GACHAGUA NDIYO BASI TENA| SIASA SIYO KAZI NI UTUMISHI TU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 19

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 3 місяці тому +2

    Kenya wanajitambua sana aisee, ad nimewaonea wivu.

  • @leoncastelyn3751
    @leoncastelyn3751 3 місяці тому +4

    Kenya wanatukana raisi na maisha yanaendelea,Tanzania kuchoma picha raisi balaa

  • @MikeWafula-ce5xi
    @MikeWafula-ce5xi 3 місяці тому +2

    Siasa ya Kenya hamuwezii nayooooo kabisaaa

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 3 місяці тому +2

    Wakenya wajua sana sia kuliko sisi.

  • @THE-HIGHWAY-VOICE
    @THE-HIGHWAY-VOICE 3 місяці тому +2

    kenya ndio tumeanza ile gennzz...siasa ya kenya twaijua sisi...niiteni interview niwape bulletins

  • @georgenzai1355
    @georgenzai1355 3 місяці тому +2

    Kenya is from a Different Continent ndio maana inaitwa CAPITAL CITY OF AFRICA Majirani zetu mko mbali kwa Mifumo yote ile mnaijua nyinyi

  • @alihoka_001
    @alihoka_001 Місяць тому

    Hehehe Tanzania hizi haziwezi wapita, 😁

  • @georgewangai6207
    @georgewangai6207 Місяць тому

    Mimi kama mkenya, mkikuyu, nataka nikueleze kinagaubaga, Gachagua amekuwa moto kama basi. ndiye mkombozi wa umma sasa katika mt. Kenya na mbali. Tayari kavishwa taji. Ngoja mtamuona 2027 inshallah

    • @awidhiodhiambo9205
      @awidhiodhiambo9205 5 днів тому

      Don't export your ignorance.Gachagua was an embarrassment to this country except your tribal mountain region

  • @DINASSOUR
    @DINASSOUR 3 місяці тому

    Hyo tv kitambo ni mbovu...studio kubwa km hyo....

  • @YusuphShaban-t5g
    @YusuphShaban-t5g 3 місяці тому

    Siasa sio kazi ni utumishi lkn kwel yan

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 3 місяці тому +1

    Tanzania siasa ni ajira ndo maana maprofesa wako uko

  • @leoncastelyn3751
    @leoncastelyn3751 3 місяці тому

    Gachagua is done and dusted never again be in public service

  • @jojoshama2494
    @jojoshama2494 3 місяці тому +7

    Na funny thing ya tanzania hamuwezi kutangaza
    Bandari zenu wameuza ila hapa mnatangaza kenya tu
    Nani aliwaroga nyiee

    • @khadi-z4o
      @khadi-z4o 3 місяці тому

      😂

    • @janewanjiru336
      @janewanjiru336 3 місяці тому

      😂😂😂

    • @Malathnyawade
      @Malathnyawade 3 місяці тому

      Kenya is giving them sleepless night

    • @HAPPYTADEI
      @HAPPYTADEI 18 днів тому

      Unashindwa kuelewa jambo moja..... social media digital content creators wako kwa ajili ya kutafuta na kutangaza taarifa sensitive zitakazofuatiliwa na watu mwenye media apate pesa..... THINK BIG.... usicomment kitoto😂

  • @leoncastelyn3751
    @leoncastelyn3751 3 місяці тому

    He will definitely go to prison