Mungu Akusimamie Akulinde na Akutie Nguvu Akupe Afya njema Wewe pamoja na Familia Yako....Ayo Tv mtuonyeshe Mpaka Mwisho wa hili...Nasi tunajifunza kutokana na Hili..Sheria nimeanza kuitambuwa kutokana na Sakata hili...poleni Sana .
Mama utapata haki yako tu, mkuu wa wilaya yupo vizuri, chapa kazi DC huo ndo ukweli,nyeupe ni nyeupe tu huwezi kubadili iwe nyekundu, Mama yetu Rais, huyu DC tumepata mtenda haki, ubarikiwe DC wetu, wananchi tunakuombea mema❤
Huyu mkuu wa wilaya mama etu mama samia tunashukuru kutuletea mtu KAMA huyu kwanza sijawah kuona KIONGOZI akajari afya ya wahanga eeeh MUNGU mpe huyu kaka maisha marefu, anahofu ya MUNGU ndani yske anahuruma, TAARIFA ya jana nimeona analetewa mwamvuri akakaataa kufunikwa wakati kuna watu wamelala njeee huyu KIONGOZI ni mpango wa Mungu sio kama wengine wanajionyesha tu kwako mama samia kua wanafanya kazi 😢😢😢 ila huyu hata ukimsoma kisaikorojia moyon mwake anahofu ya MUNGU kama yule alokua waziri wa ardhi silaa , Mungu awabariki sana nyie WATU slaa na mkuu wa wilaya bomoka❤, mama uwe na watu kama hawa watano tu serikarini wala hutoumiza kichwa🎉
DC Bomboko anaonekana kiongozi bora na msomi na anayejua sheria. Tunampongeza sana kwa nidhamu hiyo 👏🏻👏🏻 Ila ingependeza zaidi kama angesikiliza wanataka kusema nini badala ya kuwanyamazisha kabisa. Labda wangeekezea upande wao. Na kushilikia hao madreva nahisi overdone. Wao wametumwa kufanya kazi na hawategemewi kujua details hizo. Wakiachiliwa ndio haki ya wastani. Wahusika ni wale walioamrisha ubomoaji
Hapa Nazidi kupata picha kuwa kumbe kama huna Pesa huna Haki Mbele ya Tajiri Nikulinganisha na Ile kesho ya Dada aliye Bakwa na Akina Nyundo Dodoma Hakim kupangua Ile kesi Ukiangalia hunyu Mwanasheria hapa pia ndio wanapotosha na Kwa Ajili ya Pesa wako tayari kupotosha na kupindisha Sheria Mama sijui Kwanini ulimtoa Silaa
Wanasheria wa tz wanafanya Kaz kwa mazoeya na sio kisheria amepgwa maswari anajiuma Huma mwanasheria gan we kenge sana mnareta zuruma kwenye jasho Ra watu na mtaripia haki itendeke Allah kaleem dc nakupenda sana mungu hakubariki sana,,na hakurinde na madui mahana hio ni vita watu wamekuwa zuruma
Hiili swala linaonyesha wazi kama huna pesa huwezi kutoboa kwa mwenye pesa, tuangalie hili viongozi husika na shelia tunaomba haya mambo yatizamwe kwa jicho kali sana watu wengi wanadhulumiwa hivi mpaka wengine wanakufa kwa magonjwa ya moyo, mkuu wa ubungo mungu akubariki sana kusimaa kidedea kutete wanyonge.
Dr Samia Suluhu Hassan mama yetu unapenda haki na hakika mwenyezimungu atakulipa.sisi kama wanadamu tutakukumbuka wema wako baadae.mkuu wa wilaya mama hajakosea kukuchagua tumeridhika.
Ni laana kubwa sana, yaani wao na watoto wao na wake zao wanalala ndani Mama wa watu anateseka, utafikii wameongea na Mungu kipindi watachokua hapa Duniani, ni fumbo ndg tafakalini upya.
