TRA HATARINI | Wapewa TUMBO JOTO Mbele Ya JPM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Mfanyabiashara Mwakilishi wa Singida amezungumzia kuhusu uzungushwaji wa mambo ya ulpaji kodi na kusema serikali inawalazimisha wafanyabiashara kupita mlango wa nyuma , "je tukipita mlango wa nyuma Tanzania itapata wapi kodi"
    TRA hawataki kuongeza kodi isipikuwa wanakuwa wanang'ang'ania kwa mtu mmoja kumsumbua kulipa kodi.
    #jpm
    /GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

КОМЕНТАРІ • 43

  • @AbdulRahman-wx6iv
    @AbdulRahman-wx6iv 5 років тому +11

    Jamaa kaongea point kweli sema tatizo serikali yetu ni utekelezaji na kuchukua hatua..halafu hawataki kushauriwa..

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 5 років тому +10

    Safi sana maelezo yako ni point tupu 👌👌 .kwa uongozi huu wa magufuli. Serekali itanyooka tu .wananchi wamekua wanauwezo wa kujielezea na wanasikilizwa matatizo yao. Uongozi wa magufuli naupenda sana . maelezo yanafatiliwa na yanafanyiwa kazi .Jamani viongozi wa serekali mkifata uadilifu nchi haita yumba. Tulikosea nyuma. Sasa tuamke Tanzania.

    • @kileohemed4958
      @kileohemed4958 5 років тому

      👍👍👍👍👌👌👌👌👌👌👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @omarjumanne4471
    @omarjumanne4471 5 років тому

    Safi sana viongozi wengi hawajui mwendelezo wa viwanda hawajui kabisa

  • @kimaroalfonsi199
    @kimaroalfonsi199 5 років тому +11

    Kubaguana kwa dini kabila rangi sio kawaida ya watanzania sisi

  • @Nyapara1
    @Nyapara1 5 років тому +9

    Nani kasema Wahindi waoga???

    • @mikapmwalimu4555
      @mikapmwalimu4555 5 років тому

      Sun day hahahahaha ndugu naisi hatakua singga singga kwa muonekono wake

  • @deepcworkshop7442
    @deepcworkshop7442 5 років тому +5

    Hawa walio ongea Leo ni zaidi ya wabunge maana wanena point tupu.

  • @mohammedmtile1788
    @mohammedmtile1788 5 років тому +2

    jamaa yupo vzur sana......Fact

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 5 років тому +4

    Hii ndo tanzania mobimba,😎😎

  • @evarestmasawe6361
    @evarestmasawe6361 5 років тому +2

    Hapaa naamin kamaa w2 wanalipa kodii kwaiyali tuweza kukusanyaa trion 30

  • @emanuelmuna2296
    @emanuelmuna2296 5 років тому +1

    kumbe kuna wabunge wazuri sana aisee hata hawasinzii kabisaaa! hili ndo bunge! sasa lakin lile lingine cjui wanakulaga maharage ya wapi waleee!!

  • @fatumahassan8212
    @fatumahassan8212 5 років тому +1

    Hongera sana mheshimiwa rais kwa kuhitaji kujuwa changamoto zinazokubali wakabili wafanya biashara , ni furusa ya kipekee mungu akubariki sana, mfanya biashara wa singida uko vizuri kwa ufafanuzi wa wazi umewasaidiya wengi

  • @shembaker5405
    @shembaker5405 5 років тому +1

    watanzania wangekua wana uwezo wa kuongea kama hivi, Tanzania ingekuwa mbali sana. Tatizo watanzania hatujielewi

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 5 років тому +3

    Jamaa kaongea points tupu duuh

  • @nassernajm5417
    @nassernajm5417 5 років тому +1

    Well-done Mh Rais..!! Changamoto za wafanyabiasha unazisikiliza pia....👍

  • @King_186
    @King_186 5 років тому +2

    Safi kaongea vizuri

  • @saidsahd1971
    @saidsahd1971 5 років тому

    Mie killa siku huwa nasema rais Hana shida hawa wachini yake ni shida na ndio wanaomuangusha kwa mfano tu mambo Kama hayo mpaka ambiwe Rais ndio anze kuyafatilia kweli? Mtu anakesi ya kiwanja ni Rais mtu hajakipata mkopo ni Rais tubadilikeni jamani

  • @vitussimon9696
    @vitussimon9696 5 років тому +1

    Safi sana

  • @jrabuudaldaa2682
    @jrabuudaldaa2682 5 років тому +1

    jamaaa ameongea point tupu

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 5 років тому

    Spika ndugai anasikia huu ujumbe wa Rais kuhusu bandari ya baganoyo

  • @geraldsenkondo4334
    @geraldsenkondo4334 5 років тому

    Tukubali tubadilike tufanye biashara na kuwainua wafanyabisha.

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 5 років тому

    Asante sana rais wetu kuwapa watu uhuru wakuongea na wewe bila uoga hii ndio tz tunayo itaka

  • @patrickbatenga2645
    @patrickbatenga2645 5 років тому

    Kwa utitiri na mlolongo wa viongozi uliopo Tanzania issues nyingi zingeweza kumalizwa bila haja ya kumu- overwork Rais.

  • @lovedawin4105
    @lovedawin4105 5 років тому

    mhh point tupu hapo,nchi inaonekana ni shida sana zimetujaaa

  • @ramlabaraka1045
    @ramlabaraka1045 5 років тому

    Dah...! Kaongea vitu vya kweli asee

  • @jumamgema3356
    @jumamgema3356 5 років тому

    Akyamungu tanzania

  • @immamrema2288
    @immamrema2288 5 років тому

    Tz Kama Irana ila UYU MZEE kaongea pwent tatzo liko wp:-P

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 5 років тому

    Itachukua Musa mrefu msana Tanzania mpaka rushwa Londonern nakwisha kabisa Rais unajitahidi lakini bado sana

  • @abcAbc-qt7ui
    @abcAbc-qt7ui 5 років тому +1

    Huyu muhindi au muarabu jmn mm najuaga wahindi waoga...huyu ujaxiri kapata wapi?..kaongea fact tupu.

  • @nancesebastian3464
    @nancesebastian3464 5 років тому +1

    😭😭😭👏

  • @vitussimon9696
    @vitussimon9696 5 років тому

    Safi sana

  • @carolinesandi6248
    @carolinesandi6248 5 років тому

    Daaa uko vizuri sana

  • @abdihafiidmohamed5742
    @abdihafiidmohamed5742 5 років тому +1

    👴👴👴

  • @abdulrahmanmussalonka4935
    @abdulrahmanmussalonka4935 5 років тому +1

    Ohooo Muhindi Kachomwa, pata pata.

    • @piusmwanisawa3480
      @piusmwanisawa3480 5 років тому

      kwakweli Leo nimewapenda wafanyabihashara wametililika vzr sana wameweka vitu wazi ,lkn rushwa ni janga LA kitaufa