КОМЕНТАРІ •

  • @THETHIRDTV_
    @THETHIRDTV_ Рік тому +20

    Mastaa 10 waliojiunga Freemason Bongo. (Mpya 2022) 👇
    ua-cam.com/video/44kFCNMMtj8/v-deo.html

  • @user-us8qr5rg9j
    @user-us8qr5rg9j 5 місяців тому +9

    Mavoko.tin.pamoјa na dokiii nikwrl ndugu watu wa morogoro

  • @dieumercifataki-nl9wo
    @dieumercifataki-nl9wo 21 день тому +1

    Shida Yako unaongea mambo mingi mupaka sielewi kitu chochote 😅Sasa Irène Na Elizabeth lulu na wema sepetu wanausikianaje nahilii

  • @fridamusa8152
    @fridamusa8152 Рік тому +6

    Nice

  • @sinzoyihebabonuer9554
    @sinzoyihebabonuer9554 Рік тому +20

    Nikweli kabisa.kusema tin white na mavoko.nakubali sababu wanafanana sana kabisa

  • @MomadeMohammed
    @MomadeMohammed 6 місяців тому +11

    Tin White Mavoko Na Dokii Ni Ndugu Wadamu Kabisa

  • @KhojaNasri
    @KhojaNasri Рік тому +7

    Queen na Mondi

  • @adejoahjoah9155
    @adejoahjoah9155 Рік тому +10

    Vanessa na mdogo ake tunajuwa kitambo

  • @gaudensiamapunda9886
    @gaudensiamapunda9886 Рік тому +6

    Bora umetuambia tucje kuchanganya Damu😅😅

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 Рік тому +30

    Tini na mavoko nilisoma nao ilala kasulu mama yao ni mwl Martin mwalimu wa stadi za kazi mkali sana alikuwa huyu mwalimu..mavoko ni mother's boy...

    • @zenahussein3840
      @zenahussein3840 Рік тому +3

      Wee na mimi nimesoma ilala kasulu mwalimi martn namjua anapenda kupiga fimbo za kiuno huyoo

    • @zenasalum2231
      @zenasalum2231 2 місяці тому

      Mlisona mwaka gani kama namkumbuka huyo nwalimu

    • @CapitalMafionzo
      @CapitalMafionzo Місяць тому

      He na mie nimesoma ilala kasulu namkumbuka mwalimu kipesile mwalimu buzuka mwalimu faru jmn long time 😂😂

  • @Mamsocom
    @Mamsocom Рік тому +5

    Umesahau mavoko, tin white na dada yao

  • @don_dallartz
    @don_dallartz Рік тому +11

    Dabo ni msanii wa Reggae mzee👊

  • @user-zg5du5yd4e
    @user-zg5du5yd4e 6 місяців тому +8

    Lil ommy mdogo wake na dj Kally wa voice of tabora

  • @abdulrahmantv7164
    @abdulrahmantv7164 5 місяців тому +12

    Sio Haba ni Abaa

  • @piusalexander4322
    @piusalexander4322 Рік тому +11

    Mtangazaji unazingua double ni msanii wa lege fuatilia bhana acha use..

  • @user-zj8se2bt4p
    @user-zj8se2bt4p 5 місяців тому +2

    🎉Muongo ww unazngua aba na kapipo ni mtoto wa shangaz na mjomba aba ndug yake wa damu ni jaiva au Sebastian tena seba ndo wakwanza kuzaliwa aba wa pili watatu fina bhas familia yao ni yenye watoto watatu2 mmoja mwanamke kama vtu uvijui uliza usitudanganye wakat cc ao tunaish nao mtaani na tunawajua vzli

  • @KhojaNasri
    @KhojaNasri Рік тому +2

    Ali,Abdul kiba

  • @adriandaniel8304
    @adriandaniel8304 Рік тому +5

    Sio HABA bro ni ABA..