Ndio hapo , huyo mnunuzi abaharakisha Kwa sababu anajua njia alizotumia sio halali....Sasa mwisho wa siku anaweza kupoteza pesa zake halafu akaanza kuilaumu SERIKALI na SHERIA
Ndio hapo Sasa, huyu mnunuzi anaharakisha hili jambo Kwa sababu anajua amenunua kiujanja, Sasa mwisho wa siku atapoteza pesa zake halafu akaanza kuilaumu SERIKALI na SHERIA
Huyo ana watu wazito ndo maana kiburi kumbuka polisi nao wanahusika kwenye hili na hata walipokuwa wanabomoa mara ya kwanza walikuwepo kuwalinda kwa hyo wapo watu ndani wanaowategemea au kuwapa kiburi DC kaamua kusimama kivyake
Kwani akiwa waziri atakutana wapi na hizi kesi? Tofautisha kazi za waziri na mamlaka ya mkuu wa wilaya. Waziri ni kiongozi, mkuu wa wilaya ni mtawala katika wilaya yake).
Mimi sijasoma sheria lakini ningekuwa mwanasheria nisingejitokeza kujitetea maana ulioguswa sio uyo mama wala DC aliyeguswa ni muhimili wa nchi yaani mahakama na mahamakama ndicho chombo kinachosimamia sheria. Kwa hili naomba tuiachie mahakama itende haki bila kuingiliwa, pia mahakama itoe onyo kwa wale walioidharau mahakama ili iwefundisho na kulinda heshima yake.
Huyu mwanasheria dahhh..eti kuna mgogoro kati ya mke na mume ila halimuhusu mteja. Unanunua mali ya ndoa yenye mgogoro toka kwa mwanandoa mmojawapo na bado unasema mgogoro wa ndoa hauhusiani na ulichonunua toka kwao??😂😂😂Halafu eti tuiachie mahakama...sasa mwanzoni wakati anakataa kuisikiliza mahakama alihisi yeye ndo mahakama au??😂
"Wakili atamweza wapi?" Kwako unamwelewa wakili kama nani mpaka uamini hakuna anayemuweza? Je, wakili yuko juu ya sheria za nchi? Acha akili za kilevi na kushadadia ujinga! Katika mambumbumbu yawezekana unaongoza genge lao!
Katrina ya nchi yetu kama inakasero ni kidogo sana nadhani watekaji wadhalimu waliojipenyeza serikalini ndio wanaofanya tuwe na mashaka na sheria wakati ni watu wachache sana wakileta taharuki kila siku na madhara kwawatu wengi
Yaani huo ni ukatili mkubwa sanaa. Mambo kama hayo yanafanyika Tanzania tuu, na hii ni kwa sababu viongozi wetu wengi siyo waaminifu kama huyu MKUU WA WILAYA.
Hakuna watu wanaonikera kama wale wanaoongea mwisho wanamalizia namshukuru rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama yetu Samia suluhu samia. Wanakera na wengi ni watu wanaotaka kujinufaisha na jina la rais pamoja na chawa wanaotaka chochote.
Uvunjaji wa nyumba zaidi sita umefanyika takribani wiki nzima na serikali ipo inaangalia akiwepo na DC mwenyewe,nina wasiwasi kwa huyo mama kupata haki yake
Mungu Akusimamie Akulinde na Akutie Nguvu Akupe Afya njema Wewe pamoja na Familia Yako....Ayo Tv mtuonyeshe Mpaka Mwisho wa hili...Nasi tunajifunza kutokana na Hili..Sheria nimeanza kuitambuwa kutokana na Sakata hili...poleni Sana .
