sana,na uelewa ni tofauti.
    Tumuombe Allah hekima kwanza.

  • @MassoudRashid-q8f
    @MassoudRashid-q8f 5 місяців тому

    Huy shikh anataka kiki jaman ss kheikh mselem tumemuelew

  • @YussufWakala
    @YussufWakala 6 місяців тому +2

    Alichozungumz msellem nisahihi sheikh kasome vtabu mda bd unao

  • @khajumkhamis7910
    @khajumkhamis7910 6 місяців тому +7

    Kumbe huyu anaitwa shehe upepo , so jina lake linaendana na tabia zake ,
    Tunamuomba Allah amhifadhi sheikh wetu MSELLEM BIN ALLY

    • @lilotz-we7xq
      @lilotz-we7xq 6 місяців тому

      Mselem amefeli sana kwa kuwaita kina Ibni Basi kuwa niwatu Wa interest?Allah amuongoze asirudie tena fatwa yahovyo kama hio Inabidi asome zaidi au asomeshwe tena kafeli sana

    • @beckergushu4512
      @beckergushu4512 6 місяців тому

      Huyu sheikh upepo na akili zake zina pepea.

  • @salumumbwana2854
    @salumumbwana2854 6 місяців тому

    Masha Allah Sheikh Musellem na wanaofuata mwenendo wa kufunga kwa kufuata kisimamo watakua wameelewa kukosea kwao

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 6 місяців тому +3

    حفظه الله يا شيخنا 🎉🎉🎉

  • @hajijuma1761
    @hajijuma1761 6 місяців тому

    Haji upepo Allah akuhifadhi mwalimu

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj 6 місяців тому +3

    Wallah mungu akuzidishie ilmu sheikh wetu haji upepo mawahabi wapotoshaji kila siku

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      Na kwa Allah utaenda mueleza hivyo hivyo sawa umeambiwa uwafate au wakizungumzia usichokijuwa soma ndo utajuwa hakki unamsubili upepo

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 6 місяців тому

      @@AbdulIssa-o7e wacha ujinga ww kiongozi wako ni nani kiongozi ni mtume s a w na mtume alasema bada yake yy ni wanazuoni na wema walio tangulia sasa mselem kakosea kaenda kinyume na mashekhe wao wakiwahabi na maneno ya mtume kaenda kinyume nayo sasa ww una akili kila unalolifanya utaulizwa kiyama jitu zuka kama ww ndio hujui na huyo mselem ataulizwa kwa kupotosha

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 6 місяців тому

      @@AbdulIssa-o7e ehh tutaenda ulizwa na ww wahabi mpotoshaji pia utaulizwa tawhed tatu mumezitoa wapi mtume hajafundisha wala maswahaba hawazijui tawhed tatu mumezitoa wapi mbona mwamzushia mtume hio pia utaulizwa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      @@saba-gv3mj pigeni kelele wee arafa Ni moja tuu siku ya kisimamo na ndo Allah huteremka mbingu ya dunia kutoa msamaha na kujisifu kwa malaika wake ninyi mnajisumbua bure kutumia nguvu nyingi msamaha utolewa siku hiyo ukikosa kufunga siku hiyo huna arafa mnatusindikiza sie tuuh! Akuna arafa mbili ww mtaangamia mpk mnajufa hamjaipata funga ya arafa mwasindikiza watu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      @@saba-gv3mj ndo unavyo danganganywa ww kasome utajuwa zimetoka watu kwani tahweed tatu ndo kusemaje Allah Ni yule yule mmoja uaminiji ndo umegawika so Allah ujue mnadanganywa Sana tawwed luhuhiya Ni kumuamini Allah pekee tawed ruvubiya kumuabudu yey pekee yake kumfanyia ibada taweed Asma asfat kumuani Allah Ni mlezi wa viumbe Aya kuna ubaya gani hapo tatizo nimegundua waongeaji humu wengi utakuta hata kuswali wengine hawaswali kazi kubishana tuu kwa vitu msivyovijuwa kasome dini we umekaa unasubiil fatuwa kwa hajji upepo kusoma hutaki au hukusoma unakaririshwa mawahabi wanatawed 3 uulizi kwa kujifunza unakalili ulichoambiwa we unategemea utaambiwa kweli wafate wahusika wakuelekeze ushauri wangu Soma dini utajuwa vinginevyo utababaika Sana na kudanganywa shauli yako

  • @HAMISIBEYAWA
    @HAMISIBEYAWA 3 місяці тому

    Hijja ni moja dunia nzima mahujaji wakishasimama arafa dunia nzima popote waliko wanafaa kufunga sheikh mselem yuko sawa

  • @OmaryiddyMndeme
    @OmaryiddyMndeme 6 місяців тому +1

    Mimi niwaulize swali wanao msapoti mselem kwahiyo Kablaya technology uislamu ulikuanakasoro namkisemahivyo inamaanawaliopitawote walikua wanakosea kwahiyozamani kulikua hakuna elimu na kama uislamu ulishakamilishwa enzi za mtume mnaachakufata mnazozananini kwahiyo mnamkosoa Mungu kwakuumba hizi hitilafu za mwandamo pamoja nakutofautiana kwa masaa duniani?