  • @muhibusaid3427
    @muhibusaid3427 Рік тому +2

    Kwani tin whit ana semaje

  • @hamsolexhamso2458
    @hamsolexhamso2458 Рік тому +8

    Unaongea sana bana jaribu kufupisha maneno unakera

  • @salamaksrisa9580
    @salamaksrisa9580 Рік тому +6

    Tin white hio ni kweli lkn hizi zengine

  • @imanimahuwi28
    @imanimahuwi28 Рік тому +3

    Basi baadaee

  • @evangelistmcsarahmvungi3626
    @evangelistmcsarahmvungi3626 Рік тому +2

    Flora mvungi na Sarah mvungi aka hanny wasanii wa maigizo na mziki

  • @100Hundredmiles
    @100Hundredmiles Рік тому +6

    SIO HABA NI ABA

  • @GodenJohn
    @GodenJohn 2 місяці тому

    Umeambiwa master ambao hawapendi kujiweka hazalan kama wao ni ndug

  • @athumaniomar3403
    @athumaniomar3403 Рік тому +1

    Acha uongo lil omy anaitwa Omar tambwe kwao tabora acha uongo

  • @janneykennedy4787
    @janneykennedy4787 Рік тому +6

    Acha kuongea san bwana mpk tunasahau😏😏

  • @SikudaiMwaibambe-jr7bo
    @SikudaiMwaibambe-jr7bo 5 місяців тому +1

    Sawa

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 2 місяці тому

    Umemsahau baba revo na mwijaku😂😂

  • @momademussa6583
    @momademussa6583 Рік тому +11

    Hili Iwe Vizuri Ungetuambia Undugu Niwa Vip Na Sio Story Book

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 Рік тому +2

      Sasa si yuwakuambia ndugu tumbo moja😅😅

  • @jdeoffspliny2594
    @jdeoffspliny2594 2 місяці тому +1

    Mbona belle 9 na bright ujawataja

  • @jassonkyaruziwilliam5372
    @jassonkyaruziwilliam5372 6 місяців тому +4

    Punguza maneno mengi. Taja majina na picha zao. Unakalia story tu.

  • @AllyAlly99-o5d
    @AllyAlly99-o5d 8 днів тому

    ndo mnanisanua hivy sijawahi hata kufikiria undugu wa lulu diva

  • @VumiliaManyerere
    @VumiliaManyerere 2 місяці тому

    Inafurahisha

  • @Salmanunique-bf9rj
    @Salmanunique-bf9rj 2 місяці тому

    Aje kwang

  • @ledasultan9098
    @ledasultan9098 Рік тому +3

    Idirs na Lulu baba zao Ni tumbo moja

  • @Best_tz
    @Best_tz Рік тому

    Unyama mwingi san

  • @SalmaOmari-rl2op
    @SalmaOmari-rl2op 2 місяці тому +1

    Unyama

  • @ismailalmazrui1555
    @ismailalmazrui1555 Рік тому +54

    Ila hujui bwana mnazingua na mnakurupuka kufanya mavideo yenu, unapomtaja mtu na mwenzake weka picha zao unganisha kwa pamoja halafu uweke Kila mtu akiwa peke yake lkn unaongea mpaka tunasahau nani unamtaja ndio unaleta picha hamueleweki jipangeni hivyo vipengele nilivyovutaja msivione vidogo vina nafasi yake katika kumvutia mtazamaji

    • @danciledeciella6442
      @danciledeciella6442 Рік тому +7

      Kabisa

    • @THETHIRDTV_
      @THETHIRDTV_ Рік тому +4

      Asante kwa maoni yako..tunalifanyia kazi

    • @tanaboymbabe7935
      @tanaboymbabe7935 Рік тому +2

      Kapipo na Abbah sio baba mmoja wala mama mmoja ni mtoto wa shangaz yke Abbah mdogo ake finnah na kaka ake ni Jaiva real name Seba wakaz wa mburahat barafu mtaa wa mashineni kwa mwarabu muulize Abbah alafu mwambie tana boy ndio kakupa taarifa izi

    • @hhbb6142
      @hhbb6142 Рік тому

      Eeeh umeongea

    • @husseinndondole2061
      @husseinndondole2061 Рік тому +1

      Tin white na mavoko ni ndugu, ila dokii ni ndugu yake mavoko bhac au vp hapo imekaaje

  • @salimsibabu9027
    @salimsibabu9027 6 місяців тому

    Kuna wengi hujataja km Ali kiba na Abdul kiba

  • @hashimupangani2093
    @hashimupangani2093 6 місяців тому +1

    Fanya malekebisho kisha muhirudie tena hii video kwa sasa Mmezingua..
    Picha amjazipangilia vizuri,
    Maneno mengi kuliko dhumuni,
    Taarifa zako hazipo sahihi kwa baadhi ya ma-star

  • @silvasipro4456
    @silvasipro4456 Рік тому

    Hey

  • @janethgeorge5791
    @janethgeorge5791 4 місяці тому

    Uko vena😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @rosemaryrwabibi5908
    @rosemaryrwabibi5908 Рік тому +4

    Z Antony na j meledy wanafanana sana

  • @youngblack6917
    @youngblack6917 Рік тому +18

    Kumbe Alikiba na abdkiba sio mastar au sio ndugu?

