HARMONIZE ashindwa KESI, atakiwa kuilipa CRDB mamilioni baada ya kushindwa kurudisha MKOPO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 707

  • @EstarMichael
    @EstarMichael 2 місяці тому +57

    watu anaowadet ndio wanammalizia hela..huwezi kuwa na watoto wamjini wapenda starehe nahawana akili yakutafuta halafu utoboe😂😂 jichunguze bro mm shabiki Yako mkubwa❤❤❤

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 2 місяці тому

      KWELI WATOTO WA MJI I HAWAJALI WANAKUCHUNA TU

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 місяці тому

      ​@@edwardmkwelelewanakuchuna mpaka ufe 😂

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 місяці тому +184

    Ukiwekeza kumpa furaha mwanamke,,, huwezi fanikiwa KAMWE

  • @bakarially253
    @bakarially253 2 місяці тому +29

    HAUWEZI KUMTUKANA ALLAH KISHA UKAWA SALAMA HAIWEZEKANI HATA WAKINAFARAO WALITESEKA DOGO NILAZIMA UTALIPIWA HAPA HAPA

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 місяці тому

      Kwahyo allah anamwadhibu mja wake sio?

  • @deniseliuter3002
    @deniseliuter3002 2 місяці тому +73

    Ndugu zetu wanaigiza sanaa maisha aisee

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 2 місяці тому +1

      Wanaigiza sana inasikitisha

    • @Mariam-fm8vq
      @Mariam-fm8vq 2 місяці тому +1

      Umeona😂😂😂😂sasa wanaumbuka

    • @Keyjop
      @Keyjop 2 місяці тому

      Yaani 😢

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 2 місяці тому +1

      Mbona Hela Ndogo hivyo?Kwa jinsi wanavyoigiza maisha

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 місяці тому

      ​@@frankngoloka5416tatizo hawawekezi ktk uwekezaji wenye tija wao wanawekeza kwenye sehemu za siri za wanawake....hilo ndio kaburi lao hawa vijana wetu.😂

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 2 місяці тому +55

    Hiyo ndio Tabia ya uznzi kajala akisikia hii atafurahi sana

    • @ikulunimahalipatakatifu7642
      @ikulunimahalipatakatifu7642 2 місяці тому

      Kwani kajala kabla ya Harmonize alikuwa amekutana na wanaume wangapi? , kwani kajala alikuwa mke wake wa ndoa ?

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 2 місяці тому +1

      @@ikulunimahalipatakatifu7642 atafurahi kwa sababu ya mitihani alopata hamonize

    • @ikulunimahalipatakatifu7642
      @ikulunimahalipatakatifu7642 2 місяці тому

      @@Mumewangu labda ataumia pia , maana uenda hiyo pesa nae alikula ...

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 2 місяці тому

      ​@@ikulunimahalipatakatifu7642Aumie nini sasa😂😂yeye inamhusu nini alipewa akatumia

  • @dennisnjonanje62
    @dennisnjonanje62 2 місяці тому +85

    Kwakifupi, mkopo siyo pesa yakuhongea 😂😂

  • @fathiafathia6324
    @fathiafathia6324 2 місяці тому +49

    Kajala 1 and 2 na zote ni range

    • @patriciaboniface9975
      @patriciaboniface9975 2 місяці тому +1

      Yaniii 😢

    • @alfamgayatv872
      @alfamgayatv872 2 місяці тому

      😂😂😂

    • @theonewrld
      @theonewrld 2 місяці тому

      Banki wamedai chenji

    • @Mcsceo
      @Mcsceo 2 місяці тому

      😂Daaah mwanangu huoni Pepo.

    • @JanetAhmad-v3h
      @JanetAhmad-v3h 2 місяці тому

      😅😅😅😅😅😅kajala kayachukua😅😅😅 ma range 😅😅😅😅

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 місяці тому +9

    Mmmmh makubwa😂😂😂😂nimechoka akili😂😂na izo range za kumwaga na kumimina ni pesa za mkopo ama Kuna lingine😂😂😂😂ebu ninyamaze mimi😂😂😂the sisterhood is proud of you ladies who got gifted😂😂😂we're forever proud😂

    • @BakariKitemi
      @BakariKitemi 2 місяці тому

      Gar nyng anazotembea nazo hazna pletu namba, zile ni gar za kukodi ndgu yngu ht ww ukitka niela yko tu

  • @yussufritzy7684
    @yussufritzy7684 2 місяці тому +47

    Kosa lake ni moja na ndilo litakalomuangusha... Kauli yake ya kwamba M/Mungu huenda akawa ni m/ke....
    Mungu hadhihakiwi kamwe

