ALIYEKOPA BENKI AFILISIWA, IST ZAIDI YA 50 KUPIGWA MNADA DSM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 133

  • @dorismamf7404
    @dorismamf7404 5 років тому +26

    Ndiomana Mimi mambo yamkopo siyataki bora ninyweuji wachuvi nachukuchuku

    • @antoinea.katembo5326
      @antoinea.katembo5326 5 років тому +3

      Doris Mamf ahahahahahah financial management ndo shida ndugu yangu! Mimi naishi marekani na maisha yetu kwa asilimia kubwa ni kukopa ndo maisha!

    • @sautiyahamasaonlinetv6139
      @sautiyahamasaonlinetv6139 5 років тому +3

      acha uoga

  • @boniphacerobert9533
    @boniphacerobert9533 5 років тому +20

    Wote mnaombeza mkopaji na kumuona mjinga nyie ndo mataila,kwann niseme hvo mkopaji alichukua mkopo wapesa kwa nia njema ya kukuza biashara yake na alifanya hivo ila kwa bahati mbaya soko likawa baya Leo mnamuona mjinga.Jamaa sio mjinga mjinga ni ww na akili zako za kimama

    • @magrethjohn8576
      @magrethjohn8576 5 років тому

      Boniphace Robert,hivi ukisema akili zako km mmama unamaanisha nini? Mpendwa.

    • @tedymwandara5480
      @tedymwandara5480 5 років тому

      Kwa kifupi kukopa c kitu kibaya cha msingi ni kurudisha mkopo wa watu kwa taratibu zilowekwa, nawewe unaesema akili za kimama kwa taarifa yako Sisi wamama tuko vizuri kwenye kukopa na kurudisha bila shida yoyote, sisi ni waaminifu nenda kwenye mabenki waulize walipaji wazuri wa madeni yao.

    • @fitinankalango850
      @fitinankalango850 5 років тому

      Kweli kaka uko sahihi

  • @jeromendetaulwa3466
    @jeromendetaulwa3466 5 років тому +5

    Hawa madalali wana roho mbaya maneno ya kashfa ya nini we mama fanya mnada acha kejeli eti kukopa harusi kulipa matanga!!

  • @eliazarinyakiema1969
    @eliazarinyakiema1969 5 років тому +11

    Wapi Dr Shika

  • @shammahlupon7945
    @shammahlupon7945 5 років тому +9

    mama kazi yako ni kuuza sio vijembe,

  • @zakstv7368
    @zakstv7368 5 років тому +12

    nikimuona tu huyu mama najua kuna mtu analia😁

  • @idrisaallysalum9447
    @idrisaallysalum9447 5 років тому +14

    Huyu hayupo sawa, yeye kazi yake ni kuuza na sio KUKASHIFU WATU eti "kukopa harusi kulipa matanga"!

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 5 років тому +3

      Haka ka mama kana maneno ya Ajabu ambayo hata mengine hayahusiani na Kazi yake.Katumwa kupiga mnada apige apige aende zakee..

    • @saidimhina4632
      @saidimhina4632 5 років тому +1

      Acha ushamba uzaa usiwakatishe watu tamaa

    • @davidmajiwa9283
      @davidmajiwa9283 4 роки тому

      Hahaaa

  • @teamfocusfunny966
    @teamfocusfunny966 5 років тому +5

    Yaani mwenye gari akisikia #Akisikia njoo utajirike Huku inakera kichizi😂😂😂

  • @goodluckmasige5276
    @goodluckmasige5276 5 років тому +10

    Huyu mama nikimuonaga tu naogopa kukopa

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 років тому +3

    Naona uyo mama kama kafurahi wakati yy kazi yake ni kupiga mnada mbona anamkashifu mwenzake

  • @kassimulugajo6512
    @kassimulugajo6512 5 років тому +14

    ndio maana uislamu unakataza mikopo ya riba

  • @mohamedbinfadhil1396
    @mohamedbinfadhil1396 5 років тому +2

    We mama unafurahia watu kufilisiwa una siku yako na ww sijui kama hamdaiwi TRA nyie... Tutaanza kuwafatilia soon

