JazakaAllah kheir kwa ufafanuzi wako sheikh, siku zote mtu ukiwa unazikimbilia aibu za watu na kusema urongo juu yao, basi Malipo ni hapa hapa duniani. muache afedheheke kama alivyowafanya wengine wasiostahili
Ushabiki ushabiki na chuki zimewajaa ajabu mnaehangaikanaye wala hawafikirii kabisa kwakuwa anajua nyote ninyi ni wanafunzi wachanga katika wanafunzi wake hamuwezi kujadiliana na Sheikh labda mkasome kwake huwo ni ushauri tu nawapa ndugu zangu
Umechambua vizuri sana sana kabisa. Ukisikia elimu ndo iyo sasa fanya vitu au ongeaa mambo bil adillah basi. Nimependa ulivyoifafanua passport size. Ulivyo mpa dalili shekh delele(humeid) Ulivyo mpa dalili shekh kassim mafuta. Naam jazaqallahu khair (allah atukubali sote.)❤
@@jamalsaid7475 ni yupi katika maulamaa duniani walokutangulia wa ahlsunnah wakasema kuna salafiya jadida au huyoo babu yenu hizbi wa answari sunnah barahyani ndo mnakaririahwa, answari sunnah waongo sana hawakuijurisha daawa salafiya walipokuja watu toka saudia kusoma wakaitangaza daawa hii salafiya ninyi mkaona watu wanawakimbia nkasema et sisi ni masalafi original wale majadida mkabadilisha gia juu kwa juuu, mmefeli xana ndiomana answari sunnah man haji yenu haeleweki ni mah hajji mseto, ma ikhwan humo humo khawariji utawakuta hukooo, yani ninyi na usalafi mbali mbali watu kama kina kishki wale et ndo mnawaesabu masalafi, wakati anawasifu watu wa bidaa matabligh, na kufanya daawa na makhawariji wa kiibadhi oman arafu yey na kaka yake yule wanajiusisha mpk khitima arafu mnadai ni salafi answari sunnah ni mahizbi mmepinda mpo mbali na usalafi
MASHALLAH KUMBE SHEKHE WETU UMERUDI UMRA, AYA ALLAH AKUPE WASAA, UTUPE FAIDA NA KUONDOA HIZI SHUBHA ZA KINA YUSUFU DIWANI, WANAOTUITA SISI WAKATORIKI,TUSAIDIE. KUWAWEKASAWA HAWA
Asalam aleykum warhmatullah wabarakat kesho inshaa'allah taariq za sheikh abuu ruduud/abuu fawzan. Zinaendelea kumjibu Muhammad bachu kuhusu hii kadhia ya picha za sheikh abul fadhli kassim mafuta allah amuhifadhi na amlinde.
Muhammad bachu kidhalilisha watu wapat faida gan Hili linaonesha kwamb hakik ww una elim lkn huna hekma Hakutakua na faida ya elim yk mbel ya Allah فمن اوتي حكمة فقد اوتي خيرا كثيرا Huna hekima 24:15 😮
Muhammad bachu kidhalilisha watu wapat faida gan Hili linaonesha kwamb hakik ww una elim lkn huna hekma Hakutakua na faida ya elim yk mbel ya Allah فمن اوتي حكمة فقد اوتي خيرا كثيرا Huna hekima 24:15
Ukiona adui yako anakushangilia ujue uko kwa shida. Hivi mumepata kuungana na makhurafi na mashia dhidi ya Sheikh Abul Fadhil Qassim Mafuta Allah amhifadhi.
@zanzibaronlytv3470 umekariri upuuzi kwa kubanwa akili na fiqra huru!! Sasa hiyo hoja yako ni Nini hapo katika hili suala la pichaa!!?? Huyu Sheikh Abuu Fadhila Qassim Mafuta hakosei??
Kaka hili jambo kama ndo unarijua leo Itakua hata passport size yenye hujui sheria zake Embu nenda kasoma Tanzania Passport Photo Requirements kipengele cha Photo Requirements for Passport size Afu uje tuje kuongea Kwenye ukweli acha ushabiki sheikh

NAMI sipendi lkn mkuki Kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu waambie masalafi kurejea ktk hekima ktk dawa lkn kuondosha ujubu kw baadhi Yao kujikweza kujiona wao Pepo anaweza kumpita muislam mwenzie kisa tu..😢

Delele nimekuchukia tangu ulipomsingizia sheikh zeinu abidin urongo kuwa yeye alikuwa ni imam wa masjid luta wakati huo kumbe alikuwa ayub na hukuomba msamaha
Sote hatuna uhakika kma kajipiga mwenyewe au la bali uhakika ni yeye na Allah, tufanye kajipiga ni kosa kafanya kweli lakn insha'Allah atatrajui , tunamjua sheikh wetu. Lakin si kajipiga mwenyewe je dhambi hii ya kuisambaza mtaenda kumuomba radhi na Allah mtamjibu nini? 2, akiwa hajajipiga mwenyewe bali kapigwa au kaeditiwa je waliofanya hivyo watamjibu nn Allah?