  • @IddyAbdul-gw2ju
    @IddyAbdul-gw2ju Рік тому

    Iddy abdul

  • @rashidhussein3711
    @rashidhussein3711 Рік тому +2

    Unakurupuka tu

  • @DaudSaidy
    @DaudSaidy Місяць тому

    Muongo bana jmelod alisema wala si ndugu

  • @philismbuluma5461
    @philismbuluma5461 Рік тому +6

    Lil ommy na do ommy Ni uongo100%

  • @zeddyislam9175
    @zeddyislam9175 Рік тому +16

    Aaaa🤗 Z Anton na Jay Melody👌

  • @justinmkawa4552
    @justinmkawa4552 2 місяці тому

    Abbah au haba?😂😂

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim Місяць тому

    Nandy na billnass umewasahau

  • @FadyManywele
    @FadyManywele 4 місяці тому

    Mmmmh

  • @tanzaniasociallightfoundat9053
    @tanzaniasociallightfoundat9053 2 місяці тому

    BADO ALIKEYIOO na ABDUKEY

  • @user-bv3un1bq5n
    @user-bv3un1bq5n 4 місяці тому

    Duuuh makubwa

  • @user-jj5mm4dg6c
    @user-jj5mm4dg6c 3 місяці тому

    Abba na jaiva ni baba na mama mmoja acha ujinga

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim Місяць тому

    ALI KIBA NA ABDUL KIBA HUJAWQTAJA

  • @IsabellEdward-jo8qm
    @IsabellEdward-jo8qm 4 місяці тому

    Hello nahitaji namba wa dereva Uganda to Tanzania

  • @user-xf9tt5it2q
    @user-xf9tt5it2q 3 місяці тому

    rich mavoko na tin white

  • @MartinMaxmilian
    @MartinMaxmilian 2 місяці тому

    Oya abbah ni ndg wa jaivah

  • @yohanashombe916
    @yohanashombe916 Рік тому

    Jamaa we babuu pia ni msanii wa hip hop

  • @doublevwilondja668
    @doublevwilondja668 Рік тому

    Ujitaidi kuwa unatajakwaho kwa asili

  • @Dymitri-Babushka.
    @Dymitri-Babushka. 5 місяців тому

    Makonda na mwijaku ni mtu na mdogo wake 😂

  • @user-dy2pt4lk8q
    @user-dy2pt4lk8q 5 місяців тому

    Lilommy na dommy so ndugu bana majina yao tu umekosea

  • @shyllahnekesa216
    @shyllahnekesa216 Рік тому +4

    Mavoko Tini na Dokii

    • @DuLLAWAZIRI
      @DuLLAWAZIRI 6 місяців тому +1

      Mavoko na Tin ni ndugu wa damu
      Dokii ni wa shangazi yao

  • @lindachilewachilewa7680
    @lindachilewachilewa7680 Рік тому +4

    dabo anafanya hiphop_......khaa achen hizooo

  • @khamisramadhan686
    @khamisramadhan686 6 місяців тому

    Mmmmmmmmmh umetupiga🤨🤨

  • @starsmarttv2831
    @starsmarttv2831 6 місяців тому

    😢😂😂

  • @tumimushi7245
    @tumimushi7245 Рік тому +15

    Siyo Habba bwana, Ni Abba. Matamshi zingatia

    • @jojanes8477
      @jojanes8477 4 місяці тому

      Elimu ndugu c kosa lake

  • @pamela3335
    @pamela3335 Рік тому

    Wanafisha kwa nini

  • @kanikionlineTV
    @kanikionlineTV Рік тому

    ua-cam.com/video/4yY3TT3EVyQ/v-deo.html taarifa iliyotufikia hivi karibuni ni kuhusu msemaji mpya wa yanga sc , Alikamwe

  • @user-jj5mm4dg6c
    @user-jj5mm4dg6c 3 місяці тому

    Jide ndugu yake ni wakazi

  • @ideagene6045
    @ideagene6045 Рік тому

    Unyama #official_tella
    ua-cam.com/video/xYrqkerpoOQ/v-deo.html

  • @godsonkarengi2365
    @godsonkarengi2365 4 місяці тому

    😂😂😂

  • @DanielFrankManupa
    @DanielFrankManupa Рік тому +3

    Oya ni Abber sio Haba

  • @firdausrajabu6822
    @firdausrajabu6822 Рік тому

    Mavoko na dokiiii n uongo bn

  • @user-gg2lh2mr9j
    @user-gg2lh2mr9j 5 місяців тому +1

    Acha ufala ww z anto na jay melody wapinawap

  • @amanimkonde2216
    @amanimkonde2216 Рік тому

    Lil ommy na D Ommy hapana

  • @mmn7480
    @mmn7480 Рік тому +3

    Na richi na mondi ndugu

  • @Whitegsm
    @Whitegsm Рік тому +2

    Sio kweli zuchu kwao ndio wa mwisho kaka yao wa mwanzo anaitwa ismail wapili prince na watatu zuchu

