Masha Allah maelezo mazuri sana.Kwa hiyo neno.Fastaiv bii Llahi.Ni sawa na Kusema Audhuuu billahi minasheitwani rajiiiiim.Ukiwa muongo usiwe masahaulifu.Shukraaan ya Sheikh.
Ninachokiona hapo niujinga na upumbavu kutwa kubishana ktk mitandao na kujitangaza kwa nguvu kubwa kuwa una Elim kuliko sheikh yyte Tanzania Yani hakuna lingine ispokuwa kubishana upumbavu alafu wapumbavu nao wanakujaza kichwa kwamba ww unawatoa ktk giza .... Giza lipi ... Mbn hayo mtume hakuwa akiyafanya wala maswahaba
Msamehe tena Mwalimu wetu wa Nahaw Alimuntiu aliajurumia Allah nawe atakusamehe in sha Allah Usha mfedhehesha sana, inatosha tena ingawa yeye ndie alie anza kukufefhehi e mwanzo tena kwa uomgo kisasi ni haki kutokana na alivyokufedhehesha yeye mwanzo kwa uongo,
Bachu umeingia mtegoni sasa wwe ulip waita watu makafiri usione raha leo umeambiwa wewe mjinga tu machoyanakutoka😮😮😮😮 da hatari mkuki kwanguruwe tu halafu leo umezidi unawambia wenzako mpakakiama kwaniunauhakika wakufika?????
Mohamed bachu,huna silska ya elimu yako,elimu yako ina mafundo funfo!!wewe ni hizbi na unaogungamana nao akina dk iislam na baba lao barahiyani ni mahizbi waliobobea!!
Masha Allah maelezo mazuri sana.Kwa hiyo neno.Fastaiv bii
Llahi.Ni sawa na Kusema Audhuuu billahi minasheitwani rajiiiiim.Ukiwa muongo usiwe masahaulifu.Shukraaan ya Sheikh.
Sanaaaa
Sheikh Muhammad upo vizuri kiasi chako ma sha Allah. Endelea kutupa elimu Allah akupe wepesi zaidi en sha Allah.
Huko si kutowa elimu wanaingizana viburi kijiona kila mmoja anajuwa
Umaarufu hautafutwi hivyo unalazimisha masheikh wakujibu na ndo maana wengine wakupuuze
Unataman abulfadhl akujibu unatafta kila njia ila hujibiwa sio size yako.
Abulfadhl aache kazi akujibu wew haiwezekani
Ata asipojibu yeye sio hoja ktk daawa ya salafi
hana chakujibu atajibunini wakati ushahidi wapicha upo
Wewe una maradhi ya moyo kibri na Jazba Bado zakuchanganya akili
Hahaha kaka uko vizuri unawanjooosha kweli
Yaaani ndiyo dini ilipofikia hapa tumekua kama waimba taarabu au wakina mama kisutana umbea duuuuuh 😢😢😢😢😢 ni mtihani sana
Raddi zipo tangu zamani na walifanya raddi wanawachuoni wakubwa
Ninachokiona hapo niujinga na upumbavu kutwa kubishana ktk mitandao na kujitangaza kwa nguvu kubwa kuwa una Elim kuliko sheikh yyte Tanzania Yani hakuna lingine ispokuwa kubishana upumbavu alafu wapumbavu nao wanakujaza kichwa kwamba ww unawatoa ktk giza .... Giza lipi ... Mbn hayo mtume hakuwa akiyafanya wala maswahaba
Mtapeleka wafuasi wengi motoni
Yani umejijibu kwenye lile swala la aya ya
أعوذ بالله من الشيطان الرجيم 😅😅😅
Mungu anajua kuumbua watu jamani
Leta shule leta shule sheikh Muhammad Bachu. Kheri itapatikana in sha Allah
Biidh'niLlaahi
JazakaAllaahu'khayran Akhii
Msamehe tena Mwalimu wetu wa Nahaw Alimuntiu aliajurumia Allah nawe atakusamehe in sha Allah Usha mfedhehesha sana, inatosha tena ingawa yeye ndie alie anza kukufefhehi e mwanzo tena kwa uomgo kisasi ni haki kutokana na alivyokufedhehesha yeye mwanzo kwa uongo,
subhanallah dalili za qiyama zipo juu zaidi,twaghafilika live
Allah akulinde na waovu
Ameen JazakaAllaahu'khayran
Sasa hii picha ya Sheikh Kaasim ina uhusiano gani na hayo uzungumzayo?
Sasa hapa anmjibu Sheikh Qassim mafuta au? Na hii pic yake imewekwa apa kwa nn?
Hawa ni watu wa khiana akhy
Eti ewe bachu we kula kwa mkono wa kulia😂 mafuta anazingua mno😂
Kwani kuweka picha yake mtu ambae hapendi picha sio kumdhulumu?
Sheikh Google katika ubora wake 😅😅
Kama shekh wa mti mkavu😅😅😅😅
HIZBI KAMA WEYE MWENYEW HAPO
Kwani kipenzi chetu mtume alisemaje
Ukiwemo wewe huviwezi kuvisoma
Bachu umeingia mtegoni sasa wwe ulip waita watu makafiri usione raha leo umeambiwa wewe mjinga tu machoyanakutoka😮😮😮😮 da hatari mkuki kwanguruwe tu halafu leo umezidi unawambia wenzako mpakakiama kwaniunauhakika wakufika?????
Nyoote mawahabi nanyote niwanafik ktk dini najamii
Nyie ni punda wa mashia wavunja dini
Mohamed bachu,huna silska ya elimu yako,elimu yako ina mafundo funfo!!wewe ni hizbi na unaogungamana nao akina dk iislam na baba lao barahiyani ni mahizbi waliobobea!!
Tunataka elim na sio porojo zako na Mwalimu wako
Elim ndogo mukiambiwa ukweli mwananuna mara hoo maizbi wew salafy mbona muongo muongo
kwan Kusema Bismilaah Rahmaan Rahiim ndio Alama ya kutokuwa Salafi.
Kuna misingi inazingatiwa.
Ndio ujinga.
Wacha bachu atubainishe hawa مصعافقة
@NassorHassan-no1cr hakuna Swawaafiqa huko ni kuropokwa
Mm nilichogundua mafuta anapenda ubishani bila kuwa nabushahidi wa maaana
Bachu yn ana hasid tupu xijui kua si mchawi
Sikiliiza hoja Acha ujinga 😅😅😅😅 tumeshabainikiwa kama Muhammad mafuta ni jahil
Hatanawewe inaonekana jahil kama bachu
Naomba niulize
Hiyo picha ya abulfadhl ina uhusiano gani na mada yako ?
Au ndo chuki tu
Itakuwa ni hawa Jamaa wa channel wameiweka picha ya shekh Kaasim ili kupata viewers wengi.
Kwan hiii picha ilikua je kwa kassim mpka ikamfikia bachu ? Munasema haramu halaf munapiga mapicha tena munasema eti passport size 😅😅😅😅
WEWE HIZBI TU
Saw na nyinyi مصعافقة tu
Sifa tu
Ndio sifa hajaanza yeye wacha atandikwe tu