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 6 місяців тому

      Wewe akili Zako sawa na huo upepo!jiulize mwenyewe kabla ya technologia Kenya na Tanzania tulifunga vp na sasa tunafunga vp?kama hutopata jibu kamuulize Shehe upepo!

  • @AishaSalum-hq8zq
    @AishaSalum-hq8zq 16 днів тому

    Msiwaite mashekhe majina mabaya mfano wahuni mshenzi na majina mengine mabaya. Mtu akikosea ni kithibitisho cha kumuonyesha yeye ni binadamu na haana ukamilifu. Hii inaonyesha ukubwa wa ALLAH na kumtofautisha yeye ALLAH na viumbe vyake. Na mashekhe zetu pia msitumie maneno ya kejeli na dharau, rekebishaneni kwa utaratibu unaofaa. Wallahua'alam

  • @izhakhassanrajab940
    @izhakhassanrajab940 6 місяців тому +9

    Allah aulinde uislamu na azidi kumhifadhi sheikh msellem, hutuba zote mbili nimezisikiliza, ila hoja za sheikh msellem zina mashiko sana, maana huyu sheikh upepo kanukuu vipande tu hakutoa ninamna gani sheikh msellem alivoanzia hoja.

    • @salimdalvi8426
      @salimdalvi8426 6 місяців тому

      Assalamaleykm ww , Sheikh Mselem katika mojawapo ya maelezo yake kasema kuwa zamani watu walikuwa wakipeleka habari kwa wengine kuhusu arafa Saudia wakati walipokuwa wakisafiri 😮 Swali ! Ni mda upi huo wa watu kupata habari dunia nzima kwa kutegemea wasafiri waliotokea Saudia kwa msafara wa kutumia ngamia ? Sheikh hakusema ukweli hapo 😮

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 6 місяців тому

      @@salimdalvi8426 wewe kweli una akili za samaki!huwezi hata kutafakari?yaani mwalimu aliyekusomesha inaonesha alipata taabu sana

  • @UttuNgozi
    @UttuNgozi 6 місяців тому

    Al Akhay inaonyesha wewe ni mpofu wa moyo. Shekh mselemu Allah akuongoze kuwaa na subra Mzee wangu kazi ya dawa inamitihani

  • @YussufWakala
    @YussufWakala 6 місяців тому

    Shekh msellem tumemuelew Allah ammbarik

  • @S.SWarfa
    @S.SWarfa 6 місяців тому +1

    Sheikh Upepo unajua kutoa da'wa lakini hujui jiografia. Dunia ni mviringo na mwezi ni moja.wote tutaona mwezi siku moja Lakini saa tofauti. Hakuna nchi dunianiinapishana saa 25 ili hawa wakiwa. Tarehe 8 na wegine 9. Shekh Muselem yuko sahihi anajua dini na jiografia. Saudi haipishani hata dakika moja na Kenya eala Tanzania

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 6 місяців тому +12

    ALIE KUA HANA AKILI KM WEWE UPEPO UNAWEZA UKAMBURUTA

    • @KhamisBakar-ge4sp
      @KhamisBakar-ge4sp 6 місяців тому

      Walio kuwa hawan akili ni wale masheh zenu wa kiwahabi, walio kuambien mufuate miandamo ya kwenu kisha musiwafuate.

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 6 місяців тому +1

      @@KhamisBakar-ge4sp Pole kwa maradhi ulio nayo

  • @asmanoor4965
    @asmanoor4965 6 місяців тому +2

    Allah akulinde

    • @saidrutunga756
      @saidrutunga756 6 місяців тому

      Umepitwa nawakati unashindwa nakrismas

  • @FadhilBinAbbas
    @FadhilBinAbbas 6 місяців тому +1

    Shekh naww mwenyeo pia unahitad ufahamishwe kwa uwo ufaham wako mbovu unaoona ndo njia sahihi yakuwafahamisha wenzako tena kwa kuandika maneno makali bila kujali dhamira yaicho alichokiongea ukisema neno upotoshaji hiyo sio dhamira ya shekh mselem hata km ww unahis ivo au unaona amekosea labda ww ndo unajiona uko sahihi sana tunaweheshimu sana mashkh wetu ila sasa iv hii dini mnapoipeleka sipo hamna lengo Zuri