  • @mpayufilm
    @mpayufilm Рік тому

    Utamu utamu. ua-cam.com/video/yrzGiIZOGFo/v-deo.html

  • @abdiathumani919
    @abdiathumani919 Рік тому +1

    Bab junio na bonge la nyau

  • @Mwonekano
    @Mwonekano 8 місяців тому

    Kuhusu z anto na jaymelody nakataa

  • @dj06tz06
    @dj06tz06 Рік тому +1

    Z anto umedanganya z anto ni mmakonde wa pwani pale mkindan ndipo kwao nawajuwa vizur famil yao

    • @shabbyofficial_
      @shabbyofficial_ Рік тому

      😂 😂 😂

    • @lamk-lt6dp
      @lamk-lt6dp Рік тому

      Tena katupiga haswa huyo z anto walikuwa wanaishi pale kigamboni machava nyuma ya shule ya msingi ya rahaleo asitudanganye hapa

    • @sirajiabdallah6824
      @sirajiabdallah6824 Рік тому

      kaka kwel mikindani pale mvita

  • @exaverymasinga3097
    @exaverymasinga3097 Рік тому +3

    Lady jeydee na wakazi na sio dabo mbuzi wee!

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 Рік тому

      Hpn wakazi Ana undugu na komando jeed, lla ni kweri Dabo na jeed ni ndugu wa dm, mm na bb.

    • @eliazebedayo1802
      @eliazebedayo1802 Рік тому

      Ipo ivyo,Wote lady jaydee-Dabo na wakazi ni ndugu wa damu!!

    • @markdevi2051
      @markdevi2051 Рік тому

      Dabo ,wakaz na jde ni nduguuu

    • @DuLLAWAZIRI
      @DuLLAWAZIRI 6 місяців тому

      ​@@maryamtan682wakazi na jdee ni wa baba mkubwa na mdogo
      Baba yao mwingine ni mzee wasira
      Na lulu diva na idriss baba zao ndugu

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 6 місяців тому

      Weee kweri kinyesi, kwani mara ngapi db akiulizwa kuhusu dd ake kumsaidia kwenye mziki wk, alafu wee fala kaa ulijua db na jide ni ndugu tn wa dm moja, jd mkubwa db ni mtt wa mwisho, mitandao umeijua Leo wewe sijui umechelewa wp.

  • @godfreyjacobo1370
    @godfreyjacobo1370 Рік тому

    J melody ni mtu wa mpwapwa Sasa undugu na z Antonio ukoje

    • @kingshata6370
      @kingshata6370 Рік тому +1

      Kwan baba y'ako akizaa mpwapwa na akenda zaa kigoma alio wazaa uko sio ndugu zako?

    • @karamrisho8238
      @karamrisho8238 Рік тому +1

      @@kingshata6370 🤣🤣🤣🤣

  • @zubeidamalimbwi2945
    @zubeidamalimbwi2945 Рік тому

    Alikiba na abdu kiba nao wakonafac ya ngap mbona nao nindugu na nmastaa pia nasjawackia

    • @salamanauthar480
      @salamanauthar480 Рік тому

      Anasema Kwa wale ambao watu hatujui' Ali kiba na Abdu kiba inajulikana

  • @adejoahjoah9155
    @adejoahjoah9155 Рік тому +1

    Na wolper kafata nini hapo au ili tuingie tu sijaskia za wolper

    • @evegirl2868
      @evegirl2868 Рік тому

      Mwanzo mi nimeclick ndio nione wolper na wema sepetu madugu zao ni akina nani

  • @nola9334
    @nola9334 Рік тому +6

    Unazingua kwa Vanessa wako watatu mbona Nancy ujamtaja??

