MZEE ABUNI UMEME WAKE “HAUKATIKI, SIJASOMA, NILITENGENEZA HELIKOPTA WAZUNGU WAKACHUKUA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @wasmebahati1224
    @wasmebahati1224 3 роки тому +19

    Mafundi wote 🤝.Twende pamoja , 🇹🇿 AFRICA UNITED TO THE WORLD

  • @sadickrichard7849
    @sadickrichard7849 3 роки тому +86

    alomuona bwana injinia kafanana na senga gonga like

    • @hoseasteven6241
      @hoseasteven6241 3 роки тому

      hhhhhhhhhaaaaahhhha umetisha bro niyeye kabisaa

    • @efkavi77
      @efkavi77 3 роки тому +1

      ni ajabu sana kwamba katika video yote ndo umeona hilo bro

    • @zuhurazuh516
      @zuhurazuh516 3 роки тому +1

      Yaan mm kila Nikimuangalia Nasema mbn Huyu Mzee na Mfananisha na Msaniii daah Kumbe ndio Sengaaa Uwiiii Nimeelewa

    • @patrickrobison7091
      @patrickrobison7091 3 роки тому

      Huyu Jamaa kaka yake Senga nini?

    • @mtuisofa3259
      @mtuisofa3259 3 роки тому

      Sanaaaa

  • @tronadc7
    @tronadc7 3 роки тому +54

    Tanzania 🇹🇿 tunavipaji vingi tumpe support mzee wetu

    • @paskalmasake3342
      @paskalmasake3342 3 роки тому +1

      Mjitahidi kubuni kabla hamjazeeka muwe hazina

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 3 роки тому +26

    TRA msitumie task force kumnyanyasa mzee ,asikilizwe si kila kitu tuagize China mafundi wenye vipaji vya kuzaliwa navyo wapo Africa .Big up faza kwa kipaji chako.

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 3 роки тому +48

    Serikali yetu Tz tunaomba huyu baba kwa uwezo aliokua nao apewe nafasi ktk vyuo vya VETA ili hii elimu alio kua nayo akawafundishe wanafunzi kweli huyu baba ana madini hata km hakusoma elimu ya darasan lkn anauwezo wa hali ya juu tusiiache hii hazina ipotee bure tunaomba watoto wetu wakajifunze ufundi alionao kupitia yeyw huko veta na ukizingatia tuko katk kipindi cha serikali ya viwanda atatufaa sana.

    • @comicvisual8661
      @comicvisual8661 3 роки тому +1

      Uko sahihi Kabisa mkuu

    • @georgematahimba5242
      @georgematahimba5242 3 роки тому

      Tupe contact zako

    • @gracekapinga4356
      @gracekapinga4356 3 роки тому +2

      Naomba no ya Mr Msuya nahitaji anitenhenezee huo umeme

    • @chiefmjukuutm6666
      @chiefmjukuutm6666 2 роки тому

      Kabisa

    • @stephenking3602
      @stephenking3602 Рік тому

      Wee ndg yangu, tatizo viongozi wetu bado wana mfumo wa magharibi, yaan kujipatia pesa kwa kutumia matatizo ya wanyonge, sasa wawafundishe tena!? Maana wanajua ujinga Ndio utakaowafanikisha wao yako wapi!!!!?

  • @seventcentlothy105
    @seventcentlothy105 3 роки тому +3

    Hongera sana mzee wangu natamani nifike kwako nami nijifunze kitu

  • @tanzaniafxlab
    @tanzaniafxlab 3 роки тому +7

    Asante Ayo TV kwa kuibua hiki kipaji, kwa kusema kweli kampuni ya Tesla ingeona hiyo teknolonolojia, huyo Bwana wangemnunua,
    Kwa sababu wazungu wanastruggle kupata umeme wa magari, lakin huyu jamaa amekuja na namna ya kuleta hiyo nishati bila external source
    Hii ni tunu, wahusika wajitahidi kuzingatia

  • @malha999
    @malha999 8 місяців тому

    MilardAyo@ Naombeni mawasiliano ya huyu mzee.

  • @japharynduko6139
    @japharynduko6139 3 роки тому +56

    Yani kama ingewezekana mitaala ya elimu ikatolewa kwa mfumo wa self reliance yan elim ya kujitegemea maendeleo ya Tanzania yangekua kwa kasi sana izo ndio elimu tunazotakiwa tupewe darasan

    • @mussamati5216
      @mussamati5216 3 роки тому +2

      Kweli ndugu ila wanatupa ujinga tunamaliza hatuna lolote

    • @msamgunda7684
      @msamgunda7684 3 роки тому

      Ww unataka upewe elimu gan.masomo unavyosomeshwa ndio hayo hayo wanayoyasoma wao. Shida hufundishwi kujifunza na kutatua changamoto zinazoikabil jamii yako. Unafundishwa kufaulu mitian yako.