Muhammad bachu kidhalilisha watu wapat faida gan Hili linaonesha kwamb hakik ww una elim lkn huna hekma Hakutakua na faida ya elim yk mbel ya Allah فمن اوتي حكمة فقد اوتي خيرا كثيرا Huna hekima
We Bachu mpuuzi sana hiyo picha ya kucheka niyakueditiwa we pia hamna kitu kwako meno ya kueditiwa ndio yanakuwa hivyo tazama vizur hayo meno acha ujinga wew
Nafikiria ipo haja ya sheikh Qassim Mafuta kukiri juu ya shutuma zilizopo dhidi yake, si vibaya ikiwa ameteleza kuudhihirishia Umma kuwa kuna kosa limefanyika na huo ndio Ucha Mungu.
@@AlmasAbdallah-r3g Kaka hili jambo kama ndo unarijua leo Itakua hata passport size yenye hujui sheria zake Embu nenda kasoma Tanzania Passport Photo Requirements kipengele cha Photo Requirements for Passport size Afu uje tuje kuongea Kwenye ukweli acha ushabiki sheikh
Hivi kupiga picha na kufanya ujasusi kwa muislamu mwenzako ni lipi linahitaji kukiri maana hao masheikh zenu wanaulizwa picha wamezitoa wapi?? Kama ni selfie kwa maana alipiga kwa simu yake vipi huyu bachu picha alizipata wapi???
Kwa hiyo huyo jamaa ndiyo anayechukuwa picha za masheikh kuzibandika ili kuwachafulia heshima zao ila ya sheikh wao kasim mafuta hazibandikwi hadharani Yani picha zao kupandika hadharani ni bidaa za wengine sunnah
Assalaam alaykum ndugu zangu. Mimi nasikitika Sana kuona masheikh zetu wanajadili kuhusu mambo ambayo kimantiki kahayana maana yoyote,huku vijana mitaani tumezidiwa na mzigo wa maasi, vijijini uislamu wetu upo chini.nyoyo zetu zimekufa vijana kwa wazee tumeathiriwa na mipila na matamthilia,hakika masheikh zetu muandae majibu ya kumjibu allah.kuna mada hazina maana yoyote kujadili.huku vijana tunaangamia kwa maasi. m.mungu awalipe madai wote wenye Nia njema na huu uislamu na wale madai ambao wapo kwaajili ya mihemko na riyaaa Allah ndie mjuzi wa malipo yao. Kama Kuna muislamu nimemkwaza ktk hili naomba anisamehe.allah atuongoze
Wa alaykumus salaamu wa rahmatul Laahi wa barakaatuh. Allah Akubaariki Akhy. Mie pia nina mtazamo kama wako. Tuna matatizo makubwa sana yanayohitaji ufumbuzi. Welekeze nguvu za da'wa ktk kuondoa hayo matatizo.
Sawa ndugu yangu tufanye kwa mtazamo wako faida ipo, kwa Hali ilivyo inaonekana kasimu mafuta amefanya khiyana au amekosea, Basi kama amekosea tumuachie hukumu hiyo m,mungu.sikitiko langu tunajadili lile alilokosea kcm mafta na kwanini tusijadili na sisi madhambi yetu au khiyana zetu tulizozifanya. Vile vile nawasihi vijana wenzangu hizi comment zinaishi baada ya kufa kwetu ikiwa mtu unajibu kwa mihemko Basi m.mungu ndie atakaetulipa@@mootelahamongus633
Sheikh Mohammed bachu uko wapi wewe mambo bado tumepewa taarifa za uhakika kuwa Kuna picha zake huyo sheikh mafuta ya nazi picha sita zitatolewa wajipange wakina dilele tuone watasemaje picha sita maji yameeanza kuchemka
Kassim mafuta tulimjuwa tangu zamani ni hassidi mmbaya sana dhidi ya wasomi wenziwe hata walio na elimu zaidi yake.huku kuwashambulia na kuwadhalilisha wenzenu hamfi ila ALLAH atawadhalilisha.na balaa ndio lishaanza hilo.hamna daawa salafiya wala nini zaidi ya kutafuta sumua na shuhra.mwenendo sahihi nikuifuata manhaji ya rasul .ahlu sunna wal jamaa.haya makundi makundi sijui sarafina safina huo ni upuuzi na haufiki popote.hili nikundi kama makundi mengine tu yaliovuma nakukufurisha wenzao wakajifanya wao washabashiriwa pepo.elimisheni umma wacheni kupoteza mda kushambulia watu
Ustadh Mohammad Bachu me hupenda sana khutba zako ila hapa umefeli. Wewe ndio mwanzo watoka UMRAH, kisha ukirudi tu wamrukia mwenzako kwa tuhuma. Picha ya visa za kwenda Saudia waeza piga na kilemba. Yaruhusika
Mnalalamika Leo ila alipokuwa anatukana wengine mlishangilia kama tadinu tudanu,kimsingi Mafuta aache kujinadi kwa uchamungu na kuwatukana wengine na kuwakufurisha
Kuacha shughuli zenu na mkashughulika na swala la picha za sheikh qaasim,,,hii dalili tosha kwamba sheikh qaasim ana man zila ya juu Sana,,,Allah amuhifadhi .
