Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MACHOZI ya mtoto wa Mzee MWINYI yawaliza wengi, Asimulia Mzee alivyolia baada ya kumuona Rais SAMIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 бер 2024
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.co...

КОМЕНТАРІ • 105

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 5 місяців тому +7

    Kifo kiskie kwa mwenzako tu lakini kikifika kwako maumivu yake ni makali 😢😢😢

  • @aminaali792
    @aminaali792 5 місяців тому +10

    Innalillah wainna ilayhi Rajiun Allah amsameh makosa yake na awajaalie wote waliotangulia Jannatul Firdaws na awape familia yake subra yaa Rabbi 🤲🏼🥹🩵🩵🩵

  • @rajabmaulid2465
    @rajabmaulid2465 5 місяців тому +5

    ALLAH Akujalieni SUBRA NJEMA NA ALLAH AMSAMEHE NA AMREHEM

  • @amourmohamedfaki4506
    @amourmohamedfaki4506 5 місяців тому +6

    Allah awafanyie wepes na ustahamilivu katika kipindi hiki kigumu

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 5 місяців тому +3

    Kifo hakizoeleki nyinyi mm sai ni miaka 20 sai na bado naona nikama jana kifo nyinyi kifoooo

  • @user-wl8ns6hh8l
    @user-wl8ns6hh8l 5 місяців тому +5

    Pole sana kaka umefiwa unamaumivu sana yA ndani pole sanA

  • @ashahashimu1019
    @ashahashimu1019 5 місяців тому +1

    Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu

  • @badrujuma747
    @badrujuma747 5 місяців тому

    poleni sana ALLAH akupeni subra na uvumilivu amsamehe MAKOSA yake yy pamoja na ss

  • @joycesamweli1219
    @joycesamweli1219 5 місяців тому +1

    Pole sana Abdallah Hakika Umeumizwa Mshukuru sana Mungu kwa umri mrefu

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 5 місяців тому

    Asalam alakum warahmatu Allah wabarakatu Mimi natowa polezangu ni kiwa Kenya poleni sana ndungu zanguni MOLA awape subra wakati huu wa huzuni kubwa MOLA aipoke roho ya Mzee wetu mungu ampe Pepo yake amuweke pema Pepo ya fridus nasi taupemwisho mwema sote jamia Islam Amin. Amin Amin

  • @lutigardkomba1215
    @lutigardkomba1215 5 місяців тому

    Pole Sana Kaka yangu,tu wamwenyezi Mungu na kwake tutarejea

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 5 місяців тому +1

    Innallilah wainna ilah rajuun Allah ampe kauli Thabit inshallah 🤲🤲

  • @user-yk8em1bh8g
    @user-yk8em1bh8g 5 місяців тому +2

    Innallillah wainnaillah rajoon pole kwa family yake.

  • @ashuraomar4935
    @ashuraomar4935 5 місяців тому +1

    Dullah ,NI SIKU NZITO SANAA KWETU SOTE KWA WANANCHI WOTE WA TANZANIA. BABA ALI ALIKUWA KIPENZI CHA UMMA WA TANZANIA

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 5 місяців тому +2

    انا لله وانا اليه راجعون الله يرحمه ويغفر له ويسكنه فسيح جناته يارب العالمين 😢

  • @mwajumaissa2358
    @mwajumaissa2358 5 місяців тому

    Daaah Innalillah wa innailayhi rajiuun poleni saan kwa msiba huu mzito Allah akupeni subra kwa kipindi hiki kigumu 😭😭😭

  • @lydiavegula7641
    @lydiavegula7641 5 місяців тому +2

    Mwenyezi Mungu awafariji

  • @rayjimbos9903
    @rayjimbos9903 5 місяців тому +1

    Pole sana dear. Umejikaza sana kiume

  • @mbwawafillingstation
    @mbwawafillingstation 5 місяців тому

    Allah awape Subra ampe Qaul thabit Baba na Babu yetu.Hatuna namna ya kubadilisha hili.Poleni sana Familia ni ngumu sana ..Mama Yetu a
    SAMIA POLE SANA JAMANI UMEPATA MAPIGO SANA.MUNGY AKUPE NGUVU MAMA POLE SANA SANA.ALLAH AKUPE SUBRA

