TAZAMA ALIKAMWE NA AHMED ALLY WALIVYORUSHIANA MANENO LIVE STUDIO WASAFI FM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 11 місяців тому +1

    SIMBA NGUVU MOJA 🇹🇿 ♥️ ❤️ 💖 mashabiki bora barani Africa 🇹🇿

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 Рік тому +5

    Nmependa Sana hii kitu mpira sio uadui

  • @HawaMheza
    @HawaMheza 8 місяців тому

    Mapacha wasioachana nawapenda Sana muendelee hivyohivyo msigombane kwavitu vyakupita

  • @aemeromedia
    @aemeromedia Рік тому +1

    awesome information!
    💪

  • @felicianmabepe3958
    @felicianmabepe3958 Рік тому +11

    mimi yanga ,, huwa nafurahi kweli simba akifungwa,, lakini napenda sana simba na yanga washinde mechi zao za kimataifa ili ligi yetu ipande hadhi ,, hiyo inarahisisha sana hata wachezaji wakubwa kukubali kuchezea tanzania

  • @Joel-t6d4x
    @Joel-t6d4x 8 місяців тому

    Nice

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty Рік тому +1

    Yanga nipo

  • @thomsonleon134
    @thomsonleon134 Рік тому +5

    Hahahahaha weekend kila mtu apambane na msiba wakee😂😂😂

  • @WittyMichael-zr2zz
    @WittyMichael-zr2zz 18 днів тому

    Ila kamwe wea

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 Рік тому +3

    Mashabiki kuna mtu anaitwa manara ni kirusi kimoja hatar ndicho kilicho chafua hali ya hewa badala ya kupongezana wao kunununiana hata wote wakishinda mechi zao wao utakuta wana nuniana wajinga kupita maelezo

  • @abiasifredrickdima3255
    @abiasifredrickdima3255 Рік тому +4

    Hawa ni wana kabisa na ndo kitu tujifunze mashabiki wa hivi vilabu tuache makasiliko

    • @zainabally9828
      @zainabally9828 Рік тому

      Kwakweli

    • @zainabally9828
      @zainabally9828 Рік тому

      Urafiki awezi kufa kwa sababu ya mpira ila Kila mtu anatetea ugali wake 😂

  • @WensiNovatuc
    @WensiNovatuc 3 місяці тому

    😅😅😅😅