    • @christianemma9556
      @christianemma9556 3 роки тому

      Hii Elimu inatolewa darasani , secondary Form 3

    • @efkavi77
      @efkavi77 3 роки тому +1

      @@msamgunda7684 msikilize jamaa hapo, angesoma hadi chuo kikuu hangeweza kufanya hata nusu ya anayofanya. hapo anakuambia kasoma hadi sekondari kidogo tuu

    • @hassansalumu210
      @hassansalumu210 3 роки тому +1

      @@msamgunda7684 ndio maana mdau kashauli mitaala ya elimu ibadilishwe kwa sababu uliyoitoa wewe

  • @afreyghp34
    @afreyghp34 3 роки тому +1

    Hongera Sana mzee upo vizuri Sana,.
    Siyokwamba wameshindwa kuku support, nkwamba wanaogopa kuuwa sokolao la umeme wa luku,.
    That why wanakaa kimya.

  • @peterlyaruu7464
    @peterlyaruu7464 3 роки тому +12

    Mzee yuko vizuri! Naomba namba yake tafadhali! Asante!

  • @africanroots
    @africanroots Рік тому +2

    I lack words to tell this innovator.
    Keep it up, you will go far.
    Naomba number ya huyu Mzee

  • @nicodemmabala
    @nicodemmabala 3 роки тому +6

    Huyu jamaa ni mbunifu sana na ana skills kubwa sana kwa kweli serikali imuwezeshe na ikiwezekana apewe mtaji wa kujenga chuo ili aanze kufundisha vijana hii taaluma ili tuwe na hazina kubwa ya vijana wenye utaalamu kama huu.

    • @kimwilliard8933
      @kimwilliard8933 3 роки тому

      shida inakuja serikali imeisha spend trillions of money kwenye mega projects za umeme. sasa wakimsupport huyu inamaana hayo mabillion ni kama wametupa kwenye shimo. cha maana nibkumchukua huyu jamaa na kumfadhili awaonyeshe utaalamu wake waingie nae mkataba ambao jaamaa atafaidika kwa taaluma yake. then wapange mipango ya baadae jinsi gani watatumia huo utaalamu kuzalisha umeme in huge scale.

  • @stefanogizzler
    @stefanogizzler 3 роки тому +1

    Free energy I think, si atuonyeshe vile ameweka hizo magnets, atupee contact!! Watching from the UK Midlands

    • @renaldbusanya361
      @renaldbusanya361 Рік тому

      I can make this electricity, but give me financial strength so that I can do better, but he is not there

  • @johnkona1581
    @johnkona1581 3 роки тому +4

    Safii Sana ndugu naamini kwa serikali hii utaitangaza tz kimataifa hongera sana

    • @paulhhari8861
      @paulhhari8861 3 роки тому

      Kwa serikali ipi? Wewe huoni wanajifanya hawamwoni maana wanajua wakimruhusu tu kutengeneza mitambo ya kuzalisha umeme Tanesco itakufa, maana watakosa mapato yatokanayo na LUKU🤣🤣🤣🤣

  • @JosephKapanga
    @JosephKapanga 4 місяці тому

    Hongera sana Mzee unastahili kupewatuzo Kwa ugunduzi huu.viongozi wa serikali wa tz acheni wivu mnatazama TU nakuondoka.Hafu hiyo elikopta usingepeleka uingereza wazungu ni wezi TU.

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 3 роки тому +34

    Sasa Huyu anatakiwa aitwe professor
    Sasa kwanini tusimtumie Huyu msomi

    • @starlightofficial5214
      @starlightofficial5214 3 роки тому

      Yes Professor

    • @credosajila8008
      @credosajila8008 3 роки тому

      Kweli kabisa ndugu

    • @dedanowino7852
      @dedanowino7852 3 роки тому

      Ako juu ya ma engineer wote africa mashariki walio timu kwa taalaumu ya umeme.

    • @ahamadinachuli6273
      @ahamadinachuli6273 3 роки тому +1

      Kweli kabisaa tunamaprofesa makaratasi hawana faida yoyote hawajaweza kubuni hata sindano

    • @ahamadinachuli6273
      @ahamadinachuli6273 3 роки тому

      Wakoloni wangemkata mikono hawa wa sasa wanakukata mikono kwa kukupotezea

  • @harmonize9766
    @harmonize9766 3 роки тому +2

    Tafathali milard ayo naomba kuwasiliana na mzee huyu 🙏🙏nipo tayari kulipa gharama yoyote .......BRAVO FROM KENYA.....

    • @renaldbusanya361
      @renaldbusanya361 Рік тому

      I can also make this electrical equipment but I can't afford to buy it let's get together let's do it in kenya maybe it can be beneficial for you Tanzania doesn't care about innovation

    • @renaldbusanya361
      @renaldbusanya361 Рік тому

      Nitafutie mdhamini nije kwa huko kenya tuuvumbue Tz huku unapotezwa kama vile wanaona utatajirika kuwazidi wao

    • @UR.CRISTIANO.FANSBASE
      @UR.CRISTIANO.FANSBASE Рік тому +1

      ​@@renaldbusanya361weka mawasiliano yako

    • @madundaconstruction2469
      @madundaconstruction2469 4 місяці тому

      Hongera sana Mhandisi, tunaomba mawasiliano Yako.