    • @bellasi349
      @bellasi349 2 місяці тому +3

      Acha ujinga shenzi wewe

    • @ABUU426
      @ABUU426 2 місяці тому +2

      Wewe ndio mjinga unaemtetea hamornise kwa ujinga wake

    • @ABUU426
      @ABUU426 2 місяці тому +3

      Yaaani wewe ndio umecomment cha maana kuliko wote

    • @fredrickshantiwa9710
      @fredrickshantiwa9710 2 місяці тому

      Hapo sasa

    • @elvira9325
      @elvira9325 2 місяці тому

      True

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 2 місяці тому +77

    Poshy Queen anasepa hatufiki December 😢 kama namuona.Wadada wa mjini 😮wako kimaslahi zaidi

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 місяці тому +3

      Wanawake wengi wapo kimaslahi

    • @shabanimadobe972
      @shabanimadobe972 2 місяці тому +3

      Kumbe posh ana akiri sana kubalabababakee amesepa kajara kasepa na range mwaka huu mbna atajua mtetez wake amedanja

    • @Mariam-fm8vq
      @Mariam-fm8vq 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @benhanclove5997
      @benhanclove5997 2 місяці тому

      Daah!! Kweli😂😂😂

  • @isaackambofi1241
    @isaackambofi1241 2 місяці тому +11

    Pole harmonize jitahidi dawa ya deni ni kulipa, acha kuwafurahisha wapambe akina mwijaku na hao mademu itunze pesa ndio ngao yako kimaisha huku ukimtanguliza Mungu

  • @philbertzacharia3087
    @philbertzacharia3087 2 місяці тому +13

    When you want to change your life first make sure you change yourself, stop worse things, change your bad habits, respect what you earn ,decline your expenses, spend less save more. My advice to him respect where you are now ,remember where you from and where you have been before today hold you status to avoid dropping down.

  • @ASHAKHAMISMUSSA
    @ASHAKHAMISMUSSA 2 місяці тому +10

    Napenda sky achambue hbr nyeti km hii🎉🎉🎉🎉

  • @Agath45
    @Agath45 2 місяці тому +62

    Duu ni kwamba anajiongezea mzigo juu ya mzigo. Mungu ampe wepesi

  • @felixdestroyer4039
    @felixdestroyer4039 2 місяці тому +88

    Kajala one and two ✌🇰🇪

    • @nzegeatv6355
      @nzegeatv6355 2 місяці тому +20

      Afu zote ni Range😂

    • @hamzaseneda5251
      @hamzaseneda5251 2 місяці тому +11

      Mwenzetu unahonga lali3 tu.. Alafu unadai........

    • @RayChausa
      @RayChausa 2 місяці тому +8

      ​@@hamzaseneda5251😂😂😂🎉🎉😂😂umenichekesha

    • @onesmomwakasege5215
      @onesmomwakasege5215 2 місяці тому +6

      Harmpnize ushamba wako wa maisha itakufanya ufilisike yani unaweza kifikia atua yakina daz baba nawenzake

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 2 місяці тому +6

      Alsababisha nkafukuzwa ukweni. Natoa laki, mwnzng Range 1n2

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 місяці тому +24

    KIpindi kile anachezea pesa kumuweka Kajala kwenye mabango na kumnunulia magari 😮 Aibuuuu Who's next???

  • @Gujay7
    @Gujay7 2 місяці тому +4

    Konde my braza namuomba mungu akupitishe kwenye hiliii MUNGU MSAIDIE KAK

    • @Mariam-fm8vq
      @Mariam-fm8vq 2 місяці тому

      Awapi😂😂😂😂

    • @yohana1242
      @yohana1242 2 місяці тому

      ila mungu wake ni mwanamke uyo😂

  • @RahimaIdd-yf9jo
    @RahimaIdd-yf9jo 2 місяці тому +17

    Harmonize ni kibuli mambo yalikuwa kisiri siri mahakama inakutumia uhito hadi kwenye magazeti lakini kimywa kwanini usingemtuma ata wakili wako leo unajitoa uhaminifu kwa makampuni unajialibia brand yako ni kubwa kuliko iyo ela iliyobaki kudaiwa sasa unajialibia na rayvanny kashapewa ubalozi wa CRDB uwelewa sana na mapenzi pole

    • @philbertzacharia3087
      @philbertzacharia3087 2 місяці тому +2

      Inamuhitaji afumbe macho, yaani namanisha anatakiwa awe na maamzi magumu ya kuwaangalia upya wafanyakazi wake pamoja na washauri wake pia ,anatakiwa kuiajiri washauri wasomi yaani awe na mshauri mwenye elimu lkin pia hata katika bidhaa na masoko anatakiwa kumwajiri manager aliyesomea biashara atakaye kuwa anaweza kutafuta soko la biashara zake ,atakayeweza kupromote na kfanya advertisements za biashara la sivyo atafirisika achana na genge kubwa la wafanyakazi wasio na ueledi na ufanisi wa kazi zako.lkn pia aina ya mafiki na washauri au wanaokuzunguka ndo wanaweza kuwa chanzo cha kustep forward four steps forward then two backwards jua ni aina ya marafiki, tafuta marafiki wanaokuzidi akili sio unaolingana nao au unaowazidi ,ulikuwa na Akina Fred vunja bei km rfk yko make sure unakuwa na watu km Fred utafika mbli

