UONGOZI KUHUSU KIFO CHA MBALAMWEZI “MWILI UMEOKOTWA HAUNA NGUO, ULIKUWA UMEHARIBIKA”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 сер 2019

КОМЕНТАРІ • 254

  • @mrspram4172
    @mrspram4172 4 роки тому +13

    Jmn aliemuua mbaramwezi ana aman kabsa huko aliko Na chakula anakula kutwa Mara tatu??!😫😫kuna watu wanaroho ngumu jmn kuna watu hawamuogopi mungu kabsaaa daaa😭😭pumzika kwa aman mbaramwezi inauma jmn

  • @emmynyodi8436
    @emmynyodi8436 4 роки тому +13

    hawatafika popote nawatakufa vifo vibaya xana!!! Mwenyez mungu washughulikie hao mafilauni

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 роки тому +4

    Daa jamani wanadamu tumegeuka wanyama tunauana kama wanyama huyu marehemu atakuwa ameuliwa na watu ila malipo ni hapa hapa duniani kila auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga. Walaaniwe wote waliokatisha maisha ya huyu kaka wasipate amani ktk maisha yao yote. Poleni sana wazazi, ndg na jamaa wote kwa kuondokewa na mpendwa wenu Mungu aendelee kuwatia nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

  • @prettyakoth4306
    @prettyakoth4306 4 роки тому +18

    Poleni sana watanzania mwaka huu mmewapoteza sana wasanii na viongozi MUNGU awalaze mahali pema peponi

  • @zeidytheislandgirl7616
    @zeidytheislandgirl7616 4 роки тому +20

    Rip mbalamwezi wallah alifanya haya mauaji ...malipo ni hapa hapa duniani ukiuaa kwa upanga utakufa kwa upanga

  • @ashaofficialtz6872
    @ashaofficialtz6872 4 роки тому +22

    Kwhy watu wasiojulikana wameludi Tena? Rest in piece kaka#mbalamwezi

  • @athumanmgissasimbadamu1781
    @athumanmgissasimbadamu1781 4 роки тому +16

    Mungu Amlaze Mahali Pema Peponi Amen

  • @lucyngambeki2581
    @lucyngambeki2581 4 роки тому +24

    Kuna binadam wana roho ngumuuuuu
    Unaua na nguo unachukua tenaaaaa
    Eeeeh
    Mungu tuteteeee
    Pumzika kwa amani babaaa

  • @dalrinfad3014
    @dalrinfad3014 4 роки тому +28

    Inaumiza sana kifo kama hiki kikimkuta jamaa yako au mtu wako wa karibu inaumiza saaana, pole kwa familia jamaa na marafiki, R.i.p @mbaramwezi watu hatuna utu jamani

  • @lilianililianililiani3444
    @lilianililianililiani3444 4 роки тому +19

    Kifo kinaumiza ila mazingira ya kifo yanaumiza zaidi.

  • @aishaomary732
    @aishaomary732 4 роки тому +18

    cm ndio itakayotoa majibu hakika roho ya mtu haitoki bure na malipo hapa hapa Duniani

  • @ashulamusin9811
    @ashulamusin9811 4 роки тому +42

    Hao walio muuwa mungu anawaona na hakuna kitakacho baki Binaadamu ss dah

    • @azizahemed1979
      @azizahemed1979 4 роки тому +1

      innallilahi wainna ilayhi rajiun mungu muepushie adhabu na umlaze mahala pema peponi

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 4 роки тому +6

    Kikulocho kinguoni mwako mtu asie kujua hawezi kukuzuri bila kupewa njia na anae kujua muhusuka yupo hapo hapo ila dam ya mtu haitoki bure mungu atalipa kwa njia yoyote ile lala mahali pema

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 роки тому +5

    Daaah!! Hapa ndpo nakumbuka useme wa marehemu Babu yangu "Mjukuu wangu agopa sanaa binadamu mwezako kulko Simba"

  • @dorismamf7404
    @dorismamf7404 4 роки тому +12

    Ukichunguza sana mmbaya hatoki mbali R.I.P

    • @hopechidera
      @hopechidera 4 роки тому +4

      Ndo binadamu,na itakuwa na aliye muuwa nayeye alikuwa miongoni mwa waliokuwa wakimtafuta,#rohoyakeipumzikekwaamani🙏🏽

  • @paulinamailec1710
    @paulinamailec1710 4 роки тому +13

    R.I.P kaka mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amen.

