КОМЕНТАРІ •

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 2 дні тому +3

    Natamani sanaa siku nipate hela niwasaidie wanawake 😢😢

  • @emmanuelbernard9552
    @emmanuelbernard9552 День тому

    Nasikia moyo wangu kuwaka hasira kali sana ndani ya moyo wngu.Hivi kweli kweli kabsa,serikali yetu inashindwa nini ?

  • @Alexismadimo
    @Alexismadimo 2 дні тому +2

    Asha ana balaaa sana
    Njoo mjini asha uchangamsh riverside kumepoa

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 День тому

    Nyie wenye viwanda mnaingiza pesa sana iweje msiwalipe pesa zao, hawa mnaowaona wana watoto wanasomesha wanahitaji kila kwanini hamjali nguvu zao walizotumia hii sio sahihi,kwanza kishelia mlitakiwa mshtakiwe kwa usumbufu mnaowafanyia hao wafanyakazi, ingekuwa huku ulaya yani mngelipa tu usumbufu tatizo tz mnaleta mazoea kwenye muda wamtu muda nimali sana ktk maisha ya mwanadamu, africa kunawatu mnacheza sana na muda wawatu sana sana atuzingatii muda mnachukulia powa sana.

  • @prosperiamdetele1421
    @prosperiamdetele1421 2 дні тому +1

    Mh serikal mliangalie hili swala kama mwekezeji ameshindwa awaachie wanaoweza

  • @user-pw2rl5zs1v
    @user-pw2rl5zs1v 2 дні тому +2

    Ongea zenu tu zinaonesha mnazarau hamna uchungu na wananchi wanavyoyeseka kama viwanda vmefngwa simuwalipe haki zao nanyie mfunge waangalie kazi kwngine. Mnapoendelea kuwaweka hapo mnamaana Gani,

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 День тому

    Awamu ya wawekezaji. Kauli za viongozi, wawekazaji wasisumbuliwe inawapa kichwa.

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 2 дні тому +1

    Polenii jamani 😂😂😂😂mama alinizaa wa nini jamani asha kawa bibi

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 2 дні тому +1

    Hakuna anaewaskia nchi inaliwa mtabakia wanyonge sana tu wakubwa wanakula

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 2 дні тому +2

    Bado hamjasema

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 2 дні тому

    Duuh! Kali, jamaa kazimia kainuliwa kasimama😅😅😅😅

  • @LovelyFishingRod-ij7mk
    @LovelyFishingRod-ij7mk 2 дні тому

    Pole sana

  • @IssahNyamle
    @IssahNyamle 2 дні тому

    Apo nyeva makasi😂

  • @IssahNyamle
    @IssahNyamle 2 дні тому

    Njombe yangu bhn eti shika ka ten😂

  • @amourmunga8356
    @amourmunga8356 2 дні тому +1

    Tz nchi yangu