    • @philbertzacharia3087
      @philbertzacharia3087 2 місяці тому +1

      Inamuhitaji afumbe macho, yaani namanisha anatakiwa awe na maamzi magumu ya kuwaangalia upya wafanyakazi wake pamoja na washauri wake pia ,anatakiwa kuiajiri washauri wasomi yaani awe na mshauri mwenye elimu lkin pia hata katika bidhaa na masoko anatakiwa kumwajiri manager aliyesomea biashara atakaye kuwa anaweza kutafuta soko la biashara zake ,atakayeweza kupromote na kfanya advertisements za biashara la sivyo atafirisika achana na genge kubwa la wafanyakazi wasio na ueledi na ufanisi wa kazi zako.lkn pia aina ya mafiki na washauri au wanaokuzunguka ndo wanaweza kuwa chanzo cha kustep forward four steps forward then two backwards jua ni aina ya marafiki, tafuta marafiki wanaokuzidi akili sio unaolingana nao au unaowazidi ,ulikuwa na Akina Fred vunja bei km rfk yko make sure unakuwa na watu km Fred utafika mbli

  • @JeminAbraham-f1o
    @JeminAbraham-f1o 2 місяці тому +4

    Nakupenda Sanaa nikiskia matatizo yako naumia km yangu .sema sijui tabia yako .hila we bonge la mwanaume n unetoka kwenye maisha magumu wapi una kwama,n km utaniskia mbn wanawake wazuri n waskivu wapi usiwe nao au mziki ndo unatak ivyo

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 2 місяці тому +17

    Shukran hana yy kibur tu ngoj arud kuuz vyombooo

    • @Adinaci
      @Adinaci 2 місяці тому

      😂😂😂😂

  • @mchawimweusinjomo5533
    @mchawimweusinjomo5533 2 місяці тому +20

    Wasanii wana siri kubwa nyuma ya ukuta alafu kibaya Zaid anatak kushindna na Mond wakt mwenzie Ana biashar na Ana wasanii wanamuingizia pesa .wakt yeye ameanzsha Lebo ameshindwa kumudu wasanii .

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 місяці тому +1

      Pia kukosa muongozi wa kimaisha ni shida sana. Au kujifanya kujua kwingi bila kuuliza. Yeye alipopewa kazi ya kutangaza CRDB akalegezwa akajaa maana haya mabenki wajanja sana wakikusomea utadhani ni rahisi mno.Kumbe ni unaingizwa ukomeshwe ndio haya sasa .

  • @kombosalehe9787
    @kombosalehe9787 2 місяці тому +7

    MUNGU BABA!!! H apo ndipo utajua Mungu sio mwanamke

  • @abdunasiriathumani9011
    @abdunasiriathumani9011 2 місяці тому +11

    Mtu unalewa pesa mpaka unaamua kumkejeli mungu!!chamoto utakiona kabla haujafa🫡🫡

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 2 місяці тому +9

    Harmonize anaabudu sana matako makubwa ndio maanake hawezi faulu kwenye maisha yake sababu nguvu nyingi anaekeza kwa wanawake ......

  • @DaudiOkey
    @DaudiOkey 2 місяці тому +10

    Duh kwaiyo baba levo na mwijaku wana hela kumzidi harmonize

  • @MswailiMswaili
    @MswailiMswaili 2 місяці тому +33

    Yeye sialisema.mungu.mwanamke.ataseema Yani.mpakaa.aseeeeme

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 2 місяці тому

      Kwahio angesemaje Ili mkopo huu usamehewe?
      Je, wanaodaiwa Tanzania wote au wanaolipishwa na wale ambao wanasema kua Mungu hayupo?

    • @mussaMbwego-lz9hd
      @mussaMbwego-lz9hd 2 місяці тому

      Alijisahau sana pale alipo lewa sifa nakutoa kashfa kwa Muumba wake sasa nimuda wakukimbilia kwa mashetani wenzake kumsaidia

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 2 місяці тому

      We koma nani shetani?

  • @kinega1029
    @kinega1029 2 місяці тому +56

    Huyu kijana ana mwisho mbaya kweli kweli kwa kiburi chake atarudi kama alivyokuwa

    • @abedsaidy7263
      @abedsaidy7263 2 місяці тому

      😢

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 місяці тому

      Utasubili sana

    • @MajutoElliasi
      @MajutoElliasi 2 місяці тому

      Unapo muombea mutu mabaya dipo unapo mpaisha kimaisha yanakurudia mwenyewe mimi pare kumbuka hiii messeji

