Mfukuze Joan msagaji mwenzako na kutubu toka mikataba ya usagaji naonyeshe kutokushirikiana na Joan anavyoonyesha ushetani bila kuona huo ulivyo wazi,asilembe chochote kama anataka kupona! Amen
Hilo ni jaribu lako ila Mungu atakuvusha Cha msingi Ongea na Mungu Mpe mzigo wako aubebe kama ni jaribu amekupa mwambie sasa yatosha akufanyie njia ya kutoka katika hilo jaribu Mungu akubariki Mimi nakupenda na napenda kazi yako hakika unanibariki sana 🙏🏻
Martha najua unamuogopa Joan mna siri nyingi za aibu anakutishia labda atasambaza mapicha yenu,wewe usijali acha asambaze cha msingi rudi kwa Mama omba msamaha upate amani ya kweli Mungu atakusaidia
Mungu akutie nguvu mpenzi hilo nalo linapita jitahidi Kumtazama Mungu peke yake hiko nikikombe my Mungu akuteteee mengi yatasemwa lakini mtazame Mungu yy ndiye msaada wa kweli please nakuomba uyavumilie yote yatakayosemwa baada ya hapo utaghaa zaid.🙏🙏🙏
Mama Martha Rudi kwa mama , kwani mama Yako ndiye baraka Yako, nimependa sana nyimbo zako na inanipa nguvu sana tena ina ni fariji, ni me kutumiya iyi message tokeya RDC🇨🇩 kwani na sikiya uchungu sana, umu pende mama Yako tena penda na famillia Yako, mungu akulinde sana na akujaliye neema mkubwa sana
Dada mungu aliyekutetea siku za nyuma katika magumu yako. Atakutetea na Sasa. Ili mungu akuinue ni lazima upitie. Dhahabu ni lazima ipite kwenye moto. Tunakuombea kipenzi Cha wengine.
Nenda kuomba msamaha kwa wazazi,thamani ya mzazi dadaangu mtumishi wa nyimbo za injili Mungu mwenyewe anajuwa thamani hiyo ya wazazi,hacha na uyo nyoka ambaye anakulisha chakula kibaya ambaye anakufanya kutenga na wazazi, Mungu tu awe upande wako kwenye hichi kipindi kigumu
Dada martha tuombe nini, tupe ajenda ya kuomba cha msingi elewana na mama yako na mdogo wako biblia yenyewe imeandika asie wapenda wa kwao ni mbaya kuliko asie amini, huyo joan wako embu angalia anavyokudhalilisha ata hekima ya kuongea hamna, embu muache aende zake ubaki na ndugu zako, rafiki sio ndugu hata iweje dada
Hivi nakuombea nini akati umenawili lakini onamama yako amechongoka sura ka farasi mii nasema mungu anakuona unamwachaje mama yako ktk mazingira mangumu
Nenda kwa mama ukamuombe msamaha..mama ni mungu wa pili ktk dunia moyo wake akiukunja hutofanikiwa..nenda kwa mama kamsikilize..kakae nae..akifumba macho maisha yako yatayumba ..hata ukienda kaburini kumuomba msamaha ..utakua ni sawa na chizi kupigiwa gita
Situ kuombewa ,anapaswa hakika kujenga aliyoyabomoa km kumzingatia mamake , kumrudia mme wa ujana wake na kutafuta amani na nduguze na watu wote na utakatifu ambao pasipo huo hakuna wa kumwona Mungu. Ebr 12:14
Martha usiogope mungu yupo nawe, hatamimi yalinikuta ambao nimewafundisha ufundi bila malipo, ila malipo Yao kwangu walisema Mimi nimchawi siyo bule hata wakiwemo ndugu, ko jipe moyo atatushindia
NENDA KWA MAMA KAMUOMBEE MSAMAHA.UMWANGUKIE .MUOMBE MSAMAHA.NAKUSIHI SANA MATHA.MACHOZI YA MAMA MABAYA.NENDA JISHUSHE.HUWEZI KUSHINDANA NA MAMA YAKO MZAZI .MAOMBI YAPO LAKINI KAMWANGUKIE MAMA.
