THE CLASSIC MH TEMBA: NLITOSWA JESHINI/NILIZAMIA KENYA NIKADAKWA/KUUZA SHATI/MIAKA 27 NDANI YA GAME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024
  • Toka Kiumeni TMK jina la Mh Temba linasimama na heshima kubwa katika tasnia ya Rap na Bongofleva,Mcheza kikapu aliekua na ndoto za kua mwanajeshi lakini zikayeyuka na kuibukia kwenye muziki,hii ni sehemu ya hadithi ya maisha yake.

КОМЕНТАРІ • 18

  • @tajirilmole3092
    @tajirilmole3092 8 місяців тому +1

    Temba mwamba mwanaume mbado tuko nyuma ako

  • @kachabisnea8815
    @kachabisnea8815 8 місяців тому +1

    Temba moja ya msanii wangu bora anaendana na kila wakati

  • @brianbrayoo1590
    @brianbrayoo1590 8 місяців тому

    Daah, i remember KISOKI..great boller #jiteute 4life

  • @Anuaryomary-su9cd
    @Anuaryomary-su9cd 8 місяців тому +1

    Muulize Temba alishawahi kuishi Zanzibar

  • @madiesyd
    @madiesyd 3 місяці тому

    Majaniiii....Temba hapa!

  • @bukuruyassini
    @bukuruyassini 8 місяців тому +1

    Inaish na story nzuri

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 8 місяців тому +1

    Temba anajua sana !

  • @shabanshaban1259
    @shabanshaban1259 4 місяці тому

    napenda sana Interviews zenu ila upande wa Sound mnatakiwa kuboresha kdg nashauri watu wa Sound wajaribu kusikiliza vipindi vingne ili kuja kuboresha kipindi chetu,
    Ahsante

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 8 місяців тому +2

    Dah Temba, Hizo ngoma mikono yangu pia backyand, Rest in peace my bro Complex, Nimefurahi sana Temba umenikurupua huku Big up Temba, Mungu akupe Uwezo ndugu yangu Temba kitu nafurahi ni kwamba huwa husahau yaliyopita, Mungu akuongoze ndugu yangu.

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 8 місяців тому

    Mbona fupi hii interview...much love from 🇧🇭

  • @kachboy254
    @kachboy254 2 місяці тому

    Toothpick kwa miaka zote❤😂😂😂

  • @khalidgugu4964
    @khalidgugu4964 8 місяців тому

    Vingunguti, ukumbi ulikuwa unaitwa "Mazuri Hall"

  • @MohamedTuga-dn9su
    @MohamedTuga-dn9su 8 місяців тому

    Interview mbona fupi hii

  • @spartachize122
    @spartachize122 Місяць тому

    @Jabir (kuvifacts)temba alijibu maswali kisingeli sana, wakati mtu anaingia jeshini kabla uanze mazoezi lazima upimwe search mwili mzima, hauezi piga zoezi miezi yote alafu uje kutemwa kisa tattoo ina maana hawakuiona kipindi chote icho? Alafu alisema ametoswa kama mara tatu ivi yaani kabisa unajua nna shida kwenye mwili ambayo itanifanya nitolewe jeshini alafu bdo unaenda mpaka mara tatu, it doesn't make sense, kingine anasema watu wasijaribu alichokifanya kuvaa nguo za jeshi wakati anajua hizo jezi ni fake, mbna jezi feki zinavaliwa karibu dunia nzima? Angesema tu hazikua na issue vile kwa sababu hazikua OG bac, yaani hakua real n that's not what hip hop does, kuna wenzie BDP mbna isa alivyosahau akachanganya issue ya akina kajala, alirekebishwa apo kwa apo akaambiwa bro umechanganya events

  • @wakikuba7
    @wakikuba7 8 місяців тому

    Tunamta matonya

  • @Adam-w6e7d
    @Adam-w6e7d 8 місяців тому +1

    Hiyo issue ya mpakani wewe na jamaa mmoja tall anaitwa Kuber nakamura ulisumulia tukiwa Jiteute .Ulisema Kuber alivaa kijanja mkaonekana nyie siyo wanakijiji.

  • @husseinthakeem4758
    @husseinthakeem4758 8 місяців тому

    Et

  • @niggahoodthemc9156
    @niggahoodthemc9156 8 місяців тому +1

    ✊🏿👮🏿‍♂️