Mafuta yana mambo 1)Yanatelezesha uanguke 2)Yanatelezesha usikamatike 3)Na kuna methali inasema kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa yaani (kuwadanganya watu )
Hata wewe hapo ulipo tunaona kivuli chako na huwo ukuta rangi yake ni kama ile Kisha ety wamekwenda kuzi edit rangi ya blue dilele bwana jambo la mrongo kweli ety mm nilikuwa safari nikasikia hizi habari wacha niziweke sawa
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh vip hal mpo salama ninge penda nitowe nasaha kwa masheikh zangu akiwemo Muhammad bachu na wakina qasim mafuta kwanza muogopeni ALLAH na kwanini msifanye sulhu baina yenu muka nasiana bila kufanya fujo mtandaoni kwasababu nyinyi tuna wadhania kheiri nyinyi ni masheikh wa kisunnat acheni ikhtitaf kwasababu nyinyi mna tetea kitabu na sunnah ila mkianza ku ikhtilafia na kupigana vijembe kama kuna tatizo tafutaneni muongeye nyinyiote niwajuzi ikiwa mna fanya ivio nyinyi masheikh wa kisunnat vip wangine mnao walingania na kingine msije mka danganywe na sisi mamuma mtaanza kufanya kitu kwa ria kwakweli mjielewe pakitokea kitu baina yenu fanyeni mujadala nyinyi kwa nyiny,i tuna wapenda sana kwa ajili ya ALLAH kwasababu nyinyi ni masheikh wa kisunnat
ASALAM ALEIKUM WARHAMTULLAH WABARAKATU NAPENDA KUTOA BISHARA YA KHER KWA MASALAFI WOOTE KWAMBA WAKAE MAKAO WA KULA RADD (1) KWA MUHAMMAD BACHU KUHUSIANA NA KADHIA YA PICHA YA SHEKH WETU MBORA SHEKH KASSIM MAFUTA KASSIM ZILIZO SAMBAZWA SHEKH ABU FAWZAN ABUU RUDUD HIVYO KAENI LAKAO WA KUSKILIZA LATANGO PORI MENGINE INSHALLAH 😂😂
Nilichokielewa mimi Ametoa ufafanuzi wa picha hiyo mwenyewe na amesema ilikuwa Passport size ya shughuli maalumu wewe unakataa nini. Lakini pia bado hajahalalisha picha angekuwa kahalilisha picha ndio hoja zako zingekuwa na mashiko. Hizi ni sababu za kumchafua tu. Tungeegemea kwenye yale makosa aliyosema Shekh na kisha baada ya kumwambia ukweli bado akaendelea na msimamo huo.
Unauwakika gani kama shekh Abul fadhil kajipiga picha mwenyewe kama kafinyiwa dhulma na watu, arafu mahizbi mnashida sana, bachu ni hizbi siku zinapoenda unazidi tunabainikiwq uhizbi wa bachu, sururiya ikhwan
@mbjunior166 ww utakuwa hizbi mu ikhwan nini? Alama za mahizbi utazijuwa tuuh, mubtadii kuwasema vibaya masalafi na maulamaa wa kisalafi na kudhani kwamba mtaiangusha daawa salafiya na kuwatweza maduwati wa daawa hii
Alie kuambia Anaogopa ni nani mche Allah Unajinasibu na dini na ushekh unakalia KUENEZA maneno ya uongo mche Allah sio Kila kitu Chasemwe Muogope Allah
haki iko wazi kuwa kaiga icha lakin wanafunzi wamekuwa wanaamini sheikh wao hakosei kabisa na hakupiga picha ila wamekuwa wanafunzi wanaamini bila kuuliza tusiwe kama magalatia wanaamini mambo yoote wanayoelezwa na wachungaji wao bila kuhoji
Fitina zako zitakuponza una fitina kubwa sana wallah na Allah atakulipiza juu ya hilo Ngoja tushike hili kuwa bachu kasema kuwa Sheykh wetu ABUL FADHLI KASSIM MAFUTA Kajipiga mwenyewe picha ?
Allah akuhifadhi na akulinde sheikh wetu Mohammad Bachu
Muhammad bachu jazzaka.Allah kheir! Ufafanuzi wako naupenda sana!
Maa Shaa Allahu.
Uko vizur sheikh Muhammad Bachou kwa uchambuzi.
Safi ..Jazaqallahu khaira watakuelewa tu Sheikh wangu
Allah akulipe khery shekh bachu❤❤❤
Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah JazakaAllaahu'khayran Sheikh Muhammad Nassor Bachu
Allah akuhifadhi shekh wetu
Mashaalwaah Shekh wangu umerejea Barakallwaahu Fiik
M,bachu hongera❤aya ya allaah iko pamoja nawe((وقل جاءالحق وزهق الباطل إن الباطل كان زهوقا))سورة بني إسرائيل
Nakuunga mkono akhiii bachu...aje asemeee....
Allah akurehemu bachu haki lazima izungumzwe
Safi sana shekh wangu
JazakaAllah kheir kwa ufafanuzi wako sheikh, siku zote mtu ukiwa unazikimbilia aibu za watu na kusema urongo juu yao, basi Malipo ni hapa hapa duniani. muache afedheheke kama alivyowafanya wengine wasiostahili
Ushabiki ushabiki na chuki zimewajaa ajabu mnaehangaikanaye wala hawafikirii kabisa kwakuwa anajua nyote ninyi ni wanafunzi wachanga katika wanafunzi wake hamuwezi kujadiliana na Sheikh labda mkasome kwake huwo ni ushauri tu nawapa ndugu zangu
@YusufuMustafa-c5m sina wakati wa kubishana na wewe, Ikiwa huoni ujumbe wangu vizuri ,rudia tena mpaka uelewe ama utabaki uki reply upuzi tu
Mh umejichokea
Atakuwa amepata simu mpya smart fon 😅😅😅
Jazakum Allah khayran ttnazidi kuelimika
😂
Ana test ubora
Umechambua vizuri sana sana kabisa.