    • @alibachirofficial3939
      @alibachirofficial3939 2 місяці тому +2

      ​Wewe simungu
      Nani a siyokuwa na deni?
      ​@@sifatiiman

    • @SalmaAthuman-hp3en
      @SalmaAthuman-hp3en 2 місяці тому +2

      Wewe kama nani useme Ana mwisho mmbaya mshezy ww mtasubiri sana Kenge nyie

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 2 місяці тому +14

    Pesa kawekeza ktk makalio.😊

  • @SalehKhamic
    @SalehKhamic 2 місяці тому +27

    Uyu rajabu tatizo mshamba sana wa maisha anaonesha anapenda sana kushindana na wenye pesa wakati yeye hana kitu mwache yamkute atarudi tanda himba

    • @tidybway2411
      @tidybway2411 2 місяці тому

      w hujui hata unachoongea

    • @svt3
      @svt3 2 місяці тому

      ​@@tidybway2411haana kitu na ndio sababu hata pesa ya kuendekeza lebel alishindwa mpaka leo pesa za ku brand Ibrah kumfanyia promotion na marketing haana

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 місяці тому

      ​@@tidybway2411Ongea ww unachojua

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 2 місяці тому

      @@tidybway2411 twambie basi wewe unayejua tuelewe

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 2 місяці тому

      ​@@edsonnelson4464😂😂atueleze

  • @DONY-kz
    @DONY-kz 2 місяці тому +14

    Pesa ya kawaida hiyo Hamo atamaliza tu😊

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 2 місяці тому

      Atamalizq kwa mkopo mwingine😂 kama alikopa ili atengeneze studio ya kulipa ataitapika wap

    • @paullameck-r5j
      @paullameck-r5j 2 місяці тому

      alishindwaje kumaliza mwanzo aje amalize leo

    • @saibabatz_
      @saibabatz_ 2 місяці тому

      Angeweza kumaliza asingeweza kuchafuriwa cv yake

  • @ibrahimsadick6137
    @ibrahimsadick6137 2 місяці тому +3

    Najua ishue ya mikopo
    Pole sana Harmo

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 2 місяці тому +9

    Badala ya kununua vifaa vya studio yeye akaenda kununua ma range😂😂..Kajala 1 Kajala 2

  • @luckyluchano1
    @luckyluchano1 2 місяці тому +15

    Kizungu na kikohozi cha bangi kitaisha mwaka huu😂...na vile dogo anapenda mpalange🤭😂😂

  • @edwardringo1745
    @edwardringo1745 2 місяці тому +4

    Jaman mbona comment sana wengine tunamtakia mabaya wengine mazuri mwamba kanyamaza tu kwasababu mm naamini anauwezo sana wakulipa hiyo pesa ndogo sana kwa mwamba, hata kama kaishiwa kiasi huko anauwezo wakuuza gari Moja tu na akalipa jaman mbona ana rasilimali nyingi, na account pia inasoma mwamba Yuko vizuri sana

    • @ABUU426
      @ABUU426 2 місяці тому +2

      Mwamba,mwamba, labda mwiba lakini hakuna mwamba anaemtukana mungu.

  • @MaarufuAmani-bq6qc
    @MaarufuAmani-bq6qc 2 місяці тому +11

    Amludie mungu maan anadhani mungu ni wakuchezea sas atajua hajui

    • @bensonswai-hl6fn
      @bensonswai-hl6fn 2 місяці тому

      Mungu anahusika vp apo

    • @zuberimohamedi5761
      @zuberimohamedi5761 2 місяці тому +2

      Alisema yy anadhani mungu ni demu
      Na kumsujudia madame Ritha

    • @ABUU426
      @ABUU426 2 місяці тому

      ​@@bensonswai-hl6fnwee huoni anaingia vipi?wewe unafkiri kumtukana mungu mchezo?

    • @IkoUwasi-it6qy
      @IkoUwasi-it6qy 2 місяці тому

      ​@@ABUU426we kweli huna akili eti anaigiza

    • @ABUU426
      @ABUU426 2 місяці тому

      @@IkoUwasi-it6qy wapi nimesema anaigiza? Mbona sikuelewi unachoongelea?

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 2 місяці тому +13

    Huyu sindio alisema mungu nimwanamke pia nijeshi LA mtu mmoja akapambane mwenyewe sasa, mmakonde huyo hawanaga shukran walifanya diamond atuone wasaniii underground hatuna fadhira

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 2 місяці тому

      Uwezo wake ni hatua lakin ye kapiga msamba alimvimbia mpaka boss wake huyu hatujasahau

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 місяці тому

      @@subrynerysegerow1323 alimtoa mbali mwishowe akamuita mbwa haikutosha akaanza kushindana nae kila kukicha ili amshushe mi nadhan kuna mda mond alikua anajutia Kumsaidia huyu jamaa ila ndo hvyo haiwezekan tena

  • @IssaIssa-h1d
    @IssaIssa-h1d 2 місяці тому +32

    Tukumbuke tu kwamba mkopo sio mzuri ... Mikopo sikuzote Ina nuksi

    • @LucyNgowi-m5z
      @LucyNgowi-m5z 2 місяці тому +1

      Alichokosea.mkopo yeye anahongea wanawake 😂😂😂

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl 2 місяці тому +1

      Issa Issa, Allah analaani RIBA, na hakuna atakae chukua mkopo wenye Riba na asalimike. Mda wowote........