Mama utapata haki yako tu, mkuu wa wilaya yupo vizuri, chapa kazi DC huo ndo ukweli,nyeupe ni nyeupe tu huwezi kubadili iwe nyekundu, Mama yetu Rais, huyu DC tumepata mtenda haki, ubarikiwe DC wetu, wananchi tunakuombea mema❤
Mwezi Mungu amjalie maisha marefu mkuu wawilaya
Tunaomba Tanzania tupate viongozi kama hawa
Huyu mkuu wa wilaya mama etu mama samia tunashukuru kutuletea mtu KAMA huyu kwanza sijawah kuona KIONGOZI akajari afya ya wahanga eeeh MUNGU mpe huyu kaka maisha marefu, anahofu ya MUNGU ndani yske anahuruma, TAARIFA ya jana nimeona analetewa mwamvuri akakaataa kufunikwa wakati kuna watu wamelala njeee huyu KIONGOZI ni mpango wa Mungu sio kama wengine wanajionyesha tu kwako mama samia kua wanafanya kazi 😢😢😢 ila huyu hata ukimsoma kisaikorojia moyon mwake anahofu ya MUNGU kama yule alokua waziri wa ardhi silaa , Mungu awabariki sana nyie WATU slaa na mkuu wa wilaya bomoka❤, mama uwe na watu kama hawa watano tu serikarini wala hutoumiza kichwa🎉
Ubarikiwe sana DC Bomboko kwa utendaji wako huu.
Hongera sana DC viongozi kama hawa ni wachache nchini. Ni Mhe Bomboka na Mhe Makonda tu.
Huyu mh ni kiongozi Mungu akupe maisha marefu
Safi sana mkuu wa wilaya Asante sana 🙏🙏🙏 wangesubiri Mahakama iamue tizama watu wanalala nje huu ni ukatili
Nimempenda sana huyu DC ni muadilifu sana 💪
DC Bomboko anaonekana kiongozi bora na msomi na anayejua sheria. Tunampongeza sana kwa nidhamu hiyo 👏🏻👏🏻
Ila ingependeza zaidi kama angesikiliza wanataka kusema nini badala ya kuwanyamazisha kabisa. Labda wangeekezea upande wao.
Na kushilikia hao madreva nahisi overdone. Wao wametumwa kufanya kazi na hawategemewi kujua details hizo. Wakiachiliwa ndio haki ya wastani. Wahusika ni wale walioamrisha ubomoaji
Mama angekuwa na watoto wakaribu mda wote wanfarji jamani😢😢❤❤ Mijanaume mingine jamani Duhhhhh
Mkuu wa Wilaya sio mkuu wa mkoa
Bigup sana DC
Bomboka ni noma bro Anaakilinyingi sana najua hapendwi ila ndo hivyo Mungu atamlinda
Mkuu wawilya nimekukubar sana,,Mungu akulinde,,,karb kwetu uchukue dumu la mawese
Mkuu wa wilaya mungu akubariki sana sana nimefarijika mno
Kazi nzuri mkuuu wa mkoa
Mungu akuweke Sana DC
Mungu wa Mbinguni akulinde mkuu wa wilaya.
Damu ya Yesu ikufunike
Hapa Nazidi kupata picha kuwa kumbe kama huna Pesa huna Haki Mbele ya Tajiri
Nikulinganisha na Ile kesho ya Dada aliye Bakwa na Akina Nyundo
Dodoma Hakim kupangua Ile kesi
Ukiangalia hunyu Mwanasheria hapa pia ndio wanapotosha na Kwa Ajili ya Pesa wako tayari kupotosha na kupindisha Sheria
Mama sijui Kwanini ulimtoa Silaa
DC hakika upo vizuri sana, ubungo mpeni sapoti, hongera rais wetu Kwa teuzi wa huyu mheshimiwa
Mkuu wa wilaya ya ubungo mungu akubariki sana na akulinde
Wanasheria wa tz wanafanya Kaz kwa mazoeya na sio kisheria amepgwa maswari anajiuma Huma mwanasheria gan we kenge sana mnareta zuruma kwenye jasho Ra watu na mtaripia haki itendeke Allah kaleem dc nakupenda sana mungu hakubariki sana,,na hakurinde na madui mahana hio ni vita watu wamekuwa zuruma
DC yuko vzr,Mungu akulinde
Hiili swala linaonyesha wazi kama huna pesa huwezi kutoboa kwa mwenye pesa, tuangalie hili viongozi husika na shelia tunaomba haya mambo yatizamwe kwa jicho kali sana watu wengi wanadhulumiwa hivi mpaka wengine wanakufa kwa magonjwa ya moyo, mkuu wa ubungo mungu akubariki sana kusimaa kidedea kutete wanyonge.