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 6 місяців тому +6

    Mashallwha sheikh wagu nakupenda kwajili ya Allah tugepata masheikh wegine kama wewe mawahabi wagelinyoka shukran

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      Kuwanyosha wahabi hamutaweza sababu wapo katika hakki Allah anawatinga nguvu Sabu wanapambana na batwil na katika dinni ndo mnaona kila siku wanapata nguvu na wazidi kuwa wengi Sabu haki ipo wazi we sikiliza upande mmoja kama utajuwa hii haki au batwil akili kichwani kwako mbwa wengi wanabweka lakiin Hawa zuii msafara mtabaki na chuki zenuu alomuongoza Allah hamuwezi mpoeza tuupoo kattika hakki na dalill

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      Mawahabi washanyoka zamani Sana bado we tuuh umepinda dini ilirudi ujingani watu kuichezea kuingiza mambo ya uzushi Mila a desturi zao Ila kuja wahabi wamekimboa waislamu ww tuu hujaiona hiyo neema bado upo utumwani huko usufini amkeni amkeni amkeni katika sunnah kuna Raha sana hufanyi dhikri za kukohowa zile kama mwendawazimu dhikri kumtaja Allah msikitini kwa mtindo sahihi tulikuwa tunalazimishwa michango ya maulidi kumbe tunachangia uzushi,tulikuwa tunaazini makaburini saivi twafata jeneza kwa sunnah ya mtume ilivyofundishwa kimya kimya wallahy kufata sunnah Raha sana unaweka ndevu mwanaume lijari lazima uache ndevu na mtume katuusia tufuge ndevu kunawapinzani Fulani wenyew unyoa videvu kama balbu wanadanganywa uchafu katika sunnah Raha shekhe wachelewa Sana wahabi mungu awajaalie wametukomboa utumwani huko

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 6 місяців тому

      MASHALAH
      HAKIKA SHEKH WETU UPEPO YUPO VIZURI MASHALAH

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 6 місяців тому

    Mungu akuhifadhi sheikh Hajji

  • @khalifaahmed5232
    @khalifaahmed5232 6 місяців тому +21

    Mawahabi katika suala la swaum ya Arafa wamefeli vibaya Sanaa sababu wao wamemtupa mtume na maswahaba wake na baada ya maswahaba wake wakaamua kufuata Kuja kwa technology na apo ni kudhalilisha uislam wetu sababu nkm useme uislam ulikamilika Kuja kwa technology na apo ni kufru mbaya Sanaaa Allah atuongoze xaidi soteni

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      Maskini kuna watu katika hii dini Allah awaongoze kabisa wasema wahabi Wana fata techhbnology mtume Muhammad ndo wakwanza kuletewa teknologgyi kupitia kuruani na sunnah zote vimetajwa katika kuruani utabaki kizani kudanganywa ndugu wachekesha Sana mnailaumu technology mtume Vita ya khaibar akwenda piganna akapeleka askarii lakinni allahh alimletea picha mfano wa television akawa anaona kinachoendelea kule Fulani kafa ffulani kashika bendera anapiganisha Vita anawasimulia watu msikitini tukio zima analiona Sasa haikuwa technology hiyo? Ikiwa hammuamini techology msikitini toeni maiki na maspika arafu hata huyu shekhe wako ajifungie chumbani aubir asirushe mawaidha yake mtandaoni kweli upofu Ni kitu kibaya Sana maskini Allah awape tawfik ao mashekhe zenu wanaowadannganya kuhusu techology unafukuza paka wa jirani asile unga nyumbani mwenyewe una paka

    • @AlimSalim-el5ll
      @AlimSalim-el5ll 6 місяців тому

      We khawaarij sufi shia au nani?

    • @khalifaahmed5232
      @khalifaahmed5232 6 місяців тому

      @@AlimSalim-el5ll 🤣🤣🤣🤣🤣wahabi koko ndio mm suudia ndio kusema

    • @AlimSalim-el5ll
      @AlimSalim-el5ll 6 місяців тому

      @@khalifaahmed5232 ww mbwa koko

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 6 місяців тому +3

      Wewe akili zako Kwa kweli zina shida,sasa unaposema tecklonojia imeharibu dini!sasa tujiulize wewe je mwezi ukiandama na kuonekana Kigoma au Kenya Dar,Zanzibar na sehemu nyengine watapata taarifa kupitia nini?