    • @GABRIELGEORGE-qq1nj
      @GABRIELGEORGE-qq1nj 2 місяці тому +1

      @@MinskBelarus-il2tl change your Mindset uncle akina moodewji wanadaiwa wote, mwaka 2001 joseph kusaga alipata mkopo wa 100M kutoka NMB na ndiyo ilienda kuwa foundation ya uboreshaji ya CloudsMedia BADILIKA WATU WANATOBOA KABISA

    • @storytime1204
      @storytime1204 2 місяці тому +1

      ​@@GABRIELGEORGE-qq1njMo anadaiwa wapi? 😅😅

    • @storytime1204
      @storytime1204 2 місяці тому +1

      ​@@GABRIELGEORGE-qq1nj unataka kumfananisha mo na kusaga? 😅😅si bora ukamfananishe na GSM😅😅

  • @flavourboyke
    @flavourboyke 2 місяці тому +6

    Ulichonacho kidogo mshukuru Mungu,,kuna watu wanaonekana wako na expensive life lakini nyuma ya pazia ni shida,,

  • @TwigaFashions
    @TwigaFashions 2 місяці тому +7

    This is a lesson , this guys was nothing until he met diiamond ! Then akadanganywa then left in an arrogant way ! Where are the Pple who gave him pressure to leave wbc

  • @HeriRamadhan-q7m
    @HeriRamadhan-q7m 2 місяці тому +10

    Posh queen yuleeee 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

  • @lemeiyapapai1526
    @lemeiyapapai1526 2 місяці тому +17

    Acha alipizwe maybe anaweza kurudisha akili yake ikawa Sawa.... maybe anaweza kujitambua kuwa yeye ni nani coz sidhani kama alishindwa kupata hizo hela kwa muda wote huo!!!

  • @kadito-music
    @kadito-music 2 місяці тому +1

    Harmonize kaka nimekuenulia mikono unaakili sana najuwa hii ni hit song inakuja juu ya kuheshim mamlaka duuh wewe kiboko❤

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 місяці тому +2

    Sky yaaan nasikiliza interview yaaan nataman kama isiishe unaichambua vizul mnooo wallah
    Rajabu pole sna daaaa wasanii mnapitia magum sna mnataman hata msingekuwa na umaalufu Ona mie sio maalafu nakula zangu ugali TEMBELE HAPA UNASHUKA VIZUL NA FAN YANGU

  • @livinuskamugisha5296
    @livinuskamugisha5296 2 місяці тому +18

    Huyu si ndo aliyesema Mungu ni mwanamke??

    • @mk-ed5py
      @mk-ed5py 2 місяці тому

      Hahahaha

    • @aishahasan7722
      @aishahasan7722 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂 ndio yy achalimkute jmbo na badoo

    • @khassimmussa1095
      @khassimmussa1095 2 місяці тому

      ​@@aishahasan7722😂😂😂

    • @ABUU426
      @ABUU426 2 місяці тому

      Akamtafute mungu wake wa kike amuombe😂😂😂😂

    • @aishahasan7722
      @aishahasan7722 2 місяці тому

      @@ABUU426 🤣🤣🤣🤣atampata wapii? Huyo mungu wakike chiz lile mibange ishambangua

  • @amirinestory
    @amirinestory 2 місяці тому +34

    Huu mwaka ni wangu...huu mwaka watanikoma😂😂😂
    Kwa mkopo huwezi kutoboa...

  • @Selemanian
    @Selemanian 2 місяці тому +7

    Wapi mwijaku anaetuaminisha kila siku kuwa Hamornize ana pesa za kumwaga😂😂😂

  • @EDENILYIMO
    @EDENILYIMO 2 місяці тому +28

    Uyu. Kijana bangi na makalio yanamponza

    • @RayChausa
      @RayChausa 2 місяці тому +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @aishahasan7722
      @aishahasan7722 2 місяці тому +2

      😂😂😂😂😂😂sanaaa matako yanamponza 😂😂😂😂😂shenxiiii

    • @DeogratiusMelchior
      @DeogratiusMelchior 2 місяці тому

      ACHA KUDHALILISHA MMEA CANNABIS SATIVA. INA HESHIMA YAKE, UWE MWANGALIFU. BANGI IPO KABLA YAKO NA ILIUMBWA NA ALIE KUUMBA WEWE. NAIPENDA BANGI

