Bwana Yesu Asifiwe Mtumishi wa Yesu, Nimebarikiwa sana na mafundisho haya, Najua Bwana Yesu atakwenda kunitendea Makubwa kupitia mafundisho haya. Stay Blessed Always in Jesus Christ Name Amen
Nakushukuru sana mtumishi kwa SoMo hili zuri la msukule hata Mimi nimefiwa na mke wangu aliyekuwa mzamzito akaugua ghafla na baada ya masaa10 akafariki nimeumia sana ila kabla hajafa baadhi ya dalili za kuchukuliwa msukule alikuwa nazo naomba unishike mkono wa maombi ya vita ili Mungu amrudishe naahidi nadhiri nzur ya laki Tano endapo mke wangu atarudi kuwa hai
Ubarikiwe sana na YESU KRISTO aendelee kukuinua, na mimi nimeshaon dalili mojawapo ya hizo na nitaendelea kuomba na kuzivunja.
Bwana Yesu Asifiwe Mtumishi wa Yesu, Nimebarikiwa sana na mafundisho haya, Najua Bwana Yesu atakwenda kunitendea Makubwa kupitia mafundisho haya. Stay Blessed Always in Jesus Christ Name Amen
Ameeen amen mtuwa Mungu Yesu kristo pekee akubariki Sanaa tena Sanaa kbsaaa
Nakushukuru sana mtumishi kwa SoMo hili zuri la msukule hata Mimi nimefiwa na mke wangu aliyekuwa mzamzito akaugua ghafla na baada ya masaa10 akafariki nimeumia sana ila kabla hajafa baadhi ya dalili za kuchukuliwa msukule alikuwa nazo naomba unishike mkono wa maombi ya vita ili Mungu amrudishe naahidi nadhiri nzur ya laki Tano endapo mke wangu atarudi kuwa hai
Ameen ameen Nitafute Watsp ±255693181896
Be blessed man of God, wonderful message, feel blessed
Mafunzo mazuri muno Asante saana
Fuatilia zaidi na Zaidi Ujue Mengi .Jina la YESU Likuinue na Utunzwe hata BWANA Arudipo
Barikiwa sana baba
Ameen ameen Mwanangu Shujaa
Nimebarikiwa sana
Barikiwa Sana mtuwa Mungu Pia
Ameni mm humwa naota napaa nakupotelea alidhini nikiwa nakimbizwa
Amen
Amen na Kwako pia
Amena mutumishi
Ila dalili nyengine happy nikam za jin mahaba mfano kuota unaaa unanyonyesha unafany mapenzi hizo nijin mahaba
Je mtu hakichukuliwa msukule hurudi ?
Naomba namba ya simu tafathali
±255693181896 watsp Nombar
Msukule ni nini
Tazama Pst Josphat Gwajima ..utajua msukule ndio nini .
Mimi huumwa na chini ya tumbo ..baridi ..kichwa nzitooo
Mimi huingiliwa live
Mume alifariki lakini hua anajaribu kunibaka..kugandamizwa saaana
Amen