God has untied you from that captivity sister, you are ordained to more grace in Jesus name.God is a God of fame not shame.Hw Rahab in the Bible was changed of her story,we are not exceptional sister,we are not short of his glory.I love you my sister & God loves you that much.This salvation is fullness of joy, mercies & love.May you receive in abundance in Jesus name
My sister and l tulikuwa walevi ,jaba,smoking but kupitia mungu wa newlife tuko free from all...after kuacha ulevi all my friends waliniacha nimebaki na wewe yesu 😢😢😢 nishike mkono yesu...
Amen Amen Powerful Anointed worship song asante our spiritual father kupitia kwa nyimbo na mafundisho yako maisha yangu imechange Sana thanku hio kisima cha injiri Mungu ameweka ndani yako injae zaidi na zaidi watu wa Mungu wazidi kukombolewa,kupona,na kufunguria kupitia kwako
Mungu ni mkubwa,I will never forget that experience. Until todate I can't explain how I reached there,tunangoja sasa Kitengela episode 2 😊.Tutazidi kutafuta uso wa bwana. May God bless our spiritual father.
Natamani kuomba, roho wa bwana Yesu unijaze, forgive me all my sins, restore my marriage and purpose of me living not my will Lord but let your will be done in my life, marriage, finances, peace, Joy and protection in Jesus Christ name Amen Amen Amen
Single mother's out their are struggling to rise there children including me dear lord through this songs please may you remember us , to those who need husband may you give them peaceful marriages in Jesus name 🙏🙏🙏
Through this altar my marriage was healed after being separated for 5yrs, now marriage is sweet to us n am expecting another child hoping to be twins.Mipango ya kando yote waliachwa kama radi *thanks new life GOD 🙏 madhabao yangu milele.
Mungu nikisikiliza hizi nyimbo tano,naomba nyota irudi kutoka kwa hii madhabau..magonjwa yaishe,talaka yaishe na niolewa ndoa ya heshima🙏 maana naamini itatendeka AMEN🙏
Mungu wa madhabahu yangu ya newlife najua kupitia hii madhabahu nitapata kazi Dubai mungu wa my spiritual father pastor Ezekiel nitanguliee Kwa kila step yenye nitaanzia ndio nitate nyota ya cross border annoting kupitia maombi yako ninaimani nitafaulu through this five songs nanjua nitafaulu
Daddy nashukuru kwa nehema niliyopewa na hii Alter ya New life. Sikuwa nikijua kuhusu nyota.Lakini nyota ilin'gaa maana vitu ilichange ikawa vizuri through my Boss Margaret wa Poland.Naomba hii nehema izidi in 3 yrs niwe tajiri niwajengee wazazi na mimi mwenyewe.Amen
Kupitia kwa hizi nyimbo naitaji unisamehe Dhabi zangu na uniondowe kwa kitabu cha mauti na unitie kwa kitabu cha uzima na milele,,tazama maisha yangu sina kazi ,,magonjwa tele roho ya umaskini imeandama boma letu naomba tu ukombozi kutoka kwako mchungaji wa mungu 😭😭
Mungu si dhalimu ameshasikia maombi yako. Uwe na imani na kugeuka. Yesu damu yake ina nguvu wala hana upendeleo. .moyo kama huu wa kupondeka ndio Yesu anataka. Ubarikiwe sana
Wash hizi nyimbo they blessed me crusade kitengela .....nimekua nikizitafuta kwa mtandao ...waoh ...Lord jesus may this songs minister to me nd bring healing in my life family ..healing financially nd healing in my music ministry Amen Mark Kelvin