Mungu akure hitaji lamoyo wake kaka machozi yamenitoka kwafuraha asante sana
Wakati nasikiliza kesi hii,jicho langu liko kwa mwandishI wa AYO TV. Kapiga pamba safi😊
Na Mimi pia
@@mhenitv ametanashati mbaya.😊
😂😂😂😂umeona anavowapa maik kwazam lakin
Amtazamaye mwanaume kwa kumtamani ameshazini naye shakila umeshazini
@@leonardkapati3125 peleka hukumu yako mahakamani. We unajua hadi hapa nilipo nimesha zini mara ngapi? Njoo uniue kabisa nife niende jehenamu
Viongozi wote wa Nchi hii waige mfano wa DC huyu. Mungu akubariki sana Mhe DC kwa kuwasaidia wanyonge wanaodhurumiwa haki zao.
Dr Samia Suluhu Hassan mama yetu unapenda haki na hakika mwenyezimungu atakulipa.sisi kama wanadamu tutakukumbuka wema wako baadae.mkuu wa wilaya mama hajakosea kukuchagua tumeridhika.
Haki ipi
Sasa hapo umemuona mama Samia??
Unatafuta teuzi😅😂
@@philemonmagesa5548 tata magesa wewe ni mjanja
@@saimonseleka8792 anatafuta ukatibu tarafa hi inchi Ina chawa wengi sana
Dc mungu akulinde na akupe umri mrefu
Hongera sana mkuu wa wilaya, sasa hao wanunuzi na baadhi ya watendaji ngazi mbali mbali na jeshi la polisi waadhibiwe
Mkuu wa Wilaya tutaonana kazi yako nzuri Mungu akabariki sana , endelea hivyo
Huyu mkuu mungu amuongezee maono ya haki yupo sawa sana
Hongera bakari maana maic inatembea huku na huko
😂ningekuwa mkuu wa wilaya huyo mwanasheria kanjanja naye ningetupa segerea😂😂
Mwanasheria kaja kwa speed kali mwisho wa siku kashindwa kujibu maswali 😂😂
Mkuu wa wilaya mungu akukingi na Kila aina ya mabalaa wanayofikilia juu yako ,chapa kazi kaka kwa niaba ya mungu daima yopo nawe,
Ameeeeen❤
Ni laana kubwa sana, yaani wao na watoto wao na wake zao wanalala ndani Mama wa watu anateseka, utafikii wameongea na Mungu kipindi watachokua hapa Duniani, ni fumbo ndg tafakalini upya.
Mkuu wa wilaya big up, waziri wa ardhi tunakuomba sana ni wakati wako wa kuwajibisha wahusika
Duniani hakh hipo kwa mungu tuuu 😢😢😢😢😢
Safiii 🎉mkuu wa wilaya
UBARIKIWE SANA MHESHIMIWA MKUU WA WILAYA NA MUNGU WA MBINGUN AIBARIKI SERKAL HII KWA JINA LAKE YESU.
Big up sana mkuu nafatilia nikiwa Norway 🇳🇴🇳🇴
Tanzania yako hiyo kaka
@@shabanikitula645ni dada uyo
DC nimekukubali. Kbs
Mkuu wa wilaya hongera ,
Mungu afanyewepesi. Hakiitendeke. Wenyepesa wanatesawatu tz
Dc Yuko vzur s naamn tafka mbal zaid
Wewe kiongozi mwadilifu safi sana
Hata shati hajabadilisha ila huyu DC kiboko🤝💯
😂😂😂umenichekesha japo tuna machungu
@@zaytunhijja6771 Na ww ni wa hiyo familia inayopambania hilo eneo?