Unaomba msamaha unachekacheka na kurembua rembua acha usanii, nenda kwa mama yako. Unakula vizuri , mama yako anakula tofauti sana. Acha ujinga. Rudi kwa mama yako. Penda nduguzo, huyo pepo joana aliye kuposha na wewe aondoke arudi kwao. Umemsaidia yatosha. Sisi hatuhitaji kitu kwako ila umpende Kristo Yesu na wazai wako na ndugu zako kwanza ndo wengine wafuate. Charity begins at home . Asiyependa wakwao ni muuaji. Amtukanaye mama / baba yake ni muuaji wewe baba mlezi wako na kakuingiza studio leo unawasahau baba na mama yako na ndugu zako? Iweni watu wa shukurani. Biblia inasema
Asiyewajali watu wa nyumbani mwake ni mbyaa 😢 kuliko asiyeaminii. Tulipenda nyimbo zako lakin hali ya mama ako siyo nzuri kumbuka familia yako mpendwaaa
Mama ni Mungu wa pili. Jiombee mwenyewe ukamuombe mama yako msamaha. Na umuondowe huyo Joan anayekutenganisha na familia. Acha unafiki, kweli ya Mungu ipi wakati unayoyafanya na huyo Joan yako wazi????
Martha ili maombi yako yajibiwe naenda kashuke Kwa mama yako kapige magoti ndipo hata Mbingu zitakusamehe katengeneze nyumbani Kwa mama yako, Hilo Pepo Joan achana nalo linakuharibia ushuhuda na kazi ya Mungu ndani.
Usiache tu iende ..mimi ombi langu kaa mbali na huyo pepo aliye jipachika kwako ... Atakuharibia anachongoa sana mdomo na ni kalevi ... Tubu kwa mama yako hadharani na watanzania wote watakuombe kwa Mungu.
Omba msamaha mama yako na ummwagie mapesa mnunulie gari naye ajisikie amezaa. Na mungu atakusamee na kama ulijiingiza kwa mafreemason uwaambie wachungaji wakutoe
Pamoja na kuomba watu akuombee, nenda kamuombe msamah mama yako na anza kumusaidia mama yako ata kama unamusaidia basi jalibu kumusaidia zaidi maana watu ameguswa sana humusaiidii kama inavotakiwa! Musaidie mama kuliko uanze kujitetea,mala ya mwisho kumusaidia Wewe na Mungu wako ndo unajuwa.
Acha hiyo mambo wanawake mkipata hera mnasumbua sana wamekufikisha hapo unawaona wasengee rudi sasahivi omba msamaha ra sivyo utatukanwa mataifa mengi yatakuzihaki kwasababu umewaacha wazazi
Huyo ni mtu Baki wamekuwangia hao Martha jiombeee tu na urudi ukamuombe mama msamaha na uachane mara Moja na huyo Joka hata ungesema nini mama ni mama hapo unajichoresha tu
Tokea mwanzo ss tumeona nyimbo zako za mwanzo zinadhihirisha uilikotoka hivyo endelea kumsihi MUNGU akitetea na bila kumsahau MAMA mzazi Kwan ndio Mungu wa pili
Asate sana Beatrice, tulikuwa atujuw ajilekebishe tena wako wengi watu kama hawa kudadadeki! Beatrice ubalikiwe,tena umechelewa hata akumbuki mala ya mwisho kushea story na mama meza moja what a Shame!!
Kwa kweli kulingana na baba mlezi alivyoongea martha angalia wazazi wako nimeona champali za mamako hata zimepasuka mueke mamako vizuri nskupenda ila kwa hili hapana .
Mungu naomba uyu msamehe uyu dada anapitia magumu sana amekirimbeleako mungu naomba umsamehe kama nishetani amehingilia ndaniake mugu namba ukamsahidie huyudada ❤
Mungu simama na iyu dada simama mungu mtunguwe nauchawi
Duuu pole sana dada angu hilo ni jaribu la mda mfupi mungu yupo upande wako atakupigania simama imara
Mfukuze Joan msagaji mwenzako na kutubu toka mikataba ya usagaji naonyeshe kutokushirikiana na Joan anavyoonyesha ushetani bila kuona huo ulivyo wazi,asilembe chochote kama anataka kupona! Amen
Hilo ni jaribu lako ila Mungu atakuvusha Cha msingi Ongea na Mungu