Roho wa Bwana Nijaze nitie nguvu nipe neema yakuomba bila kukoma .. kupitia maabudu haya naomba unijazie neema yako Bwana YESU niondolee Kila uchovu udhaifu maumivu mauti magonjwa ndani yangu nijalie nafasi nyingine tena baba wambinguni Mungu nikujue zaidi nikae nawewe nishii nawe nitembelee nawewe milele Amen 🙏
Nishike mkono bwana. Mimi ni wako baba. Tembea nani maisha yangu yote. Nataka kukaa karibu nawe. Nisipotoke. Nifanikiwe, niwe na afya nzuri. Ponya mume na watoto wangu. Kwangu sisi zote tuwe wako. Madhabahu ya new life itushindanie vita na vyote. Salvation belongs to you.save us
John 4:23-24. He said, the hour cometh and now is, when the true worshippers shall worship the Father in spirit and in truth, for the Father seeketh such to worship Him. How sweet it is to worship God in spirit and in truth. In love with this worship ❤ be blessed my spiritual daddy
Kupitia nyimbo zako Bwana Yesu naomba unikumbuke unisikie katika kila kitu Bwana. WANIJIUA Bwana Yesu....single mothers and unemployed plus kukosa kibali kwa watu na kuhitaji Bwana wewe ndo faraja na kimbilio langu ni pokee😭😭😭😭😭 mwaka huu kabla haujaisha ikikupendeza wewe Bwana ufanye badiriko kabisa Yesu
This Worship songs has changed many lifes.Like me I'm orphan after I listen I came to know God is More than Able and God will never forsake us when we turn to Jesus.It real heal my soul I don't see myself as orphan because of Jesus through this songs.God bless you abundantly Daddy na Mummy.
Ameeeeeeeeeeeeeen this album normally help's me when i know i am away from God 🙏 it brings me back to God thank you evangelist Ezekiel God bless you and your family in Jesus name amen 🙏🙏🙏🙏😢😢😢😢😢
Wangapi wanataka mix ya hizi worship songs za our spritual Dad aky itakuwa vizuri imjn ndio kanashika kidogo zimeisha😢 plz do something tupate mix yenye itaimba kama masaa matatu tutashkru saana❤❤🙏🙏🙏
Am listening to this songs when my heart is heavy after loosing my mom suddenly two months ago in Aga Khan ICU I pray anybody going through this pain may God comfort you🙏🙏🙏
Eeeh mungu unisaidie hata nkienda shule mwalimu asiniitishe mzazi na unipe roho ya masomo kesho tukienda kufanya mtihani unosaidie nkakue na grade B+ 😢😢in JESUS name Amen🙏🙏🙏
Pastor Ezekiel made me know and love God,na nimemshikilia sina machungu nilikua nayoo!!..my life has changed God is providing everything 😢na I wish pia watu walikua wamepotea kama Mimi wajue utamu wa kumjua yesuu!!
@sammengo 19 Tangu nipate kukujua wewe pst.ezekiel maisha tangu yamebadhilika kiroho. Naomba uniombee NDUGU tangu Charles afunguliwe , amelogua with thanks Ameeen Ameen
Amen, natamn kuomba , roho wa bwana nijaze tena 🙏🏼😭, maana bila maombi mimi c kitu , sikia maombi yg Jehovah, jibu maombi yg, maombi yg iwe manukato machoni pako Jehovah 🙏🏼
Hili mix hunibariki sana Asante sana past.Ezekiel Maombi yangu ni kuinuliwa, na kupanuliwa zaidi, kikazi,kibiashara, kindoa, na mapenzi ya Mungu ifanye kazi kwangu in Jesus name 🙌🙏🙌🙏
Nikufananishe na nini bwana hakuna .....nimekukimnia eeh bwana nisiaibike milele kwa Jina la Yesu Kristo. I'm blessed this worship song. Man of God pastor Ezekiel may God bless you bless you with long life health wealth and honor and glory you your wife and your children and your ministry in Jesus name. Ameeen