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed 5 місяців тому

    POLENI WANANAFAMILIYA YAA ALLAH WAPE SUBRA NDUGU ZETU 🤲🤲🤲

  • @nikundiweamosi5087
    @nikundiweamosi5087 5 місяців тому +1

    0:49 mshukuruni mungu mmepewa urtdhi wa mali elimu na makuu kwe maisha

  • @user-ip2un7oh9y
    @user-ip2un7oh9y 5 місяців тому +1

    Allah ampe kauli thabit baba yetu,hakika ameyaacha yakuigwa yadunia na akhera😢🤲

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 5 місяців тому

    Allah awatie nguvu familia na wananchi wote wa Zanzibar na unguja innailah wainnallilahi rajuun

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 5 місяців тому

    Innalillah wainnailaihi rajiun poleni sana Mwenyeez Mungu awape subra Insha'Allah

  • @ashrafkhamis1051
    @ashrafkhamis1051 5 місяців тому +1

    Poleni sana kwa family

  • @lutigardkomba1215
    @lutigardkomba1215 5 місяців тому

    Pole Sana Kaka yangu,tu wamwenyezi na kwake tutarejea

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed 5 місяців тому

    ALHAMNDULLILAH RABIL AALAMIYN 🤲 INNA LILLAH WA INNA ILAYH RAJIUN 😭😭😭POLENI NDUGU ZETU KWA BABA YETU MPENDWA INSHAALLAH ALLAH AWAPENI SUBRA WAKATI HUU WA HUZUNI

  • @w4058
    @w4058 5 місяців тому

    Allah awamiminie Subra wafiwa naam ndugu yangu nzito kwetu seuze nyie wenye Baba enu poleni sana

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 5 місяців тому

    Poleni sana familiar ya Ally Hassan Mwinyi,Mungu awape nguvu na hekima ya kuhimili msiba wa baba yetu mpendwa Bwana ametoa bwana ametwaa.

  • @mariammwinyijuma3078
    @mariammwinyijuma3078 5 місяців тому

    Allahuma ghfirllah warhamnuu waskinhuu firjannah 🤲kikubwa ZAIDI kama familia ni mshikamano wa dhati daima ,na Allah awape ujira mwema baada ya huu mtihan
    Amiiyn,inaumiza sana wallahi lkn ALLAH(S.W) kakadiria hili 😌

  • @marymgimwa
    @marymgimwa 5 місяців тому

    Pole aise it pain much more,,,dah

  • @w4058
    @w4058 5 місяців тому

    Hamjampoteza hio ndio njia ya haki Allahumma Ghfrilaha Warhamha waskinhu fil JANNAT alipokosea au alipowakosea waja wengi Allaah awasaidie kuwasafishsa nyoyo zao wamsamehe

  • @J4UPro
    @J4UPro 5 місяців тому

    Poleni sana watoto wa marehemu na ndugu jamaa na marafiki.

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 5 місяців тому

    Tunayo jua na Yale tusiojua akatipe vitabu vyetu kwa mikono yetu ya kulia awasamehe wazi wetu walio tangulia mbele za haki poleni sana pole mama samia na watanzania wenzangu poleni

  • @user-kk5nf3pu1g
    @user-kk5nf3pu1g 5 місяців тому +1

    Pole sana kaka

  • @desderiamapunda1306
    @desderiamapunda1306 5 місяців тому +1

    Poleni sana

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 5 місяців тому +1

    Poleni sana wafiwa

  • @w4058
    @w4058 5 місяців тому

    Hamjampoteza hio ndio njia ya haki Allahumma Ghfrilaha Warhamha waskinhu fil JANNAT alipokosea au alipowakosea waja wengi Allaah awasaidie kuwasafishsa nyoyo zao wamsamehe Allaah awajaalie mzidi kushikana na kupendana