  • @jmytz983
    @jmytz983 3 роки тому +12

    For sure he is blessed and is more talent.we just support him now is time to believe in our self African we can.

  • @donga3094
    @donga3094 3 роки тому

    African genius. Hongera kwake. Fanya hima atafutiwe ufadhili kwanza apate hati timilifu ili asaidike.

  • @katyetyegosper218
    @katyetyegosper218 3 роки тому +3

    Tesla alikua mvumbuzi walimzingua Mzee una kipaji sana Nahitaji Namba yako Nataka nahitaji Mtambo wa 2 million. Nilikua naangalia Uvumbuz wa prof mmoja kuhusu Magnetic river ambayo inafanya kitu kizunguke chenyewe na ni rahis kupata umeme lakini wewe mzee umetumia nguvu ya kukwepana Kwa sumaku ukavuna umeme You have done awesome work 👏👏👏

  • @mohamedsung4891
    @mohamedsung4891 2 роки тому

    Safi sana mjomba
    Usiseme sjasoma kipaji ulicho nacho ni zaidi ya elimu
    Ulichokosa wewe ni cheti tu ila elimu unayo
    Watanzania tujifunze kupenda,kuthamini na kujali vya kwetu, huyu mjomba akipewa saport atafika mbali sana

  • @sindayiheburacesar6733
    @sindayiheburacesar6733 3 роки тому +3

    Please can we get the contact for this technician. If there is possibility please I need it. He deserves support.

    • @renaldbusanya361
      @renaldbusanya361 Рік тому

      I can make this electricity, but give me financial strength so that I can do better, but he is not there

  • @nasibusaid4161
    @nasibusaid4161 9 місяців тому

    Hongera sana mtaalam una uwezo mkubwa sana nashauri aanza kubuni vitu ambavyo vitainua uchumi wako na kuongeza ajira kwa watu achana na hayo majenereta watakushtaki tu yakisababisha madhara ndo maana hata mwenyewe unatumia umeme wa tanesco badala ya huo wa kwako,mfano vifaa vya kilimo,ujenzi,ufundi,na teknorojia,ukiweka utaalamu huku utatoboa.

  • @bwokemwa2299
    @bwokemwa2299 3 роки тому +5

    O lord, protect this man. I'm coming to find you, I need this for me❤️.

    • @renaldbusanya361
      @renaldbusanya361 Рік тому

      I can also make this electrical equipment but I can't afford to buy it

  • @54plus41
    @54plus41 2 роки тому +1

    To Ayo tv,
    Tafadhali nipee namba ama email ya msuya.naona nikwa mda lakini ningetaka kununua mtambo.

  • @yasinrasheed5743
    @yasinrasheed5743 3 роки тому +3

    This man could solve energy crisis and make us supper power in Africa and world ,this is brilliant mind.

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 3 місяці тому

    Hongera sana watangazaji binafsi Kwa kazi nzuri mnayo fanya ya kuibua vipaji vya maendeleo,Naomba namba ya huyo Mtu,Nae nimpongeze

  • @Chapesamedia
    @Chapesamedia 3 роки тому +17

    Dahhh sasa Tanzania ya viwanda sihawa watu wenye vipaji vyao wa kuajiriwa dahhh God bless you more.

  • @twiser6029
    @twiser6029 7 місяців тому

    Bravo...put this invention writing for the future use..

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 3 роки тому +26

    Afrika fitina atupeani sapoti angekua mzungu apo angetangazwa sanaaa

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 3 роки тому +1

      Kwa wazungu huyu ni akina Bill Gates , akini kwetu hatumjali wala hapati msaada wowote ili kumuendeleza kwa manufaa makubwa ya taifa

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 3 роки тому +1

      Halafu tunalia ajira , ni watu kama hawa wazungu huwapa mitaji na sehemu za kufanya utafiti , matokeo kunzisha viwanda vya kutengeneza vitu kama hivi , na kuajiri maelfu ya watu . Huyu atakufa tutashindwa kumtumia kwa maslahi mapana ya taifa .

    • @victormushi6641
      @victormushi6641 3 роки тому +1

      NGOZI NYEUSI NA ROHO NI NYEUSI HIVYO HIVYO

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania 3 роки тому +1

      Ni kweli lakini hilo linachangiwa na mengi sana ndugu.
      Huyu bwana binafsi namtafuta nikimpata ndani ya isiyozidi miaka miwili niulize hapa ama utasikia japo kwa ufupi kupitia vyombo vya habari.

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania 3 роки тому +2

      @@victormushi6641 Tusijifikirie hivyo mkuu. Bado tunaweza licha ya kupotezewa mwelekeo na watu weupe waliokuja kama marafiki kwa mababu zetu kumbe ndio maadui wakubwa!