  • @doreengomes3489
    @doreengomes3489 4 роки тому +10

    My sincere condolences to all his family, loved ones and Tanzania. May his soul rest in peace. Amen

    • @amherstylistug5565
      @amherstylistug5565 4 роки тому

      Amen
      Hey Doreen kindly check me on my Instagram page @Amherstylist_ug

  • @wisdombandiho9029
    @wisdombandiho9029 4 роки тому

    Poleni sana wanafamilia,ndugu,jamaa na marafiki wote. Kweli kazi ya mungu haina makosa

  • @yassnibahati3042
    @yassnibahati3042 4 роки тому +6

    Pumzika kwa amani naanza kuchukia Tanzania yangu kila cku kuuwana kuwawa watu upumbavu ukatili

  • @Crala-qg1st
    @Crala-qg1st 4 роки тому +9

    So sad jamani, bado kijana mdogo ana ndoto nyingi ila zimezimwa duuuh poleni sana the mafik na ndugu wote

  • @dvjaddie7176
    @dvjaddie7176 4 роки тому

    Inauma sana kila aliyemfanyia ivi mwenyezi mungu atamlipia mwenyezi mungu ailaze roho ya marhemu pepon amen

  • @abuuhashim9971
    @abuuhashim9971 4 роки тому +1

    Dah RIP brother mungu ailaze rohoyake peponi na mungu awape nguvu ndugu na jamaa zake kwani kazi ya mungu haina makosa

  • @kimutattoo4067
    @kimutattoo4067 4 роки тому +1

    Daghhhhhh R. I. P MBALAMWEZI MOLA akubariki na Akupokee huko Ulipofika Daghhhhhh inaniuma Sana 😢 😢 😢 😢 😢

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 4 роки тому +8

    Inalillah waiina irayhi rajioun

  • @vailetmduda6085
    @vailetmduda6085 4 роки тому +3

    Mungu wewe ndie Mwenza wa Yote hao watu wakamatwe wenyewe wajiseme.Mbona watu tumebadilika hivi jamani tunakwenda wapi,Tuombe bila kuchoka.Rip kaka

  • @rowdyrondarouseyfire9476
    @rowdyrondarouseyfire9476 4 роки тому +2

    It's painful....Condolences to the family.

  • @venishajohn3458
    @venishajohn3458 4 роки тому +21

    Sijawahi kumuona but nimeumia sana binadamu jamani wana roho mbaya dah so pain

    • @emmanuelmpogole536
      @emmanuelmpogole536 4 роки тому +1

      Venisha John nikweer kabisa binadam tumekuw kam simba

    • @rsautoservice984
      @rsautoservice984 4 роки тому

      Kwan lazima umuone.?

    • @benedictosimon5162
      @benedictosimon5162 4 роки тому +1

      @@rsautoservice984 amemaansha hamfahm kwa sura but ametoa pole

    • @abdullahrashid6297
      @abdullahrashid6297 4 роки тому +1

      Tz nao daah innalillah wainailah rajiuun poleni sana wafiwa allah awape nguvu in shaa Allah

  • @jazrajamal1582
    @jazrajamal1582 4 роки тому

    pole sana direct

  • @chrismeshack8111
    @chrismeshack8111 4 роки тому +7

    nimeanzaa kumpenda juzi tu kwenye #bobo Leo umevuta moyo jamani

  • @evasai7314
    @evasai7314 4 роки тому +1

    Duuh binadamu wabaya

  • @johnnykallaghe7704
    @johnnykallaghe7704 4 роки тому +3

    R.I.P brother Malipo Ni Duniani Hakuna Atakaebaki Milele 😭😭

  • @jumamussa9116
    @jumamussa9116 4 роки тому +7

    RIP Mbalwezi iliyokata ghafla

  • @ibrahimmaokola4296
    @ibrahimmaokola4296 4 роки тому

    Daaaa poleni sana ndugu zangu kwa msiba mnzito

  • @shedytz3904
    @shedytz3904 4 роки тому

    duuuh mbaramwezi weeee mungu akulaze mahalipemapeponi

  • @richardbege3408
    @richardbege3408 4 роки тому

    Mwenyez Mungu amrehemu

  • @subilamhando1501
    @subilamhando1501 4 роки тому +1

    malipo ni hapahapa duniani waliofanya mauwaji hayo mungu anawaona. r.i.p mbalamwezi tutakukumba sana inaumaa sana tena sanaa poleen sana ndugu na sote tulioguswa na msiba huu