  • @Nicholaskiwale
    @Nicholaskiwale 5 місяців тому

    Dada vp ist naweza kuipata kwa bei gani kesho nije kuchukuwa

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 3 місяці тому

    Wewe unauza magari na kudanganya eti kakopa benk

  • @NADUAonlineTV
    @NADUAonlineTV 3 роки тому

    SAWA

  • @abuuazhar3738
    @abuuazhar3738 5 років тому +7

    Mwaka huu lazima na Mimi nimiliki IST, eboooooo...nimechoka na mwendokasi

  • @sazafsuma7542
    @sazafsuma7542 5 років тому +4

    Mbn doctor shika umemshinda

  • @patrinussanga3081
    @patrinussanga3081 2 роки тому

    Nataka Nisan xtral namba zenu jamani

  • @kassimulugajo6512
    @kassimulugajo6512 5 років тому +1

    900 itapendeza 😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @wakililusubilo4706
    @wakililusubilo4706 5 років тому

    Aliyekwambia kununua gari nikutajirika ...kamuulize vizr

  • @williamkipondamali1936
    @williamkipondamali1936 5 років тому +2

    Kashfa sio nzuri Dada hata nyie mnaishi kwa udalali tu... Tumia lugha nzuri kwakuwa hata mimi nategemea nikope ndio nije ninunue......

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 5 років тому +1

    Kitambi mama umeshib hela 😂😂😂

  • @kudraayoub2170
    @kudraayoub2170 5 років тому

    Mungu aku ongeze

  • @allymohamed1410
    @allymohamed1410 5 років тому

    Dr shika njoo huku kuna mnada

  • @johnsonjusto9564
    @johnsonjusto9564 5 років тому

    kukopaga kusikie ila niwakopaji wachache wanaowezaga kurudisha mkopo ila pole naakaribie kwenye historia yakufilisiwa kma wngne

  • @Chayna255
    @Chayna255 5 років тому +4

    Namuona Class mate wangu WHSS Tumpe ngusa behind Umetisha sana dada mtumishi 🤗🤗🤗

  • @saidsongoro9097
    @saidsongoro9097 5 років тому +1

    Dada kata rasta. Kama unataka kuwa rasta achana na hiyo kazi unayofanya ya kuhuza vitu vya watu

  • @aishaabdallah4255
    @aishaabdallah4255 4 роки тому

    Yanakuwa kuanzia shingp?

  • @AmisiChilungu
    @AmisiChilungu Місяць тому

    Kukopa ni laana

  • @elibarikikivuyo5946
    @elibarikikivuyo5946 2 роки тому

    Imagine magari 50 alafu kashindwa kulipa mkopo?? Me apana this buness mind

  • @petermwanyondo6459
    @petermwanyondo6459 5 років тому +2

    Punguza maneno yakutukatisha tamaa dada

  • @abduljumaa1238
    @abduljumaa1238 5 років тому +1

    jaman nikiona hivi nakumbuka TALA😁😁😁wananitai

  • @lugo3952
    @lugo3952 5 років тому +3

    benk sio watu acha kabsa

  • @reyham1722
    @reyham1722 5 років тому

    Uwiiiiiiii Murano/alphard

  • @norfenvgeraldo9493
    @norfenvgeraldo9493 5 років тому

    Nikimuona uyu mama Kama namuona Dr shika vile. Lakini Nissan itapendeza.

  • @patrinussanga3081
    @patrinussanga3081 2 роки тому

    Naombeni namba zenu

  • @danforddaud5784
    @danforddaud5784 5 років тому

    Dr shika ajitokeze hapo

  • @queengee988
    @queengee988 5 років тому +1

    🤔🤔🤔sema ndo hiv bei hatujui😂😂😂😅😅😅😅😅

  • @SalumuAyubu-j3j
    @SalumuAyubu-j3j 8 місяців тому

    Mwaka Gani au zishauzwa tayali

  • @josephatlabia2375
    @josephatlabia2375 5 років тому +1

    du! kumbe ist ni za kimama-mama!