  • @simons9693
    @simons9693 3 роки тому +2

    This are the ideas we are looking for in 21st centuary. I believe you can do great things. Kuddos Matayo

  • @masundelwa
    @masundelwa 3 роки тому +17

    Mfumo wa ELIMU hizi za kikoloni ndio zinarudisha nyuma maendeleo ya taifa letu.... Gonga like twende Sawa.

    • @HamisiR
      @HamisiR 3 місяці тому

      We acha wivu wako kila kitu ni kipawa wewe kutoka kwa Mungu kama we unaona ni ukoloni pole sana

  • @mkonongo_og
    @mkonongo_og 3 роки тому

    AyoTV....Pongezi kwa kazi mnayofanya.!!
    Nasoma chuo kikuu cha Dodoma(UDOM), Nachukua Fizikia(PHYSICS), naomba nipate mawasiliano ya Huyu mzee..!!!

  • @samsonistephano3327
    @samsonistephano3327 3 роки тому +3

    Mshikaji kichwa sana serikali imuunge mkono anaweza kuifanya tz kuwa ya mfano

  • @jeanmariendikuriyo4174
    @jeanmariendikuriyo4174 3 роки тому +2

    Hongera saaana mzee mngu akulinde

  • @nrwawanndeny7394
    @nrwawanndeny7394 3 роки тому +23

    Jamani shule(elimu ya magharibi ndiyo inayotulemaza akili zetu)

    • @samuelkima2135
      @samuelkima2135 3 роки тому +2

      Joo unitengenezee

    • @justinebahati4704
      @justinebahati4704 3 роки тому +1

      kama huitumii vizuri utabaki kulaumu hivohivo lakini huyu mzee hajafanya kitu kipya na hata kwa hapa nchi COSTECH wanaweza kutusaidia tatizo hatuna data base ko mtu akifanya jambo anaweza kuhisi yeye ndo wakwanza asipopata mtu wa kumpa changamoto

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 роки тому +1

      @@justinebahati4704 Fanya yako moja tuone

    • @justinebahati4704
      @justinebahati4704 3 роки тому

      @@onesmojustice2348 U kno wat sometimes proving yourself is an insult

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 3 роки тому +1

    Huyu mzee ako na kipaji sana laiti serikal ingefaham wangemuwezesha kuzidi kupanua icho kifani chake ili kifahamike hadi nchi zingine afrika tuko sawa bigup Kenya bigup tz

  • @paulalphonce5848
    @paulalphonce5848 3 роки тому +4

    @Millardayo, naomba kuunganishwa na jamaa kwa ajili ya kununua mtambo kwa matumizi ya ofisi.

  • @ernestniyo8475
    @ernestniyo8475 3 роки тому +1

    Mimi sio mtanzania ila huu jamaa namkubali sana kama fundi wa halii ya juu kabisa yani watanzania mumusapoti kwa hali zot atatufaa africa nzima big up mzee

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 3 роки тому +3

    Namba yake iko wapi?

  • @billocesamwel2637
    @billocesamwel2637 3 роки тому

    Watu weusi, mungu alitupendelea sana, kuanzia, rangi nyeusi Ina melanin ya kutosha, pia maadili mema, na upeo wa pekee, na rasilimali tele. #OnyoKwaWaleWanaojichubuaNaKuukanaUafrikaTunaVitengovyaKuuzaMkaaNaOilchafuIlikuwalazimishaAsili😂😂😁

  • @fredchaki6712
    @fredchaki6712 3 роки тому +5

    Namba ya engineer tunaomba muhimu

  • @hosenimwelekwa5367
    @hosenimwelekwa5367 2 роки тому +1

    Duh!! We have talent in our country, government must support him

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 3 роки тому +3

    Safiiiii sanaaa tatizo la nchi yetu watu waliona wakikuvumbua mifereji yao ya hela itakatika

    • @alexmatt9504
      @alexmatt9504 2 роки тому

      Umesema kweli,ni ubinafsi na roho mbaya.Kuna wakati marehemu Magufuli aliligusia hili kwamba hapa Tanzania mtu akiwa inventor badala ya kumpa support wanampiga vita.

  • @MosesNyota
    @MosesNyota 3 роки тому +1

    Great talent... Love from Nairobi.

  • @mcgoodluckeventz2175
    @mcgoodluckeventz2175 3 роки тому +5

    Naiomba namba yake

  • @paulaluba8372
    @paulaluba8372 3 роки тому +1

    Tutumiye namba sisitukokijijini mashambani tunasumbuka na tatizo la umeme natunaweza kugalamiya garama zote za vifaa vyaufundi pamoja na malipoyote ya ufundi kamaalivyotaja apo tafazali tunaomba mtutumiye nambazake iliatusaidie asante sana

  • @nrwawanndeny7394
    @nrwawanndeny7394 3 роки тому +25

    Huyu jamaa ni mkali kuliko hata Isack Newton.