    • @msafirimyeye602
      @msafirimyeye602 4 роки тому

      So sad my homies let God deal with killers, but one day we will meet at natural mystic, rest in peace mbalamwezi

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 4 роки тому +3

    Rest in peace bro Abdallah aka mbalamwezi inalillahi wayna illahi rajuun poleni sana ndugu wa marehem malipo ni hapa duniani.

  • @elinahdaudi8195
    @elinahdaudi8195 4 роки тому +27

    Ndiyo kwanza nakusikia leo ila inauma sana mtu bora aumwe umuuguze kuliko kuuliwa kinyama hivi R I P Mbalamwezi

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 роки тому +5

    R.I.P bro we gonna miss yuw😭

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 роки тому

    Poleni sana familia

  • @abbydinyowakikale7730
    @abbydinyowakikale7730 4 роки тому +1

    Inauma sana jaman pumzika kwa aman kaka mung atakulipia hapa hapa dunian binadamu wabaya sana eeh mola mpunguzie adhabu ya kaburi

  • @bashirusalehenandoro3128
    @bashirusalehenandoro3128 4 роки тому +11

    Ningekuwa polisi ninge suspect vitu viwil management yake ya mwanzo wale waliotimuliwa na mahusiano yake ya kimapenzi movement zake na hao watu ningepata kitu i Think

  • @saumuathuman206
    @saumuathuman206 4 роки тому

    poleni sana

  • @giftderulo5737
    @giftderulo5737 4 роки тому +1

    Daah mbele yake nyuma yetu rest in paradise kaka

  • @abdulqareemabdala2772
    @abdulqareemabdala2772 4 роки тому

    Polen sanaa wafiwa wote na ndugu jaman aisee binadam tunakuwa wanyama hivyo mmemuwa bd mnamzalilisha innaalillaahi wainnaa lillaah rajiyun allaah ampe nuru ya kabru

  • @kigangamdohimjukuu121
    @kigangamdohimjukuu121 4 роки тому +1

    Mungu akuweke mahala panapo stahiki broo daaah

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 4 роки тому +8

    Mhhh napata shaka, mtanganyika aokote simu na guitar halafu atangaze.wakuanza kuisaidia polisi ni huyo anaeitwa msamaria mwema. Poleni wafiwa

    • @piusmdoe8112
      @piusmdoe8112 4 роки тому

      Maalim mombo mwehu

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 4 роки тому

      @@piusmdoe8112 yes indeed. Ila ukweli ndio huo mtanganyika mtu akipata ajali mwanzo mnakimbilia mifukoni, mkependa msipende, mnatabia ya wizi hamuwezi kuokota kitu mkatangaza,enzi hizo dar walipokuwa wazaramu watupu yes iliwezekana but not these days

    • @kaminyogemwachelwa9884
      @kaminyogemwachelwa9884 4 роки тому +1

      Maalim mombo kwo unataka tuogope kutoa msaada eee

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 4 роки тому

      @@kaminyogemwachelwa9884 hujanielewa, basic kutoka mwanzo nimesema napata shaka na hii habari kuwa vijana (raia mwema) ameokota simu na guitar akatoa tarifa kwa kuokota vitu vya marehemu. Sasa kwa maZoea ya jamii ya kitanganyika hasa hili jiji la Dar ni vigumu mtu hasa kijana aokote simu then atoetarifa. Ndio nikasema forensic investigation ianzie kwa huyo aliesema kaokota simu ya marehemu. Kama police watataka kuchungua wanaweza kuanzia na hio simu kwa time frame kuanzia last call yake mwenyewe marehemu mpaka mda huo ilipokotwa hio simu

    • @joharimiraji9377
      @joharimiraji9377 4 роки тому

      Mmmh wapo wenye roho nzr though n wachache, kumsuspect mtu aliyetoa msaad ndo kitu knachochozea tushndw kusaidia kbs man mtu anahofia akitoa msaad tu ataonekan yy aliyehusika.... Tubadilike jmn