  • @KisakaShimbo
    @KisakaShimbo 6 місяців тому +2

    Ase e ww hukupata malezi mazuri mungu akuongoze

  • @Jumaamsagaty
    @Jumaamsagaty 6 місяців тому +6

    Hajj upepo tafuta kazi ya kufanya huku haupawezi

    • @lilotz-we7xq
      @lilotz-we7xq 6 місяців тому

      Acha ushabiki kasome au someshwa tena

  • @AbdallahJumah-f1e
    @AbdallahJumah-f1e 6 місяців тому +1

    Napenda ule kiapo kwa maneno yako maana mnatupotosha MUANDAMO NI MMOJA SHEKHEEE

  • @arrawaahiyahtv9800
    @arrawaahiyahtv9800 6 місяців тому +8

    Maashallah, piga nyundo hao habiib

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      Apige nyundo mnajipiga wenyew maskini toka arafa ianze usikte mnaambulia patupu mpk mtakufa hamjafunga we komaa huko achana na sis

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 6 місяців тому +1

      @@AbdulIssa-o7e حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ يَحْيَى، وَيَحْيَى بْنُ أَيُّوبَ، وَقُتَيْبَةُ، وَابْنُ، حُجْرٍ قَالَ يَحْيَى بْنُ يَحْيَى أَخْبَرَنَا وَقَالَ الآخَرُونَ، حَدَّثَنَا إِسْمَاعِيلُ، - وَهُوَ ابْنُ جَعْفَرٍ - عَنْ مُحَمَّدٍ، - وَهُوَ ابْنُ أَبِي حَرْمَلَةَ - عَنْ كُرَيْبٍ، أَنَّ أُمَّ الْفَضْلِ بِنْتَ الْحَارِثِ، بَعَثَتْهُ إِلَى مُعَاوِيَةَ بِالشَّامِ قَالَ فَقَدِمْتُ الشَّامَ فَقَضَيْتُ حَاجَتَهَا وَاسْتُهِلَّ عَلَىَّ رَمَضَانُ وَأَنَا بِالشَّامِ فَرَأَيْتُ الْهِلاَلَ لَيْلَةَ الْجُمُعَةِ ثُمَّ قَدِمْتُ الْمَدِينَةَ فِي آخِرِ الشَّهْرِ فَسَأَلَنِي عَبْدُ اللَّهِ بْنُ عَبَّاسٍ - رضى الله عنهما - ثُمَّ ذَكَرَ الْهِلاَلَ فَقَالَ مَتَى رَأَيْتُمُ الْهِلاَلَ فَقُلْتُ رَأَيْنَاهُ لَيْلَةَ الْجُمُعَةِ ‏.‏ فَقَالَ أَنْتَ رَأَيْتَهُ فَقُلْتُ نَعَمْ وَرَآهُ النَّاسُ وَصَامُوا وَصَامَ مُعَاوِيَةُ ‏.‏ فَقَالَ لَكِنَّا رَأَيْنَاهُ لَيْلَةَ السَّبْتِ فَلاَ نَزَالُ نَصُومُ حَتَّى نُكْمِلَ ثَلاَثِينَ أَوْ نَرَاهُ ‏.‏ فَقُلْتُ أَوَلاَ تَكْتَفِي بِرُؤْيَةِ مُعَاوِيَةَ وَصِيَامِهِ فَقَالَ لاَ هَكَذَا أَمَرَنَا رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم

    • @tumainizaidu7095
      @tumainizaidu7095 6 місяців тому

      ​@@AbdulIssa-o7ematusi ni hoja kwa mjinga

    • @albahsans
      @albahsans 6 місяців тому

      Tuwe na ikhlas basi imekuwa km yanga na simba

  • @ibrahimmtipuka7793
    @ibrahimmtipuka7793 6 місяців тому

    Maashaa allaah kaana mab'ruuk Naam ubarikiwe. Ukweli ndio huo tufate suna ya mwezi wala sio simu

    • @MassoudRashid-q8f
      @MassoudRashid-q8f 5 місяців тому

      Muandamo wa mwez n mmj dunian huy jamaa n muhuni kam wahuni wengn kwnz hawez kuongea

  • @hajj190
    @hajj190 6 місяців тому

    😂😂😂 wape somo wajina wangu Haji,,,hakika hapo sheikh Msellem Allaah amhifadhi amejizonga,,,siku zote tarehe ya kuandama mwezi huwa tunatofautiana sana ila huwa inaleta tafrani inapofika tu ramadhani na dhul hijja lakini hizi tarehe huwa tunatofautiana miezi mingine pia ila hatufatilii tu. Allaah akuongoze wajina wangu na akuhifadhi pia 🤲

  • @JumaMohamed-y4w
    @JumaMohamed-y4w 6 місяців тому +2

    Haji mungu akuhifadh

  • @aliissahaji33
    @aliissahaji33 6 місяців тому +1

    Sheikh Mselem mm nakukubali sana lkn kwa hapa umeniangusha sana.
    Kwa sheikh mkubwa kama ww Ungejaribu kuelezea kwa pande zote mbili lkn kwa ulichokifanya umeegemea upande mmoja kitu ambao wangi hawajakuelewa.