    • @kakawamashariki8978
      @kakawamashariki8978 3 роки тому +3

      Kabisa kabisa, ndugu yangu.

    • @Aviero_07
      @Aviero_07 3 роки тому +1

      Yaan isack Newton, Galileo, pascal.. Wote wakasome kwa huyu jamaa...

    • @isaachassan43
      @isaachassan43 3 роки тому

      Ni kweli

    • @gregorynjama6493
      @gregorynjama6493 7 місяців тому

      Mimi nakukubali Bwana Rojars ila naomba namba yake ya simu

  • @mutegimati7256
    @mutegimati7256 3 роки тому

    Kazi nzuri kabisa,wekeni namba ya simu ya mzee

  • @wilfredkuyonza675
    @wilfredkuyonza675 3 роки тому +4

    Tunaomba mawasiliano yake tafadhali maana tunaishiaga kuona hv vipaji kwenye mitandao lakini namna ya kuwapata hawa watu ili tuwasapoti kwakutumia kazi zao inakua ngumu

  • @kajolo1288
    @kajolo1288 3 роки тому +2

    Jamani😰 watu wanavipaji vyao, kwann bado tunateseka na umeme sasa. Robo ya gharama za mitaji mikubwa na ukazalisha umeme mkubwa zaidi. Clean energy tena na hakuna hata kelele

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 3 роки тому +3

    Nimependa sana

  • @kitundaemmanuel6811
    @kitundaemmanuel6811 3 роки тому +1

    Serikali yetu ikipitisha mfumo wa mtaala ya kujifunza kwa kufanya, watanzania tungeepuka kutegemea bidhaa na huduma nyingi kutoka nje. Hakika serikali inahitaji kodi kujenga uchumi wa nchi yetu lakini umeme usio wa kulipia ungesaidia sana kuendeleza uchumi wa viwanda na kupitia shughuli mbalibali za umeme kununua mara moja uchumi wa watanzania ungekuwa kwa kasi sana.
    Naipenda Tanzania, ahsante mwenyezi MUNGU kwa vipaji hivi.

  • @ivaniavianarodrigo7201
    @ivaniavianarodrigo7201 3 роки тому +24

    taifa la tz limijaaliwa, vitu vingi ila viongozi ndo tatizo

    • @simonlurai7033
      @simonlurai7033 3 роки тому +2

      haswa vingozi wakiwawezesha tutaiyona Tanzania mpya

  • @awesafari
    @awesafari 6 місяців тому

    Na appreciate sana kazi ya huyo mzee naomba namba yake nataka hyo system pia please

  • @godloveelikana4241
    @godloveelikana4241 3 роки тому +4

    Hawa vindoki nchi nyingine wanakumbatiwa kama kifaranga.Kama itakuwa ni kweli baada ya kuhakikiwa basi huyu tunaiomba Serekali imtazame kwa jicho la kipekee sana.Tuache mazoea ya kujidharau kuwa watu weusi hatuwezi.Mtambo kwa sasa unaonekana umefunikwa hatujaona ndani bado. Huyu mbunifu si wa kumpuuza hata kidogo.Wagunduzi wa umeme/nishati kwa vyanzo mbalimbali hapa duniani hawajafikia bado hatua hii.Elimu na maarifa hayapatikani darasani tu na elimu za makaratasi wakati kiuhalisia unakuta wengine hawashabihiani hata kidogo na kile kinachoonekana kwenye vyeti japo sidharau elimu naomba nisinukuliwe vibaya.Kuna baadhi ya watu duniani huzaliwa na vipaji na uwezo wa ziada kuliko wengine na hiyo ni tunu waliyopewa na Mungu muweza wa yote.Hakika huu ugunduzi ukifanikiwa utakuwa ni rafiki kwa mazingira sana na nafuu sana.Endelea kutupa yanayojiri Ayo Tv.

  • @annanjuguna8858
    @annanjuguna8858 3 роки тому +1

    Naomba namba Matayoo please

  • @KINYASI
    @KINYASI 2 роки тому +3

    Daa, watu wetu wanaangamia na marifa. Tanzania tunakua tegemezi na huku wataalamu wa asili na ni kipawa. Jamani huyu mtu yuko wapi ???

  • @ericdavies9052
    @ericdavies9052 3 роки тому +1

    Mawasiliano yake please?