We utafukuzwa Kazi 😅 huyo anaondolewa usisifi huyo mama slaaa kaacha vipolo kamtupa huko 😅
Kazi nzuri DC
Je kwa mtu asieweza kufika kwa mkuu wa wilaya na kumueleza matatzo yake sitayali haki inakua imepotea na mateso juu hongera sana mkuu
Sasa wakishinda kesi watajengewa nyumba nyingine😢😢😢😢jamani Hadi huruma
Ndio hapo , huyo mnunuzi abaharakisha Kwa sababu anajua njia alizotumia sio halali....Sasa mwisho wa siku anaweza kupoteza pesa zake halafu akaanza kuilaumu SERIKALI na SHERIA
Ndio hapo Sasa, huyu mnunuzi anaharakisha hili jambo Kwa sababu anajua amenunua kiujanja, Sasa mwisho wa siku atapoteza pesa zake halafu akaanza kuilaumu SERIKALI na SHERIA
Huyo ana watu wazito ndo maana kiburi kumbuka polisi nao wanahusika kwenye hili na hata walipokuwa wanabomoa mara ya kwanza walikuwepo kuwalinda kwa hyo wapo watu ndani wanaowategemea au kuwapa kiburi DC kaamua kusimama kivyake
Tunashikilia greda tutaliuza
Mheshimiwa Mungu akutangulie duniani na akhera
MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki Sana Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya
Mwamba ni mkali 😂😂😂 safi sana
Naona mama huyu amekata tamaa kbisa ni mungu tu amtie nguvu dc ukitenda haki djniani utalipwa haki ahera piga kazi bila uoga
❤❤❤ pole mama
Huyu ukuu wa wilaya hamfai anatakiwa awe waziri uwezo wake ni mkubwa.pia najitambua wakipatikana kama wewe kumi nchi itakwenda hongera sana brother
Kweli mjinga huamini Kila neno
Kwani akiwa waziri atakutana wapi na hizi kesi? Tofautisha kazi za waziri na mamlaka ya mkuu wa wilaya. Waziri ni kiongozi, mkuu wa wilaya ni mtawala katika wilaya yake).
🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Wanasheria wasikuhizi niwezitu nawatapeli pesambele kuangamiza wasio kuwa naatoya
Majaliwa mungu awe nawe nawe mama apate Hali zake
Mimi sijasoma sheria lakini ningekuwa mwanasheria nisingejitokeza kujitetea maana ulioguswa sio uyo mama wala DC aliyeguswa ni muhimili wa nchi yaani mahakama na mahamakama ndicho chombo kinachosimamia sheria.
Kwa hili naomba tuiachie mahakama itende haki bila kuingiliwa, pia mahakama itoe onyo kwa wale walioidharau mahakama ili iwefundisho na kulinda heshima yake.
Huyu jamaa cheo cha ukuu wa wilaya ni kidogo sana upande cheo namshukuru mama aliye mzaa hakika uchungu haukuwa wa bule
Huyu mwanasheria dahhh..eti kuna mgogoro kati ya mke na mume ila halimuhusu mteja. Unanunua mali ya ndoa yenye mgogoro toka kwa mwanandoa mmojawapo na bado unasema mgogoro wa ndoa hauhusiani na ulichonunua toka kwao??😂😂😂Halafu eti tuiachie mahakama...sasa mwanzoni wakati anakataa kuisikiliza mahakama alihisi yeye ndo mahakama au??😂
Umefanya vzr sana DC
safari hii mnajifanya kumpa sifa za Kazi zake wakati kipindi anawafukuza Madada poa mlimuonea Sana,ila watanzania mna mambo ya kishetwani sana
😅😅😅😅
Binadamu bwana😅😅😅
Mama samia viongozi kama hawa waongeze posho ili wasihongwe kirahisi pia baada ya mda waangaliwe waongeze vyeo ili matapeli wasiwanyanyase
kinachofataaa kuamishwaaaa wirayaaa ndiooo tanzaniaaa yetuuu kiongoziii mwemaaa akaiii I yoooo ofisiii murizeee sirahaaa waziriii waaa ariziii
Huyu DC watamhamisha😂😂😂😂
Ni kawaida atapelekwa simiyu au mpimbwe ndani ndani sana
Mnacheka cheka nn na watu wametoa pesa zao,,,watu wanawaza mengi,,,acheni ujinga,,,mnadhan kama angejua kabla angefanya uo ujinga
Mimi hapa nahisi police wamehusika haiwezekani wapewe maagizo watu wasibomoe lakini wanabomoa tu na Police wapo
Hapo alie nunua ana haki kabisa maana mambo ya kifamilia ayahusiani na kuuzwa
Nimemuonea huruma mama wa watu hata huruma hakuna mali kitu gani mnamsumbua mama wa watu
Polisi, ardhi. Wote waliohusika watumbuliwe, haiwezekani kila.mtu ni RC, NI DC NI OCD, WATU HV SASA DHARAU ZIMEWAJQA, HAWAOGOPI MAMLAKA
We DC unafurahisha genge tu wakili utamwezea wapi mezoea kutapeli wanaichi lkn mwisho utaaibika tu siasa na Sheria wapi na wapi
Yaani mtu anasimamia haki na sheria unasema anafuraisha genge kweli ndugu? Lini mtaona watu wachache wanaofanya kazi kwa weledi?