  • @ImraniKisaka
    @ImraniKisaka 5 місяців тому

    Mawahabi ni watu wahovyo sana😊

  • @AbuuMaahirAmaniHamisKitenga
    @AbuuMaahirAmaniHamisKitenga 6 місяців тому

    فعن يونس بن عبد الأعلى قال سمعت الشافعي يقول : " لو أن رجلا تصوف أول النهار ، لا يأتي الظهر حتى يصير أحمق " . وعنه أيضا أنه قال : " ما لزم أحد الصوفية أربعين يوما ، فعاد عقله إليه أبدا " . وقال يونس بن عبد الأعلى تلميذ الشافعي : " صحبت الصوفية ثلاثين سنة ، ما رأيت فيهم عاقلا ، إلا مسلم الخواص " .

  • @salimutwahiri3693
    @salimutwahiri3693 6 місяців тому

    من الأمور المشتشكلة فى هذه الأيام صيام يوم عرفة، وعيد الأضحى، والأضحية، لمشابهتها فى الأسماء والتاريخ، لأن الجاج لهم عرفة، وغيرهم يصومون يوم عرفة، والحجاج يذبحون الهدي، وغيرهم يذبحون الأضحية، لدفع الشهبة يجب علينا أن نرجع إلى تاريخ، كل شيء منها،

  • @abumuhammadmbwana3964
    @abumuhammadmbwana3964 6 місяців тому

    UFAFANUZI MZURI LAKINI MAWAHABI HAWATAKAA WAKUSIKILIZE ILA WATAKIMBILIA KUCOMMENT TU.

  • @ShabiaMtoi
    @ShabiaMtoi 6 місяців тому

    Shekh mselem nimekuelewa

  • @HarunaRajabu-tj6ml
    @HarunaRajabu-tj6ml 6 місяців тому +1

    Ramadhani ikifika ivyo ivo yanini uislam umeba masheikh muongopeni Allah msidhani Moto wameandaliwa mbuzi ,fanyani dini Kila tukio mnakua na hoja za kuwazungusha waislam

  • @Alialbatash
    @Alialbatash 6 місяців тому

    Upepooo mpakaa hojazako weye niupepo hazijamfikia shekh mselemaaa ally

  • @kitosio
    @kitosio 6 місяців тому +3

    صيام يوم عرفة. Weka Irabu sentensi hiyo . Ujijerihi mwenyewe. Someni msipopajuwa muulize na muache Ukaidi ni hatari. Ndio tuomne elimu yenye manufaa na sio majanga

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 6 місяців тому

      Irab ndo nn we vp

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 6 місяців тому

      Je mwandamo ukiandama mwanzo kabla ya saudia je huo mwandamo utakuwa si sahihi? Au je saudia watafuata huo muandamo

    • @KhayratMansour
      @KhayratMansour 6 місяців тому

      unauliza irabu ndo nini? wacha kusimamia ushabiki ndugu !!!@Silay1034

    • @kitosio
      @kitosio 6 місяців тому

      @@KhayratMansour
      Nimeuliza hivo cause mnazikwepa Hadithi sahihi. Rudini Darasani hapo Idhwafa mbili. Mumfate mtu wa lunga akufahamisheni. Mnapita kijuujuu. Mtume s.a.w kimeshaingizwa mizani na kishachujwa maana ni wahyi.

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 6 місяців тому

      @@kitosio
      Acha UJAAHILI wewe
      Hata kama pana (( إضافة )) mbili hapa akuna dalili ya kufuata Saudia.
      Nani kasema KTK WANACHUONI kama ldhwafa zitakua ni mbili basi Tunatakiwa tufuate SAUDIA ???
      KAZI YENU KUFUATA MKUMBO TUU !!!
      SOMENI NDUGU ZANGU .. BILA YA HIVO KILA SIKU MTABURUZWA TU .

  • @KhajiKhatibu
    @KhajiKhatibu 6 місяців тому +1

    Wwhaji upepo usidanganye watu achamashehe wafahamishe

  • @LASSUH4947
    @LASSUH4947 6 місяців тому +6

    Shukran sana habeeb

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      Mtaiga kelele wee mpk makoo ya wavimbe na mashekhe wenu arafa Ni moja tuu siku ya kisimamo ukipita hiyo hamna arafa Tena kujidanganya tuu maandiko ya mtume na wanazuoni yapo wwazi Allah hushuka siku hiyo moja ya arafa katika mbingu ya dunia kutoa msamaha ikipita imekupita huna arafa Ni kupoteza muda

  • @RamadhaniNgwena
    @RamadhaniNgwena 6 місяців тому

    Hata mtu mzima apokosea hufundishwa

  • @wakatikaisi6743
    @wakatikaisi6743 6 місяців тому

    Shekh upo sahihi...kabisa...