  • @olaycereuben419
    @olaycereuben419 3 роки тому +7

    So amegundua free energy machine

    • @nikky4757
      @nikky4757 3 роки тому +1

      Hakuna kitu kama hicho jamaaa ni mdadisi mzuri ila kitaalamu hiyo mashine itarun kwa muda fulani then itazima so ni mwendo wa kuwasha .uwezi create energy hata siku moja ila unaweza change one form of energy to another

    • @ramexkhamis7682
      @ramexkhamis7682 3 роки тому

      @@nikky4757 naomba unipe fact kama itazma na itazma kwann

    • @nikky4757
      @nikky4757 3 роки тому +1

      @@ramexkhamis7682 huwezi create energy also kama anatumia dynamo kama sijamsikia vizuri means ni papertual mashine ukiweka factor kama frictional force means efficiency itakuwa inashuka kadri muda unavyozidi kwenda
      Also.huoni kama haingii akilini kwamba ana mtambo wa kufua free anergy lakini anakwambia anautumia pale umeme unapokatika why utumie umeme wa kulipia na unaweza fua wa bure,sikatishi tamaa hata mm enzi nipo diploma last year nilipropose project ya mechanism kama hiyo madoctor walikataa nilikuwa mbishi pia ila wakanielewesha na mm nilipofuatilia kwa karibu kwa kusoma nikaona ningefeli .niliishia kufanya nyingine ya kutengeneza umeme kwa kutumia radio wave ambayo mwisho wa siku ilinifanya nijutie coz nayo nilikurupuka kufuata utundu ila chuo unatakiwa uwe na explanation ya theory uliyotumia kwa maelezo na mahesabu

    • @ramexkhamis7682
      @ramexkhamis7682 3 роки тому +1

      @@nikky4757 Nimekuelewa mzee iyo kweli ni perpetual machine. Na perpetual machine ni really theoretical tu kama walivyoeleza kwenye kitabu cha "Physics for entertainment" by Y.E Perelman 1913, na apo itakua inawaka kwa mda na kuzima haiwezi kuwaka milele. Maana ikiwaka milele itakua imeviolet law of thermodynamics

  • @innocentmafuwe4686
    @innocentmafuwe4686 3 роки тому +6

    Mzee chunga hhi tanzania bhna ina mambo mengi ao viongozi co kwamba hawajui umuhim wa huu mtambo ila ni kwamba wanalimda maslai ya tanesco

  • @geesoundkay
    @geesoundkay 3 роки тому +1

    @Millard ayo. Naweza nikawasiliana nawe vipi?

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 3 роки тому +4

    Ungetenza mwing tu uwaazie watu maaana Tanesco wanazingua sana kukata kata umeme kila siku bila sababu

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 роки тому

    Scientist ♥️♥️♥️🙏🙏🙏
    Serikali aichelewi kupiga marufuku

  • @mishaelmusiba305
    @mishaelmusiba305 3 роки тому +5

    Hawa ni watu wamuhimu saaaana, Tanzania tuwatumie ili tuwe huru kiteknolojia.

  • @nansal55
    @nansal55 2 роки тому +2

    Labda kama kuna kitu anaficha..... ila Hicho anachokieleza sio kweli. Hiyo sumaku ya kati haiwezi ku-move kama hizo sumaku za pembeni ni PERMANENT magnets.. ita move tu kama hizo magnets zitakuwa ELECTROMAGNETS na si vinginevyo

  • @simonmwandu2214
    @simonmwandu2214 3 роки тому +4

    Oyaaa boss mie nakushauli nenda machimbon kwenye migod ya zahabu wachimbaji wadogo ukafunge huo mambo wako harfu unawasambazia umeme utapiga pesa sana mzeee

    • @MichaelCNtaho
      @MichaelCNtaho 3 роки тому

      Ni wazo zuri ila nahisi tanesco hawata muacha salama...

  • @ernestmbwana6282
    @ernestmbwana6282 3 роки тому +1

    Mzee Msuya Hongera sana ambiere.. kwalugha yetu mzima evava
    Shida hapo mijitu ya Ewura,Tpdc na Tanesco inakuangalia huku ikisema whata fwqk hatutaiba hela tena .binafsi natarajia kununua kwako mtambo huo Wa 2million

  • @mrmago4870
    @mrmago4870 3 роки тому +4

    Huyu mzee awezeshwe afungue kiwanda kwaajili ya uzalishaji na mafunzo... nafikiria tu kama mashine zitafungwa mitambo ya umeme kama hiii... basi biashara ya mafuta itakufa!

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 3 роки тому

      Pengine atengeneze iwe kama generator lkini kiwanda hapo nayo utakuwa umejidanganya maana serikali itokubali ama kuumpa kibali.

    • @mrmago4870
      @mrmago4870 3 роки тому

      @@alfanm.8221 ndiyo manake... atengeneze iwe kama backup.... hata hivi ilivyo, serikali ikimpa kibali awe anaengeneza kwa oda; najuwa watu watahitaji kwaajili ya backup kwenye nyumba zao pale tanesco inapokata!

    • @dralhajijbmatatala4580
      @dralhajijbmatatala4580 2 роки тому

      Kweli Kabisa.
      NTAPARAJE NO YAKE?

  • @emmanuelabel8166
    @emmanuelabel8166 7 місяців тому

    Kazi nzuri sana kaka.
    AYO tunaomba namba ya mzee

  • @vedastokeya3344
    @vedastokeya3344 3 роки тому +4

    Huyu ndie anatakiwa kuitwa profesa haswaa tz huyu tayari bilionea ni mda tu

  • @umarbakar1694
    @umarbakar1694 3 роки тому +1

    My profesa.