    • @hanspop6961
      @hanspop6961 2 місяці тому

      @@DeogratiusMelchior😂😂😂😂😂🎉

  • @luckyluchano1
    @luckyluchano1 2 місяці тому +21

    🎶Kajala one and two, kumbe vyote ni deni🎵🎷😂😂...mwaka huu naona utavaa shati😂😂

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 місяці тому +2

      🤣🤣🤣

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 місяці тому +4

      Dah atavaa shati 😂😂😂kama baba yangu

    • @luckyluchano1
      @luckyluchano1 2 місяці тому +1

      @@AFRICA_D669 nakwambia😂😂

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 місяці тому +1

      @@luckyluchano1 😂😂

  • @TaifaEzekiel
    @TaifaEzekiel 2 місяці тому

    Mungu akusaidie sana kaka

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 2 місяці тому +9

    Mungu akufanyie wepesi mwanangu harmo

  • @amirinestory
    @amirinestory 2 місяці тому +40

    Tatizo sio yeye,tatizo ni bange ye alijua amepewa 😂😂😂

    • @jumaibrahim9773
      @jumaibrahim9773 2 місяці тому +3

      😅😅😂😂😂😂

    • @jumaibrahim9773
      @jumaibrahim9773 2 місяці тому +5

      Uyu si ambasada wenu jamn 😂😂😂mbn hamna uruma au posh kaiba rejesho ndo maana kasepa na ile gar mpya VP mbn baaz ya wasanii mnamaisha magumu ivo unatusumbuaga kumbe ni za mkopo utalipaje na hautaki shoo za wasafi 😂😂😂

    • @amirinestory
      @amirinestory 2 місяці тому

      @@jumaibrahim9773 poshi

    • @amirinestory
      @amirinestory 2 місяці тому

      @@jumaibrahim9773 posh kasaweka kwenye poch...imekua posh poch

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding 2 місяці тому +1

      ​@@jumaibrahim9773unaumw ww crdb walishavunj mkatab nae kitambo wanaofany kazi na rayvany

  • @hirizonetz9558
    @hirizonetz9558 2 місяці тому +32

    Yani unapata pesa ya kugonga range wale malaya Badala a kulipa watu waliomsaidia wakati anashida aisee huyu jamaa lofa sana.... Hebu niambieni bei ya range 2 za yule kahaba

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 2 місяці тому +1

      Huyu Sara ndy aliyempoteza maana Sara kufungua kesi kumemuathiri kila kitu 😊

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding 2 місяці тому +1

      Kiufup zile range zilikua ni zakukod hakununua lakin ay madeni zilikua ni pesa za Kul Bata nakuuza sura

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 2 місяці тому +1

      Sidhani kama ni sahihi kumuita mama wa mtu malaya si ustaarabu. Wapo waliolewa na kutwa nzima huvaa majuba na kujificha sura zao lakini ndio making wa kuingia nyumba za wageni. Jiulize wewe binafsi ni mtakatifu? Kazi ya kuhukumu tumuachie muumba na si kazi yetu. Ndio maana hata mitume walikuwa wakitembea na wafuasi wao nacwakifuata mafundisho yote na ibada hawakosi ila matokeo yake walikuwa na wasaliti miongoni mwao.

  • @Zafarmohamedy
    @Zafarmohamedy 2 місяці тому +6

    Ajipange San kusimama na CRDb sio kitu kidogo

  • @MaarufuAmani-bq6qc
    @MaarufuAmani-bq6qc 2 місяці тому +4

    Mungu huwa anajibu taratibu

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 2 місяці тому

    Alichukua mkopo kwa lengo la kuwekeza zaidi kwenye muziki wake wake sasa inaonekana muziki haujamlipa dah pole sana

  • @hijaabdalah9235
    @hijaabdalah9235 2 місяці тому +1

    pole jombaaa kampeni kesho kutwa utapata ela

  • @ramazanitr8541
    @ramazanitr8541 2 місяці тому +15

    Kondeboy call me number one , baaresa 🚶🏾🚶🏾🚶🏾🚶🏾 kumbe wasanii wanatupa pressure bure 😏😏😏

    • @khamismsoma8698
      @khamismsoma8698 2 місяці тому

      wanakupa pressure gani acha ufala! unadhani bank inaweza kukukopesha wwe ata laki mbili?😂😂

    • @jacksaidi6704
      @jacksaidi6704 2 місяці тому

      Sio wasanii Sema yeye ndo anakupa wewe hapo pressure, tumzungumzie yeye binafsi.

    • @omarkapayer1412
      @omarkapayer1412 2 місяці тому

      Khohokhohkhoho😮 🚬

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 2 місяці тому +6

    Sasa Konde una yumbaaa walahi
    Rudi kwa Diamond platnumz kamuombe mkopo yule baba yako tu siku zote hawezi kukutupa😢

  • @shahamtindo
    @shahamtindo 2 місяці тому +5

    Dah!

  • @LevyKipkorri
    @LevyKipkorri 2 місяці тому +4

    MIMI NAMU OMBEA MUNGU 2 MAANA KAKA AMETOKA MBALI SANA 😢😢😢😢

    • @nadiaamisha2958
      @nadiaamisha2958 2 місяці тому

      Ni kweli ametoka mbali ila amesahau alipotoka🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️

  • @mussaagrey5679
    @mussaagrey5679 2 місяці тому +1

    Hatari sana aisee

  • @mussamussa-z1n
    @mussamussa-z1n 2 місяці тому +3

    when a god wants to make a man first he break him into pieces think twice all viewers

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 місяці тому +5

    Hizo pesa alimnunulia kajalaa ranger

  • @joezeno8
    @joezeno8 2 місяці тому +8

    Tatizo dogo bado ni limbukeni wa maisha na Mademu!