  • @majaliwamsigwa3974
    @majaliwamsigwa3974 4 роки тому

    Wanao faidika na hiyo mikopo ni wachache,hata za kwako huwa zina kweda

  • @testmyphone1305
    @testmyphone1305 5 років тому

    Kimataifa inamaana kama mtu anadai uko marekani akija kwenu mnaweza msaidia apate pesa zake

  • @getitdoneright1938
    @getitdoneright1938 4 роки тому

    Our president and his administration are working so hard to fight against corruption and some of you are working hard to reverse all the hard work done by current administration.

  • @pambelameck2233
    @pambelameck2233 5 років тому

    Ikitokea tena .mnada wa magali niambie

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 4 роки тому

    kwann wasifungue web site waka weka bidha tuka nunua online kama befoward

  • @eliasmarwa9189
    @eliasmarwa9189 5 років тому

    Nyie ni wezi sana na mnaonea sana wadaiwa sana

  • @sebastiansabe9618
    @sebastiansabe9618 5 років тому +3

    Shida IST zilikwisha alibiwa jina na mkuu wa mkoa huo kuwa ni gari za kuongwa.
    Kikubwa niwasihi tu wanaume mkawanunulie tu michepuko gari hizi.

    • @msafirlaizer2368
      @msafirlaizer2368 5 років тому

      Sebastian Sabe .. Daaah!! BigMan Pambana. Mimi n kijana wa miaka 25 ninamiliki IST na sijaongwa man nmehustle. We unapush nn??

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 5 років тому

    Ongea ulichotumwa sio unajipendekeza au siasa.

  • @slaviaoscar1641
    @slaviaoscar1641 5 років тому

    aliikopa ilikuasiri sasa mhuuu achaniwe masikini tu

  • @MtuSafi
    @MtuSafi 5 років тому

    Dr shika anakuja kaipata hyo

  • @mahrooqsuleiman7216
    @mahrooqsuleiman7216 5 років тому

    Mh watafilisiwa wote matajiri bora nibaki na umasikini wangu

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 5 років тому

    Mama kazi yako ya kupiga mnada huwezi fananisha na watu wanao risk pesa kwa kukopa kwenye mabenki ili wafanye biashara, acha kuwakashifu wakopaji benki zipo kuwezesha watu financially na utambue ulimwengu wa biashara una mambo mengi, wewe piga mnada upate commission yako waache watu wakope c wakati wote watapata hasara, km wewe ulivyomwamini mzee wa mia 900 ingependeza zaidi ukakwama ndivyo biashara zilivyo.

  • @jumamkwanda8031
    @jumamkwanda8031 5 років тому

    Ama kweli kukopa Harusi kulipa Matanga

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 5 років тому

    Wakinamama watajirike na yonoh au mnawashawishi wafanye utapeli waje kununua Hizo gari,Dr shika upo wapi,kuna mali Huku njoo wakupepee tena aisee

  • @mkambalukas9233
    @mkambalukas9233 5 років тому

    Dr shika kapata taari???

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 років тому +1

    mama upo makini na kazi yako😆😀😀😀😆😆

  • @zumamarande3242
    @zumamarande3242 5 років тому +1

    Mia 900 itapendeza

  • @namanga9786
    @namanga9786 3 роки тому

    Nataka garii za fiaat

  • @getitdoneright1938
    @getitdoneright1938 4 роки тому +1

    Fake auctions mart, the sales and deals are already made behind closed doors and now you are coming out to announce the date to close the deals. Corruption all over the place and now headed towards private sector. It’s so sad. Un fair trade.

  • @lasteckmmary9741
    @lasteckmmary9741 5 років тому

    We, mama mi binafsi tuu sikupendaagi, kwa hiyo kazi yako unayofanyaaga, ya kuwadhalilisha watu

  • @aristidestibaijuka3428
    @aristidestibaijuka3428 5 років тому

    Aje atajirike wakati mnawafirisi .Tusiwe na roho mbaya

  • @issaissa8572
    @issaissa8572 5 років тому

    Aisee hawa watu wa benki ni wapumbavu sana sasa maana yake ni nini jamaani mikopo ya benki zenye riba hakika hazinufaishi watu bali inawafilisi watu huko si kutajirika huko ni kujifilisi

  • @zainabuahmed5910
    @zainabuahmed5910 5 років тому

    Hiyu mama ametisha,anastahili kuwa mkurugenzi mtendaji wa kampuni

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 5 років тому +4

    Mkopo wa benki usikie tu

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 5 років тому

    900 itapendeza zaidi...