  • @ahmedabry293
    @ahmedabry293 6 місяців тому +2

    Huyu jamaa Hana adabu kabisa yani dah.. Wewe babaako unaweza kumraddi kw njia hio?? Haya tuambie wewe haya tukuulize wewe haya nyie si mnajifanya mnawafata salaf swaaleh.. Ndio kauli gani hizo heshimu japo utuuzima wake basi.. Huna adabu wala heshma.. Yani kama unamsuta hivi.. 😢

  • @husseinmshamata9483
    @husseinmshamata9483 6 місяців тому

    Dahhh inaalylah wainaailhy rajiuun, shek wangu wewe kama unajiona upo sahihi si ufudshe wtu kwa muono wko mpka uwaseme mashekh wengine kwenye mitandao au kama unahoja na shekh si ufnye bussara ya kumtafuta mukaekana sawa. Naadthni sote kiogzi wtu ni Mtume Muhammad SAW alikuwa anafnya hvi unavyofnya wewe shekh wtu.

  • @adnanshaban2660
    @adnanshaban2660 6 місяців тому +1

    Upepo jiuulize kwanini Sheikh mselem hakujibu…!.. na hatokujibu daima… huwa anamwomba Allah ampe hekma kabla na baada

  • @panduali4862
    @panduali4862 6 місяців тому +1

    Hiyo unayoita hadithi ya kureib ni kisa sio hadithi lakini pia umekielezi VISIVYO umekipotosha. Kasome kitabu Cha sheikh Nassor Bacho kinachohusu muandamo au kitabu Cha kamati ya masjid sunna kinaeleza vizuri

  • @abubakarnassor8280
    @abubakarnassor8280 6 місяців тому

    Ww Kijana Sawa Upo sahihi🤝lakin hata kama kakosea kuongea mulikua mukae muelekezane ww na yeye uskae public munachanganya watu
    kimantiki mke namume wakikosoana public hamna liwalo ndio mufanyavo.

  • @simaidabo3061
    @simaidabo3061 6 місяців тому +1

    Kusoma sio sawa na kucheza mpira sheikh mselem kasoma na mtu alie soma hawaze kuongea kitu kama hajakisomea kijana samahan kwanza kasoma maana sheikh mselem humpati kwa lolote kielim kwaiyo mstahi one love

    • @mrjagenmuuz5704
      @mrjagenmuuz5704 2 місяці тому

      Atakama kasoma haımaanishi anajua kilakitu huyu siıo malaika kama hawezi kukosea na yeye

  • @SahmSalim
    @SahmSalim 6 місяців тому +1

    Masheikh Wales bhana! Kila mmoja anataka awe bora zaid y mwengin na sio kufny kz y Allah inavotakiwa ulipaswa ufikish ujumb bila y kumlenga mtu din inakataz hio au hujuw ilo mselem hakumtaj mtu lkn

  • @HusseinMzuzuri-rx8rf
    @HusseinMzuzuri-rx8rf 2 місяці тому

    Shekh zipo sehem tunatofautiana nazo muda mrefu lkn co Tanzania bro

  • @ShamiraSued
    @ShamiraSued 6 місяців тому

    Mungu ni mmoja ,jua n moja mwezi ni mmoja inakuaje kila mtu awe na mwandamo wake??

  • @drbalagomwatvonline4937
    @drbalagomwatvonline4937 6 місяців тому

    Shekhe Mselem kaongea Kwa hoja sahihi na Allah amlipe na amuepushe na hasadi za wanafiki ktk dini yetu ya uislamu,
    Nawe shekhe upepo kasome mda bado upo pia uangalie pa kuchukuwa elimu maana unaweza kuzidi kudidimia badala ya kuelimika kumbe unaangamia kwakuchukuwa elimu mahala pasipo sahihi.

    • @drbalagomwatvonline4937
      @drbalagomwatvonline4937 6 місяців тому

      Pia nyie mashekhe wa bida yani mnawapotosha watu Kwa matamanio yenu hata Kwa jambo lililo wazi ila Alhamdulillah watu walio wengi wameshaelimika na wanazidi kuelimika kwasababu nyie mmekumbwa na matamanio ya Dunia mnaisahau Akhera ambapo ndio makazi ya kudumu.

  • @omarmohamed312
    @omarmohamed312 6 місяців тому +1

    inna lillahi wa inna ilaihi rajiuun. kwa nini mnawapotosha na kutugawa cc waumini.