@@tazrywiser5126hapo mwenye kosa ni aliyeuza na kauza mali yake sasa mkewe alitakiwa kupambania mgao wa pesa
"Wakili atamweza wapi?" Kwako unamwelewa wakili kama nani mpaka uamini hakuna anayemuweza? Je, wakili yuko juu ya sheria za nchi? Acha akili za kilevi na kushadadia ujinga! Katika mambumbumbu yawezekana unaongoza genge lao!
@@tazrywiser5126mpuuzi achana nae
@@SylvesterKameohuyo anaonekana ni kilaza tangu shuleni,yaani ata mimi sijamuelewa kabisa.
DC upo vizuri
Mh Bomboka @ Mh Makonda @ Mh Jerry silaha Hawa viongozi wakikutana moto wake hapatoshi
Jabal hilla oyee duuh nmekumbuka mbal sana
Mungu akuweke sana
Intéressant
Dah hii ni noma sana aisee 😢
Mwanasheria hata sheria hajui anabwabwaja
Jamani mmeona tofauti GANI hapo? Kati ya dc na mwanasheria binafsi Kuna kitu nimejifunza.
Katrina ya nchi yetu kama inakasero ni kidogo sana nadhani watekaji wadhalimu waliojipenyeza serikalini ndio wanaofanya tuwe na mashaka na sheria wakati ni watu wachache sana wakileta taharuki kila siku na madhara kwawatu wengi
Huwa simpongezi mkuu yeyote yule wa serikali lakini kwa huyu mkuu wa wilaya ya ubungo nampa hongera tena utakuwa mkuu wa mkoa muda si mrefu
Mwanasheria hapo hayupo 😂😂😂
Yaani huo ni ukatili mkubwa sanaa. Mambo kama hayo yanafanyika Tanzania tuu, na hii ni kwa sababu viongozi wetu wengi siyo waaminifu kama huyu MKUU WA WILAYA.
Yaan huyu mkuu wa WILAYA Bora angekuwa mkuu wa MKOA safi sana ila hata hapo pongezi kwako
😂😂😂😂yule mwana sherea gan njaa .
Roho gani hii unambomolea nyumba kwa mihemuko.
Hakuna watu wanaonikera kama wale wanaoongea mwisho wanamalizia namshukuru rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama yetu Samia suluhu samia. Wanakera na wengi ni watu wanaotaka kujinufaisha na jina la rais pamoja na chawa wanaotaka chochote.
Kumbe kusomea sheria nimhimu leo DC kampa shule wakili
Wish leo jerry angekuwepo
Mwanasheria uchwara😂😂😂pesa zitawatoa roho
Hawa wakuu wa wilaya ndiyo wanaongoza kwa kula rushwa.
Huyu Hasani Awe waziri mkuuu Makonda makamu WA Raisi
Rais anahitaji viongozi kama hawa 10 tu wanatosha
Uvunjaji wa nyumba zaidi sita umefanyika takribani wiki nzima na serikali ipo inaangalia akiwepo na DC mwenyewe,nina wasiwasi kwa huyo mama kupata haki yake
😢😢
Jana uliangalia?
DC alitoka maagizo yakadharauliwa ndo maana kaja tena
DC anaweka Sina kwa mambo ya msingi
Mungu atakulipa kiongozi kwa kuwatetea wanyonge kama hawa
Na hao police pia wanamakosa kwan hawajui hizo taratibu