Ukisikia elimu ndo iyo sasa fanya vitu au ongeaa mambo bil adillah basi.
Nimependa ulivyoifafanua passport size.
Ulivyo mpa dalili shekh delele(humeid)
Ulivyo mpa dalili shekh kassim mafuta.
Naam jazaqallahu khair (allah atukubali sote.)❤
Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah
Kiboko ya Salafiyyah Jadida.
Sh Muhammad Nassor Bachu.
@@jamalsaid7475 ni yupi katika maulamaa duniani walokutangulia wa ahlsunnah wakasema kuna salafiya jadida au huyoo babu yenu hizbi wa answari sunnah barahyani ndo mnakaririahwa, answari sunnah waongo sana hawakuijurisha daawa salafiya walipokuja watu toka saudia kusoma wakaitangaza daawa hii salafiya ninyi mkaona watu wanawakimbia nkasema et sisi ni masalafi original wale majadida mkabadilisha gia juu kwa juuu, mmefeli xana ndiomana answari sunnah man haji yenu haeleweki ni mah hajji mseto, ma ikhwan humo humo khawariji utawakuta hukooo, yani ninyi na usalafi mbali mbali watu kama kina kishki wale et ndo mnawaesabu masalafi, wakati anawasifu watu wa bidaa matabligh, na kufanya daawa na makhawariji wa kiibadhi oman arafu yey na kaka yake yule wanajiusisha mpk khitima arafu mnadai ni salafi answari sunnah ni mahizbi mmepinda mpo mbali na usalafi
😂😂😂kweli
Hatupuuuzi kitu shekh bachu Allah akuhifadhi wewe ni tunu wallahi halafu shekh bachu kuna mkristo mmoja mombasa anawasema watu wa sunna
Mkiristo yupi huyo wa Mombasa?
Masheikh acheni malumbano mbora mble ya Allah ni yule aliemchamungu
hhaahhhaa😂 we bachu mkorofi kwel, Aya bwanaaaa
Alaa Leo utaongea yote😂😂
Allah Akuhifadhi
Basi bachu inatosha tumbo wazi Tena 😂😂😂
MASHALLAH KUMBE SHEKHE WETU UMERUDI UMRA, AYA ALLAH AKUPE WASAA, UTUPE FAIDA NA KUONDOA HIZI SHUBHA ZA KINA YUSUFU DIWANI, WANAOTUITA SISI WAKATORIKI,TUSAIDIE. KUWAWEKASAWA HAWA
❤endeleni kuleta maneno yenu
Tunawasikilizia mukitoa asubuh mchana tupo kazini
Nilishangaa hili jangala muda wote kukaa kimya kumbe hulikuwepo
Acha maneno ya kifedhul ww adab huna ata ya kuvalia nguo yaonesha una mdomo mcha sana huenda hivyo Allah akuongoze@@suleali4915
Shukran sheikh ❤❤❤
Asalam aleykum warhmatullah wabarakat kesho inshaa'allah taariq za sheikh abuu ruduud/abuu fawzan. Zinaendelea kumjibu Muhammad bachu kuhusu hii kadhia ya picha za sheikh abul fadhli kassim mafuta allah amuhifadhi na amlinde.
Sio kweli anabainishiwa haki. ww namm tunatakiwa tuangalie ukweli sio kumuangalia mtu
@@HusseinHassan-p7ghakika
Akijitokeza jadida yoyote kutetea upumbavu atatandikwa radi matata,
Abuu Ruduud yule jaahil au mwingine😂😂😂😂
Mche Allah Muhammad nassor bachu usiongelee jambo usilo na uhakika nalo una uhakika kama sheikh Kassim mafuta amejipiga yeye hiyo picha
Enhee Upo Uhakika Na Sio moja Tuh Picha Zipo nyingi zake Sio Hiyo moja tuh
Sasa ww wataka ushahidi Gani kassim mafuta ni mzushi katika uislam na wote wanao mtetea
Ukiambiwa ulete ushahidi siku ya Qiyama utaeza???@@abuuzwiin1876
@@abuuzwiin1876kaa chini usome dini acha mipasho na kufikilia maisha ya watu
Hivi umesikiliza hii video
Halafu shekh bachu majadida wanakuogopaa mbaya
Hahaha!!..umenifurahisha Wallah,kwahiyo ndo unampa khabari au,eti majadida wanakuogopa mbaya
Jadida mbele ya m,bachu nikama mbuzi mbele ya fisi😂😂😂
Unaishi katika dhana nahilo litakugharimu maana kama nimkwel tuma nyengine
Sasa kweli umeishiwa na wakina tundulisu
Mmesahau Bachu alivogaragazwa kwenye suala la Hadhayan. Aogopwe kwa elimu gani aliyonayo. Amekuwa kama kitatange anaruka ruka tu.
Muhammad bachu kidhalilisha watu wapat faida gan
Hili linaonesha kwamb hakik ww una elim lkn huna hekma
Hakutakua na faida ya elim yk mbel ya Allah
فمن اوتي حكمة فقد اوتي خيرا كثيرا
Huna hekima 24:15 😮
Ndugu bachu mche Allah utakuja masuuli
فرَّج الله همك، وقضى دينك، وأسعدك في الدنيا والآخرة "♥"🤲🏽❤❤
Allah atustiri,
Hakuna mkamilifu..