Mpe mzigo wako aubebe kama ni jaribu amekupa mwambie sasa yatosha akufanyie njia ya kutoka katika hilo jaribu
Mungu akubariki Mimi nakupenda na napenda kazi yako hakika unanibariki sana 🙏🏻
Mungu akutetee mwenyewe , naomba usikulize wimbo you tube wa ULINIHAIDI , mamajusi moshi utavuka dadaang
We love you martha ❤️ 💖 ❤ mwipaja more pray for you
Kazi ya kuhukumu ni ya MUNGU awe mwema awe mbaya sisi hayatuhusu🙌
Martha najua unamuogopa Joan mna siri nyingi za aibu anakutishia labda atasambaza mapicha yenu,wewe usijali acha asambaze cha msingi rudi kwa Mama omba msamaha upate amani ya kweli Mungu atakusaidia
Na asipomfukuza Joan tutajua kweli wao ni watumishi washetani
Mungu akutie nguvu mpenzi hilo nalo linapita jitahidi Kumtazama Mungu peke yake hiko nikikombe my Mungu akuteteee mengi yatasemwa lakini mtazame Mungu yy ndiye msaada wa kweli please nakuomba uyavumilie yote yatakayosemwa baada ya hapo utaghaa zaid.🙏🙏🙏
Mungu wa mbinguni Akutie nguvu na Akuweke HURU
Pole sana Ilala nenda kwa mama uombe msamaha
Mama Martha Rudi kwa mama , kwani mama Yako ndiye baraka Yako, nimependa sana nyimbo zako na inanipa nguvu sana tena ina ni fariji, ni me kutumiya iyi message tokeya RDC🇨🇩 kwani na sikiya uchungu sana, umu pende mama Yako tena penda na famillia Yako, mungu akulinde sana na akujaliye neema mkubwa sana
Nyimbo zako zinabariki lakini kwa hili la Mama shabiki wako tumevulugwa 😮😢
Pole mwaya mungu yupo atakutetea huyu ni mapito tu utashinda mitihani ya Dunia naamini mungu hatakuacha uzalilishwe kiasi hiki
Dada mungu aliyekutetea siku za nyuma katika magumu yako. Atakutetea na Sasa. Ili mungu akuinue ni lazima upitie. Dhahabu ni lazima ipite kwenye moto. Tunakuombea kipenzi Cha wengine.
Omba msamaha Kwa mdogo wako na mama yako, Mungu akusaidie
Nenda kuomba msamaha kwa wazazi,thamani ya mzazi dadaangu mtumishi wa nyimbo za injili Mungu mwenyewe anajuwa thamani hiyo ya wazazi,hacha na uyo nyoka ambaye anakulisha chakula kibaya ambaye anakufanya kutenga na wazazi, Mungu tu awe upande wako kwenye hichi kipindi kigumu
Mtumishi wa Mungu Matha Mungu amesikia kilio chako tangia sasa umewekwa huru kataka jina la Yesu
@@venancemsigwa-qs4ri wewe ni Mzasi wake acheni unafiki ya kudanganyana mama ni mama tu
Dada martha tuombe nini, tupe ajenda ya kuomba cha msingi elewana na mama yako na mdogo wako biblia yenyewe imeandika asie wapenda wa kwao ni mbaya kuliko asie amini, huyo joan wako embu angalia anavyokudhalilisha ata hekima ya kuongea hamna, embu muache aende zake ubaki na ndugu zako, rafiki sio ndugu hata iweje dada
Ata kama mama ana matatizo. Wewe fanya sehemu yako kama mtoto. labda Mungu unae msema siyo Yesu.
Yesu anakupenda saana
Marther dadangu mungu akupiganie kwa hali zako zote ,maumivu huja kwa yote mwamini mwenye aliye kuomba
martha mungu yunawe usijali mwamini mungu vita utashida,,nikwauwezo wa mungu tu
Hivi nakuombea nini akati umenawili lakini onamama yako amechongoka sura ka farasi mii nasema mungu anakuona unamwachaje mama yako ktk mazingira mangumu
Usiogope martha mungu yupo na wewe ,tunakuombea cha msingi mtazame bwana nyamaza kimya mungu sio mwanadamu .
Wewe ni mshindi Acha kulia Amin tu
Msamaha.wa kweli kamuombe msamaha mama yako mzazi mm ndio Mungu wako wa pili wa.duniani
Pole sana mum
She knows it all better, but one thing for sure, there is alot of red flags.