  • @OctavianiRongino
    @OctavianiRongino 2 місяці тому +4

    Hata sikumoja usimzalau alie kusaidia kukutoa mbali ulimtukana sana mondi

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 2 місяці тому +4

    Wasanii mambo magumu sana ,sema wanapenda kujikweza

  • @Jonathanabedinego
    @Jonathanabedinego 2 місяці тому +2

    ANA AKILI KABISA

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 2 місяці тому +3

    Mungu amuwekeye wepesi insha allah

    • @svt3
      @svt3 2 місяці тому

      Usihusihusishe Mungu kwa ujinga wewe unachukuwa deni uonge malaya ukishindwa kulipa unamuweka Mungu😏😏?

    • @khurlainashly5686
      @khurlainashly5686 2 місяці тому

      @@svt3 aca kiherehere sio kila comment lazima ujibu nakwambia acashobo ufanikiwe😜

    • @svt3
      @svt3 2 місяці тому

      @@khurlainashly5686 sasa wewe uko dunia ya tatu unaniambia mimi nifanikiwe? Si utafute hata namna ya kuenda uarabuni uoshe vyombo kwa sh laki 5 kwa mwezi sababu niliko hauna na hauta wai kuwa na uwezo wa kufika

  • @AdamMohamed-u4p
    @AdamMohamed-u4p 2 місяці тому +6

    Kukopa sio issue issue alikopa afanyie nn ndo tatizo ukikopa ili kuongeza nguvu kwenye biashara sio shida hata matajir wanakopa ila harmonize hana biashara tunayoijua may be ya mziki ila anatumia fedha nyingi kwa wanawake pia hana mtu sahihi nyuma yake hilo tatizo pia

  • @unjuinkuganda1991
    @unjuinkuganda1991 2 місяці тому +1

    Safi kumamake wanajifanya viherehere wa CCM na Bado

  • @MagomaPato
    @MagomaPato 2 місяці тому +8

    Harmonize Mzee Popo anategemea uchawi Hadi kwa mikopo...Aibu Tz😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 2 місяці тому +4

    MKOPO .SHIKAMOOO..mmmmmmmh kazi kazi kwelikweli pole mdogowangu 😢😢😢

  • @makameniga9566
    @makameniga9566 2 місяці тому +3

    Wanawake anawanunulia magari na pesa za mikopo😃😃
    Kwa mfumo huu kutoboa haiwezekani 🎯

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 місяці тому +3

    Fanya umalize kaka inakuchafua na inakuchelewesha jitahidi umalize den kaka mana kudaiwa sio vizur jaman

  • @ClintonAward-y3u
    @ClintonAward-y3u 2 місяці тому +7

    Niliongeaga toka mwanzo haya yametokea ,nilisema hivi ,huyu jamaa sifa nyingi akili hamna kabisa na ushamba utamwangamiza ,ujuaji ukizidi matokeo yake ndio hayah

  • @AFRICANVILLAGE-l8x
    @AFRICANVILLAGE-l8x 2 місяці тому +5

    Hawa wapumbavu wanaishi maisha ambayo sio ya kweli wanavimba kumbe hela za mikopo😅😅😅😅😅

  • @vocalizertz6868
    @vocalizertz6868 2 місяці тому +27

    Mbona Tandahimba Kuna mashamba kibao akalime kumamake

    • @KhadijaMzuri
      @KhadijaMzuri 2 місяці тому +2

      Sianajitangaza anapesa tele kumshinda diamond sasa imekuaje anashindwa kulipa mkopo na kujigamba kote huko sara atqtafutwa amlipie mkopo

    • @RayChausa
      @RayChausa 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂 kumamake ukulima

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 2 місяці тому

      Astaghfirullah

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 2 місяці тому

      Maskin ya mungu hela ya mikopo ni kharamu

  • @boscomakala.3923
    @boscomakala.3923 2 місяці тому +8

    Mbona mapema mno sasa.....?

  • @drancko
    @drancko 2 місяці тому +2

    vanyy bize na matuzoo tuu maisha haya aahh

  • @mkamamoris9415
    @mkamamoris9415 2 місяці тому +4

    Haya bas na CRDB wawe maadui zake akiwalipa awasem vbaya sana

  • @Nindwa-cn8fq
    @Nindwa-cn8fq 2 місяці тому +3

    Mimi ntakuwa wamwisho kuamini kama harmonize amekoswa hela ya kudai crdb ikilinganishwa na mishe mishe anazozifanya mimi naona hiyo hela ni ndogo sana kwake rabda Kiki tu mikopo ndo inainua watu kiuchumi kama ukiwa na malengo dhabiti ingawa watu wenye akiri zakitoto wataona mkopo nikitu cha ajabu ila ukweli mkopo ndo imetutoa mashambani nakutuweka kwenye njia sahihi za kukimbilia ndoto zetu kama siyo Kiki awalipe tu