Kwanza kabisa namshukuru Allaah kwa kurejea salama huko nchini Saudiarabia
Muhammad bachu kidhalilisha watu wapat faida gan
Hili linaonesha kwamb hakik ww una elim lkn huna hekma
Hakutakua na faida ya elim yk mbel ya Allah
فمن اوتي حكمة فقد اوتي خيرا كثيرا
Huna hekima 24:15
Maiti inipiga chafya...
Mzee wa Hadhayaani.
Mwalimu wake bado yuko nae naona hataki kumwacha tunasubir taaliq inayofuata🎉🎉
Hapa na mm nakuunga mkono sheikh......inaonekana dhahir
Allah amlipe kheri sheikh wetu abul fadhwl qaasim mafuta
Allahuma Ameeni thuma Amen ya Allah, lakini kakosea
Allahummah Amiin
amiin
na picha zake
Ameen ameen thumma ameen
Ukiona adui yako anakushangilia ujue uko kwa shida. Hivi mumepata kuungana na makhurafi na mashia dhidi ya Sheikh Abul Fadhil Qassim Mafuta Allah amhifadhi.
Bado hamjasema bachu atawanyoosha mpaka muelewi dini ni nini
Swala ni picha unaongea upuuzi mwingine..
Yani kka unaakili Sana mashaallah, wamesema kweli wanazuoni makundi yote potofu yataungana kuwapiga vita masalafy
@zanzibaronlytv3470 umekariri upuuzi kwa kubanwa akili na fiqra huru!! Sasa hiyo hoja yako ni Nini hapo katika hili suala la pichaa!!?? Huyu Sheikh Abuu Fadhila Qassim Mafuta hakosei??
Kaka hili jambo kama ndo unarijua leo
Itakua hata passport size yenye hujui sheria zake
Embu nenda kasoma Tanzania Passport Photo Requirements kipengele cha Photo Requirements for Passport size
Afu uje tuje kuongea
Kwenye ukweli acha ushabiki sheikh
Sheikh Muhammad Allah akuhifadh uzidi kuwabainisha hawa salafi uchwara
Sheykh kasim mafuta Allah amuhifadhi tunaona Ako namadui wengi sana wanao ngojea atereze alafu washerekeye
Kasimu ni kiburi hajitambui sio anamaadui awe na maadui ananini wengine hawana?mropokaji mnoo ALLAH ABAMUDHALILISHA
Maadui ni hao wanaompamba sio wanaomkosoa
Kweli akhui ndo Fuarah yao hawana kazi ilivwapate Vews lazima wamuongelee ndo wapate kula
Kaka hili jambo kama ndo unarijua leo
Itakua hata passport size yenye hujui sheria zake
Embu nenda kasoma Tanzania Passport Photo Requirements kipengele cha Photo Requirements for Passport size
Afu uje tuje kuongea
Kwenye ukweli acha ushabiki sheikh
Sana yani Allah ampandishe daraja. Inshaallah
Mjomba amemiss selfie 🤳
Wameungana kupambana, ila kwa idhini ya Allaah hawataweza.... Allaah tunakuomba umlinde sheikh wetu Abul fadhl Qassim Mafuta.....
Huyu Muhammad Bachu ananiudhi na hapa tu kuzungumzia masalafi
Allah awalinde masheikh zetu. Sheikh Abdhallah Humeid. Sheikh Qassim mafuta
NAMI sipendi lkn mkuki Kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu waambie masalafi kurejea ktk hekima ktk dawa lkn kuondosha ujubu kw baadhi Yao kujikweza kujiona wao Pepo anaweza kumpita muislam mwenzie kisa tu..😢
Usilolijua ni KWAMBA BACHU ALIKUWA KWENYE SAFU YENU MNAOJINASBISHA NA MASALAFI AKAONDOKA HUKO
@@aboubakarmakha4194Bachu hajawahi kuwa salafi. Ni Answari tangu na tangu.
Hamuez harbuu jina la Khassim mafutaa humfki hata kwa dawaa ujingaa uache Bachuu fundisha dinii acha ujingaa mtandao unaeza fanya llote
Hojja ya kibwatil kbsa, Allah akurehemu
ukwel usemwe. kuwakufurisha waislam. wanaumbuka wao
Lakini huyo sheikh Mafuta ni mtu wa Maana kbsa akiteleza mara Moja anasubiriwa na Dunia nzima lakini nyinyi mnakosea Kila dakika vip😂😂😂
Kaka hili jambo kama ndo unarijua leo
Itakua hata passport size yenye hujui sheria zake
Embu nenda kasoma Tanzania Passport Photo Requirements kipengele cha Photo Requirements for Passport size
Afu uje tuje kuongea
Kwenye ukweli acha ushabiki sheikh
Tatizo sheikh mafuta hataki kukosolewa na wanafunzi wake hawataki kukosolewa
Dunia ipi inamjua MAFUTA?
Kwenye fitna ndo utamskia na ruduud shaksiya
Delele nimekuchukia tangu ulipomsingizia sheikh zeinu abidin urongo kuwa yeye alikuwa ni imam wa masjid luta wakati huo kumbe alikuwa ayub na hukuomba msamaha
Wote group moja ya kupiga watu kadi nyekundu .