Nenda kwa mama ukamuombe msamaha..mama ni mungu wa pili ktk dunia moyo wake akiukunja hutofanikiwa..nenda kwa mama kamsikilize..kakae nae..akifumba macho maisha yako yatayumba ..hata ukienda kaburini kumuomba msamaha ..utakua ni sawa na chizi kupigiwa gita
mungu atakipigania jipe moyo dada
Tujiombee mwenyewe Achana na huyo unae mswagaaa
Situ kuombewa ,anapaswa hakika kujenga aliyoyabomoa km kumzingatia mamake , kumrudia mme wa ujana wake na kutafuta amani na nduguze na watu wote na utakatifu ambao pasipo huo hakuna wa kumwona Mungu. Ebr 12:14
Wew mtoe huyo joan
Martha usiogope mungu yupo nawe, hatamimi yalinikuta ambao nimewafundisha ufundi bila malipo, ila malipo Yao kwangu walisema Mimi nimchawi siyo bule hata wakiwemo ndugu, ko jipe moyo atatushindia
Rudi kwa mama ako kaombe msamaha choz la mama nilaana tosha rud kaombe msamahaaa
Utafurahisha washabili wako ukienda kipatana na ma yako hizo mira na wewe niwakili wa mungu uaifuatiliaje na kuimani
NENDA KWA MAMA KAMUOMBEE MSAMAHA.UMWANGUKIE .MUOMBE MSAMAHA.NAKUSIHI SANA MATHA.MACHOZI YA MAMA MABAYA.NENDA JISHUSHE.HUWEZI KUSHINDANA NA MAMA YAKO MZAZI .MAOMBI YAPO LAKINI KAMWANGUKIE MAMA.
Maombi ma kubwa kabisa ni ya mama kwa mtoto. Kutanana na mama yako mwenyezi Mungu atakupatiya kimya.
Unaomba msamaha unachekacheka na kurembua rembua acha usanii, nenda kwa mama yako. Unakula vizuri , mama yako anakula tofauti sana. Acha ujinga. Rudi kwa mama yako. Penda nduguzo, huyo pepo joana aliye kuposha na wewe aondoke arudi kwao. Umemsaidia yatosha. Sisi hatuhitaji kitu kwako ila umpende Kristo Yesu na wazai wako na ndugu zako kwanza ndo wengine wafuate. Charity begins at home . Asiyependa wakwao ni muuaji. Amtukanaye mama / baba yake ni muuaji wewe baba mlezi wako na kakuingiza studio leo unawasahau baba na mama yako na ndugu zako? Iweni watu wa shukurani. Biblia inasema
Kumbuka kwa mchungaji uliyemuacha maana Mungu hawezi kumuacha Mtumishi wake aaibike
Sister cha kwanza kubali tatizo halafu nenda kwa mama...
Mama ni mama
Mkanye kwanza yule pepo unaemlea asiendelee kukudhalilisha kwenye jamii
Siyo safi kabisa ombre msamaha mamake 5:39
Martha omba toba na urudi kwa mama , mama mungu wa hapa duniani dada
Asiyewajali watu wa nyumbani mwake ni mbyaa 😢 kuliko asiyeaminii.
Tulipenda nyimbo zako lakin hali ya mama ako siyo nzuri kumbuka familia yako mpendwaaa
Tunakuombea lkn omba mama msamaha
Please help us to speak English so that we can understand well.
Mama yako kakonda ivyo.unasema ivyo.uombewe nini Amri yenye ahadi umeivunja? Mungu anataka kukuokoa kwa moto.
Joan ni jini linalo mzarau mama yako mama hujui mama ni mungu wa pili
Ni ngumu kuacha huo mchezo na huyo binti .wala sura yako haionyeshi majuto
Unakuwaje na rafiki mpumbavu kama huyo joan
Ndugu yangu kuongea Sana hakuna faida niende Kwa mama mamako kumbuka muliko toka kupata c kwamba uzarau wazazi
Saidiya mama yako weyeeee...
Kabla ya kukuombea nenda katengeneze na mama.yako.ndio maombi yatajibiwa mwondoe huyo mlevi joani.
Uyo joan achana nae ikiwezekana umfukuze kabisa maana uwez kumdharau mzazi ukamfata mtu baki dada amka
Atuwezi kukuombea kamuombe kwanza mama yako
Hata ungekuwa na Sababu zako kumbuka mapambano ya mama Yako Hadi Dunia inakufahamu
Mama ni Mungu wa pili. Jiombee mwenyewe ukamuombe mama yako msamaha. Na umuondowe huyo Joan anayekutenganisha na familia.
Acha unafiki, kweli ya Mungu ipi wakati unayoyafanya na huyo Joan yako wazi????
Mungu hata sikiliza kapatane na ndugu hata maandiko yanasema kwanza alapayane na nsug yako
Nenda kwa mama yako umuombe msamaha mambo mengine yote yatakaa sawaa
Mungu ata tenda hii mitandao unayo mtesa mama yko mzazi itarudi soon back2sender
Hata uombewe mungu hawezi sikiliza kapatane mama yako kwanza hata huyu mungu humheshimu kama humheshimu mama yako
Martha ili maombi yako yajibiwe naenda kashuke Kwa mama yako kapige magoti ndipo hata Mbingu zitakusamehe katengeneze nyumbani Kwa mama yako, Hilo Pepo Joan achana nalo linakuharibia ushuhuda na kazi ya Mungu ndani.