  • @salmaabdallah6109
    @salmaabdallah6109 4 роки тому +1

    Dunia aina huruma,, R. I. P mbalamwezi mbele yako nyuma yetu

  • @marrymwakalengera7389
    @marrymwakalengera7389 4 роки тому +10

    R.i.p brother daaaa! inaumiza

  • @abilahswalehe4206
    @abilahswalehe4206 4 роки тому

    Mbalamwezi dah inauma sana 🙏🙏🙏 😭😭😭😭

  • @maggynish4341
    @maggynish4341 4 роки тому

    My condolences to the family

  • @issaali9234
    @issaali9234 4 роки тому

    brother.na wanandugu mungu anasema ktk mahisha kuna mchanganyiko mambo mengi,na kaur ya mahandiko jisaidie nikusaidie.

  • @fatumahassan8212
    @fatumahassan8212 4 роки тому +1

    Innalillah wainna llilah rajoon

  • @fidomkavenga3860
    @fidomkavenga3860 4 роки тому +1

    Rip blood daah pengo kubwa

  • @mauwapremice7850
    @mauwapremice7850 4 роки тому +1

    Inna lillahi wainalillahi rajiun inauma poleni familia ndgu na rafiki 😔

  • @irenekitomary7271
    @irenekitomary7271 4 роки тому +1

    Whaaat

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 4 роки тому +1

    Kwa matukio haya sasa nakubali hatua ya watanganyika wote wawe wameweka fingers print zao kwenye database za nationwide coz itasaidia kwa urahisi kuwakamata wahalifu,

  • @mrway9432
    @mrway9432 4 роки тому +14

    Rip bro umeondoka kama utani dah😥😥😥😥

    • @hilarynatai8414
      @hilarynatai8414 4 роки тому

      Fredwarzechariah Naaly kwenyeee kifooo kuna utani

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 роки тому +1

    Naona polisi hawajasema lolote kuhusu hili au ndio wapo bize na sadc

  • @ashulamusin9811
    @ashulamusin9811 4 роки тому

    Inauma jamani

  • @avelinaswai7572
    @avelinaswai7572 4 роки тому

    Polen sana.Inauma sana binadam jamanii

  • @janejoseph3363
    @janejoseph3363 4 роки тому +2

    Rest easy bro😓

  • @khadijaomar3299
    @khadijaomar3299 4 роки тому +3

    Pengine kapigwa huyo

  • @sekelamwangosi3289
    @sekelamwangosi3289 4 роки тому

    Dah nmeumiaa sanaa jaman mkaka wa watu

  • @mathahamisi6341
    @mathahamisi6341 4 роки тому +5

    Bc.watanzania bwana yaani mtu kaokota vitu ahojiwe ko kwani kaua yeye ko kama wewe umeokata kitu bac inatakiwa kuhojiwa ndio maana hata kama kuna kitu cha kusaidia watu hawasaidii hivyo mshukuruni huyo aliye okotwa.

    • @sombakombo2143
      @sombakombo2143 4 роки тому

      Rip

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 4 роки тому

      Kweli inasababisha watu wanakuwa waoga kusaidia kwenye shida

    • @mathahamisi6341
      @mathahamisi6341 4 роки тому

      Si umeona ety ahojiwe angeviuza jee wangemuhoji nani sasa watu wengine wanaboa

  • @moudrickwell0982
    @moudrickwell0982 4 роки тому +1

    Mbere ye2 nyuma yake 😭😭😭 R I P

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 4 роки тому

    Pole sana kwa jamaa lote, R.I.P. BRO✌✌

  • @vrsrecordstudios..4741
    @vrsrecordstudios..4741 4 роки тому

    Pole R I p

  • @jennajenna4082
    @jennajenna4082 4 роки тому

    Poleni sana ila wabongo wachawi kuuwana

  • @collethaxsabi4479
    @collethaxsabi4479 4 роки тому +1

    R.i.p mbalamwezi😭😭😭

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 роки тому

    Huyo ameuwawa..RIP though

  • @seciliakilala7921
    @seciliakilala7921 4 роки тому

    Daah soo sad😭 poleen sana

  • @madamereen2284
    @madamereen2284 4 роки тому

    R IP MY BEST hakuna atakae ishi milele

  • @msqueen9379
    @msqueen9379 4 роки тому

    Si triste 😢

  • @dominickalume2891
    @dominickalume2891 4 роки тому

    Vidoooo Vidooo.....Mambo gani Broo.,.nini lakiniii waaa....Mbalamwezi Ndio hatutamuona tena Mbele yake Nyuma yetu# Ayotv#Vidovidoxx

