Asante sana mtumishi wamungu. Juzi hapa niliota nipo kwenye sherehe,sherehe yenyewe ilikuwa harusi.baadae nikawa nimeretewa Viatu pea mbili..pea moja nikiatu changu nikizuli sana ila nikirefu kizuli chapili nikiatu cha kiume cheusi ila nimeletewa nivae niingie kwenye pati nikakijalibisha kikanipendeza sana hivyo chapili sjakierewa kinamaana gani nichakiume
Nimeota Nyati na tulikua tume lala nje na watoto wangu. Nikawamsha tukaenda kwa nyumba nikakutana na kuku ambaye anatoka kulalia mayayi nadirisha ilikua imebomoka
Umesoma vitabu gani vikakupa uhakika kwa unayofasiria watu? Mbona unaongea vitu tofauti na vitabu unasimamia msingi gani? Mbona unaongea tofauti dunia ni kubwa na pana na ina wajuz wa kweli kweli juu ya bishara ndoto ni bishara kutoka kwa Mwenyez mungu so anagalia sana
Nikweli baba yani familia yetu sote hua tunachukiliwa toka tukiwa madogo hatatuemde wapi nchigani tunachukiliwa Sana hatuna yabia yakupigana mtu yeyote hatakutukana hatuna iyotabia tunakua wapole lakini MTU ata tafuta sababu yeyote ambayo haipo anakuchukia mm nimehama nyumba nyingi Sana kutakaliwa yani uko wababa na uko wamama walitutenga hapa tumebaki baba namama nasisi watoto ndugu wametutenga wanatuchukia Sana bila sababu mpaka Leo wanafanya mashereh au misiba lakin hawatuambii hata akiwayupo karibu yetu hatuambii Ila atakumbukwa wambali tumeishi kwauchungu mpaka Leo mtumishi
Kuna wakati naota na nyati wakubwa kupindukia,wananikimbiza nikipanda juu ya mti hata uwe mkubwa aje unaana kuwa mwepesi unainama hadi unaguza chini,nikikimbilia mwingine nikipanda juu vivyo hivyo
Ni kweli kabisa,pia mimi ujua hivyo hivyo, shukuran keep it up good work 🙏
Asante sana mtumishi wamungu. Juzi hapa niliota nipo kwenye sherehe,sherehe yenyewe ilikuwa harusi.baadae nikawa nimeretewa Viatu pea mbili..pea moja nikiatu changu nikizuli sana ila nikirefu kizuli chapili nikiatu cha kiume cheusi ila nimeletewa nivae niingie kwenye pati nikakijalibisha kikanipendeza sana hivyo chapili sjakierewa kinamaana gani nichakiume
Unitafute Watsp ntakutafsria Maan ya hiyo Ndoto
Asente Sana hata nilikuwa sijui maana yake. Mungu Hana jiya nyingi
Hongera Sana Apostle Emma.Video Iko Safi Sana,Mafundisho yameeleweka.Barikiwa
Tunakuombea maana Kazi yako ni Njema Mno.Uinuliwe kwa Viwango vya Juu na vya Kimataifa.
Barikiwa mtumishi
Amen pastor
Amina nimekuelewa
Asante ubarikiwe
Amina Asante
Yesu tusaidieee
😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Mtumishi kazi nzuri.Swali! Kuna uwezekano ndoto sio ya watu wote?Kwa sababu mimi sikawahi ota ndoto hata siku moja.
Binadam yeyote anaota bhnq
Huu ni ukweli kabisaa
Bwana YESU asifiwe nimeota mjusi kanidondokea lakin toka nimeamka Leo naona mujusu mpk ikabidi nianze kufatilia uku
Ema naomba unitafute plz tedy
0693-181896" Watsp Nombar nichek apo
Je niliota nime wakamata nguruwe pori minguuni iyo inamahana ngani?
Na ukiota farazi Ana jifungua mtoto mnene inamanisha nn mtumishi?
Nimeota Nyati na tulikua tume lala nje na watoto wangu. Nikawamsha tukaenda kwa nyumba nikakutana na kuku ambaye anatoka kulalia mayayi nadirisha ilikua imebomoka
Paka anatumika kwa kimapepo majini sio uchawi hapo ni paka majini angalia hapo tena vizuri
Ukiota tembo ina maana gani?
Bwana yesu asifiwe nini maana ya kuota umekamata kakakuona
Mtumishi samahani je kuota umeibiwa begi kwenye gari wakati upo safarini.
Mtumishi mm nimeokoka na huwa naota naombea watu sana, na Kwa uhalisia huwa nawaombea na wanafunguliwa
Kwa hiyoo. ...
@@leahmgunda4154 😂😂
I know Jesus is the Lord but this is not the platform for your publication; what is your intention?
Ndugu yangu mdogo aliota akiita ppanya panya alivyoamka alishinda akafa cku hiyihiyo
Ohh hiyo ni roho ya mauti Ili tumwa kwake
Thanks man of God but we have missed some words because of language ,help us please UA-cam Uganda Kampala.
Wewe ni muongo unaongopea watu hapa , haiwezekani kila mnyama awe na tafsiri mbaya , kuota simba aielezi ubaya moja kwa moja huo ni uwongo uliokomaa
Hakuna kitu chenye faida kisicho na asara
Kwakweli mm huota nyoka ata nyoka wengine naongea nao na yy akiongea naskia mara nyingi sana huota nyotka hadi najiuliza mbona ndoto zangu ni nyoka tu
Hizo niroho zakishetani
Nyoka ni uadui
Umesoma vitabu gani vikakupa uhakika kwa unayofasiria watu? Mbona unaongea vitu tofauti na vitabu unasimamia msingi gani? Mbona unaongea tofauti dunia ni kubwa na pana na ina wajuz wa kweli kweli juu ya bishara ndoto ni bishara kutoka kwa Mwenyez mungu so anagalia sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jameni
Mungu akusamehe sana
Uganda umerudi makanisani
Ubaya wako ni Kasi uko nayo kwani umeitwa polepile tafadhali
Sasa mchungajii kila mnyama au wadudu ni mbaya mhhhhh, Sio kweliii kuna baadhi ya wanyama ukitoa ni mafanikio
Mwamba kama pep macho yake
Unaongea vitu vizuri lakini, punguza kuongea Kama una rap hebu tuliza munkali...haupendezi kuongea hivyo
yaan mimi.nangalia mdomo manake
kwakweli kila kitu kibaya kwakee kwahiyo tusiote
Jamani mimi naota nina senene wengi sana mana yake jamani

Bata na kuku
Kuna wakati naota na nyati wakubwa kupindukia,wananikimbiza nikipanda juu ya mti hata uwe mkubwa aje unaana kuwa mwepesi unainama hadi unaguza chini,nikikimbilia mwingine nikipanda juu vivyo hivyo