Ameeeen Ameeeen Ameeeen Hakika bila yeye kristo kunishika mkono siwezi kabisa😢😢😢😢 Asante Mungu aliye hai mbinguni unaefanya kazi madhabahu ya NEW LIFE Hakika nimekuona ukinitendea kwenye maisha yangu hakuna wakukufananisha🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Have been waiting for this ,,, natamani kuomba roho wa bwana nijaze🙏
Pastor ulifanya nikiachana na wanaume wa wenyewe mungu akupe maisha marefu sana, na Nina amini ipo siku nitapata ndoa yangu🙏🙏 God bless you so much 🙏🙏
Ask God the same
God has untied you from that captivity sister, you are ordained to more grace in Jesus name.God is a God of fame not shame.Hw Rahab in the Bible was changed of her story,we are not exceptional sister,we are not short of his glory.I love you my sister & God loves you that much.This salvation is fullness of joy, mercies & love.May you receive in abundance in Jesus name
Mungu akupe hitaji la moyo wako🙏
Utapata wako
Pokea ndoa katika jina lanyesu❤🎉
Pastor be blessed daddy umefanya makuu kwa nyumba yangu kutokana na mafunzo yako nyumba yangu imepona. Amen
Who Is Here 2025 Above Only Above Only Above Hallelujah
Hallelujah hallelujah 🙌
@@doreengakii7464 Amen 🙏
Still strong worship song
Above only Holly communion from date 4Feb.God nipe favour nipate fare
Amen amen
Mimi na nyumba yangu tunatamami kuomba,na kuomba zaidi Yesu wangu. Don't forget us Lord.
My sister and l tulikuwa walevi ,jaba,smoking but kupitia mungu wa newlife tuko free from all...after kuacha ulevi all my friends waliniacha nimebaki na wewe yesu 😢😢😢 nishike mkono yesu...
Usijali dada bora ubaki na mungu same thing happened to me
@@Brendanimoskabisa
I need such testimony of Alcohol to help me carry on ,may my.sons get delivered from this demon of.Alcohol😢
Amen 🙏 glory be to God
Better to be in the hands of Jesus than to be in the hands of Satan.God bless you sister and guide you with your sister#powerful testimony
Amen Amen Powerful Anointed worship song asante our spiritual father kupitia kwa nyimbo na mafundisho yako maisha yangu imechange Sana thanku hio kisima cha injiri Mungu ameweka ndani yako injae zaidi na zaidi watu wa Mungu wazidi kukombolewa,kupona,na kufunguria kupitia kwako
Ameeeeeen
AMEN
Amen
Hallelujah Hallelujah Ameeen
Ameeeen 🙏🙏
Mungu atufungulie njia tufanikiwe kifedha, aibu zote za kila aina zituondokee kwa jina la Yesu Kristo Amen
AMEN
Amen Amen
Amen
Amen
Amen
Am on my tears, this songs have reminded me the night vigil at Kitengela crusade 😢. Am so blessed today.
Kwanza tukitembea kwa matobe.
Mungu ni mkubwa,I will never forget that experience. Until todate I can't explain how I reached there,tunangoja sasa Kitengela episode 2 😊.Tutazidi kutafuta uso wa bwana. May God bless our spiritual father.
Tupate kitale
Amen!
Wilderness annoting Kitengela Hadi Kitale 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nishike mukono bwana
Natamani kuomba, roho wa bwana Yesu unijaze, forgive me all my sins, restore my marriage and purpose of me living not my will Lord but let your will be done in my life, marriage, finances, peace, Joy and protection in Jesus Christ name Amen Amen Amen
Hallelujah hallelujah hallelujah Amen Amen Amen
natamani kuomba,nimepanda milima..roho wa bwana nijaze natamani kuomba 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 cleanse my sins Adonai ..make me reign in your kingdom.