  • @khamismussa1599
    @khamismussa1599 6 місяців тому +8

    Maneno yako wazi sh Haji.

  • @SharjaHamimu
    @SharjaHamimu 6 місяців тому

    Shekhee upepo na yeye akilii zake zimeendaa na upep0 ww una elimu gn kumshinda shekhe mselem afuu unasemajee shekhe mselem anaongea pumba wew ndioo unaongeaa pumba shekhee njaaa tyuu ww muachee shekhee wetu..Aendelee ku2pa elimu ALLAH amuhifadh shekhee moslem bin ally bingwa wa tafsir ya quran 🤲🤲

  • @allykhalfan9513
    @allykhalfan9513 6 місяців тому

    Ustadhi Haji upepo umemsikiliza vizuri sheikh Mselem bin ally au umenukuu tuu kamsikilize tena halafu ndio utoe radi yako yako na hoja zako

  • @mohamedmsama4833
    @mohamedmsama4833 6 місяців тому

    Tanzania pekee ndio ina mashekh wa somi kuliko mashk woote duniani ndiyo mana wana arafa yao
    Cha kushangaza mashekh wao wakienda hija tarehe za majumbani mwao wana waachia jamaa zao wanatamani arafa ingekua jangwani ilaa Ni mshukuru shek mselem na wenzie marumhm shek kilemile mangu amurehem Amiina

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 6 місяців тому

      Hufatlii oman hawakufuata mwezi wa saudia si tanzania peke yake

    • @NusuraElias
      @NusuraElias 6 місяців тому +1

      Acha zako kijana huwezi kumkosea adabu siku ni ipi eneo ni lipi na mahali ni wapi?

  • @SalamaBakari-eh1mz
    @SalamaBakari-eh1mz 6 місяців тому

    Pole pole baba

  • @MuslimBakar-uf6xd
    @MuslimBakar-uf6xd 6 місяців тому

    Khaaaa ww mbn umeelewa vibaya ndugu yangu

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 6 місяців тому +1

    Mtoto mjinga sana wewe kinachotofautiana hapo katika hadithi ya quraib sio kuandama bali ni kuuona hawa watu wa shamu na madina walitofautina kuuona mwezi
    mwezi hauwezi kuandama mara bili dunia nzima mwezi huandama siku moja tu. Watu ndio hutofautiana kuona.
    Elewa wewe siku inamasaa 24 acha kupotosha wewe nenda kasome acha ujinga, hafu ujinga mwingine katika majina yasiku hakuna jina arafa siku hujulikana kwa kuanzia yaumu ahadi mpaka yaumu jumaa sasa kama siku hiyo yakufnga haihusiani na kisamamo cha arafa haya toa jawabu kwanini siku hiyo mtume aliita ya Arafa? wakati katika majina ya siku hakuna yaumu arafa
    Kha jamani mtoto juha sana wewe unakujasema upuuzi wa hoja za kitotokitoto kutakana mashek

  • @muddykombo1827
    @muddykombo1827 6 місяців тому

    Hayo yote yameshatabiriwa na kiongozi wa Umma msomi wa wasomi Mtume s.a.w hvyo hkuna alie mbora kwa M/mungu ila yule mcha Mungu wajbu ni kukumbushan n sio kutukanana hakuna mkamilifu ukiona mwenzako kaghafilika basi mkumbushe na usimkashif na kujiona ww ni bora.

  • @AsyaKhalifa-i2p
    @AsyaKhalifa-i2p 6 місяців тому +1

    Haliwi jua kuupita mwezi,vitu hivi vinaogelea sehemu zake,hakuna mwezi miwili,we kijana wajizoga,masaa ndiyo tafauti hayabadili mwezi,siku ni moja tu Rudi ukajifunze bado Sana Kwanza hujielewi

  • @MussaKhamis-hg9my
    @MussaKhamis-hg9my 6 місяців тому +2

    Upepo unataka umaarufu kupitia mselem

  • @NurdinAhmad-w3v
    @NurdinAhmad-w3v Місяць тому

    Huyu shekh upepo upepo kweli hanaakili

  • @Mushkey-r8x
    @Mushkey-r8x 6 місяців тому

    Sheikh taratibu ktk kukosoa kwako jaribu kuwa na HEKMA,BUSARA,NIDHAMU lkn tukiweka ushekh pembeni uyo ni km mzee wko UWE NA HEESHMA elimu aliyokujaalia Mungu isikupe kibri cha namna hyo km kutaka kumuelimisha zko njia na misingi kiiman na sio hyo ulio itumia ww.