Sote hatuna uhakika kma kajipiga mwenyewe au la bali uhakika ni yeye na Allah, tufanye kajipiga ni kosa kafanya kweli lakn insha'Allah atatrajui , tunamjua sheikh wetu.
Lakin si kajipiga mwenyewe je dhambi hii ya kuisambaza mtaenda kumuomba radhi na Allah mtamjibu nini?
2, akiwa hajajipiga mwenyewe bali kapigwa au kaeditiwa je waliofanya hivyo watamjibu nn Allah?
Hakika umeongea.
Nitaandika coment yangu nikitulia Inshaa Allaah
majadida huteteana hata amuone mwenzake akinywa pombe atasema alikua anakunywa maji😂😂
Maqadima ni kina nani😂
@@SugowFarah-up3db majadida Yani salafiy jadida
assalam alaikum warahmaturullahi wabarakatuh sisi. Massalaf tunamahadui wengi san lahawatotudhur chochot lla allah atuhidhi
Subhana ALLAH kumbe huna ilmu ni kelele tu
Wjua leo kua Hana elimu😅😅
Kasharudi tena pahali hapekalika 😅😅 tafrahani ,mtu halali
Muhammad bachu kidhalilisha watu wapat faida gan
Hili linaonesha kwamb hakik ww una elim lkn huna hekma
Hakutakua na faida ya elim yk mbel ya Allah
فمن اوتي حكمة فقد اوتي خيرا كثيرا
Huna hekima
We Bachu mpuuzi sana hiyo picha ya kucheka niyakueditiwa we pia hamna kitu kwako meno ya kueditiwa ndio yanakuwa hivyo tazama vizur hayo meno acha ujinga wew
Wew hebu kaa usikilize vizur ACHA ubishi kwani MAFUTA ni maasumi?
Nafikiria ipo haja ya sheikh Qassim Mafuta kukiri juu ya shutuma zilizopo dhidi yake, si vibaya ikiwa ameteleza kuudhihirishia Umma kuwa kuna kosa limefanyika na huo ndio Ucha Mungu.
Sio kukiri ni kuzungumza juu ya qadhia hii maana kukir ni kukubali sasa kama hajafanya kwanini akiri hilo??
@@AlmasAbdallah-r3g Kaka hili jambo kama ndo unarijua leo
Itakua hata passport size yenye hujui sheria zake
Embu nenda kasoma Tanzania Passport Photo Requirements kipengele cha Photo Requirements for Passport size
Afu uje tuje kuongea
Kwenye ukweli acha ushabiki sheikh
kweli hajafanya cjui unataka ushahidi gani ili uamini
Hivi kupiga picha na kufanya ujasusi kwa muislamu mwenzako ni lipi linahitaji kukiri maana hao masheikh zenu wanaulizwa picha wamezitoa wapi?? Kama ni selfie kwa maana alipiga kwa simu yake vipi huyu bachu picha alizipata wapi???
@ sikiliza 25:18 ameelezea
Usipoelewa apo sheikh
Allah akuongoze
Kwel kabsa anazingua kasim mafuta
Huyoo dileleeee bwaaaaaa
Kwa hiyo huyo jamaa ndiyo anayechukuwa picha za masheikh kuzibandika ili kuwachafulia heshima zao ila ya sheikh wao kasim mafuta hazibandikwi hadharani Yani picha zao kupandika hadharani ni bidaa za wengine sunnah
Kwaumbea uko vizur . Ulishawahi kujiuliza hipicha imepatikana wapi bwana hadhiyaani hadhayaani
Assalaam alaykum ndugu zangu. Mimi nasikitika Sana kuona masheikh zetu wanajadili kuhusu mambo ambayo kimantiki kahayana maana yoyote,huku vijana mitaani tumezidiwa na mzigo wa maasi, vijijini uislamu wetu upo chini.nyoyo zetu zimekufa vijana kwa wazee tumeathiriwa na mipila na matamthilia,hakika masheikh zetu muandae majibu ya kumjibu allah.kuna mada hazina maana yoyote kujadili.huku vijana tunaangamia kwa maasi. m.mungu awalipe madai wote wenye Nia njema na huu uislamu na wale madai ambao wapo kwaajili ya mihemko na riyaaa Allah ndie mjuzi wa malipo yao. Kama Kuna muislamu nimemkwaza ktk hili naomba anisamehe.allah atuongoze
natamani kulia walah da umesema kweli
Hii pia niktk dini
Kwa hiyo hapa hakuna faida iliyopatikana?
Wa alaykumus salaamu wa rahmatul Laahi wa barakaatuh. Allah Akubaariki Akhy. Mie pia nina mtazamo kama wako. Tuna matatizo makubwa sana yanayohitaji ufumbuzi. Welekeze nguvu za da'wa ktk kuondoa hayo matatizo.
Sawa ndugu yangu tufanye kwa mtazamo wako faida ipo, kwa Hali ilivyo inaonekana kasimu mafuta amefanya khiyana au amekosea, Basi kama amekosea tumuachie hukumu hiyo m,mungu.sikitiko langu tunajadili lile alilokosea kcm mafta na kwanini tusijadili na sisi madhambi yetu au khiyana zetu tulizozifanya.