My all time worship...hapa nakwambia hata kama ulikuwa umegive up lazima upate tena tumaini moyoni🙌🙌🙌🙌😥
Who else is here 2024 November 1st worship song natamani kuomba roho wa bwana ni jaza 🙌🙌🙌🙌🙌 weka like tusonga na Yesu
Single mother's out their are struggling to rise there children including me dear lord through this songs please may you remember us , to those who need husband may you give them peaceful marriages in Jesus name 🙏🙏🙏
Through this song lord help me heal my dad who is hailing from liver cancer ,heal me financially
Amen
Ameeeeen
Amen
Amen
2024 the year of blessing sitaki kusumbuliwa na mtu yeyote natamani kuomba mimi
😂😂😂😂😂😂😂
@@denniswaiswa kipi kinakufurahisha ata mimi nifurahi
Who else is here in 2024 ...glory to God
Nikufananishe na nini Bwanaa nakumbe ww haufananishwii😭😭🙏🙏🙏
Through this altar my marriage was healed after being separated for 5yrs, now marriage is sweet to us n am expecting another child hoping to be twins.Mipango ya kando yote waliachwa kama radi *thanks new life GOD 🙏 madhabao yangu milele.
Amen, trusting God mine too
May it be my potion
Waiting mine to be back home completely anafika kwa gate aingii kwa nyumba. Waiting for my testimony too
Hakika God restores,am a living testimony.Our God liveth
I hope Dad you always bless me
Eeeh baba asante kwa shuda ambazo umenipa kupitia haya madhibau 😢😢😢nina machozi ya furaha asante kumtumia my spiritual father pastor Ezekiel
Mungu nikisikiliza hizi nyimbo tano,naomba nyota irudi kutoka kwa hii madhabau..magonjwa yaishe,talaka yaishe na niolewa ndoa ya heshima🙏 maana naamini itatendeka AMEN🙏
People of God let's gather here and tap in this annoiting in Jesus Christ name 🇨🇩
Wimbo huu hunipa nguvu ya kuomba God bless you paster Ezikiel endelea hivyo nyimbo zako hunitia nguvu ninaposhidwa
After kitengela i searched a million times na sikupata hizi nyimbo.. finally its out
I did the same until one day I asked where to get the songs I heard at Kitengela crusade when pastor was live on Utube.
even me I searched it every where finally it's here wow ❤ what a powerful worship full of God's spirit ❤❤❤❤ I can't stop listening 🎧
The songs are so aspiring and powerful.Natamani kuomba nimepanda milima roho wa Bwana nijaze natamani kuomba
Powerful worship...pastor wewe ndio ulifanya ni karudi mungu tena nmebarikiwa kwa maishana yangu sana may God bless you...likes za pastor wetu ckam❤
Amen amen amen 👏🏼
Thank you God to give us your son we give you praise and Glory and hour
amen
Glory to God
0@@MercyHadija-qh1tp
May the lord wash all my sin and grant me a job in Jesus name.. This song has touched my heart
Asante yesu Kwa Neema na utukufu kwako kupitia Kwa hizi nyimbo tunaoshwa kiroho amen.
THERE IS POWER OF JESUS ❤ I LISTEN HAKIKA HUJAZWA NGUVU BARIKIWA MCHUNGAJI
Thank you so much Pastor Ezekiel,you really give me strength when my body is getting tired. Welcome in Germany.
Pastor Ezekiel Mungu akuongezee miaka uzidi kutumikia wana wake. Ulinifanya nikaoka na maisha yangu yamebadilika sana.Haimidiwe Yesu milele❤
These worships reminds of Bahfra crusade, that morning worship before mama Sarah takes stage🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏
Mungu wa madhabahu yangu ya newlife najua kupitia hii madhabahu nitapata kazi Dubai mungu wa my spiritual father pastor Ezekiel nitanguliee Kwa kila step yenye nitaanzia ndio nitate nyota ya cross border annoting kupitia maombi yako ninaimani nitafaulu through this five songs nanjua nitafaulu