  • @novakauki5560
    @novakauki5560 3 роки тому +3

    Nilijua no senga

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 3 роки тому +2

    Ukuu wa Mwafrika utadumu enzi hata enzi haijalishi mbinu za mabeberu chini ya baadhi ya vibaraka wazawa kuuangamiza.🗻🇹🇿

  • @someaafrika.3379
    @someaafrika.3379 3 роки тому +7

    1:56 alipotamka tu "Jua kali Nairobi" aise mzee huyu ni zaidi ya msomi.

    • @jacksonmodaha1590
      @jacksonmodaha1590 3 роки тому +1

      Naomba tupeni namba ya Mawasiliano ya huyo mzee Wa Umeme

    • @derrikdesertman4564
      @derrikdesertman4564 3 роки тому

      Ooiii hapo Jua kali kuna nini mpaka uone ni msomi?

    • @claudekeverenge4404
      @claudekeverenge4404 3 роки тому +1

      Jua kali Kenya Wana wa akituma kinyama daily kusaka unga kutumia vifaa kadhaa kama vyuma bovu.
      Kaza njoo nipo Nairobi

  • @renaldbusanya361
    @renaldbusanya361 Рік тому

    Huyu Mzee yuko kama mimi kabisa kwa uvumbuzi huu ila mimi nataka nivumbue pikipiki ya umeme ambayo haiishi charge nafikiri nitawasaidia boda boda sana katika kuingiza kipato zaidi ya kile cha pikipiki za mafuta #Hongera mzee msuya 🙏🙏

  • @kaimbe
    @kaimbe 3 роки тому +7

    The First Law of Thermodynamics (Conservation) states that energy is always conserved, it cannot be created or destroyed. In essence, energy can be converted from one form into another.

    • @simbawakwale2347
      @simbawakwale2347 3 роки тому

      tafsiri kwa kiswahili hahahah

    • @geraldboto2645
      @geraldboto2645 3 роки тому +1

      Ina maana hiyo umeme haiwezi dumu zaidi ya maisha ya smaku. Kila wakati umeme ikiwaka smaku inapoteza mvuto. Kwa hiyo ukihepa kulipa stima bado Utanunua smaku ya kiasi cha ghalama ya stima ambaya angelipia.

    • @mercynnko4835
      @mercynnko4835 3 роки тому

      @@geraldboto2645 Jamaa uko vizuri sana, kwako Physics iko sawasawa kabisa. Ninakuelewa sana. Big big up!

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 3 роки тому

      @@geraldboto2645 acha upumbavu

    • @geraldboto2645
      @geraldboto2645 3 роки тому +1

      @@Ndu-wa.uroony2 nimeacha

  • @livingmram51
    @livingmram51 2 роки тому

    Hongera sana tupe namba zake za sm tafadhali

  • @johnyty498
    @johnyty498 3 роки тому +4

    Huyu mzee ni shida, 5000W inatosha sana kwa matumizi ya nyumbani ila bado cjaelewa anatumia motor inayota izo 233V au anatumia motor ya low voltage eg. 12V halafu ana invert to 233V?
    All in all akinitafuta mm huo umeme tungeufanya uwe level nyingine kabisa

    • @alexanderkapinga700
      @alexanderkapinga700 3 роки тому

      Sasa we kwanini usimtafute sasa unasema angekutafuta unalengo au unatuzingua tu kwa maneno matupu?

    • @renaldbusanya361
      @renaldbusanya361 Рік тому

      Mimi pia huu umeme naweza utengeneza tena na nilishajaribu kutengeneza mpango wa kubuni pikipiki ya umeme ambao haushi na kwa hali ilivyo sasa ya mafuta bei juu ni pesa ya nje nje boda boda wengi wangepeta huu mpango wangu lakin vifaa sasa navyovihitaji 😔😔 ndo gharama ningepata mdhamini mbona ni moto💥💥

  • @jacksonmutinda5335
    @jacksonmutinda5335 2 роки тому

    Please share contacts of this inventor we wish to contact him. From Nairobi Kenya

  • @chifupromise9575
    @chifupromise9575 3 роки тому +3

    lazima wakuzime wanaogopa utauwa biashara zao. lakin usikate tamaa ipo siku watakubali tu

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 3 роки тому +2

    Mwisho wa siku wampe kesi ya uhujumu uchumi maana hii serikali 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

    • @andreamndeme1539
      @andreamndeme1539 3 роки тому

      Mbona kuna adinani lisu aliyempgia kelele kipindi alipowekwa gerezani alishawahi tengeneza helcopta

  • @mpeuladavid7172
    @mpeuladavid7172 3 роки тому +3

    🔥🔥🔥🔥🔥Intelligent man

  • @constantinemanyanda6667
    @constantinemanyanda6667 3 роки тому +1

    Mungu ambarik na kipaji chake

  • @jahhloveyou4462
    @jahhloveyou4462 3 роки тому +4

    Wanapanga kukuibia baba ,kama unarafiki wapya wanakununulia vitu hao waangalie sana.... Da kaka contact ni vizuri ingewekwa

