- 25
- 157 127
Apostle Emma Mushi
Tanzania
Приєднався 27 лис 2021
Kwa huduma ya maombi na ushauri
Wasiliana na APOSTLE: EMMA MUSHI
NO: (+255) 755 567 919
Wasiliana na APOSTLE: EMMA MUSHI
NO: (+255) 755 567 919
Neema Itembeaayo Part 2
24/7 Ushauri, Maombi na Maombezi
Wasiliana na Mtumishi
Apostle Emma Mushi
Simu: +255 755 567 919
Wasiliana na Mtumishi
Apostle Emma Mushi
Simu: +255 755 567 919
Переглядів: 31
Відео
Neema Itembeaayo Part 1
Переглядів 487 місяців тому
24/7 Ushauri, Maombi na Maombezi Wasiliana na Mtumishi Apostle Emma Mushi Simu: 255 755 567 919
Vita vya Ukoo
Переглядів 1427 місяців тому
24/7 Ushauri, Maombi na Maombezi Wasiliana na Mtumishi Apostle Emma Mushi Simu: 255 755 567 919
Ponda Watesi
Переглядів 1387 місяців тому
24/7 Ushauri, Maombi na Maombezi Wasiliana na Mtumishi Apostle Emma Mushi Simu: 255 755 567 919
Mateso Unayopitia Siyo Mpango wa MUNGU
Переглядів 2,1 тис.2 роки тому
Mateso Unayopitia Siyo Mpango wa MUNGU
Emma Nguvu ya Agano juu ya madhabahu
Переглядів 1,7 тис.2 роки тому
Emma Nguvu ya Agano juu ya madhabahu
TAFSIRI YA NDOTO ZA WANYAMA - APOSTLE EMMA MUSHI
Переглядів 24 тис.2 роки тому
TAFSIRI YA NDOTO ZA WANYAMA - APOSTLE EMMA MUSHI
KIKAO CHA MAHOJIANO YA MASAA 4 KUZIMU (MAMBO 22 YALIYOZUNGUMZWA YATAKAYO TOKEA TAREHE 10.10.2022)
Переглядів 4,4 тис.2 роки тому
KIKAO CHA MAHOJIANO YA MASAA 4 KUZIMU (MAMBO 22 YALIYOZUNGUMZWA YATAKAYO TOKEA TAREHE 10.10.2022)
#SIRIKUBWA FREEMASON NA MAKANISA YANAVYOTUMIKA KI FREMASON VIFAA NA VIATU VINAVYOFANYA KAZI KICHAWI
Переглядів 66 тис.2 роки тому
#SIRIKUBWA FREEMASON NA MAKANISA YANAVYOTUMIKA KI FREMASON VIFAA NA VIATU VINAVYOFANYA KAZI KICHAWI
ATAJA NA KUANIKA WATUMISHI FEKI NA MADHABAHU FEKI KUMBE KUONANA NA NABII NI...? sehemu ya pili
Переглядів 3,8 тис.2 роки тому
ATAJA NA KUANIKA WATUMISHI FEKI NA MADHABAHU FEKI KUMBE KUONANA NA NABII NI...? sehemu ya pili
APOSTLE EMMA MUSHI ATAJA NA KUANIKA WATUMISHI FEKI NA MADHABAHU FEKI KUMBE KUONANA NA NABII NI...?
Переглядів 5 тис.2 роки тому
APOSTLE EMMA MUSHI ATAJA NA KUANIKA WATUMISHI FEKI NA MADHABAHU FEKI KUMBE KUONANA NA NABII NI...?
PART 2 JIFUNZE NA ONA BAADHI YA MAKAPUNI YENYE KUTUMIA 666 NA WASANII KUTUMIA ALAMA ZA 666.
Переглядів 8 тис.2 роки тому
PART 2 JIFUNZE NA ONA BAADHI YA MAKAPUNI YENYE KUTUMIA 666 NA WASANII KUTUMIA ALAMA ZA 666.