WOW THANK YOU GOD I WAS WAITING FOR THIS SONG . NATAMANI KUOMBA, TANZANIA 🇹🇿. ASANTE YESU ,SANTE BABA YANGU WA KIROHO EZEKIEL ASANTE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
YESU NISAIDIE KUOMBA! NITIE NGUVU KATIKA KUOMBA 🙏🙏🙏
Daddy nashukuru kwa nehema niliyopewa na hii Alter ya New life. Sikuwa nikijua kuhusu nyota.Lakini nyota ilin'gaa maana vitu ilichange ikawa vizuri through my Boss Margaret wa Poland.Naomba hii nehema izidi in 3 yrs niwe tajiri niwajengee wazazi na mimi mwenyewe.Amen
May God continue to use his man to heal those who are sick in Jesu's name amen
Naomba uponyaji kufunguliwa na kuondolewa roho ya kuonewa pamoja na familiar yangu
Amazing song
Kupitia kwa hizi nyimbo naitaji unisamehe Dhabi zangu na uniondowe kwa kitabu cha mauti na unitie kwa kitabu cha uzima na milele,,tazama maisha yangu sina kazi ,,magonjwa tele roho ya umaskini imeandama boma letu naomba tu ukombozi kutoka kwako mchungaji wa mungu 😭😭
It shall be well
Mungu si dhalimu ameshasikia maombi yako. Uwe na imani na kugeuka. Yesu damu yake ina nguvu wala hana upendeleo. .moyo kama huu wa kupondeka ndio Yesu anataka. Ubarikiwe sana
Amen
Wash hizi nyimbo they blessed me crusade kitengela .....nimekua nikizitafuta kwa mtandao ...waoh ...Lord jesus may this songs minister to me nd bring healing in my life family ..healing financially nd healing in my music ministry Amen Mark Kelvin
Milele oo mungu niponye mateso ya miaka mingi na mateso ya watoto wangu Mungu niondoleee mauti katika maisha yangu na ndigu zangu wote
Roho wa Bwana Nijaze nitie nguvu nipe neema yakuomba bila kukoma .. kupitia maabudu haya naomba unijazie neema yako Bwana YESU niondolee Kila uchovu udhaifu maumivu mauti magonjwa ndani yangu nijalie nafasi nyingine tena baba wambinguni Mungu nikujue zaidi nikae nawewe nishii nawe nitembelee nawewe milele Amen 🙏
Ooooh powerful worship songs i never knew i cld be this spiritually attached to GOD 😢😢😢
Nyimbo zako pastor Ezekiel Huwa zinanibariki,huskia ni kama naimbiwa na malaika thanks for beautiful worship songs 👏👏👏🙌🙌🙌
Kupitia kwa hizi nyimbo nimebarikiwa sana na pia imebadilisha maisha yangu,may God bless u our spiritual father pastor Ezekiel
Mungu na aendelee Baba wetu wa kiroho,twashukuru kwa nyumbo nzuri asante sana .
Nishike mkono bwana. Mimi ni wako baba. Tembea nani maisha yangu yote. Nataka kukaa karibu nawe. Nisipotoke. Nifanikiwe, niwe na afya nzuri. Ponya mume na watoto wangu. Kwangu sisi zote tuwe wako. Madhabahu ya new life itushindanie vita na vyote. Salvation belongs to you.save us
Ee yesu natamani,niwe rafiki yako, natamani nikujue zaisi umenitendea mengi na Nina Imani utatenda zaidi.Thumbs up pastor Ezekiel
Mungu nimekukimbilia😢nifanye chombo chako
John 4:23-24. He said, the hour cometh and now is, when the true worshippers shall worship the Father in spirit and in truth, for the Father seeketh such to worship Him. How sweet it is to worship God in spirit and in truth. In love with this worship ❤ be blessed my spiritual daddy
Kupitia nyimbo zako Bwana Yesu naomba unikumbuke unisikie katika kila kitu Bwana. WANIJIUA Bwana Yesu....single mothers and unemployed plus kukosa kibali kwa watu na kuhitaji Bwana wewe ndo faraja na kimbilio langu ni pokee😭😭😭😭😭 mwaka huu kabla haujaisha ikikupendeza wewe Bwana ufanye badiriko kabisa Yesu
God let your spirit speak to me through this songs🎵 🎶 🎵 🎶
Baada ya hizi nyimbo tano kuisha mume wangu mgute rajab na mtoto wetu yusrah watakua wamefunguliwa kwa imani yangu in Jesus's name amen
In Jesus Mighty Name.