Vile vile nawasihi vijana wenzangu hizi comment zinaishi baada ya kufa kwetu ikiwa mtu unajibu kwa mihemko Basi m.mungu ndie atakaetulipa@@mootelahamongus633
Sheikh Mohammed bachu uko wapi wewe mambo bado tumepewa taarifa za uhakika kuwa Kuna picha zake huyo sheikh mafuta ya nazi picha sita zitatolewa wajipange wakina dilele tuone watasemaje picha sita maji yameeanza kuchemka
Waalaykum salam warahmatullah
wabarakatuh
BACHU WABACHUE BABA ,HEKOO........👍
Akhy sio mpira huu chunga ulimi.
Mtaangaika Sana sheikh amumuwezi Wala Hana mpango wakuwajibu nyie yeye anafudisha usalafi
Nyie ni wanafiki ni kishehe chenu
Kasuku Muhammad bachu wacha ulimbukeni.
😂😂😂aki huyo bachu
Kasimu Mafuta sio mungu,atubu tu kuwa alikosea ili aonyeshe uchamungu
Wewe ndoo jinga kabisa
Wwy mjinga nini nenda kasome kwanza acha kuropoka
Kassim mafuta tulimjuwa tangu zamani ni hassidi mmbaya sana dhidi ya wasomi wenziwe hata walio na elimu zaidi yake.huku kuwashambulia na kuwadhalilisha wenzenu hamfi ila ALLAH atawadhalilisha.na balaa ndio lishaanza hilo.hamna daawa salafiya wala nini zaidi ya kutafuta sumua na shuhra.mwenendo sahihi nikuifuata manhaji ya rasul .ahlu sunna wal jamaa.haya makundi makundi sijui sarafina safina huo ni upuuzi na haufiki popote.hili nikundi kama makundi mengine tu yaliovuma nakukufurisha wenzao wakajifanya wao washabashiriwa pepo.elimisheni umma wacheni kupoteza mda kushambulia watu
Ustadh Mohammad Bachu me hupenda sana khutba zako ila hapa umefeli. Wewe ndio mwanzo watoka UMRAH, kisha ukirudi tu wamrukia mwenzako kwa tuhuma. Picha ya visa za kwenda Saudia waeza piga na kilemba. Yaruhusika
Mbona alipokua akimlipua yusufu fiwani mlikuwa mwafurahi tulieni afanye ukweli
Kwahiyo mtu akitoka umra akiona munkari uovu basi asiuseme!!wewe vp?
Mvivu wa kusikiliza
Wee shekh chunguza kabla hujamsema mtu mtandaoni picha inaweza kupatikana hasa kwa wale wanaotaka kuchafua Mashekh wetu
Acheni kucomment kabla ya kuskiliza kwanza
Shekh sisi tunataka darsa lako vitabu vinasemaje kuhusu picha
Hizo picha ni mbili mmoja yuwacheka na moja ameuchuna hakuna edit zote ni yeye
Mambo yamekuwa Moto sana
😂😂😂😂 nimecheka sana mbona kama nakujua bwana Yasin
Kwaza huwezi kupiga picha ya paspot size ukiwa umevaa kilemba ikawa sura haionekani vizuri
Swadakta bro
MI NLITAKA NISHANGAE YANI KADHIA HII IPITE MROPOKAJI HAJAONGEA YANI AKAE TU ASITIE MDOMO WAKE MH..BAS KASHAELEWA KWEL KWEL HUYU KIJANA ALLAH AMUONGOZE
Mnalalamika Leo ila alipokuwa anatukana wengine mlishangilia kama tadinu tudanu,kimsingi Mafuta aache kujinadi kwa uchamungu na kuwatukana wengine na kuwakufurisha
Aysee nilikua nna kusubirii hawa murjif wame zidii sanaa
Wee Bachuuu ni mpuuuz sanaaa,
Hoja huna lakin😂
Waongo wakubwa nyie
Upuuz wake ni nini
Rodgers
Nenda kanisani yesu kafufuka huko
Mbon hawa ma jam waongo kwel kwel subhanallah pc kisha pig tu achen ujanja
Alafu utapata watu hta ufahamu hawana tayari amesema ni msimamo wao wa kiwahabi sio MTUME MUHAMMAD [SAWW] amesema kwa msmamo wao
Hivi kwann mahizbi, masufi, mashia. Maibadhi na wengineo ktk makundi mapotofu wameungana kumpiga vita kassim mafuta kwa hili?
Kwani salafi ni nani na hizbi ni nani
Kwa sababu wote ni Waislamu wanaungana kuupinga uovu,,,,
Nilijua tu huyu kihereher lazima aongee hahahahha maana anatafuta ukubwa kwa nguvu
Kuacha shughuli zenu na mkashughulika na swala la picha za sheikh qaasim,,,hii dalili tosha kwamba sheikh qaasim ana man zila ya juu Sana,,,Allah amuhifadhi .
Kwa hiyo asiambiwe kama kakosea na yeye keshajiita sheikh???
@mobilespecialschool4216 sijasema asiambiwe mm..kuwa mwepesi wa kuelewa .
@@ABUUJAAFAR92 kwa hiyo message yako ina maana gani ili niwe nimekosea.??
@@mobilespecialschool4216 akili yako ndogo huwezi elewa ...usufi kwani ama uhizbiy?? Naona hujielewi
Mafuta yana mambo
1)Yanatelezesha uanguke
2)Yanatelezesha usikamatike
3)Na kuna methali inasema kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa yaani (kuwadanganya watu )
Yaani ni huzuni ka ummah wa
Á kiislam,
Sheikh muhammad mm sio mfuas wa kassim mafuta ila hilo jambo ni dhulma amefanyiwa kassim
Dhulma gani??