  • @emmanueltesha6737
    @emmanueltesha6737 3 роки тому +7

    Naiyomba serikali,,isaport,,aweze kuwa na kiwanda cha kutengeneza mashine hzo zakutosha,,watu Kama hawa ni azina ya nchi

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 3 роки тому +1

      Wati kama ndio wanao watumia wenzetu wazungu, kupewa mitaji , na sehemu kubwa kufanya ufafiti wao na kuanzisha vitu kama simu ya mkononi , washing machine etc . Matokeo huanzisha maelfu ya ajira

    • @philipsijenyi8841
      @philipsijenyi8841 3 роки тому

      Plz I ineed mawasiliano ya huyu jamaa

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 3 роки тому

      @@philipsijenyi8841 sikiliza uzuri katika hiyo video nafiri kuna sehemu anasema vp unaweza wasilina nao

  • @Kingo1410
    @Kingo1410 3 роки тому

    Huyu ni mkali sanaaa..yupo sawa...sana kumuendeleza nivgumu coz atapunguza biashara za nishati..sola generator na kadhalika nataka namba zake wadau..

  • @georgeikinya2779
    @georgeikinya2779 3 роки тому +3

    A senior official from the ministry of energy visited him and witnessed his capabilities and everything stopped there. This why Africa take off to industrialization stagnates. No willingness and deliberate efforts to tap and nurture our talents that die out before our very eyes as we scamper for and glorifies cheap Chinese products.

  • @zizuzidu9803
    @zizuzidu9803 Рік тому +1

    Huyu jamaa hypomania (overtaking, flight of ideas which is organized), hiyo state ya hypomania ndo chimbuko la ubunifu na genius. Ukiwasoma wakina Newton, Albert Einstein walikua na hiyo hypomania state... From Psychology Doctor. Serikali iweke wizara ambayo itakua ina support watu kama hawa wabunifu waje wafanye mageuzi ya technology Tanzania

  • @zachariamduma3411
    @zachariamduma3411 3 роки тому +3

    Wazungu wanakua matajiri kwasababu ya technology,lkn sis tntaka madini na yanaisha

  • @josephndilwa3830
    @josephndilwa3830 3 роки тому

    naomba no yake plz

  • @yunusrnb5227
    @yunusrnb5227 3 роки тому +3

    Hivi serikali ya Tanzania ina nini?

  • @EbrahimTarzz
    @EbrahimTarzz 3 роки тому +3

    Number yake ipo?

  • @danielavelin2161
    @danielavelin2161 3 роки тому +2

    Huyu mzee ni shida asee bravoo

  • @tanzaniafxlab
    @tanzaniafxlab 3 роки тому +3

    Jamani, wazungu wanahangaika kuhifadhi umeme kwenye betry, huyu jamaa kaizidi hata kampuni ya Tesla, selikali ione namna ya kuunda kikosi kazi cha kushirikiana na huyo Bwana kuja na product zitakazoleta independence Tanzania
    Na kuserve hata majirani wengine
    Pia huyo jamaa asiseme namna hiyo engine inavyofanya kazi maana wajanja wengi, ili teknolojia yake iendelezwe

    • @IbrahimMohamed-yy2il
      @IbrahimMohamed-yy2il 3 роки тому

      Alindwa haswa huyu jamaa na TANESCO waangalie wapi pa kupatia Kodi from this technology maana Tena UTUMIZI WA KUFUA UMEME KWA MAJI NDO MWISHO HUU TUKIWA SERIOUS. HAPA UCHUMI UTAKUWA HADI RAISI MAGUFULI ATASHANGAA IMAGINE TRENI YA UMEME HUU, VIWANDA, MATUMIZI MAJUMBANI. TENA HAUIISHI.

  • @davidkabodo8019
    @davidkabodo8019 2 роки тому

    Namba ya fundi plz

  • @leonardleonard6164
    @leonardleonard6164 3 роки тому +6

    Mawasiliano yake kama inawezekana,yote kwa yote hongera sana ndugu

    • @jonickmbwilo3404
      @jonickmbwilo3404 Рік тому

      Hongera sana mzee, naomba mawasiliano yake nimpe pongezi zaidi

  • @greggmarshall4869
    @greggmarshall4869 2 роки тому +2

    Ndugu huyu Amebarikiwa, Mungu mulinde sanaa na pia fungua milango aweze kuwa mchango mkubwa kwa watanzania wote,, kwa raia wenye uchumi mdogo tayari watakuwa wamesaidiwa na hata uchumi wao utaongezeka na nchi itazidi kujitangaza si kwa utalii tu bali na kwa ubunifu huu Alindwe na Maombi yake yote yasikilizwe na sikuminywa tukuweee

  • @kenethraphael3604
    @kenethraphael3604 3 роки тому +6

    Hakika