    • @suleimanjuly1396
      @suleimanjuly1396 Рік тому +1

      Nancy hajulikani anazingua nin zaid ya wao kumtaja ndugu zake ungemjua huyo nancy

    • @neymichael1792
      @neymichael1792 6 місяців тому

      Nancy sumali ndugu yake ni nakaaya sumali. Siyo Vanessa

    • @NaiIshumaeli
      @NaiIshumaeli 3 місяці тому

      Nancy sumar mmeru Vanessa mopare wapi na wapi

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 Рік тому +5

    Umemsahau HARMONIZE na HARMORAPPA

  • @khalidngwembele9075
    @khalidngwembele9075 Рік тому

    Haba?🤷🏼‍♂️

  • @mr.romancer9160
    @mr.romancer9160 Рік тому +9

    Rich Mavoko na Tin White???🙄

    • @veronicamangwela9665
      @veronicamangwela9665 Рік тому +3

      Ni kweli ni ndugu kabisa pamoja na dokii. Me nawafahamu mpaka familia Yao pale kilosa kimamba

    • @emerencesifa2227
      @emerencesifa2227 Рік тому +2

      Niukweli mtupu

    • @Official83640
      @Official83640 Рік тому +3

      @@veronicamangwela9665 Dokii ni binamu yao sio baba mmoja mama mmoja. Mtoto wa Rich Mavoko kapewa jina la baba yake Dokie

    • @veronicamangwela9665
      @veronicamangwela9665 Рік тому +2

      @@Official83640 najua Ila ni ndugu kwani binamu sio ndugu!!!!

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 Рік тому +3

    ABBA sio HABA

  • @shedracknnko4890
    @shedracknnko4890 Рік тому +2

    Dokiii c mkenya Uyo

    • @elishajailosy8346
      @elishajailosy8346 Рік тому

      Sio mkenya ila Kunatime anaitumia rafudh ya Kenya kutangaza na kuigiza

    • @ZIZONSR
      @ZIZONSR Рік тому

      @@elishajailosy8346
      Yes! Ni mkenya 😆😆 wa kimamba ,kilosa ,MOROGORO

    • @elizabethmassi7327
      @elizabethmassi7327 Рік тому +1

      Dokii sio mkenya bali anaigiza kuongea kikenya, kwao Dokii ni kimamba kilosa ,kakake dokii ni msanii anasanii kwenye vichekesho vya kitimtim na wapo 3 kwao wote ni wasanii Dokii ni wa kike kwao pekee yake wawili ni wa kaka.

    • @jovithakawimbe7472
      @jovithakawimbe7472 6 місяців тому

      ​@@ZIZONSR😂😂😂😂😂

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 6 місяців тому +1

    Lulu diva sio watanga ni wa shinyanga

  • @homeboy2307
    @homeboy2307 Рік тому +2

    Anaitwa abbah sio habba

  • @mussaabdallah7451
    @mussaabdallah7451 Рік тому +1

    Xaxa kama hawataki kuxema kweli huo niuxhamba

    • @edwardtrigga5701
      @edwardtrigga5701 Рік тому

      Ni ushamba kama wewe mwanaume mzima badala ya kuandika Sasa unaandika xaxa

  • @user-gg2lh2mr9j
    @user-gg2lh2mr9j 5 місяців тому

    Dokii na mavokoo wapiwapina wapi duh miyayusho boya ww dokii kwao morogoro na ndugu zake nafanya nao kazi

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 5 місяців тому

      Ni ndugu hao mfuatilie doki wakt anasimamia haki za mavoko WCB

    • @emmaonalloh5515
      @emmaonalloh5515 4 місяці тому

      Ni ndungu dokii na mavoko

    • @BonitatemBonitate
      @BonitatemBonitate 3 місяці тому

      Huwezi kumjua mtu kuliko anavyojijua hata siku Moja,ivyo acheni kujifanya mnajua sana family za watu kuliko wanavyojijua wenyewe,kwani wewe kufanya kazi na ndugu zake dokii ndo sababu yakujua kila kitu kuhusu yeye?

  • @tzatza255
    @tzatza255 Рік тому +49

    Mzee Fanya Research vzuri, D.Ommy ni Daudi Omary na ni mtu wa Arusha then Lil Ommy ni Omary Tambwe na n mtu wa Tabora....siyo ndugu kabisa.

  • @khanafrica22
    @khanafrica22 Рік тому +2

    Undugu wa Jaymelody na Z anto ni kiaje?
    Baba mmoja au nini?

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 Рік тому

      Ni kweri ndugu wa damu kbs.

    • @allylingondo2151
      @allylingondo2151 Рік тому

      Sio kweli

    • @hasanikarimu5096
      @hasanikarimu5096 Рік тому

      Kweli

    • @kingshata6370
      @kingshata6370 Рік тому

      @@allylingondo2151 sa unabisha kip kwamba wasaniii walishuka toka mbinguni Awana ndugu au ukoo ao ni ndugu toka zamn kagua post za z anto zamn utaona ka j melody alikapost katoto