  • @eggypeter4687
    @eggypeter4687 4 роки тому +2

    Cmjui jmn huyu mwanamzik ,, lkn daah kwnn lkn binadamu tupo hiv ,, Mungu mlaze mahali pema

    • @mariammansoury4064
      @mariammansoury4064 4 роки тому

      Simfahamu Ila kwann jaman binadam tuna roho za namna hiyo

  • @videoginnah1973
    @videoginnah1973 4 роки тому

    Jamanii

  • @nancyruoruo1025
    @nancyruoruo1025 4 роки тому

    Waah Rip😭

  • @conkyanick7247
    @conkyanick7247 4 роки тому

    r.i.p broo

  • @robinrizone9129
    @robinrizone9129 4 роки тому +1

    RIP

  • @falaonsyukwe8651
    @falaonsyukwe8651 4 роки тому

    KUDADADEKI!!!! KUDADADEKI MIMI NASEMA HIVI SERIKALI IKOMAE NA HIYO ISHU MPAKA ISHU IJULIKANE NA NAAGIZA WAKAMATWE MARA MOJA

  • @thetycoon8799
    @thetycoon8799 4 роки тому +1

    R.I.P

  • @shakirawilbard8638
    @shakirawilbard8638 4 роки тому

    Daaaah insinua sana pumzk kwa Aman mbalamwez 2takumic😭😭😭

  • @AmaniOnlineTv
    @AmaniOnlineTv 4 роки тому

    Rest in Silence

  • @bomtv-lz2ir
    @bomtv-lz2ir 4 роки тому

    R.i.p

  • @fatinaexaudy7998
    @fatinaexaudy7998 4 роки тому

    Duuuh😭😭😭😭

  • @tumainirichard5678
    @tumainirichard5678 4 роки тому

    Waliomuua siyo majambazi wala vibaka wangekua majambazi wangeondoka na simu na vitu alivyokuwa navyo sasa uchunguzi wa kina unatakiwa na watu wa karibu ikiwemo kundi lake na management yake mpenzi wake wahojiwe kwa undani zaidi. Something is wrong somewhere binafsi siamini kama ni ajali

  • @jescajeremiah5674
    @jescajeremiah5674 4 роки тому

    Alikiba

  • @khadijaomar3299
    @khadijaomar3299 4 роки тому

    Binadamu hawana huruma 😢😢

  • @kelvincosmas5709
    @kelvincosmas5709 4 роки тому +1

    Daah r I p mbalmwez

  • @mtanzaniahalisi5198
    @mtanzaniahalisi5198 4 роки тому +3

    BONYEZA PICHA USIKIE KAULI YAKE YA MWISHO

  • @user-he4fl7md2z
    @user-he4fl7md2z 4 роки тому

    Yani inauma unamuuwa mwenzako nikama wewe utaishi milele so sad to the family

  • @keitaanker96
    @keitaanker96 4 роки тому

    Daaaaaah Tanzania

  • @fransiscamatemu987
    @fransiscamatemu987 4 роки тому

    Pumzika kwa amani kaka

  • @zakiajuma6211
    @zakiajuma6211 4 роки тому

    Innalilah wainnailaih rajiun

  • @lobistyprecoz4440
    @lobistyprecoz4440 4 роки тому

    R.i.p mbalamwez

  • @magrethkimambi8007
    @magrethkimambi8007 4 роки тому

    Innalillah wainna irrah wajuin kwani kweli kafariki duuu rip

  • @joyceemmanuel7400
    @joyceemmanuel7400 4 роки тому

    aiseh mbel ake nyuma etu RIP

  • @adammakame63
    @adammakame63 4 роки тому

    Bodyguard muhimu...

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 4 роки тому

    R.I.P kaka inasikitisha sana, yani ndo kwanza kijana wa watu alikuwa anaanza pata mafanikio duh