  • @w4058
    @w4058 5 місяців тому

    Never hakizoeleki Allah ampe wepesi alikolala

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 5 місяців тому

    Allah awape.subra na hekma katika kipindi hiki kigumu

  • @mwanjumajongette8187
    @mwanjumajongette8187 5 місяців тому

    Inna Lillah wa Inna illahim rajiun pole sana kwa wati mungumu

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 5 місяців тому

    Poleni ana ni mema ya Allah

  • @kulthummaabad
    @kulthummaabad 5 місяців тому

    Poleni mno. Tunawapenda mno. U r the best family in Tanzania

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 5 місяців тому

    Pole sana baba.

  • @user-kp6lz7zs1w
    @user-kp6lz7zs1w 5 місяців тому

    Poleni cn wafiwa wote kwani msiba huu ni wakwetu sote sio nyinyi pekeeni wetu sote 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @muharamiesther5908
    @muharamiesther5908 5 місяців тому

    Daah 😢😢😢

  • @ibrahimame9805
    @ibrahimame9805 5 місяців тому

    Kuondokewa kunauma ila hpo tunatakiwa kiongozi atende hki wakati wa uchaguzi munatuulia wazee wetu kma chicha .bc nacc tunaumia pia maana roho ni hiyo hiyo .fanyeni uadilifu .musifanye ufisadi ktka ardh

  • @rehemasmbena8392
    @rehemasmbena8392 5 місяців тому

    Tuseme tu innalillah wainna illah rajiun na kwake utarejea

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 5 місяців тому

    This means huyu ndo alikua mtoto wake kipenzi 😢😢😢😢😢

  • @fatumatandika6220
    @fatumatandika6220 5 місяців тому

    INNALILLAH WA INNAILLAH RAJIUUN

  • @MwanajumaAmemossi-cq2cg
    @MwanajumaAmemossi-cq2cg 5 місяців тому

    Poleni

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 5 місяців тому

    Inalillah wainalillah rajiun

  • @w4058
    @w4058 5 місяців тому

    Kuondokewa kuzito

  • @mealsbymana6561
    @mealsbymana6561 5 місяців тому

    😢😢😢😢

  • @maryamzdelights1352
    @maryamzdelights1352 5 місяців тому

    Inna lillahi wainna ilayh raajioun 😢

  • @meriamumeriamu9015
    @meriamumeriamu9015 5 місяців тому

    Innalilah wainailah rajwuun

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 5 місяців тому

    Poleni familia wote

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 5 місяців тому

    Wewe umeonyesha kwa moyo wa zati ni mfiwa. Kufiwa na baba sio sherehe ni uzuni Mungu akupe nguvu

  • @magrethmmari8713
    @magrethmmari8713 5 місяців тому

    Hata angeishi miaka mingapi mzazi ni mzazi hasa kwa yale mema mengi aliyokuwa nayo uchungu ñi lazima uwepo

  • @mdmohammed9411
    @mdmohammed9411 5 місяців тому

    Innalillah wainnah ilaih raj'oun 😢

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 5 місяців тому

    Innalilahi waina ilayhi rajiuun 😭😭😭😭

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 5 місяців тому

    Mbona ww hujalia au hutaki

  • @user-jn4zq3dh3q
    @user-jn4zq3dh3q 5 місяців тому

    Inna lillahi waina illahi rajiun

  • @user-nf1ms4ke5k
    @user-nf1ms4ke5k 5 місяців тому +1

    Allah ampe qaul thabit mja wake.