Kama amefanyiwa dhulma kwanini asitoe bayan?? Jee yeye ameshawadhulum wangapi??? Huenda ni malipo
Kwan yeye hana dhulma alizowafanyia
Unaweka HUWENDA KUDHIHIRISHA WEWE NI JAHIL MURAQAB
@@abuumansour8479
استغفرالله و اتوب إليه
Kunamambo mengi watuwatuwanafanya kinyumena allah kwann mnapenda kuchafuana
Huyu bachu anajifanya mtakatifu km yy yuko perfect vile
Apa bacho anabainisha haki ndugu tuache taasubi
Hata wewe hapo ulipo tunaona kivuli chako na huwo ukuta rangi yake ni kama ile Kisha ety wamekwenda kuzi edit rangi ya blue dilele bwana jambo la mrongo kweli ety mm nilikuwa safari nikasikia hizi habari wacha niziweke sawa
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh vip hal mpo salama ninge penda nitowe nasaha kwa masheikh zangu akiwemo Muhammad bachu na wakina qasim mafuta kwanza muogopeni ALLAH na kwanini msifanye sulhu baina yenu muka nasiana bila kufanya fujo mtandaoni kwasababu nyinyi tuna wadhania kheiri nyinyi ni masheikh wa kisunnat acheni ikhtitaf kwasababu nyinyi mna tetea kitabu na sunnah ila mkianza ku ikhtilafia na kupigana vijembe kama kuna tatizo tafutaneni muongeye nyinyiote niwajuzi ikiwa mna fanya ivio nyinyi masheikh wa kisunnat vip wangine mnao walingania na kingine msije mka danganywe na sisi mamuma mtaanza kufanya kitu kwa ria kwakweli mjielewe pakitokea kitu baina yenu fanyeni mujadala nyinyi kwa nyiny,i tuna wapenda sana kwa ajili ya ALLAH kwasababu nyinyi ni masheikh wa kisunnat
ASALAM ALEIKUM WARHAMTULLAH WABARAKATU NAPENDA KUTOA BISHARA YA KHER KWA MASALAFI WOOTE KWAMBA WAKAE MAKAO WA KULA RADD (1) KWA MUHAMMAD BACHU KUHUSIANA NA KADHIA YA PICHA YA SHEKH WETU MBORA SHEKH KASSIM MAFUTA KASSIM ZILIZO SAMBAZWA SHEKH ABU FAWZAN ABUU RUDUD HIVYO KAENI LAKAO WA KUSKILIZA LATANGO PORI MENGINE INSHALLAH 😂😂
Mwanachuuoni gani aliyesema hadhayani ni mropokaji hhhhhhhh
😂😂😂😂
Nilichokielewa mimi Ametoa ufafanuzi wa picha hiyo mwenyewe na amesema ilikuwa Passport size ya shughuli maalumu wewe unakataa nini.
Lakini pia bado hajahalalisha picha angekuwa kahalilisha picha ndio hoja zako zingekuwa na mashiko.
Hizi ni sababu za kumchafua tu. Tungeegemea kwenye yale makosa aliyosema Shekh na kisha baada ya kumwambia ukweli bado akaendelea na msimamo huo.
Unauwakika gani kama shekh Abul fadhil kajipiga picha mwenyewe kama kafinyiwa dhulma na watu, arafu mahizbi mnashida sana, bachu ni hizbi siku zinapoenda unazidi tunabainikiwq uhizbi wa bachu, sururiya ikhwan
Ndo matokeo ya RUDUD
Halaf nmegundua hawa wanafunzi wa Pongwe wengi shule hamna ndio maana akili zao zimeshikwa kirahisi!
@mbjunior166 ww utakuwa hizbi mu ikhwan nini? Alama za mahizbi utazijuwa tuuh, mubtadii kuwasema vibaya masalafi na maulamaa wa kisalafi na kudhani kwamba mtaiangusha daawa salafiya na kuwatweza maduwati wa daawa hii
Naww pia utaenda kujibu mbele ya Allah vile vile watafuta umaarufu ktk dini ya Allah
Acha zana
MAASHAA ALLAH
Alie kuambia Anaogopa ni nani mche Allah
Unajinasibu na dini na ushekh unakalia KUENEZA maneno ya uongo mche Allah sio Kila kitu
Chasemwe
Muogope Allah
haki iko wazi kuwa kaiga icha lakin wanafunzi wamekuwa wanaamini sheikh wao hakosei kabisa na hakupiga picha ila wamekuwa wanafunzi wanaamini bila kuuliza tusiwe kama magalatia wanaamini mambo yoote wanayoelezwa na wachungaji wao bila kuhoji
Fitina zako zitakuponza una fitina kubwa sana wallah na Allah atakulipiza juu ya hilo
Ngoja tushike hili kuwa bachu kasema kuwa Sheykh wetu ABUL FADHLI KASSIM MAFUTA
Kajipiga mwenyewe picha ?
😂 eti aliweka pozi fulani hivi😂
Bachu mkorofi sana 😂😂
MAITI KAPIGA CHAFYA TENA HAHAHAH
NGOJA DAWA YAKE IKO JIKONI BIIDHNILLAH KUMBE HAJAKOMA