BACK HERE AGAIN 🎉 11TH NOVEMBER 2024 ..... HIZI NYUMBO ZINAO UHAI ..... NATAMANI KUOMBA ROHO WA BWANA NI JAZE MAY IF BE SO I FEEL GODS PRESENCE 🎉 🎉🎉
Mungu jibu maombi yangu huko mwaka 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
This Worship songs has changed many lifes.Like me I'm orphan after I listen I came to know God is More than Able and God will never forsake us when we turn to Jesus.It real heal my soul I don't see myself as orphan because of Jesus through this songs.God bless you abundantly Daddy na Mummy.
❤
Very true
Nmekukimbilia Bwana, wasingoje kuuliza mungu wangu ako wapi, usinihaibishe mungu🙏
Amen Amen God bless my family through this song in Jesus name 🙏
I miss listening this wonderful and blessed worshiping song day and night they really bless me making me pray keep it ma
n of God and be blessed
Amen I believe in God ,one day nitatoa ushuhuda wangu vile Mungu atakuwa amenitendea..God bless you pastor Ezekiel 🙏🙏
Mungu jibu maombi yangu huu mwaka🙏🙏🙌🤲🤲
I love Eziel, you are such a blessing father
Nakupenda sana mungu wangu.nashukuru na hiyo kidogo umenipea kwamba wewe ni mwamuzi wa maisha yangu.nilikupea maisha yangu tawala baba.
Roho wa Bwana nijaze.
Natamani kuomba baba ukaezi kulinda kazi yote ya mikono yangu na damu ya yesu kristu na ukaeze kulinda familia yangu na damu ya yesu kristu
nikufananishe.na.nini bwana.wangu nasematu as ante umenitoa mbali asante kwa.mtumishi wako🎉
Ameeeeeeeeeeeeeen this album normally help's me when i know i am away from God 🙏 it brings me back to God thank you evangelist Ezekiel God bless you and your family in Jesus name amen 🙏🙏🙏🙏😢😢😢😢😢
Wangapi wanataka mix ya hizi worship songs za our spritual Dad aky itakuwa vizuri imjn ndio kanashika kidogo zimeisha😢 plz do something tupate mix yenye itaimba kama masaa matatu tutashkru saana❤❤🙏🙏🙏
Kama pia ingelikuwa audio ingelikuwa poa hii inashusha roho wakati wa maombi🙏
May God add other worship and powerful songs like this
How can I 👇 download
Nabarikiwa Sana na hii albam mungu aponye Familia yangu from tz
Plsni need these worship songs. Where to get them
Natamani kuomba roho wa Mungu nijaze. Huu wimbo umenibariki sana😢😢
Am listening to this songs when my heart is heavy after loosing my mom suddenly two months ago in Aga Khan ICU I pray anybody going through this pain may God comfort you🙏🙏🙏
Uplifting worship this morning.
2025 my year full of breakthroughs and answered prayers
This worship songs always makes me strong and believe in God icant sleep without them they are so powerful
Eeeh mungu unisaidie hata nkienda shule mwalimu asiniitishe mzazi na unipe roho ya masomo kesho tukienda kufanya mtihani unosaidie nkakue na grade B+ 😢😢in JESUS name Amen🙏🙏🙏
Ooh Kenya umetubariki kupitia mtumishi wako pastor Ezekiel na nyimbo zake
Wengi hawajui
Pastor 2024 praise and worship was wow...we are looking forward for 2025 auditions be blessed.
Pastor Ezekiel made me know and love God,na nimemshikilia sina machungu nilikua nayoo!!..my life has changed God is providing everything 😢na I wish pia watu walikua wamepotea kama Mimi wajue utamu wa kumjua yesuu!!
Ndio mimi apa,cant explain the freedom that comes when you know and and a connection with God.