  • @mzeezidane4060
    @mzeezidane4060 2 місяці тому

    Mmmhhh pole sana kwa jeshi 😢

  • @Diamond-u9x
    @Diamond-u9x 2 місяці тому +11

    Tatizo mwezetu nakubali mapenzi zaidi kuliko kulipa ndenyi za watu mamilioni niku kidongo kwake🤔

    • @heritierpaluku7320
      @heritierpaluku7320 2 місяці тому

      Dah una furahi sana wewe diamond harmonize ata chinda kesi kaaa kaa kimia conde acha kuchinda ki musiki wewe

    • @imanimhagama4647
      @imanimhagama4647 2 місяці тому

      ​@@heritierpaluku7320mkundu ww

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 2 місяці тому +3

    Kajala na poshi ndio wamemchuna mpaka siyo poa tatizo nilimbukeni sana wa Mapenzi kuhonga Magali sibola uowe TU umuweke ndani ndio umudumie mwanamke Sasa yeye anafanya ndio sifa 😊

  • @CarlCare-yl4wi
    @CarlCare-yl4wi 2 місяці тому +12

    Duuh sema konde huu mwaka so wake wazee

  • @mackysuphian
    @mackysuphian 2 місяці тому +1

    Harmonize anatupa ugumu sana kumtetea mashabiki zake😢....alipe tuu😔😔

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 місяці тому

    Hatari sana

  • @SonOfNun5555
    @SonOfNun5555 2 місяці тому +4

    Hii ndio shida ya wasanii kutaka kuaminisha Wanatanzania kua unauwezo wakujisimamia lkn kumbe ni mikopo😂😂

  • @piussogoye
    @piussogoye 2 місяці тому +14

    wenye d2 tunaelewa kuwa mkopo hauchukuliwa kuanzisha biashara na kutegemea biashara hiyo irudishe mkopo huo,

  • @foka255
    @foka255 2 місяці тому +10

    Mkome... sisi wafanya biashara tukija kukopa mnatuzungusha wakija wasanii mnawapa

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 2 місяці тому +4

    Alijia ataachwa SABAB yey ni Harmon yaan huu mkopo umnfanya aonekane hana lolote brand imeshuka

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 2 місяці тому +5

    Tatizo ni matako siyo kingine

  • @hawababy120
    @hawababy120 2 місяці тому +2

    Jamani anahonga sana ndo hasara hio sasa🤧🤧🤧

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 2 місяці тому +11

    Daah leo ndiyo nimejua kumbe mchiz hela zake zote anawapelekeaga madem zake,dogo anapenda sana dudu😂😂😂

    • @aishahasan7722
      @aishahasan7722 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂maden atalipa pekeyke madem hpo hawajui maden😂😂😂kaz kwake Mzee wamatako😅😅

    • @WaziriRamadhan-ML
      @WaziriRamadhan-ML 2 місяці тому

      @@aishahasan7722 🤣🤣

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 2 місяці тому

      Akate hayo matako ya wahuni wake akalipe😂😂😂​@@aishahasan7722

  • @BakarIdi-qc8yf
    @BakarIdi-qc8yf 2 місяці тому

    Mwenetu anapenda sana sifa acha wamfanye

  • @jaylazorschannel5681
    @jaylazorschannel5681 2 місяці тому +1

    Kajala 1 and 2... Tena zote ni range.😅

  • @alphoncejohn6308
    @alphoncejohn6308 2 місяці тому +4

    Konde kwnn usilipe wakat hela unapata shida nn

  • @AminakengaKenga
    @AminakengaKenga 2 місяці тому +5

    Jamaa hana senti😅 majigambo yakishamba thu😢

  • @MARWAMAKOBA
    @MARWAMAKOBA 2 місяці тому +3

    Kazi anatoyo kijana

  • @JohooJonas
    @JohooJonas 2 місяці тому +8

    Hakuna deni linalo bembelezwa ivyo wakati vitu anavyo miliki vinajulikana 😂 mahakama ikisha hamua kuwa unadai lazima bank iruke na kitu unacho miliki sasa kwa jamaa mbona wanabembeleza. Hawamdai Ni kiki zenu tu

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 2 місяці тому

      Hatua inayofuata ni kukamata mali zake kama atakuwa hajalipa. Lakini hii pia inamharibia kupata madili mengine

    • @MussaJulius-g6f
      @MussaJulius-g6f 2 місяці тому

      Kweli mkali watu sijui wana pagawa vipi au ndio mwalimuwao kipofu hawa angalii mzunguko wa kazi ya mtu kazi anayo fanya mzunguko wake katika biashara zake mil 100 wamejipanga tuu kumpiga hela lakini sio kitu hata chakumfilisi mana alipo pita pagum kuliko wanapo paona wao