PASTOR EZEKIEL SIJAWAHI KUOLEWA NIMEZAA NA WAUME ZA WATU NA HAKUNA MWENYE NDOA WANAHANGAIKA
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
UA-cam : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...
Mutumixi wa mungu naomba umuombee mama watoto apate safari ya kusafiri imekuama apate boss muxuri
Eeeeeeeh Mungu nisemeha dhambi zangu na makosa unipe ndoa yangu irudi kwa heshima kwa jina la Yesu 😭😭😭😭😭😭😭
Ameeeeen
I connect my self in your alter ev.ezekiel
Asante Yesu kwa kuzidi kutuponya
Pastor Ezekiel wewe umetumwa na Mungu
Mm pia nifunguliwe
Mtumishi nifungue Na Mimi
Mama mungu akubariki mama
😢😢😢 jamani kama dada yangu anazaa Tu bila.mume
Mungu.wako.amponye.mkwe.wangu
Amen amen
Kama muikari nimke wa kijana wangu arundi na mungu anipe kibali Cha ndoa na biashala initafute mathabahu initetee pesa initafute
Amena
Mungu anipe kibali nipate pesa ya kumaliza kujenga nyumba yangu pesa isiwe shinda kwangu mathabahu initetee
Mtumishi mwombee.mer
Sina nyota ya doa napokea doa kwa jina la yesu,niko na watoto wawili na kila mtoto na babake ,naitaji doa kwa jina la yesu
Naomba.melkaido.apone.kifua.mary
Mtumishi mwombee mkwe.wangu.apone.kifua
Mimi pia pastor Ezekiel nifungulie nipate maisha mazuri naiwe hivyo kwa imani .
pastor uniombee mtoto ni mgonjwa na babu na mimi pastor
jamani huyu mama namfaham kapambana na watoto wake jamani we acha tu
Mtumishi mwomb
Mtumishi muokoe mama angu anaitwa pudensiana
Mtumishi mwombee.mkwe kifua kikavu.melkaido.apone singida
Huyu mamaakifunguliwa mm nifunguliwe
😢😢😢 Mungu ni mwema!
Mwombeemkw
Mutumishi niombe ndoa yangu irudi
Toa sacrifices Kwa ajir ya ndoa yako