  • @user-zf4px1di4f
    @user-zf4px1di4f 5 місяців тому

    Polen san kwa kipindi kigumu

  • @SaumuIssa-zl1vy
    @SaumuIssa-zl1vy 5 місяців тому

    Inna lillah wainna illayikh rajiuun

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 5 місяців тому

    Innalillah wainna ilayh rajiun 😭

  • @muskhaj1230
    @muskhaj1230 5 місяців тому

    Pole sana Kaka yetu hakika ni msiba wetu sote.
    Tunafahamu maumivuu munayopitia.
    Kwa kila anaeondokewa na mzee hata awe mtu mzima kiasi gani wallah maumivuu na kilio kitakuja tupo pamoja na nyinyi WALLAH HUTII AIBU HAYO NI MAUMIVUU USIJALI KAKA YETU.

  • @muscato50
    @muscato50 5 місяців тому

    Sherehekeni msiba wa mzee wetu, kwa umri alioishi ukilia unakufuru Mungu.

  • @user-vi7nz1jd5g
    @user-vi7nz1jd5g 5 місяців тому

    Innalilahi wainnailaihi rajuun

  • @user-wl8ns6hh8l
    @user-wl8ns6hh8l 5 місяців тому

    Poleeni sana jamani mzazi ni kitu kingine kabisa

  • @salhaidowa7433
    @salhaidowa7433 5 місяців тому +1

    Huyu maskin hana kifua😢

    • @fauzibinzoo6563
      @fauzibinzoo6563 5 місяців тому +1

      Hapana msiba usikie Kwa mwenzio tu

  • @hamischilinga6706
    @hamischilinga6706 5 місяців тому

    Hakika alikuwa ni bora

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 5 місяців тому

    MOLA afanye kaburi lake bustani ya Peponi lisiwe katikaashimo ya motoni MOLA atusameh makosa yetu tunayo yakuwa na ya Siri pia atusameh sote

  • @MwanajumaAmemossi-cq2cg
    @MwanajumaAmemossi-cq2cg 5 місяців тому

    Nyie wenye uwezo mnaumia SS hatuna kitu inakuwaje

    • @muhammadjuma8457
      @muhammadjuma8457 5 місяців тому +1

      JAMBO LAKUFILIWA KUUMIA KWAKE HAKUTEGEMEI UWEZO AU HALI YA KIMAISHA .

  • @nikundiweamosi5087
    @nikundiweamosi5087 5 місяців тому

    Huwezi kumzungumzia rais wowote kuwa wa haki kama mtoto ila acha wananch waseme kama alitenda haki

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 5 місяців тому +4

    MZEE WENU KAZEEKA SANA ACHENI APUMZIKE, MLITAKA AISHI MIAKA 1000 KAMA VAMPAYA AU?

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 5 місяців тому

      Daaaah

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 5 місяців тому +2

      Subhannallah yaan wew kwaiyo wasiumie wacheke tu e huna Adabu😡

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 5 місяців тому +2

      Hebu kuwa na UTU, kuna mwisho wa umri wa kumlilia mtu hasa akiwa ni mzazi wako? Hivi wewe sijui kama baba yako yu hai, na kama yu hai na Allah akamjaalia kuishi umri alioishi Mzee Mwinyi au na ziaid akifa utacheza ngoma?? TAFAKARI kabla HUJATAMKA, una viashiria vya kumuua mzazi wako akiwa Mzee kwa kisingizio cha akapumzike, hivi una hakika kuwa huko ni kwa KUPUMZIKA???

    • @sikukuuchuo3093
      @sikukuuchuo3093 5 місяців тому +1

      wewe 😢 huna utu kbsa wala ubinadamu

    • @mariasalomemelchiorkaigaru1974
      @mariasalomemelchiorkaigaru1974 5 місяців тому +2

      hata kama ni baba,ni binadamu lazima roho iwaume ni baba yao na hawatoweza kumuona tena kwenye uso huu wa dunia.

  • @lesikarMepukori-pc5qj
    @lesikarMepukori-pc5qj 5 місяців тому

    𝒑𝒐𝒍𝒂𝒏 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒕𝒖𝒌𝒂𝒔𝒂𝒏𝒆 𝒕𝒖