Natamani kuomba♥️🙌🙏
@sammengo 19 Tangu nipate kukujua wewe pst.ezekiel maisha tangu yamebadhilika kiroho. Naomba uniombee NDUGU tangu Charles afunguliwe , amelogua with thanks Ameeen Ameen
Kupitia huu wimbo mungu sikia kilio changu nimechoka😭😭😭💔
Baba nakuwomba ojaze mutoto wangu gift natamani kuyomba, Uganda natamani branch ya Newlife lord rise us baaba.
Amen, natamn kuomba , roho wa bwana nijaze tena 🙏🏼😭, maana bila maombi mimi c kitu , sikia maombi yg Jehovah, jibu maombi yg, maombi yg iwe manukato machoni pako Jehovah 🙏🏼
Glory to God 🙌🙌🙌
Oh my God finally the worship is here ... Divinely composed songs born in prayer room sang in spirit..long live my spiritual father 🙏
Ameeen
Amen
Amen ❤🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Amen 0:00 🎉
Hili mix hunibariki sana Asante sana past.Ezekiel
Maombi yangu ni kuinuliwa, na kupanuliwa zaidi, kikazi,kibiashara, kindoa, na mapenzi ya Mungu ifanye kazi kwangu in Jesus name 🙌🙏🙌🙏
NIKULINGANISHE NA NINI BWANA NA KUMBE WEWE AUFANANISHWI 😢😢😢🙌
Amen..natamani tu kuomba..Yesu wangu jibu tamanio la moyo wangu..katika jina la Yesu.kupitia wimbo huu.natamani kuomba zaidi...Amen.
Bwana yesu kupitia hii worship fungulisha vipawa vyangu na unipe neema ya kipekee nahitaji kukujua zaidi kusoma na kufahamu neno lako
I love this song ❤🎉
Natamani kuomba roho wa bwana nijaze .
. This is blessed lord l desire to pray
Mungu akumbaliki mutumizi wamungu akupatie gufu namba uniombe mm nyumba yagu,muguatu fugurie mulango wakimaisa imefungwa pasta,upalikiwe🙏🙏🙏🙏🙏emen
Halleluyah! I love Pastor Ezekiels worship! It blessed my soul so much❤❤
Namshukulu mungu kwaajili ya nyimbi hiz zimenibariki moyo wangu sana mungu akutumie daima pastor Ezekiel, thanks very murch from TANZANIA
I was daily drunkard officer,but through newlife altar Iam born again,thank you lord
Amen
May God remember my brother too🙏🏾❤️
good GOD
M
Mda mwingi nakosa maneno ya kutamka wakati niombapo,,,naomba Yesu unijaze na roho wako 😭😭😭😭,,natamani kuomba Yesu🙏
Niliacha ulevi na smoking kupitia huyu mungu wa newlife😊😊 natamani kuomba
Tuko wengi aki aliponya maisha yetu
Faith zidisana kiroho jinsi anavyo funza,shetani asikutempt
@@NgonyoMutuaamen
@@samsonodiwuor5574amen
AMEN AMEN AMEN...GLORY BE TO THE ALMIGHTY GOD.
Amen Amen Amen powerful song🎵
Nikufananishe na nini bwana hakuna .....nimekukimnia eeh bwana nisiaibike milele kwa Jina la Yesu Kristo. I'm blessed this worship song. Man of God pastor Ezekiel may God bless you bless you with long life health wealth and honor and glory you your wife and your children and your ministry in Jesus name. Ameeen
song za Ezekiel huwa zina bless Sana...ata nikiwa n situation naonaga kama imeisha immediately...may God heal our problems kupitia ii wimbo
AMEN AMEN AMEN AM BLESSED BY THE WORSHIP THANK YOU JESUS
🙌🙌🙌🙌 Powerful ooh Lord fulfill the desire of my heart
Ameeeen Ameeeen Ameeeen Hakika bila yeye kristo kunishika mkono siwezi kabisa😢😢😢😢 Asante Mungu aliye hai mbinguni unaefanya kazi madhabahu ya NEW LIFE Hakika nimekuona ukinitendea kwenye maisha yangu hakuna wakukufananisha🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Change my habits Oh Lord that may be blocking my blessings in Jesus Name 🙏