  • @abdallahmndeme3392
    @abdallahmndeme3392 6 місяців тому

    Mashekh mm naomba ufafanuzi, kwann funga hii imeitwa funga ya arafa na sio funga ya mwezi 9 dhulhija? Na kama tunakataa maendeleo ya sayansi na teknolojia kwann tumeacha vipando vya wanyama tunatumia magari na ndege? Kwann hija tunafuata mwezi wa saudia lkn kwenye funga ya arafa tunaona ni haramu?

  • @SaidHarunaIseluka
    @SaidHarunaIseluka 6 місяців тому +2

    Dah mnatuchanganya Sana kumbe naweza kujitafutia siku yangu pekee ya arafa.

    • @albahsans
      @albahsans 6 місяців тому

      😆😆😆😭

    • @kisomekiguwa3706
      @kisomekiguwa3706 6 місяців тому

      Hii kali jamaa yangu 😂😂😂😂😂

  • @AbdallahJumah-f1e
    @AbdallahJumah-f1e 6 місяців тому +1

    Shekhee soma elimu ya mwezi ndiyo uje kwenye media

  • @ramabelove9218
    @ramabelove9218 6 місяців тому

    Mpumbavu saan huyu kijan hana uwez mjinga huu wakumkosoa sheikh mselemi kijana hana adab kbs Allah amuongoz huyu kijan awez kumuelew shekh mselemi

  • @KhamisOthman-vg4vy
    @KhamisOthman-vg4vy 6 місяців тому +1

    Upepo wew bado mdogo kasome huna uwezo wa kutoa fatwa

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 6 місяців тому +3

    Huyu Shekh Mselem ilikuwa nafkiri msomi kumbe ni mbumbumbu nae

    • @ahmedabry293
      @ahmedabry293 6 місяців тому

      Duh wewe unamuita sh msellem mbumbumbu kwa sababu ya jambo lenye ikhtilaaf.. Ila kwa kuwa huna adabu kwa mashekhe basi mungu ndio atakuhukumu

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 6 місяців тому

      Umekosea ndugu yangu

    • @ahmedabry293
      @ahmedabry293 6 місяців тому

      @@MgazaMhina wapi

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 6 місяців тому

      @@ahmedabry293 sio wewe nimemuambia amekosea huyo Shekhe Mselem ni mbumbumbu

    • @abeidpazia1720
      @abeidpazia1720 6 місяців тому

      Ww ndio mbumbumbu..na hako kashehe ubwabwa Kako.

  • @muhammadiabassi656
    @muhammadiabassi656 6 місяців тому

    Allah akuongoze kijana naona una kibri bado ni جهل

  • @azizimaketa2060
    @azizimaketa2060 6 місяців тому

    Huna unalolijua shekh Upepo

  • @nassorjuma2627
    @nassorjuma2627 3 місяці тому

    Muislamu kumkosowa akiwa pekeake itakua unamrekebisha bali kumkosowa muislamu hadharani kama hivi ni kumdhalilisha. Ila Allah ndie hakimu baina yenu siku ya kiama

  • @Dr-ubaida965
    @Dr-ubaida965 6 місяців тому +1

    Mashaallah

  • @abdillahirj8237
    @abdillahirj8237 6 місяців тому

    shekh ubishi haufai dini mnaifanya iwe ngumu

  • @YussufWakala
    @YussufWakala 6 місяців тому +8

    Shekh msellem tumemuelew Allah ammbarik

  • @AliyMwalim
    @AliyMwalim 2 місяці тому

    Ww fanya wema upendavo usijitiè kwenye màkosa makubwa kam ayo kama unaona yuakosea mfate mwenyewe sis hatutaki pumbazwa tena mwezi ukiizihir ulimwenguni bas watakao kuwepo wote wafuate maaàmrisho ya Allah 2 yà kufungà na asiyefungayupo makosani

  • @ramadhanimdillah67
    @ramadhanimdillah67 6 місяців тому

    Usifananishe marekani na huku kwetu halafu kumbuka hii techonologia unayoitumia mpaka tunakuona na kukusikia haikuwepo enzi hizo lakn unaikubali likija swala la dini mnaipinga kwani misiki ya kitechnologia mnakubali kuanzia ujenzi, nakshi, mazulia, vipaza sauti nk ila techonologia ya mwezi hamuitaki mtihani mkubwa

  • @muhammadal-bimani8120
    @muhammadal-bimani8120 6 місяців тому +2

    Huyo sheikh Msellem sasa nimfahamu kuwa Uwahabi kauweka mbele kushinda dalili isiyo na shaka.
    Hawa sheikh Haji hawatoacha kubabaisha watu.
    Mimi naamini huyu Sheikh Msellem anajuwa ukweli uko wapi lakini Uwahabi wameeka mbele!

    • @suleali4915
      @suleali4915 6 місяців тому

      Duh hatimaye dini inapotea