Martha kuna watu wana kufahamu vzr toka nyakati zile za mwansasu hivyo mimi nakusihi tubu ufalme wa Mungu umekaribia
Jombee mwenyewe maana wewe matha ndyo shetani wewe kweli mama tako humjui?yaani kama imefika hapa yaani hakuna haja ya kusimama mathabahuni
Mwamini Mungu na umlilie yeye ni mwingi wa rehema na anasamehe
Kwan hakuna namba ya joan tumchambe aache kuwa anmtukana mama wawatu
Hakuna wa mtu wa kuwa badala ya mama yako hata hivyo kwa nini siyo wewe ndiyo anaongea
Wewe kaombe msamaha kwa mama
Usiache tu iende ..mimi ombi langu kaa mbali na huyo pepo aliye jipachika kwako ... Atakuharibia anachongoa sana mdomo na ni kalevi ... Tubu kwa mama yako hadharani na watanzania wote watakuombe kwa Mungu.
Nenda kwa mama yako wewe unatuomba sisi tutakwambia nini
Omba msamaha mama yako na ummwagie mapesa mnunulie gari naye ajisikie amezaa. Na mungu atakusamee na kama ulijiingiza kwa mafreemason uwaambie wachungaji wakutoe
Pamoja na kuomba watu akuombee, nenda kamuombe msamah mama yako na anza kumusaidia mama yako ata kama unamusaidia basi jalibu kumusaidia zaidi maana watu ameguswa sana humusaiidii kama inavotakiwa!
Musaidie mama kuliko uanze kujitetea,mala ya mwisho kumusaidia Wewe na Mungu wako ndo unajuwa.
Joan arudi Arusha pengine akili zitakukaa sawa
Tunakuombea ila fuata ushauri uliopewa juu ya wanao,mdogo ako+mamako !
Hakuna wa kukuombea unajua uliko kosea rudi usahaihishe yaani tubu maana Biblia inasema pasipo toba hamna ondoleo la dhambi.
Mrudie mungu wako
Maelezo mengii
Dada Martha nakuomba ukubali kujishusha nenda kwa mama ukaombe msamaha
Pumbafu nani akuombe
Nenda kwa mama
Acha hiyo mambo wanawake mkipata hera mnasumbua sana wamekufikisha hapo unawaona wasengee rudi sasahivi omba msamaha ra sivyo utatukanwa mataifa mengi yatakuzihaki kwasababu umewaacha wazazi
Uyo binti ulienane nipepo angalia rud nyumbani kaombe msamaha mama yako ndio atakae kupa msaada
Musionge.imvo.uwunibinandamu.kama.nyinyi.mungu.anaendeya.kusameh
Natamani xn nimuoe Martha nina nguvu kuubwa ya Mungu coz waabudu minyoka hawatamsumbua xn hii piss huwa naikubari xn
Huyo ni mtu Baki wamekuwangia hao Martha jiombeee tu na urudi ukamuombe mama msamaha na uachane mara Moja na huyo Joka hata ungesema nini mama ni mama hapo unajichoresha tu
Tubu rudia mungu nimwaminifu atakusamehe.
Return to your family,, your so famous,,back and help your family?
Tokea mwanzo ss tumeona nyimbo zako za mwanzo zinadhihirisha uilikotoka hivyo endelea kumsihi MUNGU akitetea na bila kumsahau MAMA mzazi Kwan ndio Mungu wa pili
Hukumu niya mungu
Huyu pale alipokutana na Cristina shusho ndio alipobadilika hadi sai mkataba akapewa
Dada funga fanya maombi,acha wanadamu waongee kwa vile wana midomo wataongea kila taka taka.
Kwan ndiyo nani huyu
Asate sana Beatrice, tulikuwa atujuw ajilekebishe tena wako wengi watu kama hawa kudadadeki!
Beatrice ubalikiwe,tena umechelewa hata akumbuki mala ya mwisho kushea story na mama meza moja what a Shame!!
Mkumbuke yule alie kupeleka studio siku ya kwanza kabla ya kuwa na umarufu
Kwa kweli kulingana na baba mlezi alivyoongea martha angalia wazazi wako nimeona champali za mamako hata zimepasuka mueke mamako vizuri nskupenda ila kwa hili hapana .
Nakuombea mtumishi wa MUNGU usiogope yupo MTETEZI WAKO