USHUHUDA: NIMEKUFA KUMBE WALIZIKA KIVULI / NIMETUMIKA KUZIMU MIAKA 19 / USICHORE TOTOO KAMWE
Переглядів 27 тис.2 роки тому
USHUHUDA: NIMEKUFA KUMBE WALIZIKA KIVULI / NIMETUMIKA KUZIMU MIAKA 19 / USICHORE TOTOO KAMWE
MAOMBI YAKUPIGA WATESI WAKO MAISHANI
Переглядів 2,6 тис.2 роки тому
MAOMBI YAKUPIGA WATESI WAKO MAISHANI
Huu ni ukweli kabisaa
Ni kweli kabisa,pia mimi ujua hivyo hivyo, shukuran keep it up good work 🙏
Bwana YESU asifiwe nimeota mjusi kanidondokea lakin toka nimeamka Leo naona mujusu mpk ikabidi nianze kufatilia uku
Ila dalili nyengine happy nikam za jin mahaba mfano kuota unaaa unanyonyesha unafany mapenzi hizo nijin mahaba
Mwamba kama pep macho yake
Amen❤
Barikiwa Sanaa
Unanitamanisha sana niokoke mtumishi
Karibu Sanaa kwa Yesu Yesu Kristo anakupenda Sanaa. Yohana 3:16
Natumaini neno ni nzuri mtumishi wa Mungu' nilazima kutuonyesha kazi za iyo mazahabu" na hali yao' kweli tunakuelewa vizuri natuna kufa ta sana mutumishi wa Mungu
Barikiwa Sanaa Mtuwa Mbinguni
kwa nini siri za Fremanson zina funuliwa tu kwa inchi ya tanzaniya
Paka anatumika kwa kimapepo majini sio uchawi hapo ni paka majini angalia hapo tena vizuri
Wewe ni muongo unaongopea watu hapa , haiwezekani kila mnyama awe na tafsiri mbaya , kuota simba aielezi ubaya moja kwa moja huo ni uwongo uliokomaa
Hakuna kitu chenye faida kisicho na asara
Barikiwa sana baba
Ameen Mwanangu Shujaa
Asante sana mtumishi wamungu. Juzi hapa niliota nipo kwenye sherehe,sherehe yenyewe ilikuwa harusi.baadae nikawa nimeretewa Viatu pea mbili..pea moja nikiatu changu nikizuli sana ila nikirefu kizuli chapili nikiatu cha kiume cheusi ila nimeletewa nivae niingie kwenye pati nikakijalibisha kikanipendeza sana hivyo chapili sjakierewa kinamaana gani nichakiume
Unitafute Watsp ntakutafsria Maan ya hiyo Ndoto
Apostle Immanuly Benedict Mushi AKA baba Ibrahim MUNGU akutunze
Ameen ameen Mungu Akbrk Sanaa!!
Nirudishie pesa zangu kwanza ndio tujue una mhubiri MUNGU wa kweli
Kuponda watesi kama umewacja utapeli nenda ukaokoke kwanza
Barikiwa sana baba yangu
Ameen Mwanangu Shujaa
@@apostleemmamushi2 Amen baba
Haleluyaaa
Barikiwa Sanaa Mtuwa Mungu
Mungu akubariki sana mtumishi
Barikiwa Sanaa Pia
Si kweli.
Je mtu hakichukuliwa msukule hurudi ?
Amina Amina'
Mungu akubariki sanaa nakukulinda Daima
Ongera KUBWA ƙwakweli Mtumishi
Amina mbarikiwe
Jifunze kuongea polepole bc
Asante mtumishi kugeuza malalamishi kuwa maombi
Ongera KUBWA ƙwakweli Mtumishi
Barikiwa Sana Mwanangu Bikemwa
Amen KUBWA ƙwakweli BABA YANGU kipenzi Nakupenda Bure❤❤
Nakushukuru sana mtumishi kwa SoMo hili zuri la msukule hata Mimi nimefiwa na mke wangu aliyekuwa mzamzito akaugua ghafla na baada ya masaa10 akafariki nimeumia sana ila kabla hajafa baadhi ya dalili za kuchukuliwa msukule alikuwa nazo naomba unishike mkono wa maombi ya vita ili Mungu amrudishe naahidi nadhiri nzur ya laki Tano endapo mke wangu atarudi kuwa hai
Ameen ameen Nitafute Watsp ±255693181896
Amen na barikiwe hapa Doha 🇶🇦
Maombi ni sila ya kila mkisto mungu atujaliye kuwa waombaji
Hiyo ni kali Sawa manabii wa uongo. Washirika wa shatani kupotesa watu wa mungu
Haa jamani neno la mungu hitahumbiriwa Kala mahali husi seme huja sikiya asente Sana apostle Emma nafaha Sana
Amen nashukuru kutambuwa siri ya shatani katika Dunia ya mungu
Shatani ni adui wa watu muongo baba wa uongo Dunia zima
Amen barikiwe Sana mtumishi
Ameen Mtuwa Mungu
Asente Sana hata nilikuwa sijui maana yake. Mungu Hana jiya nyingi
Amen yesu ni mwema siku zote shatani Hana baba Hana mama Hana ndugu wala Dada shatani ndiyo Hapendi watu kuwa na Amani
Kama unamtumikia mungu wa kweli ni vyema lakini Kama ni miungu mingine utajibu mashitaka na uchunge usiendele kupotosha watu
Amen
Ameni mm humwa naota napaa nakupotelea alidhini nikiwa nakimbizwa
Sasa mchungajii kila mnyama au wadudu ni mbaya mhhhhh, Sio kweliii kuna baadhi ya wanyama ukitoa ni mafanikio
Amen
Ema naomba unitafute plz tedy
0693-181896" Watsp Nombar nichek apo
Ameni
God bless you 🙏 🙏 umetufungua akili ilhali kama mm niliombwa pesa na si kidogo ety niombea by the word of commanding (nisipete mwezi) nitoe hiyo pesa fast niombea , so from today heri tu nijiombee na niamini mungu atanisikia
Ameen mtuwa Mungu" omba pekeyako na Mungu ataskia Maombi yako Hakika
Balikiwa sn mtumishi nakuombea kwa mungu
Balikiwa sn mtumishi nakuombea kwa mungu
Ameni mtumishi wa mungu
Wee ni mpinga Huduma Je injili itakwenda bilakupelekwa tafuta chakufanya usiukumu, machoyako siyakinabii uzijue Huduma 5 kasome vizuri BIBLIA Weuna arama gani?
Sasa mkipona tu tayari na Ninyi mnaombea wengine ??mie hapo ndipo nachoka