@@ashanassor584 mpe panadoli, msomee mawaidhatain na Alhamdu kwenye maji na alamnashrah anywe hata kwa uandika kwa zafarani. Mfukize kama kivumbasi au mdimu majani au vyote. Kwa nia ya kuwa Mwenyezi Mungu sw ndio msaidizi wako na msimamizi wako kwa dawa hizo. AU MTU ANAEJUA KUTIZAMA TATIZO KWA UHAKIKA SIO HAO WA KUJARIBISHA KAMA HUYO KIJANA BASI ITAKUSAIDIA INSHALLAH
Naam Shekhe wangu shukran Kwa ujumbe mzuri Allah akulipe Kwa ujumbe mzuri
Shukran sana Sheikh wangu nakupenda kwajili ya Allah
Asante shekh
Asante sana shekh nimewai kuna kipindi nime umwa na moyo 🇰🇪.
Shukran sana shekh tunakufuatilia kwa umakini mkubwa ili kujifunza
Shukrani nimekuelewa sheikh
Shukrani jazila
Upo sahihiii
Shukran sana
Astaghafirullh nimechekeka kamamazuri apo kwenye mtu anaye batisha kwenye swala eti jamani sijui nimemaliza auuu
Kweri shee warabu ndio kazi yao kurara kutwa nzima
Nitapataje huo mti mkuuu
Wizi mtupu. Kwani Mtume saw na maswahaba walitumia mti gani kutolea majini?
Acha khiyana km waona shekh hayupo sawa lete yako yaliyosawa tuyaone
@@khababuabdallah8078 huyo ni mjanja tu, anaonyesha elimu ya tiba bado hajabobea. Wewe humuelewi ndio maana. Ufafanuzi ni mkubwa, nenda ukaibiwe.
Wewe akili yako ndogo sanaaaaa. Alafu unajiona unajua dini kumbe mweupe tuuh
@@sungitatv9887 nafkiria suali langu ungelijibu KWAZA ikisha mie ningekuwa mweupe. Lawama zako hazijawa jawabu wala dalili. Wala mimi haina faida kuchat na wewe kwasababu ni kupe, watu wa ubishi bila dalili
@@sungitatv9887matuzi tena hpa,,,,daah
Na wajinga elimu ipo, wapeni wasio jua kitu
𝑀𝑎𝑛𝑠ℎ𝑎𝐴𝑙𝑙𝑎ℎ😍
Asante shekhe tutaupataje huo mti mkuu nna mtoto wangu anaumwa sana tumbo kabla ya hedhi mbavu mgongo una muuma sana