  • @BARAKAMzinga
    @BARAKAMzinga 5 місяців тому

    Du!

  • @salmaothuman4799
    @salmaothuman4799 5 років тому

    Hahahahaha ngoja nije

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 5 років тому

    Pole jmn

  • @koneboy5635
    @koneboy5635 3 роки тому

    Shingapi moja

  • @ladsonmshana9920
    @ladsonmshana9920 5 років тому

    Wewe mama unafura maana unauza tu hata mungu humuogopi

  • @simoncharles3633
    @simoncharles3633 5 років тому

    Anavyochekelea kama mazuri vile.

  • @noelmalewo2845
    @noelmalewo2845 5 років тому +2

    kidumu chama tawala

  • @Youth-for-Jesus
    @Youth-for-Jesus 5 років тому

    Nitakuwepo bila kukosa

  • @alfredymalata269
    @alfredymalata269 5 років тому

    Zilikuwa za uber izi duh!

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 5 років тому

    Majali yatazidi duu wengine minaa si mpaka watu wawe na mapeni au watanunulia na macho

  • @moringelangas7276
    @moringelangas7276 5 років тому

    Atanunua nani IST Wakati viongozi wanasema ni za kuhongwa?

  • @hilalimligo6408
    @hilalimligo6408 5 років тому

    Tupeni Namba za simu wengi tunaweza kuhitaji lakini tupo mikoani

  • @mechanicaldesignbrain
    @mechanicaldesignbrain 5 років тому

    ".....itapendeza"

  • @lululala266
    @lululala266 5 років тому

    Bado yapo? Au yameisha?

  • @hussenomary3520
    @hussenomary3520 5 років тому

    First

  • @augustinolyimo8709
    @augustinolyimo8709 5 років тому

    HIZI GARI SI NDIO ZILOKUA ZINAPIGA KAZI NA UBA DARESALAM/

  • @elanomushi209
    @elanomushi209 5 років тому

    kama m4 no d nzima. naitaj ase

  • @danielyusuph4070
    @danielyusuph4070 5 років тому

    Tunaomba mawasiliano yenu.

  • @saidymtenda9777
    @saidymtenda9777 5 років тому +2

    Iyo Ist milioni mbili napata jaman

  • @alexchungu9505
    @alexchungu9505 5 років тому

    Nitakuja kununua, si bahari beach?

  • @jahabdallah1829
    @jahabdallah1829 5 років тому +1

    Daaaaa makufuli oyeeeee kiboko yahani awo mafisadi wameacha mpaka magari wanayakimbia dada bei ngani na mimi niko mbari nataka niko hapa south Africa,,tn nomber ninayo nisharipasana ushuru hapo mbongo nitumie bei naitaji moja m south Africa jah

    • @kamboarheritage461
      @kamboarheritage461 5 років тому

      Unaacha kwenda kununua yako unataka aliyoshindwa mwenzio..
      Fisadi ameshindwa ameyakimbia nawe unataka kujifunzia ufisadi humo

    • @alicealen3495
      @alicealen3495 5 років тому

      Jah Abdallah unajidanganya rafiki, tafakari.
      jamaa katengeneza pesa zaidi ya gharama za hizo gari sasa arudishe pesa bank ili aanze upya? nibora bank ichukue magari yao then yeye atafute utaratibu wabiashara ya ndoto zake.
      watu wanaishi kwa akili rafiki

    • @alicealen3495
      @alicealen3495 5 років тому

      Jah Abdallah leo hautelewa ila ipo siku utaelewa.
      watu tunaishi kwa akili

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 5 років тому

    Lita 5 from dar to kigoma is it possible??

  • @mwanahamisahmada5151
    @mwanahamisahmada5151 5 років тому

    Akomeee

    • @alicealen3495
      @alicealen3495 5 років тому

      Mwanahamis Ahmada we dada unaonekana una wivu, naona hata mtaani kwako umenunia majirani wenye maendeleo hata kwenye ukoo wenu kuna watu hupatani nao sbb wana maendeleo pole sana hiyo ni devil spirit